Тёмный

Tundu Lissu Amjibu Fatma Karume Sakata la "Ubaguzi" 

The Chanzo
Подписаться 87 тыс.
Просмотров 158 тыс.
50% 1

Akihutubia wananchi wa jijini Dodoma Leo Aprili 29,2024, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amemjibu Mwanasheria Fatma Karume aliyekosoa kauli za Tundu Lissu dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ni za kibaguzi wakati akihutubia wananchi wa Babati siku ya Ijumaa, Aprili 26, 2024 ikiwa ni siku ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru.

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 927   
@tanzanitetv
@tanzanitetv 5 месяцев назад
Lisu Hatari sana kwa hoja ,unapotaka kupambana naye ni kujiandaa sana
@unclepumpuu5920
@unclepumpuu5920 5 месяцев назад
Hana hoja yyote ni mbaguzi
@mzeejumbe900
@mzeejumbe900 4 месяца назад
Tatizo la tudu lissu huwa anadhania kuwa hao anaoongea nao hapo na penginepo kuwa wanamfahamu asilimia kubwa ya watanzania wenye maono wanamfahamu kuwa ni mtu wa propaganda na mwenye kueneza chuki na sintofahamu baina ya watanzania na pande mbili za muungano ni mtu asiye na uzalendo na taifa kwani ameelekeza chuk zaidi sana kwa kiongozi wa nchi huku akisahau kuwa raisi aliyepo madarakani yupo hapo kikatiba. Tundu huna jipya nenda zako ukatumwe na wazungu hilo ndilo lililobakia kwako kwani huna sifa ya kuwa kiongozi kwa watanzania.
@ernestkaji9640
@ernestkaji9640 5 месяцев назад
Kwa mara ya kwanza toka nianze kumsikiliza huyu jamaa,Leo nimemuelewa sana
@rolencevedasto1009
@rolencevedasto1009 5 месяцев назад
Nakichwa kizito sana Leo tu
@albertmbise2670
@albertmbise2670 4 месяца назад
Umechelewa sana kumuelewa
@pascaladloph4719
@pascaladloph4719 4 месяца назад
Yaani tangu aanze hukuwahi kumwelewa? Basi kijani walikuwa wamekulevya sana
@josaphatkessy530
@josaphatkessy530 5 месяцев назад
Tundu lissu wewe ni zawadi Mungu katupa Watanzania Mungu azidi kumlinda GENIUS
@hamadfaki7625
@hamadfaki7625 5 месяцев назад
Hapo amehusisha Tanganyika so zawad ya Tanganyika iyo
@SarahSwale
@SarahSwale 5 месяцев назад
Mwehu tuu huyu. Hana jipya.
@SarahSwale
@SarahSwale 5 месяцев назад
Hakika wewe ni Mbaguzi na siasa zako hazina nia njema kwa Watanzania.
@mkude
@mkude 5 месяцев назад
Hahaha huyo lissi bado sanaa mtamkubali wachache kama nyinyi mnataka kugawa watu ili mfaidike kisiasa.
@RivanusHamis
@RivanusHamis 5 месяцев назад
Na yule mbunge wa za
@Expedito2512
@Expedito2512 5 месяцев назад
Ndugu Lissu nakuombea sana Mungu akulinde
@masoudsalum
@masoudsalum 5 месяцев назад
Amina
@eliamtanzaniaog6380
@eliamtanzaniaog6380 5 месяцев назад
​@@masoudsalumAmina sasna
@IbrahimSuleyman-j8n
@IbrahimSuleyman-j8n 5 месяцев назад
Amlinde wakati anaongea pumba zake za ubaguzi vunjeni muungano
@KenethMasebo-q3s
@KenethMasebo-q3s 5 месяцев назад
Amina
@habinezaabubakar4200
@habinezaabubakar4200 4 месяца назад
Hakika
@GidisonMarco
@GidisonMarco 5 месяцев назад
Kama unaempenda lisu gonga like
@AliyAli-uj7zh
@AliyAli-uj7zh 4 месяца назад
Vizuri Mama etu wazanzibar nitafurahi ukiuuza ule mlima wao wa Kilimanjaro itakuwa saw na wao walivyokuwa wakiuuza vitu vyetu
@mukhtaromar-g5p
@mukhtaromar-g5p 5 месяцев назад
Mimi ni mazanzibar lkn hizi nchi ni mbili wasituchanganye hawa. Ccm waweke wazi hizi nchi mbili. Serikali ziwe tatu
@Soon815
@Soon815 5 месяцев назад
Huna akili
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 5 месяцев назад
Una miaka mingapi..? maana tusije kupoteza nguvu kumjibu mtoto kwa hoja. Nikupe home work. Nenda katafute, muungano wowote wa nchi mbili wenye serikali tatu. ukiupata utuambie
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 5 месяцев назад
Lamuhimu hapo kila mmoja ashike 50 zake atuoni umuhimu wowote wa muungano pia upande wa Tanganyika kwa sasa unaathirika zaidi asa wananchi wake na tangia mzanzibar alipo kaimu kiti cha Marehem Rais Magufuli hoja alizo ongea Lissu zina mashiko makubwa Rai yangu 2025 tusifanye makosa watanganyika tuakikishe raisi ajae ni Mtanganyika acha neni na wapemba ao wanayo Nchi yao jamani watupishe 2025 Tanganyika kwanza
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 5 месяцев назад
Mzanzibar lakini una mashamba morogoro Pumbavu. Huu muungano hauna mantiki yoyote kwa watanganyika.
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 5 месяцев назад
Hatuutaki muungano sie Watanganyika labda uwe wa serikali tatu.
@albanTz001
@albanTz001 5 месяцев назад
Wanataka kuhamisha mjadala. Asiyemuelewa Lissu sio mzima.
@godfreykahabi1964
@godfreykahabi1964 5 месяцев назад
Big brain brilliant intellectual treasure of Tanzania next president of Tanzania republic excellently president honorable Tundu Antipas Mugwahi Lissu
@halimamasai2234
@halimamasai2234 5 месяцев назад
Ni raisi wako nani anamtaka huyu tahira kwanza ni mbeligiji si mtanzania shenzi huyu
@petersilas4234
@petersilas4234 5 месяцев назад
Never
@GudGudgud-w6q
@GudGudgud-w6q 4 месяца назад
Kutesa kwa zamu wazanzibar zamu yetu kukuongozenii mtake msi take😮
@gideongerald2846
@gideongerald2846 5 месяцев назад
Lissu huwa unatwambia mambo ambayo yamejificha heko nyingi kwako
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 5 месяцев назад
Lissu nakupenda sana kutoka moyoni hasa maana mungu kakujalia baraka zote. Nawaomba Watanganyika wote tuungane maana lissu katuamsha. Ney wa mitego nae alisha tuamsha kupitia wimbo wake wa Amkeni Wake up TANGANYIKA
@VeronicaMwakimbingi
@VeronicaMwakimbingi 5 месяцев назад
Amen
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 месяцев назад
Tundu Lissu Mungu ana sababu ya kukulinda na yote waliyo panga Mungu azidi kukulinda. Mungu hashindwi na lolote lile. Kama Mungu akuweka jicho lake nani atakuwa kinyume cha Mungu? Mungu anaona yote wanayofany maovu ya kutuibia watanganyika. Mungu hapendi dhuruma!
@GudGudgud-w6q
@GudGudgud-w6q 4 месяца назад
Sisi wanzinzibar tunataka nchi yetu tumechoka kelele zenu nyinyi wenyewe watanga nyika mushauza sana vitu vyetu kua raisi mzanzibar ndo imekua shida hamujui kama kutesa kwa zamu😮😮
@alinassor391
@alinassor391 5 месяцев назад
Nyinyi wa Tanganyika tusaidieni sisi wa zanzibar kuuvunja huu muungano feki usio na tija kwetu ili munufaike na tanganyika yenu
@bilalkhamis_
@bilalkhamis_ 5 месяцев назад
Na mm natamani uvunjwe... mana hawa wabongo asaa 😢
@bahatielias6443
@bahatielias6443 5 месяцев назад
Lakin lissu kasema ukweli ,sema CCM wako kimasilahi zaidi,Nanyie wanzanzibar muwe wakwanza kuukataa huu udhalimu,muungano feki
@philipombwambo1980
@philipombwambo1980 5 месяцев назад
Huu hauvunjiki kamwe labda mhame Zanzibar nyinyi
@FridayMwassa
@FridayMwassa 5 месяцев назад
Rais wa sasa anatoka kwenu mwambieni avunje muungano mtaona maisha yenu yatakavyo kuwa magumu
@jumaseifjuma4185
@jumaseifjuma4185 5 месяцев назад
Kwani huu muungano ndo Mungu hata maisha yetu yawe magumu. Fahamu kwamba mambo ni kutegemeana hapa. Naona mmejaa tele hapa kutafuta maisha.​@@FridayMwassa
@AlphaMagomba
@AlphaMagomba 3 месяца назад
M/mungu akubariki namna unavyopambana kuherimisha watanzania .
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 5 месяцев назад
TUNDU ANTIPAS LISU MMMH🙌🙌🙌 UKIONGEA NA HIKI KICHWA JIPANGE SN. NI ZAWADI KUTOKA KWA. MUNGU TUNAOMBA MLINDE UNATUFAFANULIA VITU VILIVYOJIFICHA
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 5 месяцев назад
Wewe n zawad kutoka Kwa shetan
@AliyAli-uj7zh
@AliyAli-uj7zh 4 месяца назад
Huyu jamaa kuna mda anazungmza ukweli lakni hutuba hii pumba tupu kuna mitanganyika kibao inamiliki ardhi Zanzibar
@PaulFaustinemisaraba-bp8md
@PaulFaustinemisaraba-bp8md 5 месяцев назад
Kama we Ni mtu wa bara na ulishagaenda Zanzibar ndo utamuelewa lisu anachosema
@AhmedZahor
@AhmedZahor 5 месяцев назад
Mumejaa kama taka huku Zanzibar kazi yenu wizi na Ujambazi muekezaji anauza sumu ya panya na mifuko nitafutie mzanzibari mmoja tu anauza sumu ya panya Bara au karanga Mukitaka Musitake Sisi tuko juu tutakutumeni tu
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 5 месяцев назад
Haeleweki. Zanzibar ardhi yake ni ndogo.sasa wageni milioni 50 kutoka Bara wakiamua kumiliki ardhi.Zanzibar. Jee! Wazanzibari Wenyewe wataishi wapi? Au mnataka mzanzibari akizaliwa tu akatafute makaazi nje ya nchi yake? Tambuweni kwamba Zanzibar ni nchi Tangu enzi na enzi, Muungano usiwe sababu ya Zanzibar kupoteza hadhi yake ya kuwa nchi. Tuliungana kwa kushirikiana baadhi ya mambo hatukuungana kwa kuuwa nchi.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 5 месяцев назад
We paulo kama kweli hicho unachosema Mwinyi anatoka wapi?! Zanzibar au Tanganyika?! ametoka Mkuranga Tanganyika mbona anatawala kule?! Wazanzibari na watanzania wote hatupo hivyo kaka, hizo no chuki tu mnazopandikiziwa na wanasiasa ili muivuruge amani ya taifa lenu!! Kuna mabwana zao nje huko wanaowatuma.
@PaulFaustinemisaraba-bp8md
@PaulFaustinemisaraba-bp8md 5 месяцев назад
@@omaryjumas6327 na kwann raia wa Zanzibar anaweza kutawala bara Ila raia wa bara kutawala Zanzibar Ni changamoto
@fpctgkwalala
@fpctgkwalala 4 месяца назад
​@@omaryjumas6327'nchi yake' ipi tena? Sisi si ni nchi moja?
@emmanuelmzungu7232
@emmanuelmzungu7232 4 месяца назад
Karume was right. You can't say she is selling the ports because of her zanzibar origin. She is doing that because, she is the president. Deal with her as a present not as a citizen from zanzibar. Shame on you Tundu.
@pauloropian2367
@pauloropian2367 5 месяцев назад
Mungu akubariki Mr tundu na akuongezeee miaka mingi ya kuishi ktk uso wa dunia
@khamisbaghdellah6783
@khamisbaghdellah6783 5 месяцев назад
Tundu A. Lissu, acha kupotosha UMMA, ongea ukweli
@twahirshali8014
@twahirshali8014 4 месяца назад
Ana potosha uma
@RashidAhmed-h7t
@RashidAhmed-h7t 5 месяцев назад
I'm from Somalia, if you are complaining that the people of the islands are exploiting them, why are you on the mainland forcing the union. I say this because I follow the politics of East Africa a lot.
@fredrickchenga
@fredrickchenga 5 месяцев назад
How did you know that is a complaint? This means you know the language. if that is the case, contribute to Swahili for the betterment of the viewers.
@hamidudongo1879
@hamidudongo1879 5 месяцев назад
Because they are Muslims-99%. They can't let them go. Some of their political -Christian leaders talked about it publicly.
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 5 месяцев назад
@@fredrickchenga😂😂
@phillipmbuligwe6033
@phillipmbuligwe6033 5 месяцев назад
Accept the fact my friend. Don't be unnecesarily defensive ​@@fredrickchenga
@johnsonkiwia6577
@johnsonkiwia6577 5 месяцев назад
@@fredrickchenga😂😂😂
@AlphaMagomba
@AlphaMagomba 3 месяца назад
M/mungu akubariki namna unavyopambana kuelimisha watanzania
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 5 месяцев назад
Kwa hili Tundu lisu umeongea ukweli 100%
@ibel4lf
@ibel4lf 5 месяцев назад
Tundu you spoke well kuuza vitu vya Tanganyika si sawa kwa huyo Mzanzibar
@MohamedAbdallahSaid
@MohamedAbdallahSaid 4 месяца назад
Porojo zina mwisho wake.Wakati bandari itakapo immarika na inchi kunawiri porojo sizitakuwa kama mashuzi tuu😂
@ofreyking5975
@ofreyking5975 5 месяцев назад
Cjawahi juta kukufaham umenyooka sana tatizo binadam hatupend ukweli hakuna baya ulilosema mkuu ni vle ww ni mkweli sana ndio tatizo
@mussakitoto1830
@mussakitoto1830 4 месяца назад
Mungu ajali upate kura uvunje mungano dah tumechoka sisi wazanzibar jaman
@mussahussein3583
@mussahussein3583 5 месяцев назад
Sasa leo ndio nimekujua Lisu kwamba kumbe nimtu ambae haufai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Mimi sitaki kusema kwamba eti Raisi samia amepatia ktk hilo au amekose bali ninanachokiona kwako lisu nisiasa za kibaguzi, kwanini labda tu usisemee yaliofanyika kwamba sio sahihi na sjui ametokea zanzibar sjui nini... labda umeishiwa na chakuwashawishi watu na unaanza kuingiza fikra za kibaguzi kwa watanzania
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 5 месяцев назад
Ungesikiliza vizuri inachosema katiba ya Zanzibar ungemwelewa Lisu, Lakini kama hujui isemacho katiba ya Zanzibar utaona anakosea Lakini katiba zetu ndo Zinatengeneza Ubaguzi
@mahfoudhally2879
@mahfoudhally2879 5 месяцев назад
Wazanzibari hatutaki kelele nyingi nyinyi ndio mnaong'a Ng'ania muungano hebu vunjeni muone tutakavosheherekea then after 10 yrs muone maendeleo yetu .tushachoka na ukoloni wenu
@mussamussa8181
@mussamussa8181 5 месяцев назад
Unazan rahis
@sheikhasalim1190
@sheikhasalim1190 4 месяца назад
​@@mussamussa8181kwani kabla ya muungano ilikuaje? ama hujawahi kusoma historia ya Zanzibar?
@EzekielSitayo
@EzekielSitayo 5 месяцев назад
Shida uelewa hasa hawa mabumunda wa ccm Lissu yuko sahihi
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 5 месяцев назад
Kwa haya namuunga mkono Tundu Lissu. Mtanganyika hawezi kununuwa aridhi Zanzibar, lakini muzanzibari anaweza kununuwa aridhi popote Tanganika
@mkude
@mkude 5 месяцев назад
Bado sanaa,hakuna wa kupanbana na Mama Samia Suluhu
@SelemanMohamedi-l8l
@SelemanMohamedi-l8l 5 месяцев назад
Hakuna anaepambana nae shida marekebisho yanatakiwa yafanyike.
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 5 месяцев назад
Akili Yako kisoda
@athumankaswaga605
@athumankaswaga605 5 месяцев назад
Madhara ya kuishi kwa shemeji😅😅😅😅😅
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 5 месяцев назад
We ni mjinga kama wajinga wengine
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 5 месяцев назад
Hakuna
@BestBest-rx3sb
@BestBest-rx3sb 5 месяцев назад
TUNDU LISU USISEME ANOFANYA SAMIA KWA WABARA YASEME WALOFANYA VIONGOZI WATANGANYIKA WENZIO DHIDI YA ZANZIBAR
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 5 месяцев назад
SAHIHI KABISA LISSU UNAYOYASEMA.
@AliyAli-uj7zh
@AliyAli-uj7zh 4 месяца назад
Mlikua mkituzarau na kutucheka saivi zamu yenu munalialia tulieni si mulikua mkijiita Tanganyika kiumeni Zanzibar ukeni mtablooo
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 5 месяцев назад
Hizo ni nchi mbili tofauti, hata kama.jimbo moja kwa kura moja. Tundu Lissu.ameona abadilishe gia angani.
@AliyAli-uj7zh
@AliyAli-uj7zh 4 месяца назад
Mlikua mkituzarau na kutucheka saivi zamu yenu munalialia tulieni si mulikua mkijiita Tanganyika kiumeni Zanzibar ukeni mtablooo 😅😅
@juliusnyerere5393
@juliusnyerere5393 5 месяцев назад
Kweli mfamaji haichi kutapapata. Bado ni mjinga Sana Lissu. Mbona husemi Kama. Mnasema muungano wa nchi mbili Wabunge wawe sawa bungeni. Nyie mko wengi. ?
@VeronicaMwakimbingi
@VeronicaMwakimbingi 5 месяцев назад
Lissu siyo njinga,na siyo mpubavu na siyo mbaguzi,na anacho kisema yuko sahihi kabisa,ila ninyi Viongozi wa roho wa madaraka mliokalia madaraka ndo mnaoziharibu baina za hizi nchi mbili?maana mnamuona Lissu km mwiba kwenu,wakati anawambia ukweli viongozi,na wtz kwa ujumla!!!!mnamuona Lissu km hayuko sahihi maana anawatomaso,lkn mjue kuwa haki haipotei ila inacheleweshwa tu,Kuna siku itakuja kutimilika tu,asanteni,ila viongozi kumbukeni kuwa Mungu yupo,na mbeba maono hafi mpaka yatimiye asanten
@AliOchu-km1bq
@AliOchu-km1bq 5 месяцев назад
Nasematena , mheshiwa Rais Alihasan mwinyi alitawala Zanzibar musiseme mtanganyika hajatawala Zanzibar, acheni ubaguzi
@AbdulqadirChamakope
@AbdulqadirChamakope 5 месяцев назад
Upo sahihi, mbona Rais Ali Hassan Mwinyi.Alitawala Zanzibar hali yeye ni Mtanganyika!hapo hamhoji!!!!Hizo ni chuki na ubaguzi wa wazi kabisaa.
@sheikhasalim1190
@sheikhasalim1190 4 месяца назад
wanajifanya hawajui hilo
@hamicpina1151
@hamicpina1151 5 месяцев назад
Wanzanzibar tulio wengi tumechoka na muungano na ndio maana wapo waliowekwa jela kwa muungani tanganyika mnakwama wapi kuupenda huu muungano kama x kutojiamini kwa Zanzibar
@Imrani-g9o
@Imrani-g9o 9 дней назад
Hapo umefafanua katiba ya zenj umeshindwa kujua SAMI muwakilishi wakatiba ya TANZANIA
@mosesbarnaba7851
@mosesbarnaba7851 5 месяцев назад
Lisu nakuelewa sana
@josephpusingare4256
@josephpusingare4256 5 месяцев назад
The only a living miracle! God have blessed us this human right defender and Democracy fighter. Mungu akulinde sana kamanda Mhe Tundu Lissu
@IssaKandea
@IssaKandea 5 месяцев назад
Daah lisu nakuelewa ila kwa hili sipo na ww unakosea sana. Piganieni katiba, tumehuru ya uchaguzi nk vikipatikana hivi hayo ya ubaguzi yatakaa kando
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 5 месяцев назад
Ukitulia na kuichambua kauli zake utamuelewa tu
@fpctgkwalala
@fpctgkwalala 4 месяца назад
Ungekuwa umemuelewa usingeandika hayo mengine mbele
@abrashyhamed5116
@abrashyhamed5116 4 месяца назад
Lissu nakukubali sana ila hizi kauli zako hutamuathiri samia tu bali utatufanya tuanze kubaguana wananchi Wewe ni kiongozi mkubwa hupaswi kuongea haya kwa njia hii, na kama ni kwa sbbu ya kura si kura yetu tunakupa wewe tunakukubali lakini usitufanye tukajenga chuki kwako kwa sbbu umoja wa raia una umuhimu zaid kuliko hata nyinyi viongozi 🙏
@LanguMiliariMollel
@LanguMiliariMollel 5 месяцев назад
Mungu akutunze mtetezi wa wanyonge wa Tanzania 👏👏
@LivinMatabaro-ju6bk
@LivinMatabaro-ju6bk 3 месяца назад
Hon Lissu naomba nikueleze jambo kuhusu representative ratio bungeni toka pande mbili za Muungano. Hapa tunazungumzia states yaani dola kuungana. There's no big neither small states. TAZAMA UNITED STATES OF AMERICA. ALL STATES ARE EQUALY REPRESENTED BABA.
@ramamjema8391
@ramamjema8391 5 месяцев назад
Lisu wewe ni hazina kwa taifa letu,bali ugonjwa mkubwa unaotutafuna watanzania ni kutokubali ukweli na wavivu wa kusoma ili kuwa na uelewa mpana wa mambo na uwezo wa kuchambua mambo.
@jrkaluli5638
@jrkaluli5638 3 месяца назад
Wanasheria na Waandishi hucheza na document kujenga na kubomoa hoja. Marungu hayaruhusiwi..!
@adudeswalehe8724
@adudeswalehe8724 5 месяцев назад
Kwenye hili nasimama na Tundu Lissu
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 4 месяца назад
Nampenda sana tundu lisu ni mwana siasa asiye yumbishwa kwa kile anacho kiamini, huyu ni legendary
@kiatu
@kiatu 5 месяцев назад
Lol Lissu peke yake hashindi hii vita. Watanganyika poleni sana sijui mtaamka lini masikini
@ZuenaSharifu
@ZuenaSharifu 4 месяца назад
Yan mm siomshabiki wa ccm ila namuunga mkono mama Samia ili muzidi kuumia nyinyi vichogo Samia mitano kumi inakusubir 👏
@rajeshndola
@rajeshndola 5 месяцев назад
Nakuelewa Sana kiongozi
@jacklinenelson35
@jacklinenelson35 4 месяца назад
Lissu iis right
@simongwandu7392
@simongwandu7392 5 месяцев назад
CHADEMA IFUNGWE VINGINEVYO UBAGUZI UTASHAMIRI
@georgeexavier5921
@georgeexavier5921 4 месяца назад
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 5 месяцев назад
Kumbe tuna miaka ya uhuru na tanganyika na miaka 60 ya mungano
@manilabonalumanula9210
@manilabonalumanula9210 5 месяцев назад
Uhuru wa Tanganyika ikifika 9 Desemba 2024 na Muungano ilipofika 26 Aprili 2024 ulitimiza miaka 60.
@TRUEHUBBY
@TRUEHUBBY 5 месяцев назад
Lisu umefilisika kisera. Umejaa chuki na ubaguzi ambao hauna tija zaidi ya kuleta vurugu. Hujielewi kabisa na Kwa mtazamo huu itawachukua miaka zaidi ya 1000 kuongoza nchi hii. Nakushauri utafute sera nyingine ya kufight for women.❤❤
@DottoVales
@DottoVales 4 месяца назад
😂😂😂
@MkungwaNgwarumbwa
@MkungwaNgwarumbwa 5 месяцев назад
Huyu tundu lissu role model wake ni rev mtikila, amefilisika sera kichwani anajihalalisha kwa utanganyika, walianza kumbagua mzee rukhsa na zambi ya ubaguzi anaiendeleza kwa samia...
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 5 месяцев назад
huyu ni mbaguzi,mdini,mbinafsi na hafai kuwa kiongozi wetu. Anaendeshwa na hawa wapenzi wa jinsia
@leonardkabuti6932
@leonardkabuti6932 5 месяцев назад
Shenzi kqbisa wewe
@leonardkabuti6932
@leonardkabuti6932 5 месяцев назад
Itakua wewe ni mzanzibar
@HassanAli-f6j8y
@HassanAli-f6j8y 5 месяцев назад
Ww tundu mjinga,mbona Maraisi wa tanganyika unapowasema vibaya hutaji wanakotoka?
@richardmbasha1411
@richardmbasha1411 5 месяцев назад
Akili mgando ww
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 5 месяцев назад
ZANZIBAR ni nchi inarais wake kaatiba yake bunge lake kwann ss Tanganyika hawaendi wawakilishi kule bunge la Zanzibar MUUNGANO wa upendeleo mno
@SelemanMohamedi-l8l
@SelemanMohamedi-l8l 5 месяцев назад
Ngoja nicheke 2
@HassanAli-f6j8y
@HassanAli-f6j8y 5 месяцев назад
@@faustinombilinyi9809 Ww una wazimu kweli,kwan Bunge la Tanzania ni la Tanganyika?wazanzibar wapo kwenye Bunge kama upande wa muungano. Ss wazanzibar tulipiga kelele kipindi kirefu ninyi muwe na serikali yenu ya tanganyika,mumekataa na mumejivisha koti la muungano. Daini Serikali yenu na ss tuwe na yetu then tukubaliane vipi serikali ya muungano iwe
@EmanuelBlassy-uz4gm
@EmanuelBlassy-uz4gm 5 месяцев назад
Ujanja ujanja
@EliasLukumai-te6wz
@EliasLukumai-te6wz 5 месяцев назад
Sema. Lisu
@helencyprian8745
@helencyprian8745 5 месяцев назад
Piga kazi Lisu, sisi tunakuelewa sana
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 5 месяцев назад
WATANGANYIKA NI SAWA NA MISUKULE, MAANA HAJIELEWI KAMA NCHI YAO NA TANGANGINYIKA🤣🤣CCM NA SAMIA SULUHU OYEEE
@HasaMediaTv
@HasaMediaTv 5 месяцев назад
Mitano tena
@zamorad5654
@zamorad5654 5 месяцев назад
Ukiwa na matope kichwani huwezi kumuelewa Lisu
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 5 месяцев назад
@@zamorad5654 Nimemuelewa LISSU ila Watanganyika ndio tatizo la kuungana nå watu laki tatu, na sasa WAZANZIBARI wanuza ardhi ya watu MILIONI 60!
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 5 месяцев назад
Na hasa ukijaa mavi ya kuku kama wana chagadema ​@@zamorad5654
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 5 месяцев назад
⁠​⁠@@zamorad5654Mugufuli😂 Rais wenu mpendwa alimtowa mbio Lisu Tanzania Bara. Rais Samia Hassan kutoka Zanzibar Island Rais wa United Republic of Tanzania kampa ruhusa kubwa sana ya kurejea Lisu na kuendelea na maisha yake Tanzania kwa upendo Kama ndugu, Imani na heshima aliyo funzwa na wazazi wake. Mungu mbariki Rais Samia na mhifadhi kwenye kazi yake muondoshee maaduwi wabaya mbele ya macho yake. Kila aduwi yake Mungu mlipe hapa hapa Duniani kesho akhera ni hisabu.
@AlphaMagomba
@AlphaMagomba 3 месяца назад
Umeeleza kweli watanzania waelewe haya maelezo
@charleskingimwakasagule5752
@charleskingimwakasagule5752 5 месяцев назад
Kwakweli ukweli unauma kamanda nakupenda sana wewe ndo kila kitu tunashukulu Kwa kutuelimisha watanganyika mungu aendele kukutunza
@ejmalady6923
@ejmalady6923 4 месяца назад
Tindu lisu,unatafuta Tanganyika babala ya kutafuta serikali ya Tanzania,tunatakiwa kizazi hiking kinataka Tanzania yenyewe serikali moja tu
@sabriabdalla9562
@sabriabdalla9562 5 месяцев назад
Umejitahid kufafanua lakini still ulichosema ni ubaguzi. Kupotea kwa Tanganyika kumesababishwa na watanganyika wenyewe. Ubaguzi hausaidii.
@ConfusedJigsawPuzzle-mr9rr
@ConfusedJigsawPuzzle-mr9rr 5 месяцев назад
Zanzibar ni nn
@AdamMbwana-p6n
@AdamMbwana-p6n 5 месяцев назад
​@@ConfusedJigsawPuzzle-mr9rr Zanzibar ni ya wazanzibr wenyewe watanganyika ndo nn
@ConfusedJigsawPuzzle-mr9rr
@ConfusedJigsawPuzzle-mr9rr 5 месяцев назад
@@AdamMbwana-p6n haya tuseme mnajitawala haya kila xku mnalilia nn
@francobebeto9195
@francobebeto9195 5 месяцев назад
isn't crime to fight what is ours...Lets go Tundu lissu
@mukhtaromar-g5p
@mukhtaromar-g5p 5 месяцев назад
Tunataka serikali tatu kila nchi ijitegemee ibaki muungano tu
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 5 месяцев назад
ukiwa na serikali tatu hauna maana ya kuwa na muungano. otherwise ni kupoteza buree pesa ya walima kodi. kuendesha serikali tatu ni kuwa na mabunge matatu marais watatu majeshi matatu ,benki kuu tatu na vitu vingine vyote vitatu vitatu. fikiria kidogo gharama za uendeshaji hapo !! ukimaliza kufikiria nikwambie tu ,kuna mambo ya muungano na yasio ya muungano. Mambo yasio ya muungano ndo hayo yanayo fanywa na kila nchi pekee yake kama mfumo wa elimu etc kuliko kuwa na Serikali tatu ani ya Zanzibar,Tanganyika na Serikali ya Muungano ni bora tu tusiwe na Muungano maana mpaka hapo utakuwa hauna maana tena. hakuna maana ya kuungana alafu uwe na serikali tofauti.
@isaliisu3408
@isaliisu3408 5 месяцев назад
Na mimi nasema leyo mkapa asingeuwa wazanzibar kama si muungano na katiba
@isaliisu3408
@isaliisu3408 5 месяцев назад
Tutundu waambiye hivi zanzibar ilikuwa huru na kutambulika kimataifa kuliko Tanganyika na kenya ukubwa wa puwa siyo wingi wa makamasi
@isaliisu3408
@isaliisu3408 5 месяцев назад
Hebu tuachiyeni hakuna kisiwa chenye watu milioni 50 kama munataka ka hayo unganeni na kongo
@isaliisu3408
@isaliisu3408 5 месяцев назад
Suala Ardhi za Visiwa zinalindwa kimataifa ili visiharibiwe uhalisiya wske hebu waambiye kuhusu ayalendi na unaited kingdom mungano ukoje
@yustobitalio3597
@yustobitalio3597 5 месяцев назад
Huyu jamaa ni BRIGHT sana
@helencyprian8745
@helencyprian8745 5 месяцев назад
LISU ni msumari wa moto kwa serikali ya ccm, wacha ukweli usemwe tuujue.
@hamisijuma8124
@hamisijuma8124 5 месяцев назад
Huyunikichaa naniampenchi
@SuleimanMussa-x5i
@SuleimanMussa-x5i Месяц назад
Vunjeni uuuuh mungano ss wazanzibar hatutaki mungano zaman
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 месяцев назад
Watanganyika wote ni vipofu kiakili kabisa. Watawala siku moja ndiyo sababu Samia anaandaa Warabu kujitayarisha kuja kuwatawala watanganyika. Hata kama CCM siku moja itawakula kwenu pia mtajikuta mnatawaliwa na Wazanzibari na wakati huu Samia anautumia vizuri kweli ili warabu waje wajazane hapa ili waungane na Zanzibar kutawala Tanganyika. Pole sana hata sasa mmeisha tawaliwa kiakili kabisa sijui ni ushamba au uchawa.
@AhmedZahor
@AhmedZahor 5 месяцев назад
Wewe Kinacho kusumbua Ugalatia mbona huwataji Wazungu nyie Mulitawaliwa na Wajerumani na Waingereza mbona hamusemi kitu si kitu warabu nyie mbn kila siku munajipeleka
@mkude
@mkude 5 месяцев назад
Unaongea pumba tupu,ulifikiri nyinyi wagala ndo wenye mamlaka ya kuwapa wazungu kuwa wawekezaji peke Yao matokeo Yao wanakufundisheni ushoga
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 5 месяцев назад
Upo mjinga sana sawa na huyo mkimbizi kilema
@SaedaAlbreki
@SaedaAlbreki 5 месяцев назад
Nayy atauwawa tuu km alimuuwa makufuli apate madalaka basi hata yy hana maisha mm mwenyewe ingekuwa mtoa roho ninavyo mchukia huyu ningemnyongelea mbali uko
@AhmedZahor
@AhmedZahor 5 месяцев назад
@@SaedaAlbreki wewe Mgalatia uko kijijini na Ujinga wako hata kiswahili hujui eti Madalaka Sema Madaraka kwani Tangu Dunia ilipo Umbwa alie kufa Magu tu Wamekufa Mitume itakua yeye yeye kama nani asife
@robertsulus7947
@robertsulus7947 5 месяцев назад
Tundu Lissu is a school of its own. Halafu kuna hao washua wanaitikia in the background...wanafurahisha sana plus wanaonyesha elimu inawaingia haswaa.
@AbdallaHassan-gu6fi
@AbdallaHassan-gu6fi 5 месяцев назад
Hana Shukrani. wema wote unaofanyiwa na WZNZBR Hushukuru? umelazwa hospital Rais Samia Alikuona Kenya, Ulikimbia nchi Rais Samia amekurejesha kwa Amani na umepata utetezi was Fatma Karume. Jitathmini kuwa MZNZ hawana Shida n'a mtu.
@PoulFred
@PoulFred 5 месяцев назад
Shida ni kasoro za Muungano bro sijuwi unamuelewa vizur lisu wew
@ahmedmohammed5324
@ahmedmohammed5324 4 месяца назад
Lissu anasahau kuwa Wazanzbari wote ni Watanzania kwa mujibu wa Katiba
@evansmagungu6305
@evansmagungu6305 4 месяца назад
Ni kweli kabisa wazanzibari wote ni watanzania ila sio watanzania wote ni wazanzibari, kwa asilimia 100% makubaliana na lisu sisi wabara tunataka Tanganyika yetu yenye mamlaka kamili (raisi wetu,katiba yetu,bunge letu na ardhi yetu iwe yetu pekee yetu) hatutaki huo ujinga wa muungano usio na faida kwa wabara.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 5 месяцев назад
Haya mambo yataisha tukishavunja muungano
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 5 месяцев назад
Kweli kabisa, mimi siutaki huu muungano wa mchongo
@BegaMakenge
@BegaMakenge 4 месяца назад
Waambie ukweli
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 5 месяцев назад
Tundu lissu.the super guru
@nassrabarwani1548
@nassrabarwani1548 5 месяцев назад
Tatizo Muungano wetu urekebishwe kwa kuona kero zisuluhishwe kwa maslahi ya Watanzania
@jumarajab2754
@jumarajab2754 5 месяцев назад
Huyu jamaa Halifai kuishi Tanzania ni mchochezi wa kutupa anawadanganya watu
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 5 месяцев назад
Anakudanganya wewe usie na Uwezo wakuelewa, Si tunao mwelewa tuache, Mtu anasema ukweli unasema anawadamganya watu wakati anasema Ukweli!! Shidaako akili huna ndo maana unaona anawadanganya watu, ni vile tu hampendi wanavotufungua Akili
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 5 месяцев назад
Tulia wewe juma lokole
@KedymoundKulebaBoniphace
@KedymoundKulebaBoniphace 5 месяцев назад
Kipi kachochea. ama uelewa wako ni mdogo
@godsson5954
@godsson5954 5 месяцев назад
sawa lokole
@AndrewChilua
@AndrewChilua 29 дней назад
Ukweli Fatuma kalume ni mtuwetu kabisa
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 5 месяцев назад
Kwan Tanaganyik imewafanyi mangapi zanzibar mbona munawachagulia mpka Raisi mbona hamunaweka mpka leo acount ya muungano inayosaidia Zanzibar mbona mpka hii leo hamujaipa zanzibar mamlaka yake yakujitawala wenyewe mumekaa kinyaa hamusemi chochote
@maonezinyagalu9393
@maonezinyagalu9393 5 месяцев назад
😂 waulize ccm
@IsayaMedot
@IsayaMedot 5 месяцев назад
✌️✌️✌️🙏🙏🙏
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 5 месяцев назад
Siasa hizo kwa karne hii its totally failure.. jamaa yupo vzr sn, ila anaongozwa na jazba na mihemko na sio busara.
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 5 месяцев назад
Yaani unaoneshwa jambo muhimu wewe ni zuzu kweli usiejitambua harafu unakubali nchi yako inatolewa sadaka harafu unajifyatua ubongo. Shenzi sana wewe.
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 5 месяцев назад
Anajibu alichotuhumiwa, ndo maana mapema amekwambia anafafanua kile alichotuhumiwa nacho, Kwahio tulia ufafanuliwe alichotuhumiwa usichukie kuambiwa Ukweli
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 5 месяцев назад
@@geraldgedi4657 ata kiswahili hujui kuandika, Sasa zuzu ni Mimi au ww.. achana na siasa ingia darasani ukasome kwanza
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 5 месяцев назад
@@TegemeaFutemakatifu sawa me sijakataa, ila kama chadema Ina lengo la kuja kuchukua serikali nchi hii, inabidi watumie busara kubwa na sio mihemko, ubabe na kebehi havitawasaidia zaidi ya kupata hasara na kupoteza mvuto Kwa wananchi.. matokeo ya watakachokipita ni hasara, watawekwa ndani, wapigwe au kuuliwa kama ilivyokua ikifanywa na mwenda zake, au watafungiwa mikutano ya hadhara wasipate tena nafasi ya kupayuka... Na muheshim sn Mboe ana siasa za kiungwana sn, sio huyu msomi aliezidiwa na elimu yake na kulosa busara za kutatua shida zinazimzunguka.. anahisi shida hutatuliwa Kwa kebehi, ubabe na majivuno.. angekua mwalimu nyere au Mandela walitumia namna hio ya ukombozi historia ya Tanzania na SA ingeandikwa vyengine hii leo
@ZuenaSharifu
@ZuenaSharifu 4 месяца назад
Zanzibar ni Dola kubwa Africa lazima makao makuu ya Tanganyika yawe Zanzibar na tutapandisha bendera ya Zanzibar hadi uko kwenu
@MM-oe2eo
@MM-oe2eo 5 месяцев назад
Huyu jamaa ana akili sana, basi tu ngozi nyeusi ina laana alipaswa awe sehemu ya system.
@patrickkalimoja5478
@patrickkalimoja5478 5 месяцев назад
Tundu Lissu ni level nyingine sana usimvamie kichwa kichwa utaangukia pua.
@RamadhanMohamed-jz6xm
@RamadhanMohamed-jz6xm 5 месяцев назад
Huu ndo ujinga tunaukataa wazanzibar nyinyi mliunganisha idadi ya watu au mliunganisha nchi ndo maana tunasema watu waulizwe
@HassanHassan-sr3fq
@HassanHassan-sr3fq 5 месяцев назад
Watanganyika wameyataka wenyewe
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz 5 месяцев назад
Tundu Lisu ameuza nini Samia je nyinyi Watanganyika mumewafanyia nini Wazanzibar jitathmini Nyinyi Kwanza ndio mumseme Samia Mbona Zanzibar mumeiuwa Nyinyi Watanganyika Wazanzibar wamenyamaza Nyinyi mukiguswa munaumia siku zote mumetutawala Wazanzibar miaka 60 lakini hamusemi Kwanza Tanganyika hamuna Bahari iweje muwe na Bandari
@vuaimuhidin5250
@vuaimuhidin5250 5 месяцев назад
Wewe lisu naona unazeeka vibaya
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 5 месяцев назад
Jibu hoja zake kwa vielelezo. Acha kuandika upumbavu.
@godsson5954
@godsson5954 5 месяцев назад
ww mbona unazeeka kwa shemej yako😂😂
@vuaimuhidin5250
@vuaimuhidin5250 5 месяцев назад
@@godsson5954 huwa sipendi kubishana na watu wasiojielewa ,hivi Hilo Jina lako tu laana tosha sishangae matendo yako
@assayusuph3295
@assayusuph3295 5 месяцев назад
Safi sana❤
@chezariboy
@chezariboy 5 месяцев назад
Safi sana,, wajinga ndo hawaelewi siku zote,, lisu safi sana mkuu.
@SimbaM2kufu
@SimbaM2kufu 4 месяца назад
Mimi ni mwana CCM damu, lakini hapa nakubaliana na Lisu.
@allymwinyi970
@allymwinyi970 5 месяцев назад
Acha maneno ya ubaguzi na kupandikiza chuki miongoni mwa Watanzania. Huna ajenda za kuzungumza hadi agenda hizo za Muungano? Mwache mama afanye kazi. Una ubaguzi mwingi moyoni mwako.
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 5 месяцев назад
Akili huna, wewe, Yani mtu anaposema Ukweli Mnamwita Mbaguzi? Acheni akili visoda izo
@athumankaswaga605
@athumankaswaga605 5 месяцев назад
Jibu hoja acha longolongo
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 5 месяцев назад
jibu hoja wewe ..sio kukurupuka tuu..we huelewi huo ufafanuz au had diploma
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 5 месяцев назад
Sio ubaguzi anachoongea ni ukweli mtupu na wala sio ubaguzi, ila sishangai sababu ukweli siku zote huwa unapingwa
@AidarySaid
@AidarySaid 4 месяца назад
Huo ni ubaguzi kwani mkapa aliuza viwanda alikua mzanzibar acha kupotosha watu
@ZaituniMassawe
@ZaituniMassawe 5 месяцев назад
Swali kwa tundu. Muungano ungekuwa unawapendelea wazanzinar, na hao wazanzinar wanataka kujiunga na OIC kwanini watanganyika tinawakatalia?
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 5 месяцев назад
Wanakataliwa na watawala wa ccm wa Zanzibar na Tanganyika na syo raia wa kawaida.Raia wengi wa kawaida hawaoni umuhimu wa Muungano
@VictorJoseph-e4m
@VictorJoseph-e4m 5 месяцев назад
Sio watanganyika wanaowakatalia Ni huko huko ktk ccm yako😂
@amourmzeeali8464
@amourmzeeali8464 5 месяцев назад
Wazanzibar hatunufaiki na muungano rabda ulizi tu kiukweli mungu akajalia sku moja muungano uvunjike ili zanzibar upunzike kero 😢
Далее
HA-HA-HA-HA 👫 #countryhumans
00:15
Просмотров 4,6 млн
Blue vs Green Emoji Eating Challenge
00:33
Просмотров 2,3 млн
Kamanda Muliro: 'Sisi Polisi Ndiyo Tuliyomuokoa Sativa'
11:51
HA-HA-HA-HA 👫 #countryhumans
00:15
Просмотров 4,6 млн