Тёмный

UCHAWI UPO; TAZAMA WAGANGA WALIVYO JIKUSANYA KWENYE MSITU WA MIZIMU 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@Angependo9141
@Angependo9141 8 месяцев назад
Militia mbali Bwana wangu Riziki😂huo ubalikiwe alikua zezeta ukamtibu saahii anajitambua sanaa alikaa myaka 14 Amerika akipata pesa anazirushina mwanamke hajui kisha ukamtibu akajua kwamba ako anaibiwa asante sana Riziki mkali
@AgnesKalunda-yv9eg
@AgnesKalunda-yv9eg Год назад
Wah mungu yuko kwa wachawi
@biblenakoranmatuhuhu9904
@biblenakoranmatuhuhu9904 11 месяцев назад
Wenye Wana comment ,mjue ya kuwa hii ndio ndio desturi mwafaka kwa mwafrica kabla mzungu kuigiza desturi inayo muinua kibiashara. Asiri ni hii na ninaitabua kiukweli. Hawa sio wachawi ni wajadi kiuhalisia❤
@Zuuh4286
@Zuuh4286 Год назад
Subhanallah haya mambo kumbe yapo kweli 😢😢😢😢
@thebestfromtzdTv8296
@thebestfromtzdTv8296 Год назад
Wow izo ndo Mila za mababu zetu inapendeza sana
@fredykatabei5516
@fredykatabei5516 Год назад
Woooooooi
@mamaboizpure842
@mamaboizpure842 Год назад
Wololooooo mayooo mayoooo mayooooo
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Ww muogope Mungu uchawitu
@BraghtonDomitian-mh4xv
@BraghtonDomitian-mh4xv Год назад
Waganga na wachawi ni tofauti kwa kitendo vyao
@Dadytamal
@Dadytamal Год назад
Dalili za mwisho hz Tumejisahau tufanyeni ibada ya Allah xo mwengine
@LinerJessica
@LinerJessica Год назад
Camera man kazi mzuri sana jaribu kuwazimu vizuri naweza shangazi wangu hapo kwamaana kwa kikimbiya usiku yeye anashinda kipchoge kwa utewo nampea kongelo
@aminabashir1167
@aminabashir1167 Год назад
😂😂😂😂😂heeeee kazi kwelikweli
@vincentmugendi7183
@vincentmugendi7183 7 месяцев назад
Wakenya wengi year 2023 august walitapeliwa pesa mingi sana.. ati kutambikia mizimu
@Zuuh4286
@Zuuh4286 Год назад
Eti wagana woeeeeee badala ya wachawi woeeee😂😂😂😂 dunia kwisha
@catherinemukami-l5q
@catherinemukami-l5q Год назад
Moto wa jehanamu inawangoja ninyi mtupu mwavaa nguo nyeusi watumwa wa ipilisi
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 Год назад
Muhh et mungu
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 Год назад
Aisee sjamuona @mwakatobe na kicheche apo
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Nyie mliopo apo nyote mnaenda motoni uhakika Sababu moja tu Nyie ni washirikina au mtubie muache uchafu wenu uwo
@MrJyddy
@MrJyddy Год назад
Ulidanganywa na wazungu kuna moto ukaamini. Wajifanya huna dhambi?
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 Год назад
Ni wapi paliandikwa Tutachomwa Ivi Kwa Akili yakawaida Mungu Anavo tupenda ivii then atuchome ??? Isome Biblia uielewe Mwanadamu alipewa Adhabu ya kifo full stop hayo Mengine Ni Shetani anataka 2 kumchamfua Muumba wetu
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 Год назад
Na usipende kumnenea Mtu mabaya Ni kosa coz Mungu hapendi hizo Mambo anataka tupendane unataka kusema wewe kila unalofanya liko sahihi mbele ya Mungu
@emmanuelshukiah1236
@emmanuelshukiah1236 Год назад
​@@MrJyddyMBINGU ipo na Jehanamu ipo na Moto pia upo Kwa watu wasiompokea Yesu mioyoni mwao pindi wanapokufa, Unaweza ukaona saivi kama ni utani au mchezo Fulani ivi ila siku utakapokufa ndipo utakuja kuelewa na kujuta Kwa Nini hukuzingatia kumpokea YESU.
@ezekielelias
@ezekielelias Год назад
Sisi tanabata mila zetu waafrika cyo za wazungu au waarabu
@NadharMohd
@NadharMohd Год назад
Jamani mbona wamevaa mavazi yanayonasibiswa na freemasson?ebu tuelezeni ukweli kuna siligani?
@salimmoha7962
@salimmoha7962 Год назад
Musigeuke makenzi team tu
@TatuTatu-f1v
@TatuTatu-f1v Год назад
Hao wachawi au wameeti tu😂😂😂
@faidhacute
@faidhacute Год назад
Wanafanya nb hapo
@AhlamSaleh-n8h
@AhlamSaleh-n8h Год назад
Shirkihizo tuziache
@ZagambaMnubi
@ZagambaMnubi Год назад
Mnapatikana wapi
@edithajonh2970
@edithajonh2970 Год назад
Kwetu sumbawanga kalibu
@ZagambaMnubi
@ZagambaMnubi Год назад
@@edithajonh2970 mmh hiyo karibu tu inamashaka
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Hawa mafillmasson ... Washenzi hawa ndiyo wanatuletea mibalaa maajali mabarabarani kumbe wana mambo yao Allah atuongoze hu mtihani kiyamakipokalibu kuabudu mizimu na wakati Allah alokuumbeni yupo nyie moto unawaita msipoacha hayo
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 Год назад
Wanga wakubwa nyie
@janemweru87
@janemweru87 Год назад
Weee n waarabu weusi
@QueenMtuya-tp2ng
@QueenMtuya-tp2ng Год назад
Jitoeni kwa yesu nyiewote mnapaswa kuokolewa.
@malimanyanja562
@malimanyanja562 Год назад
Yesu yupo wapi?
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Год назад
Kwa hiyo hili lisanamu hapo lisilo na uhai ndo unaliinamia jiti!!
@ZagambaMnubi
@ZagambaMnubi Год назад
Acha uzwazwa ushawahi muona Yesu zaidi ya fikra yako kumtengeneza siyo bora hawa unaowaona zinduka ushaidi mzuri wakuona siyo kusikia wala kuambiwa
@emmanuelshukiah1236
@emmanuelshukiah1236 Год назад
​@@ZagambaMnubiYesu yupo na yuu hai Leo, woote wasiompokea wanapokufa huenda kuzimu na Jehanamu Mpokee Yesu Leo kabla hujafa hivi sasa mlango Bado upo wazi kwako saivi.
@ZagambaMnubi
@ZagambaMnubi Год назад
@@emmanuelshukiah1236 umewahi kumuona huyo yesu au ukakariri
@Angeldaniel-m6d
@Angeldaniel-m6d Год назад
Apo niwapi nitumie namba yenu
@fredykatabei5516
@fredykatabei5516 Год назад
😂😂
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Duuuu!!
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Год назад
Mungu gani unaemtaja,wachawi wa kubwa nyie maaduwi wa Allah
@TatuTatu-f1v
@TatuTatu-f1v Год назад
Awo wachawi
@biddii1972
@biddii1972 Год назад
Watu wajinga kweli yani wajikuta wana kataa asili yakwao na kukimbilia wazungu na waaarabu
@abdiathumani919
@abdiathumani919 Год назад
Wewe ndio mjinga waweza vaa vingozi nakuabudu mawe
@biddii1972
@biddii1972 Год назад
Wanafki wakubwa nyinyi mnaongea ivo halafu ndio wakwanza kwenda kwa wa ganga
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Tatizo si dawa tatizo ushilikina wanatisha na minguo yao ya mashalt na misanam waloweka naukienda kwamganga kama huyo nawe utaaingia motoni
Далее
MSITU WENYE MZIMU KWAAJILI YA MATAMBIKO
55:01
Просмотров 14 тыс.
DK RIZIKI MAHOJIANO
50:13
Просмотров 6 тыс.
Каха понты
00:40
Просмотров 398 тыс.
Физика пасты Карбонара 🧪🔬
00:57
UFC 308: Пресс-конференция
35:18
Просмотров 528 тыс.
WAKRISTO WAZIDI KUSILIMU BAADA YA KUGUNDUA UKWELI
1:01:22
UCHAWI UPO
1:07:18
Просмотров 168 тыс.
PASTOR MTULIVU AJIFUNZA KUSUJUDU
1:03:52
Просмотров 11 тыс.
DAWAH KWA POLISI DAY 2 PART 2
53:40
Просмотров 11 тыс.
MKRISTO APAMBANA NA "KRISTO" ANA KWA ANA
1:12:19
Просмотров 91 тыс.