Тёмный

TUTAONANA MAGUFULI - Peter Msechu 

Peter Msechu
Подписаться 45 тыс.
Просмотров 577 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 678   
@salhiyamuhsin331
@salhiyamuhsin331 Год назад
Nani anaisikiliza tena leo 2023 😢😢😢
@denosizee4000
@denosizee4000 3 года назад
Huu wimbo inaniweka machozi kweli kweli,mimi Mkenya 🇰🇪 lakini nilimpenda Magu kushinda viongozi wa kenya wafisadi
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Hata huku mafisadi wapo ila walikua wakimuogopa magu ila mungu yupo
@kaminambeho
@kaminambeho 3 года назад
R.I.P mwamba nakumiss leo nakusikiliza tena mwenyezi mungu akulaze mahali pemA peponi,mkombozi leo tumejua unafiki wa viongozi wetu tanzania R.I.P umefanya vitu ambavyo maraisi wa nne nyuma yako wameshindwa mwamba tangulia cc bado tupo na ww mwamba R.I.P chuma reli ya kati imejengwa na mjerumani zaidi ya miaka 100 umekuja kujenga ww dah mungu fundi kweli R.I.P MWAMBA,CHUMA KUTOKA CHATO
@Elimunamalezi
@Elimunamalezi 3 года назад
msechu peter umetufanya na sisi tuliopo mbali kujiona tupo chato kumzika mzee,bonge la wimbo hili
@teachertomnzau
@teachertomnzau 3 года назад
It's hurting guys...mazee hii nyimbo imenigusa Kati ya zote.aki barikiwa Sana na poleni Sana ndugu zetu watanzania na East Africa and entire Arica continent.aki naumia😭😭
@angelbenjamin7326
@angelbenjamin7326 3 года назад
Dah! Nikisikiliza huu wimbo, mwili unasisimka na vipele vya baridi vinatoka na machozi mengi, Mungu akupe pumziko la milele. Best song
@shanielsimon7425
@shanielsimon7425 2 года назад
Mm machinga IL magu ni binadam mwenyew heri dunian na mbinguni
@zzarozaro5025
@zzarozaro5025 6 месяцев назад
Goosebumps... ndo nnavojiskia hapa 😭😭
@edwinjohn6334
@edwinjohn6334 3 года назад
Respect msechu unajua kaka hii ndio ngoma ya kusiliza like zenu wapendwa
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 года назад
Umeusifia ili uombe like😭
@innocentkitundu6637
@innocentkitundu6637 3 года назад
Dah asee Msechu umeniliza sana kwa nyimbo zako! Hakika Chuma kimelala ni ngumu kuamini kwakweli! Dah Magufuli kweli???? Dah haya bhana
@hitlerpardon9308
@hitlerpardon9308 3 года назад
Mimi ndguu ynguu numelia sanaa yanii
@mbarakaomari8430
@mbarakaomari8430 3 года назад
Atamie nimeukubali sana
@alphoncekagoshi941
@alphoncekagoshi941 3 года назад
Sikuwahi waza hii siku ningeishuhudia,Mungu? Asante kwa yote Magufuri,Mungu asante kumuumba Magufuri, nimeliq toka juzi.
@rashidhiba9099
@rashidhiba9099 3 года назад
Unanzaje kudislike wimbo kama huu??? Why cant we appriciate the best like this???? This is why we cry after its gone😢😢😢😢
@rachaelkazimili4092
@rachaelkazimili4092 3 года назад
For sure
@khanniebaraka1515
@khanniebaraka1515 3 года назад
Aki jamn
@marthadaudi2909
@marthadaudi2909 3 года назад
Wengine hiyo button hata hawaelewi ina maana gan wanabonyeza tuu😟
@erickaloyce3303
@erickaloyce3303 3 года назад
Huu ndio wimbo bora wa maombolezo kuliko zngne zote gonga like Kama umeukubali
@marikwilliam9886
@marikwilliam9886 7 месяцев назад
Umeanza unaaaa....
@humblegirltz116
@humblegirltz116 3 года назад
😭salute kwakö brother Salute mno kwa nyimbo hii bora Kbsa 😭😭rest in peace sir magufuli 😭😭
@gressjohn3754
@gressjohn3754 3 года назад
Sina hata la kusema kweli ulijitolea maisha yako kwa ajili ya watanzania wanyonge cna baya kwako
@rashidhiba9099
@rashidhiba9099 3 года назад
The most and only emotional song for our late president Hon John Pombe Magufuli sleep well now we regret loosing you😢😢😢😥😥
@charleslumumba1024
@charleslumumba1024 3 года назад
Lala salama Magufuli. Ulikua kiongozi / shujaa bora tuliyemtamani toka Kenya🇰🇪... Pole zangu kwa majirani, Mola awafariji katika wakati huu mgumu.
@johnkimune8348
@johnkimune8348 3 года назад
asante bro lumumba
@natasha7969
@natasha7969 3 года назад
Ahsante 🙏🏾
@charleslumumba1024
@charleslumumba1024 3 года назад
@@johnkimune8348 Karibu sana kaka..
@charleslumumba1024
@charleslumumba1024 3 года назад
@@natasha7969 🙏 Karibu sana
@MrIsale
@MrIsale 3 года назад
Asante sana kaka na ndugu yetu Lumumba
@hawashaban3500
@hawashaban3500 3 года назад
Kwakweli, mama Janeth pole yake. Ahsante Msechu kwa wimbo bora wa maimbolezo ya mpendwa wetu
@MurakaZaneza
@MurakaZaneza 3 года назад
😢💔 Rest in power Magufuli. Much love from Belgium. We stand with our Tanzanian brothers and sisters. ✊🏾
@nasraissa3937
@nasraissa3937 3 года назад
Jamaa ameimba Sana nduguyangu mungu amuifazi magufuli atoweza tokea mtetezi wakweli
@hafidhali815
@hafidhali815 3 года назад
Assalam Alykum warahmatullah wabarakatu
@aliceainnocent1736
@aliceainnocent1736 3 года назад
Aise inauma sana ukikumbuka
@fatumabaraka8496
@fatumabaraka8496 3 года назад
Yaani hii nyimbo inaendana na huzuni tuliyonayo jaman sifuatiliag nyimbo ila hii imenigusa😭😭 Magufuli rais wetu wanyonge
@masoudkalinga4652
@masoudkalinga4652 3 года назад
Huu wimbo wa msechu umenigusa sana
@derickcyprian1514
@derickcyprian1514 3 года назад
Dah this song hurt me so much bt no way rest in peace our president I'll remember you all time
@lyrics_forum
@lyrics_forum 3 года назад
Wewe ndo Umeimba wimbo wenye Hisia kuhusu msiba huu, sio wale kina Fulan wanafokafoka tu studio, huu wimbo utatumika kama Kumbukumbu Milele. Asante Peter Msechu, Ila Nakusihi pia punguza Kiwango cha Lami Mwilini.
@magrethcostantine9223
@magrethcostantine9223 Год назад
Wimbo umenigusa Sana kwa kumbukizi ya baba yetu magufuli mchapa kazi mahiri, R.I.P MAGU PIMZIKA KWA AMANI.
@patrickmanirakiza9592
@patrickmanirakiza9592 3 года назад
Wimbo huu Pia unazidi kufanya machozi yamiminike, asante sana Msechu. Daima tupo na Mama Jeanette
@shanielsimon7425
@shanielsimon7425 2 года назад
Kwel
@researchwilson4473
@researchwilson4473 3 года назад
Tutampata wapi Magufuli mwingine Afrika hii? Rest well sir!
@djbobnas7824
@djbobnas7824 3 года назад
Wimbo pekee wa Maombolezo ulionigusa..Barikiwa kaka Msechu🙏
@isayamarckoamagicharo4268
@isayamarckoamagicharo4268 3 года назад
Upo sahihi ulivyosema kaka
@seniorbonchance6404
@seniorbonchance6404 3 года назад
Who sang the original song??
@djbobnas7824
@djbobnas7824 3 года назад
@@seniorbonchance6404 Prospa Ochimana - Ekwueme
@francisnjuguna57
@francisnjuguna57 3 года назад
Hakika nyimbo nzuri
@williamngalla1068
@williamngalla1068 3 года назад
Hata mimi nimeumia Sana ... Mungu wetu tunaomba umusamehe mazambi yake Raisi wetu jamni Roho inauma sana ... Yale ya unanijua mimi mi Nani yanarudi tena Dahaa
@yohanamteleke2324
@yohanamteleke2324 3 года назад
Hongera kwa wasanii wote mlioshiriki kutunga nyimbo za maombolezo ila niwe mkweli tu huu ndio wimbo bora kutokana na Jinsi muimbaji alivyoimba kwa hisia na maneno yaliyo tamkwa.
@hatibuhaji8958
@hatibuhaji8958 3 года назад
Sahh kabisa
@elastoluoga7566
@elastoluoga7566 3 года назад
Anaweza
@cissestationary2047
@cissestationary2047 3 года назад
Tanzania tunalia sana kapumzike salama baba japo sikuamini kama umeenda lala baba japo bado tunakuhitaji ubarikiwe sana Msechu kwa wimbo wako
@wathuthisnyarcute
@wathuthisnyarcute 3 года назад
Can't stop crying,he was loved beyond boundaries! Kenyans we're mourning with our neighbour's Tanzanians! Rest in eternal peace his Excellency
@raphaelwegesa1664
@raphaelwegesa1664 3 года назад
Thank you
@boniventureedward704
@boniventureedward704 3 года назад
Thank you very much
@denosizee4000
@denosizee4000 3 года назад
I'm a Kenyan and anytime I watch or listen to this song, tears run down my chick as a helpless baby
@wathuthisnyarcute
@wathuthisnyarcute 3 года назад
@@denosizee4000 very touching 😢
@emmanuelkeynesbarasa1344
@emmanuelkeynesbarasa1344 Год назад
I don't know why but I always cry whenever this song is on air,even my wife and kids don't know why
@amirihassan4974
@amirihassan4974 3 года назад
We jamaa unajua sana, asante sana kwa nyimbo nzuri za kutufariji, kumshukuru na kumuombea mzee wetu
@emariusrush7704
@emariusrush7704 3 года назад
Mwenye wimbo huyu hapa prospa ochimana+++Wimbo ekwueme!!!
@muddyabdalah4664
@muddyabdalah4664 3 года назад
uko vzr san kij
@BaltazarMashama-h8q
@BaltazarMashama-h8q Месяц назад
nani anasikiliza hii2024
@kasambalive6599
@kasambalive6599 3 года назад
This one has brought tears in my eyes. Pumzika kwa Amani Jembe La Tanzania Dr. John Pombe Magufuli 🙏
@abrahammwamakulaonline600
@abrahammwamakulaonline600 3 года назад
Msechu umetufanya tuomboleze kwa nyimbo nzuri hakika Magufuli apumzike kwa amani 🙏🙏🙏🇹🇿
@matsonjoseph9437
@matsonjoseph9437 3 года назад
Uyu jamaa anajua sana piter msechu apa kazi tu ameimba vizuri nyimbo za magufuli
@faharimbilinyi5972
@faharimbilinyi5972 3 года назад
Kila jema lina mwisho wake tena mwisho wenye kuumiza wengi! R I P mzee wetu Magu!
@josephmateru8892
@josephmateru8892 3 года назад
Nyimbo yangu number 2 katika kipindi hichi cha maombolezo number 1 niwakwako pia umetuacha salama kazi nzuri mno kongole kwako msechu 💪💪💪💪💪👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@emariusrush7704
@emariusrush7704 3 года назад
Prospa ochimana-unaitwa ekwueme msechu kageuza maneno tu
@dennismalima5365
@dennismalima5365 3 года назад
Thanks bro msechu kwa this touching song... Very creative. Mungu ampokee mahala pema JPM TUTAZIDI KUMKUMBUKA DAIMA
@hawamazengo5807
@hawamazengo5807 3 года назад
Wimbo umetugusa wengi Sana🙏🙏🇹🇿😭💔
@mbesseonlinetv5389
@mbesseonlinetv5389 2 года назад
Mambooo
@kadirdhulfiqaar7820
@kadirdhulfiqaar7820 3 года назад
Wow you've an incredible talent sound ya mziki huu imetoka kule kwa prosper ochimana alieimba ekuweme
@christinamnyili627
@christinamnyili627 3 года назад
Kaka Msechu umeimba Sana Mungu akubariki kwa nyimbo nzuri hii nyimbo ikipigwa lazima nilie R.i.p baba Magufuli😭😭😭
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 года назад
Daaaa jamani🙆😭😭😭 yaani huu wimbo umenigusa .Pumzika kwa amani baba yetu kiukweli tulikupenda sana lkn Mungu kakupenda sana.Hongera sana msechu kwa wimbo mzuri hakika umejua kutunga 🙏
@justarmangashini7107
@justarmangashini7107 3 года назад
Kwa hari ya kawaida ya ni bora tusingemjua mtu anaeitwa magu ni machungu Sana nimesahau lakin haipiti cku mbili lazma nimkumbuke
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 года назад
@@justarmangashini7107 pole sana mpendwa yaani hata mm nikiona Picha zake anazozungumza yaani ni kilio kwangu hakika huyu baba hatutamsahau ktk maisha yetu ya hapa duniani. Mungu amlaze mahali pema peponi🙏
@malkiasepetu8615
@malkiasepetu8615 3 года назад
hii nyimbo iki Trend kwenye UTV na. TBC ....inatosha .... 😩😩😩so touching
@meshackmadema781
@meshackmadema781 3 года назад
JPM lala baba umefanya kazi kubwa sana, Asante kwa kuyatoa maisha yako kwaajiri ya Tanzania wewe ni shujaa wa Africa.
@amandah7240
@amandah7240 3 года назад
Tears can't stop flowing... It's painful... Pole.. RIP MR PRESIDENT
@thabitiajibu4404
@thabitiajibu4404 3 года назад
daaaahhh !!!! Inyimbo inazidi kutupa machungu zaidi maumivu makali
@TamuzaKale
@TamuzaKale 3 года назад
Msechu, you have a powerful voice. Very emotional! Wewe sio kiumbe wa kawaida. Wenzako wameimbaimba tu. Hii sio level yao. Ni hatari sana. Hongera sana kaka!
@vickieeddie2230
@vickieeddie2230 3 года назад
Jamani magufuli mbona mi sijawaza kama kuna siku nitaumia hivi umetuumiza magufuli tunalia tunaumia kwaheri baba😭💔💔🇹🇿🙏🏻
@esterdoriye4304
@esterdoriye4304 3 года назад
Wimbo umetulia sana ,wabongo tubadilike tupende vitu bora
@leonardalfred7473
@leonardalfred7473 3 года назад
Kweli kabisa nakumbuka hata uwanja wa uhuru MC aliuomba urudiwe mara nyingi kwenye maombolezo dar uhuru nashangaa minyimbo mingine wameimba wengi lakini haina hata mashiko ya kufariji wala kuleta hisia za kumukumbuka shujaa wetu msechu ametisha sana
@amazingtvshow3240
@amazingtvshow3240 3 года назад
Sana broo
@hassankiffu2706
@hassankiffu2706 3 года назад
hapa msechu hajapata mpinzani kabisa
@reubenmsuya899
@reubenmsuya899 3 года назад
Msechu hongere mpare mwenzangu umejua kuimba vizuri
@emariusrush7704
@emariusrush7704 3 года назад
@@reubenmsuya899 huu wimbo ni wa prospa ochimana wa nigeria,msechu kageuza maneno tu!!
@SalmaLuhulo
@SalmaLuhulo 14 дней назад
Baada ya kumpoteza dida nikaukumbuka huu wimboo😢😢😢😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
@glorycharles3599
@glorycharles3599 3 года назад
Magufuli tunakulilia Sana 😭😭😭 pia ,Kaka una sana kipaji Kama bado kuokoka Uokoke tuu na Yesu akutumie Sana. Una kipaji kizuri nimeogopa.
@Remedyandbeautyy
@Remedyandbeautyy 3 года назад
Huu wimbo ni mzuri sana aiseee, unaumiza roho pia napenda kuusikia muda wote Umeimba kwa hisia sana, hongera Msechu
@hajihussein1515
@hajihussein1515 3 года назад
Its beautiful emotional songs for alls tme.thanx Peter msechu you best vocalist..with out forget R.I.P. shujaa wetu wa Africa John Makufuli in our heart forever....
@emariusrush7704
@emariusrush7704 3 года назад
Wimbo wa prospa ochimana -unaitwa ekwueme( msechu kageuza maneno tu!!)
@josephmatokeo6109
@josephmatokeo6109 3 года назад
Wimbo mzr San msanii alieimba mung amzidishie maarifaaa
@josephmatokeo6109
@josephmatokeo6109 3 года назад
@@emariusrush7704 Kwan ni kosa au
@severnymlowe2699
@severnymlowe2699 3 года назад
Angalia kazi nyingine hii Hapa uwezo anao Sana ilaustumie Mtipule ukitumia Mtipule wilemwauhuwimba Hangi unguluviahulindage Vela msechu
@kyusaboy4759
@kyusaboy4759 3 года назад
bro peter hii nyimbo umeimba kila nikisikiliza huzuni na mkumbuka JPM we are rost a true son of Africa panafricalist leader 😭😭😭 rest in Paradise our beloved president
@aishabashiri1626
@aishabashiri1626 Год назад
Duh😭😭😭😭😭
@ajaysomani2577
@ajaysomani2577 3 года назад
lost the Hero and Patriotic son of our Country. Baba Babs pumzika upeponi na uendelee kutubariki kwa neema zako. Ameen.
@nayoomisweya6890
@nayoomisweya6890 3 года назад
BEST SONG SO FAR MSECHU CONGRATULATIONS..... R. I. P OUR GREAT PRESIDENT
@thatweirdo0815
@thatweirdo0815 3 года назад
Very painful and this loss is a tough one to take, especially when listening to powerful tribute songs by you.. May our lovely president rest in heaven Amen..
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 3 года назад
Daa nyimbo inaniliza Pumzika kwa amani bb daima TUTAKUKUMBUKA hongera Msechu kwa nyimbo nzuli
@pakajizi8127
@pakajizi8127 3 года назад
Shukrani Peter Msechu, wimbo wako huu mzuri wa maombelezo umenifanya niupate wimbo niliokuwa nautafuta muda mrefu bila mafanikio mpaka nikakata tamaa, unaitwa Ekwueme, umeimbwa na Prospa Ochimana.
@justarmangashini7107
@justarmangashini7107 3 года назад
Na ukisikilza huu wimbo lazma utalia kwa magu ulikuja half ukatuacha
@michaelelias5042
@michaelelias5042 2 года назад
Polen sana
@rajabukhalfan3026
@rajabukhalfan3026 3 года назад
For my opinion.. This Song deserves to be the best JPM's mourning Song.. it's content and sound are very sensitive 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Goodbye our Hero Go our Really Patriot.
@yasinndalu53
@yasinndalu53 3 года назад
Daah huu wimbo unataka kuniliza asee pumzika kwa amani jpm zawadi yetu tuliyo pewa na mungu
@mariarwego2776
@mariarwego2776 3 года назад
Jamani wimbo unaliza... Kifo ni siri kubwa kwetu ambayo Mungu kaiweka
@milkasilali9347
@milkasilali9347 3 года назад
Like your the living lord, Peter msechu. Nice song. Rest in peace magufuli. Tulikupenda pia kenya
@rachaelkazimili4092
@rachaelkazimili4092 3 года назад
Yaan we acha tu
@yasminemuhihi9164
@yasminemuhihi9164 3 года назад
Hongera sana Msechu kwa utunzi wako yaaani nyimbo zako zote ziko💪 yaani zinafariji mno
@mkonongo_og
@mkonongo_og 3 года назад
Ni wimbo pekee unaogusa kila nafsi ingali Hai, R.I.P baba Magufuli mwanga wa milele umuangazie..Ameen
@faudhiamallata3074
@faudhiamallata3074 3 года назад
😭😭😷😷 msechu huu wimbo ni bora sanaa apumzike salama baba etu nimelia hadi naumwa jmn
@martinlumba482
@martinlumba482 3 года назад
Dah, , msechu huu wimbo ulitulia, , unagusa sana moyo, , nenda chuma, , nenda rais wangu
@shukurujuma-t8k
@shukurujuma-t8k 7 месяцев назад
Kaka msechu wimbo wako umeweka kumbukumbu tosha katka nchi yetu daima tutamkumbuka sana rais wetu kupitia wimbo wako kaka msechu
@tabikanini2920
@tabikanini2920 3 года назад
Oh rest in peace magufuli . Please naomba unitungie nyimbo nimepoteza my brother Jonathan anazikwa Tuesday
@maggymaggy9825
@maggymaggy9825 3 года назад
Ekwueme tune... Done it well rip Magufuli
@winfridapeter969
@winfridapeter969 3 года назад
Uwanjani nyimbo ilonifanya nimlilie magu ni huu😭😭😭,pole msechu kwa kuomboleza ,pigo halielezeki🙏🙏🙏🙏
@elishajohnson3585
@elishajohnson3585 3 года назад
R.I.p jembe Mungu mpumzishe kwa amani Rais wetu mpendwa
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 3 года назад
Aisee kazi nzuri sana. Dah inauma sana RIP THE SON OF AFRIKA JPM
@emmanuelmelchior1802
@emmanuelmelchior1802 3 года назад
Barikiwa Msechu kwa wimbo bora wa kumuomboleza Rais wetu, Rest In Eternal Peace Mr President
@wakahama3814
@wakahama3814 3 года назад
Hakuna nyimbo yeyote itayoifikia hii kwa maombolezo ya mzee magu ..msefu goood music hakuna Cha all star Wala Nani hii ndo nyimbo ya maombolezo
@williamnyongesa2049
@williamnyongesa2049 2 года назад
Katika uongozi WA Africa sijawahi ona rais mwenye utu Kama magufuli sijawahi ona rais mwenye roho ya utu Kama Baba magufuli laiti mungu angekurejesha pumzika Kwa amani Baba magufuli
@zainabwafula5503
@zainabwafula5503 3 года назад
Msechu ameimba n hisia sana n majonzii,mungu mpokee kwa mikono miwili magufuli, uilaze roho yake mahali pema,🤲💔😭🤲
@neemanyasulu2603
@neemanyasulu2603 3 года назад
Resp in Peace Mr President Magufuli,this song is very emotional 😢
@smartboy-cd3qn
@smartboy-cd3qn 3 года назад
Jamaa unaimba from home kg
@agnessmtawa8489
@agnessmtawa8489 2 года назад
Mungu wew n mkalimu umechukua shujaa wetu, mlaze pema baba, amefanya mengi kwa watu wa Rika zote, Hali zote na rangi zote, uongozi wako baba umetvsha toka hatua moja kwenda nyingne🙏🙏🙏,nina kilio kikuu moyoni mwangu baba magufuli ctachoka kkuombea na kukuenz jembe letu la Tanzania ,kazi yako Mungu Haina makosa, why watu wema hawadumu😭😭😭😭😭
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 года назад
Mbele Yake nyuma yetu MW/MUNGU amlaze mahali pema peponi 🙏😭🇹🇿💔
@magrethstanl5891
@magrethstanl5891 3 года назад
R I P magufuri huku Tanzania tunateseka Sana kuhu chanjo ulizo kuwa unazipinga wenzio wamezileta fufuka baba urudi ikuluuu jaman uuuuwiiiii8
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 3 года назад
Why this song OMG 😭😭ee mungu wewee mkaliii umechukuua shujaaa bas mpokee magu alale pema babaa...... oh God I caaan't 😭😭
@emariusrush7704
@emariusrush7704 3 года назад
Prospa ochimana---song ekwueme
@gladymsuya1310
@gladymsuya1310 3 года назад
hii nyimbo n nzur sna na inagusa sana kuliko😭😭😭🙌🙌
@leylaally5707
@leylaally5707 2 года назад
Maumivu ayaishi mwenyez mungu akuepushie adhabu ya kaburi baba etu kipenz changu wanyonge mtetez wetu mpenda khaki 😭😭😭🙏🏿🙏🏿
@severnymlowe2699
@severnymlowe2699 3 года назад
Kiukweri Wewe msechu unitafute nikuulize kitu mungu akupe uwezo zaidi unajua Sana king najua umeokoka Mwamba mungu akupe uwezo zaidi uspendi kujitangaza Kama wenzako wakitoa kawimbo wanakatangaza ingekuwa wanauwezo Kama huu bongo tungekoma Sasa mungu naye sio mtoto amewanyima
@kawawamamaya8543
@kawawamamaya8543 3 года назад
Unbelievable, 😢😢😢😢😢you will always be in my heart John Joseph Magufuli
@neemachiza6900
@neemachiza6900 3 года назад
Wallah nimemis maguful hii nyimbo hainitokagi kichwan nalia to Mimi
@mohamediomari1614
@mohamediomari1614 3 года назад
Naumia Sana, naona kuna kitu kinaniumizi ndani ya moyo wanguu. Ndoto mbaya sanaaa hii. Eeeh mungu tusimamie sisi watanzania 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@felixmbewa1909
@felixmbewa1909 3 года назад
Forever in our hearts Magufuli😥😥
@patrickmbogo7805
@patrickmbogo7805 3 года назад
Msechu sauti nzuri wimbo mzuri.RIP JPM
@burunamwita1207
@burunamwita1207 3 года назад
Msechu God bless you..you are a true legend..Magufuli alikuwa rais wetu Sisi wote wana East Africa..rest well sir
@bridgettjohn8233
@bridgettjohn8233 3 года назад
😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿jaman Mimi nalia mpaka mda huuu😭😭😭😭uwiiii maumivu moyo unataka kupasuka jaman😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@nammanjeanafi9002
@nammanjeanafi9002 3 года назад
Yaani NYIMBO Bora za maomboloze hatuzipi airtime kubwa kwenye hizi platform, halafu zisizo na touch yeyote ndio tunazipa airtime jamaniii. Tunakwama wapi wapendwa. Good msechu. 100% ya watanzania msiba huu umetuliza sana.ukimuona mtu Hana majonzi ujue anamatatizo.
@kareemmhuwile9794
@kareemmhuwile9794 3 года назад
Hakika ni wimbo pekee wa kuomboleza na uliobeba maudhui sahihi.. Pole Tanzania,Pole Taifa kwa ujumla..Mungu tuangalie kwa jicho la pili kuweza vuka vihunzi mbeleni. Asante kaka Msechu. Mungu ibariki Tanzania na Africa kwa ujumla. Mungu bariki kazi ya JPM na endelea kumbariki mama yetu Samia Suluhu Hassan na Jopo lake zima kuweza kutufikisha.. Allah Bless us all
@hassanimshana61
@hassanimshana61 3 года назад
Hakika sitamsahau rais wetu hatari Magufuli mungu muondolee dhambi zake kwani watoto wangu mpaka leo wanasoma bury mungu msamehe Rais huyo
@geequeen1116
@geequeen1116 3 года назад
Msechuuuuu😭😭😭umeamua kutuliza vizuri😭😭😭😭 Go legend 💔go Baba Mr President 💔💔 the heaven has received a new angel😭😭Glory be to God who created such a wonderful leader🙏🙏cheers Mr President 🥂🥂we gonna miss you💔😭😭
@mariamndomba3063
@mariamndomba3063 3 года назад
Hapa mbz ilikuwa Kama nyumban kwako pumzika magufuli salama Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie Apumzike kwa Amani Amin🙏
@OverdozClassic
@OverdozClassic 3 года назад
Bro ulitupa moyo na ya kwanza na saii unatuliza😭😭😭 Inna lillahi wa Inna ilaihi raaj un 😭😭😭...
@hapymachiussweetbert1844
@hapymachiussweetbert1844 7 месяцев назад
2024 nimekuta namkumbuka sana mpendwa wetu hakika sote njia ni Moja lakini Magufuri pumzika kwa amani 🕊️💔😭😭
@asukilekipamila72
@asukilekipamila72 3 года назад
God blessed Peter Msechu with angelic vocals. wow.
@franciswima8334
@franciswima8334 2 года назад
Ulisema tutakukumbuka nikweli mzee kila kitu bei juu watu wanyonge tunaumia sana mungu akulaze mahali pema peponi mungu ndio ajue yote yanayo endelea hapa nchin tanzania
@monicasamwel3445
@monicasamwel3445 3 года назад
Leo tunalia tena magufuli 😭😭😭😭 nani wa kutupenda tena masikini Mungu itazame tena Tanzania na watu wake utufute machozi haya
@raphaelwambura3155
@raphaelwambura3155 3 года назад
Da!!! Noma sana kinachoendelea mpka leo siamin kbs kama namwona Mzee magu akitoa hutuba kwa namna anavopokelewa akiwa hupo tayal ktk jeneza .R.I.P faza
@allysele4265
@allysele4265 3 года назад
Msechu upo vizuri wimbo una hisia kali. Nimesikiza baadhi ya ya nyimbo ila hii ipo vizuri
Далее
I get on the horse's nerves 😁 #shorts
00:12
Просмотров 2,9 млн
Только ЕМУ это удалось
01:00
Просмотров 455 тыс.
UMETUACHA IMARA - Peter Msechu
2:18
Просмотров 336 тыс.
UMETUACHA IMARA (Official Video) - Peter Msechu
2:20
Просмотров 712 тыс.
PUMZIKA SALAMA LOWASA- Peter Msechu
3:06
Просмотров 32 тыс.
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Rayvanny kifo (Magufuli)
3:56
Просмотров 4,5 млн
I get on the horse's nerves 😁 #shorts
00:12
Просмотров 2,9 млн