Тёмный
No video :(

Namna nzuri ya kununua vifaa vya studio ya Muziki kwa wenye barget ndogo 

Tweaking Tricks
Подписаться 465
Просмотров 4,3 тыс.
50% 1

Unapoanza kujishughurisha na sanaa ya muziki na uchakataji wa sauti.... Namna nzuri ya kununua vifaa vya studio ya Muziki huwa inakuwa changamoto hasa kama una badget ambayo haiwezi kukidhi uhitaji wote kwa mara moja hivyo kujikuta ukinunua vifaaa kimoja baada ya kingine. kwenye video hii nimekusaidia namna rahisi ya kufanya maamuzi ya kipi unaweza nunua kwanza kabla ya kingine ili uweze kuanza safari yako ya sanaa ya muziuiki wa namna hiliyo nzuri... ungana nami kuitazama video hii

Опубликовано:

 

25 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@sirinenerenatho-qn3vx
@sirinenerenatho-qn3vx Месяц назад
Habari , kaka naomba mawasiliano yako. Kuna vitu nahitaji kuvifahamu
@DrMbonea
@DrMbonea 5 месяцев назад
Unajua kujieleza ukaeleweka Bro big up
@mosessolo7387
@mosessolo7387 3 месяца назад
Asnte nimekuelewa Sana kiongozi
@MaburaNehemia-mp1jw
@MaburaNehemia-mp1jw 4 месяца назад
Safi sana mkuu
@mwalimusalanga
@mwalimusalanga 4 месяца назад
Maelekezo mazuri uko vizuri hongera sana
@jamesmuseku2972
@jamesmuseku2972 11 дней назад
Asante..Tafadhali nielezee type nzuri ya computer.
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 10 дней назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-d92rpdbDgPI.html check hii video na uniambie kama bado utakuwa unahitaji msaada
@feimaker08
@feimaker08 Месяц назад
Bro napenda san mambo ya Production Unaweza ukanifunza mimi nikawa mwanafunzi wako Napenda sana kuwa Producer
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 29 дней назад
@@feimaker08 karibu kijana.....unapatikana wap
@feimaker08
@feimaker08 29 дней назад
@@tweakingtricks1087 me ni mkazi wa Dar es salaam, Gongo la mboto
@feimaker08
@feimaker08 29 дней назад
@@tweakingtricks1087 sijui wew bro upo pande Gani Naitaji San bro kuwa Producer mkali San na nina Nia san
@feimaker08
@feimaker08 20 дней назад
@@tweakingtricks1087 kaka mamb vip
@christopherernest2316
@christopherernest2316 5 месяцев назад
Hongera kaka kwa maelezo mazuri yanayoeleweka kabisa 💯/, mimi nina swali kidogo je ili upate vifaa vya kuanzia unatakiwa uwe na kiasi gani cha fedha ambayo utaweza kupata vifaa ambavyo vinahitajika hatua ya mwanzo ya vifaa,,?
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 5 месяцев назад
kwa vitu ambavyo ni vipya kabisa ukitaka kuwa na vyote nilivyovitaja hapo KWENYE VIDEO kasoro chumba tu .... walau uanzie na 4M..... KWA STANDARD STUDIO KIT..... UNAWEZA PATA CHINI YA HAPO KAMA UNATAKA KUNUNUA VITU USED (2.5 - 3M)
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 3 месяца назад
Me nimejifunza kupiga beat saiv nataka nikimaliza chuo nifungue studio ya kurecord. Kwangu imekua rahis sana kujifunza na kufanya hii kitu. Napiga beat balaa kwa fl pamoja na kwamba pc imekatika screen but nimekua adicted wa kupiga beat. Napenda afro beat na hip hop…. Kama za metro booming 🔥🔥🔥
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 3 месяца назад
Habari njema hii... keep your focus....na zaidi ya hapo ni historia kuandikwa tu 👍👍
@kazibertfaustine3492
@kazibertfaustine3492 2 месяца назад
Gkdt😮 to get bbbbbbbnnj​@@tweakingtricks1087
@giftnoelimahenge7158
@giftnoelimahenge7158 Месяц назад
Mimi nimsanii natafta natafta mgonga beat niwe natumia baazi ya biti zake then tunaweka kama mkataba kwamba kazi zikianza kulipa tunaangalia tunalipana vp tunakuwa tunasaidiana you tube natumia jina la DINEO TZ
@feimaker08
@feimaker08 Месяц назад
Oyah niaje ofxa Daah mwanangu me napenda San kuwa Producer. Tunaweza tuka click nikapata maujuzi kidg kutoka kwak
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 5 месяцев назад
Mahadhi mbali mbali isipokuwa... singeli na taarabu
@gvanmiku9311
@gvanmiku9311 6 месяцев назад
Umetufunza sana kakaaa
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 6 месяцев назад
Nafurahi kusikia hivyo.... tuendelee kujifunza
@imuworldtz
@imuworldtz 6 месяцев назад
Nice Video.
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 6 месяцев назад
Many many thanks @imuworld
@mr.michaelHb3491
@mr.michaelHb3491 3 месяца назад
Lam iwe ngap mkuu
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 3 месяца назад
UNAWEZA TAZAMA HII HAPA NIMEZUNGUMZIA KIUNDANI ZAIDI ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-d92rpdbDgPI.html
@christianflorence9461
@christianflorence9461 5 месяцев назад
Muzik gani una produce bro
@user-uk5jr1lr1h
@user-uk5jr1lr1h 5 месяцев назад
Weka mawasiliano
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 5 месяцев назад
Kuna email address kwenye description box hapo lakini kuanzia video inayofwata ntakuwa na number kwenye video kabisa....Karibu👍
@MRWORDBNB
@MRWORDBNB 2 месяца назад
Unafundisha music production pia?
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 2 месяца назад
Yeah... Unapatikana mkoa gani ?
@MRWORDBNB
@MRWORDBNB 2 месяца назад
@@tweakingtricks1087 nipo Dar brother
@monstyleog6308
@monstyleog6308 2 месяца назад
​@@tweakingtricks1087 mim nipo Dsm
@MRWORDBNB
@MRWORDBNB 2 месяца назад
@@tweakingtricks1087 napatikana Dar kaka
@danielelias6704
@danielelias6704 4 месяца назад
vipi naweza kupata piano midi?
@Djbambitz
@Djbambitz 5 месяцев назад
Iv sound card Q23 ikoje naitaka hiyo
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 5 месяцев назад
q 24 in soundcard ina option kadha ambazo watu wanazipenda .. eg inakuwezesha kuconnect speaker zinazotumia av cables kitu ambacho sound card nyingi zinasupport only jack connector (kubwa) lakini pia bei yake imepoa pia pia e.t.c ..... personaly sound Quality ya sound yake sijawaaahi isikia lakini naona watu wanaiwinda kweli
@joshuazabron9777
@joshuazabron9777 8 дней назад
kwani bro pre-mixer haifai?
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 8 дней назад
Unaposema pre mixer una maanisha mixer au digital field Recorder
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 8 дней назад
Li dadavue vizuri swali lako... Be blessed kiongozi
@fullloughtv9413
@fullloughtv9413 5 месяцев назад
Kwan soundcard zna bei gan??
@prime_215beatz
@prime_215beatz 5 месяцев назад
Zipo za aina nyingi.. ukitaka nzuri kabsa andaa kiasi cha chini kuanzia 350k
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 5 месяцев назад
inategemeana na brand pia number of channels badget ya kuanzia mia 500k unweza pata card nzuri kwa kuanzia
@danielelias6704
@danielelias6704 4 месяца назад
vipi naweza kupata piano midi?
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 4 месяца назад
personal siuzi vyombo ya mziki lakini nina used berhinger mid naiuza..... other wise unaweza pata toka dukani au kutoka kwa wadau wengine
@danielelias6704
@danielelias6704 4 месяца назад
@@tweakingtricks1087 unaiuza shilingi ngapi?
Далее
Whoa
01:00
Просмотров 10 млн
Vifaa muhimu kuwa navyo unapoanzisha YouTube Channel
10:26
Namna ya kununua best audio interface 2024
13:28