Broo big up xanaa nakufatilia xanaa Toka zenj naamin unakitu kikubwa na hutak kuwa mbinafsi hongera Sanaa mung akupe maisha marefu Sanaa kwa ubunifu wako mana unatupa darasa vijana unaweza ukaja kupata msanii mkubwa kupitia hii elimu unayotupa🙏🙏
Asant San bro umenhelp pakubw San kwsab nlkua nahangaika jins ya ktengenez saut kuendan na bit kuimb najua ila shda ilkua n jins ya kuanz so big up bro