Тёмный

Uchaguzi Huu Tutaona Mengi, Matukio Ya Kishetani | Ulawiti, Ushoga, Ubakaji na Mauaji Yalaaniwa 

Focus Digito TV
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 26
50% 1

CCM wilaya ya Mufindi Yalaani na kukemea Vikali Ulawiti, Ushoga, Ubakaji na Mauaji ambapo Katibu Mwenezi CCM wilaya ya Mufindi Dickson Lutevele amesema baadhi ya matukio hayo yanahusishwa katika harakati za baadhi ya Viongozi kutaka Kushinda Uchaguzi kwa kutumia nguvu ya matendo ya kishetani akitaka jamii ifungue macho kukemea maovu hayo na ikiwezekana isaidie Serikali kwa kuwataja wahusika wa vitendo hivyo huku akisema kuwa ni vyema kuzingatia kanuni moja isemayo 'Mungu Mbele Mawazo ya Kishetani Nyuma'.
Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.
Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani.
Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments.
#FocusDigitoTV
..................
Tufuatilie Zaidi kupitia:
INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team FocusDigitoTV

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Они захватят этот мир🗿
00:48
Просмотров 801 тыс.
LIVE_:CUF YAJA JUU
Просмотров 15
Они захватят этот мир🗿
00:48
Просмотров 801 тыс.