March 2024 wali wautia ndimu hayo ni mapishi gani? Walai kakosa hamu kakutimua nyumbani.....more fireeeee... @likeness Electrical and Car decorations. King'orani Mombasa.
Tunaoishi mbali na nyumbani tujuane apa ambao tumemisi ladha tamu kama hizi..Allah awajalie kheri wazazi wetu na maisha marefu tuje onana tena inshaallah ❤
2024 still i love the song and its melodic play that creates an ambient atmosphere in the house on a weekend. Good work to the artist. Hapo kwa "wasela wa vijiweni nafuu wajipatia, uroda kwa foleni" ndio climax yangu kwa hii ngoma.
Dah Nlkuwa Nakimbia hata Chakula kwenye Vigodolo Dsm Ukonga Momba Moshi relini. Hiyo 2006,2007,2008,2009 Leo 2024,April 18 saa Tano na Dkk 23 Asubuhi nachek hili dude old is gold
Wow hongera sana hii song nilitafuta muda mrefu full video hata nilidhan hakuna iko tu nusu nusu haki naipenda hii song imetulia sana big up sana sister 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Kapenda yangu nidhamu na utulivu nyumbani, pamoja na ukarimu wa ndugu na majirani, ucheshi na tabasamu kanijalia maanani!! nimepewa lugha tamu nyoka hutoka pangoni..sifa hizi Ni Muhimu na mengimengi...... Ukirudi ubet wa kwanza Sasa pale song linapoanzaa, ni fireeeeeee Ufisadi,jeuri, ngebe na nongwaa, ukaidii, vituko vya makusudii Big up to the Artist...
2021 I am still here💃💃💃💃💃💃💃me being a gal from bara who works in coast heard this song in my neighbours house..been looking for it like crazy🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗the message wuuueh👌👌👌👌💃
Wowooo my first time listening to this masterpiece was in tawqik bus from Kampala to Mombasa it was so relaxing since then I love tarab music I wish to marry from the coast
Reminds me of this hotel we used to take lunch while in Primary school. The owner was an Arabic woman. I heard this very many times there . Chapati surwa na pilipili ya kupikwa
Respect to you guys who love TARABU I'm listening this song which from my homeland Zanzibar where singers are originally from Welcome to Zanzibar I'm going take you to a Night Club called Bwawani where you can have a dance
I was a boy when this masterpiece was dropped, I remember it was a very big hit..I could not understand the lyrics by then but now (As a husband)😅😅😅😅...I understand why ladies loved this song haha haha haha. A quick translation of the chorus: To you, he could not hold on; To me, He just made a home, and now the man is relaxed, He is fed up with your dramas!; To him, you won't get a chance...I'm his Air now A very artistic way of hiding the words, when I was a boy I could not understand this at all, now as an adult everything is clear! The difference between old-time artists with these idiots right now. 😅😅😅😅
Ndugu zetu huko Zanzibar. Huku Congo tunapenda sana Taarab hizo zinatutoshaka majonzi machoni. Tunawaomba muwe mnatafsiri maneno ilitupate kusikiya maana ya nyimbo yaani sisi huku kiswahili chetu kinachanganyika na French. Merci, bonjour.
Hii nyimbo ilifanya mapinduzi kwenye taarab kama hutaki utajijuu.. 😂😂👏🏾👏🏾 July 2020 still proud of this song! Nimefurahi sana kuusikia wimbo wote maana nilikuwa napata vipande vipande.
My ex husband cheated and left me and my two kids for another woman,I went through hell trying to pick myself together today he is out here chasing me all over for reconciliation and wants me back with full of regrets for he can't stand what he left me for