Тёмный

UCHAMBUZI: USAJILI WA ELIA MPANZU SIMBA/ VIGOGO SIMBA WATOA MAPANGA 

Crown Media
Подписаться 134 тыс.
Просмотров 45 тыс.
50% 1

Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@TithoMkaburu
@TithoMkaburu Месяц назад
🔥 🔥 🔥
@drallan6879
@drallan6879 Месяц назад
presentors wenye weledi ;bravo guys
@Abdallajuma-rc3ur
@Abdallajuma-rc3ur Месяц назад
Nawakubar sana
@SamwelBonifance
@SamwelBonifance Месяц назад
🎉
@SdMwayasin
@SdMwayasin Месяц назад
Naomba tuongelee timu zote Za nyumbani 🇭🇹
@Igauf3
@Igauf3 Месяц назад
Kuna umuhimu wa kuwa na salary cap per season ili timu ndogo ziweze kupata wachezaji wazuri na kuongeza ushindani. Vilevile kila ninaposikiliza uchambuzi ni Yanga, Simba na Azam. Ligi ni pana sana.
@mosessimon4570
@mosessimon4570 Месяц назад
team zingine hawana vitu vya kuongelea. ukiongea juu ya team fulani ya chini leo kesho huna cha kuongea but hizo team 3 kila siku wana habari na updates.
@SdMwayasin
@SdMwayasin Месяц назад
Soka Alina swala Hilo kaka
@davidsabaya9362
@davidsabaya9362 Месяц назад
Waooo
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 Месяц назад
Baada ya Aubin Cramo kutolewa kwa mkopo Simba bado ina nafasi 2 za Wachezaji wa kigeni. Kwahiyo Mpanzu akipatikana bado Onana atakuwa na nafasi.
@TithoMkaburu
@TithoMkaburu Месяц назад
Tupo pamoja kaka
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 Месяц назад
Simba au Yanga haiwezi kuwekeza kwa mtazamo wa timu ya Taifa bro,mpira ni biashara,sera za kujenga timu ya taifa hiyo haiwahusu Gov.iwajibike.
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 Месяц назад
Hata mimi namkubali sana Onana. Ni game changer. Angalia anavyoingia hizo dakika chache za mwisho anachofanya. Lazima watamkwatua ipigwe penati au free kik. Aliwanyanyasa sana Wydad. Ni mchezaji ambaye anastahili kupewa support na kutiwa moyo. Inawezekana hakuonesha makali kwasababu kwanza alichelewa preseason na pili makocha hawakugundua kipaji chake mapema na kumpa muda wa kutosha. La mwisho timu nzima ya Simba msimu uliopita hakuna aliyekuwa na workrate kubwa labda Kibu tu na hawa vijana aliowachezesha Mgunda. Kwahiyo kosa la timu nzima tusimlaumu Onana. Msimu ujao atafanya maajabu mpaka mtashangaa. Lakini Mpanzu angepatikana basi ningekubali Onana ampishe kama nafasi zimejaa.
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 Месяц назад
Hapa ni nyumbaniiiiiiiiiii.......!!
@mikidadikiga90
@mikidadikiga90 Месяц назад
Crown yamoto
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 Месяц назад
Tatizo Hans wewe hujui una mzungumzia mchezaji huyo ktk uhalisia na ukweli. Tatizo Geofray na Mkai ni usimba!!!
@SmilingCondorBird-wo3wk
@SmilingCondorBird-wo3wk Месяц назад
Nikiwa Johannesburg naburudika kabisa
@SayiMahangi
@SayiMahangi Месяц назад
Kwa mm naungana na wales
@JumaAbdalla-j5m
@JumaAbdalla-j5m 27 дней назад
Simba ipo pea😮😅😅
@issatindwa6530
@issatindwa6530 Месяц назад
Jaman naona mnanichanganya tu naomba jibu moja tu la.ukweli sio la kutafuta followers na viewers Je ni kweli Mpanzu kasajiliwa Simba 2024/25?
@davismuzahula907
@davismuzahula907 Месяц назад
Kiwango cha weredi katika uchambuzi kinaridhisha endeleeni hivyo Crown
@Deokaliba
@Deokaliba Месяц назад
Hayo ni maneno 2 maendeleo ya mpira wa vijana hautayaona sababu kule hamna hela mwekezaji hautaona.
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Месяц назад
Kwa hiyo mmeiua wasafi arena hahahahah hii Noma sn
@alliepeppino8883
@alliepeppino8883 Месяц назад
Corruption inatudondosha
@shukuruiddi82
@shukuruiddi82 Месяц назад
ni suala la muda sasa uwekezaji ktk soka la vijana liwekwe sawa, halafu ule udhamin uliopo ktk ligue kuu ujaribu kushushwa ht kwa nusu budget kwa ligue ya vijana hii itasaidia kupunguza gharama kwa timu husika na matokeo yake wadhamin wanapewa nafasi ya kuzibeba hizi timu. then kuhusu kutumia wachezaji wa maeneo mengine kupunguza gharama hii ni shida itokayo na usajili tu, ni muda sahihi timu za vijana ziingie ktk usajili na wachezaji walipwe mishahara na sio posho tu.
@michaelseti1287
@michaelseti1287 Месяц назад
Nikiwa south Africa munatupa raha kabisa
@Vitasafari-hr6ub
@Vitasafari-hr6ub Месяц назад
Kibu kamwaga wapi
@MjMohammed-nt6fq
@MjMohammed-nt6fq Месяц назад
We jeff muongo kuna mchezaj yupo ihef tamim kama sikosei amecheza nigeria africon hii
@bilaladdy6620
@bilaladdy6620 Месяц назад
what's wrong with Jeff? isn't it very obvious with Onana? technically brilliant and skillful...he's got lack of concentration in the game as well as consistency throughout games. period!!!
@FeisaliMudathili-yt9ge
@FeisaliMudathili-yt9ge Месяц назад
V
@Abdallajuma-rc3ur
@Abdallajuma-rc3ur Месяц назад
Nakubar akai niko Zanzibar
@TithoMkaburu
@TithoMkaburu Месяц назад
🔥 🔥 🔥
Далее
Презентация iPhone 16 за 4 минуты
04:00