Тёмный

WAKRISTO WAZIDI KUSILIMU BAADA YA KUGUNDUA UKWELI 

Straight Path Dawah
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu.

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 139   
@abdullahiiddi4109
@abdullahiiddi4109 Год назад
Assalam alaikum brother and sister tuzidini kumuombea Shekh wetu Ramazan kwa Kazi mbayo Tulip achiwa na Mtume wetu Muhammad s.a.w. Kuamrisha Mema na Kukataza Maovu. Na tuungane katika Kuchangia Kumsaidia katika Kazi hii Allah. Allah Atatulipa soteni Katika Kazi Hii ya kujitolea. Allah atuezeshe kutenda Mema na atujaalie katika Kukataza Maovu. Amin
@BakariKidege
@BakariKidege Год назад
Ustadh Ramadhan Mwenyez Mungu akujaalie kila la kher ktk kz kubwa unayoifanya.
@nassrubushoot5750
@nassrubushoot5750 Год назад
Amiin thuma Amiin
@yusufmahdi8921
@yusufmahdi8921 Год назад
Mansha Allah May Allah bless our sheekh RAMATHAN
@alyumar4657
@alyumar4657 Год назад
Tuta waramba wote kenya nzima kwa uwezo wa Allah sheikh ramadhan Allah akupe maisha mazur hapa dunian na kesho Akhera Ameeen
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o Год назад
Kwa wale wasioelewa
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 месяцев назад
@@NathanielNathan-m4o ... Wewe hata hatuna haja nawe.... Maana kama unamasikio unasikia, kama una macho unaona, kama unahakili unaerewa, ila mwenyezi Mungu humuongoa anaemtaka na humuacha anaemtaka ili apate wa kuwachoma moto
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 месяцев назад
@@NathanielNathan-m4o YESU ni njia ya kwenda kwa Mungu, sio yesu tu, mitume wote ni njia ya kwenda kwa Mungu. Ukimkataa YESU hutoboi, ukimkataa mohamad, Musa, Ibrahim, NUHU, luti n.k. hutoboi mjomba, na hiyo ndo iman ya watu wote wa kale na mitume wao, ,,,, shida yenu mnamuabudu YESU nyie ni wanafik. Marko 7:6-7,8,9. Sasa kama ukristo ni kuamini YESU alikufa kwa ajiri ya dhambi zako, kipind yesu hajafa hao wa nyuma waliamin nn 😢❓❓
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
​@@NathanielNathan-m4ouwewemmojawao.usioelewa.wanaoelewa.wanaslim.TakbiraAllahu.Akbaru
@JumaMeamba-px5vc
@JumaMeamba-px5vc Год назад
Nimekuwa wakwanza leo nawaombeni komenti zenu
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Allah akulipe Jannah 😊
@nassrubushoot5750
@nassrubushoot5750 Год назад
Hongera kaka Juma
@aflahabdula4084
@aflahabdula4084 Год назад
Mashaallah juma allah akuhifadhi na waislam wote na waliokuwa sio waislam allah awafungulie vifuwa vyao
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Год назад
Masha Allah 🥰
@ServantofAllah000
@ServantofAllah000 Год назад
Mashallah, karibu kwa Islam ❤
@abrahmanifarouckissa5662
@abrahmanifarouckissa5662 Год назад
Shegh wangu harusi yangu nataka uwepo nipo zanzibar nakufatilua sanaa shegh wangu unafanya kazi kubwa sana mungu akulinde
@Fumokale
@Fumokale Год назад
ALLAHU AKBAAR WALILLAHIL HAMDI...Allah akubariki kwa kazi nzuri na akujaalie IKHLAS
@azizashiundu5778
@azizashiundu5778 Год назад
Mashallah mashallah 💞 Alhamduililaahi kwa siku ya leo Allah Akbar
@yahyaali3951
@yahyaali3951 Год назад
Nakupenda sana ustadh Ramadan kuria unafanya Kazi kubwa sana Allah akupe kheri kubwa. Na akupe nguvu inshaallah
@muhammadhariz1100
@muhammadhariz1100 Год назад
بارك الله فيك يا شيخ رمضان الله يفتح لك خير الدنيا والآخرة
@nassrubushoot5750
@nassrubushoot5750 Год назад
Amiin
@UMMYYFATMA
@UMMYYFATMA Год назад
MASHA ALLAH...ALLAHU AKBAR 🤲🙏❤️☝️
@user-rq8qn5pn1l
@user-rq8qn5pn1l Год назад
Mashallah,Allahu akbar ❤❤
@fatimafff3065
@fatimafff3065 Год назад
Baraka Allahu fiikum wajazakaAllahu khaira
@hassansharif9216
@hassansharif9216 Год назад
Masha Allah brother Ramadhan. May the almighty Allah grant you jannatul Fardous.
@user-yx2go6tn5u
@user-yx2go6tn5u Год назад
Masha Allah kaka kuria Allah akuhifadhi na madhira yakusibipo
@nassrubushoot5750
@nassrubushoot5750 Год назад
Amiin
@birungijackline1088
@birungijackline1088 Год назад
Mashallah ❤❤❤❤ barakah laufikum , asanteni sana munga awazidi wantu wa straight path dawah.l love you from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@ismailahhassani2764
@ismailahhassani2764 Год назад
MASHA ALLAH...ALLAHU AKBAR☝🏽☝🏽
@salimiddi7583
@salimiddi7583 Год назад
Sheikh nakubali wasilim wote inshallah
@issaabdallah7660
@issaabdallah7660 3 месяца назад
Manshallah Allah awalipe Kheri hapa duniani na kesho Akhera awape Jannat Firdaus
@fatimafff3065
@fatimafff3065 Год назад
Mashaallah tabarakallah
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt Месяц назад
nawapenda sana masheikh wangu kwa ajili ya allah❤kuna mda napenda kukusikilizah apa ila kuna mda napenda pia kumsikiliza sheikh salim kwaiyo kuna mda nikiwa kwako naona nakosa na nikiwa kule naona nakosa hapa kwa kweli mnajuwa na mungu awazidishie insha allah, much Love💖❤
@tamashamagoma2941
@tamashamagoma2941 Год назад
MashaAllah, ndugu yetu Ramadhani Allah akulipe kheri nyingi kwa kazi yako unayoifanya wewe na timu yako. Allah awe Radhi nanyi.
@HUSTLERS085
@HUSTLERS085 Год назад
Allahu akbar sheikh ramadan kuria bin kaguo may God gives you long life Amin amin amin ❤❤❤❤
@tahlil2015
@tahlil2015 Год назад
Mashaa Allah! Sheik.RAMADANI welcome come back my friend to the #Dawafield 🌎 one Islam ☪️ 🙌 ✨️
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Год назад
AllahuAkbar! Kidole cha Shahda ni so powerful! TabarakAllah Team! Pia kina USTAD Salim wali kweko Jakaranda, 2days ago! MashaAllah, Vigogo wa Islam!
@AshamMussa
@AshamMussa Год назад
Mashaalla Walimu wetu Allah awabarik inshallah amin
@kassimamri6746
@kassimamri6746 Год назад
❤❤❤❤Mashaallah, Allah akuzidishie kheri na afya madhubuti
@alyaqdhan5206
@alyaqdhan5206 Год назад
Mwalimu Ramadhani tunakuombea kila kheri na Mwenyezi Mungu akufanyie wepesa kwenye kazi hii ya Daawah
@nassrubushoot5750
@nassrubushoot5750 Год назад
Amiin barakallahu fih
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Год назад
Aamin yarab
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Год назад
Aamin 🤲
@beemali9741
@beemali9741 Год назад
Masha allah mashallah❤
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 Год назад
MashaAllah Tabaraka Allah, Allah akulipe kila la ustadh Ramadhani Kuria. Akufanyie wepesi katka mambo yko
@mwanaidiissa10
@mwanaidiissa10 Год назад
Mashallah shekhe Ramadan nimefurahi kukuona Leo Allah akutunze uendelee kuwalingania
@SenchaBacsem
@SenchaBacsem 6 месяцев назад
Mashallah mungu akubariki sana shekh Ramadhani kuria bin kaguo
@Maryam-h4y1q
@Maryam-h4y1q Год назад
Mashalla allahmdulilah ❤❤❤🤲🤲🤲 mwenyezi Mungu awaongoze inshallah
@umazimwambezi8092
@umazimwambezi8092 Год назад
Mashallah Nuru ya Allah yazidi kung'aa Allah akupe maisha mazuri ya duniani nakesho ahera amiin 🤲👐
@abrahmanifarouckissa5662
@abrahmanifarouckissa5662 Год назад
Allah Huaqbar Nakupenda sana sheh wangu
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Jazak ALLAHU kheiran 😊
@raniahmamu2586
@raniahmamu2586 Год назад
❤❤ mashaAllah@ramadhan be blessed
@jumakutengeza1080
@jumakutengeza1080 Год назад
Allah akulinde akupe umri mrefu, uzd kuipgania dini ya Allah ilio ya kwel na haki tupu
@hamicpina1151
@hamicpina1151 Год назад
Shekh rama daaa unapambana kwa ajili ya ALLAH malipo utayakuta na sisi ALLAH atupe nguvu za kumtangaza ALLAH
@rizikiali328
@rizikiali328 Год назад
Assalam Aleikum sheikh Ramadhan Allah akuhifadhi akutolee njia ya ufadhuli maana hayae mafunzo ni muhimu sana hata kwa waislamu twajifunza
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Год назад
Assalaamu aleykum warahmatullahi wabarakatu, Mashaa الله tumefurahi kuwaona tena الله awape sah wal afya njema, pamoja sana mashekhe zetu.
@twaine40
@twaine40 Год назад
Takbiiiir! Allahu Akbar maa Shaa Allah ❤
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Год назад
Ndio Allah mtukufu amesema wakulja walhak wazakal batil illa batil lakalzahuka shukran kwa mafundisho nzuri
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Год назад
Assallam aleikum warahmatullahi wabarakatuh hongera ustadh Rama Allah akulipe mema hapa duniani na kesho akhera
@mamawamoya3344
@mamawamoya3344 Год назад
Allahu Akbar
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Год назад
Mash Allah Alhamdulilah karibuni ktk Uislam Dini ya haki , Dini ya kweli ,Dini ya Manabii wote na Dini aliyo tuletea Mwenyezi Mungu. ❤❤❤
@asriyaaljabry27
@asriyaaljabry27 Год назад
ما شاء الله تبارك الرحمن
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 11 месяцев назад
Masha Allah Ustaz Kuria
@kombrashid-bn2gr
@kombrashid-bn2gr Год назад
Hongera sannah,kaziiendelee
@damesabundiko4066
@damesabundiko4066 Год назад
Mashaallah mashaallah, Allahu Akbar❤
@fatumjumaa5563
@fatumjumaa5563 Год назад
Mashaallah mungu awafNyie wepesi
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Год назад
Bora umerudi online shekh ❤❤❤❤
@ashrafissa778
@ashrafissa778 Год назад
Mashallah mashallah Allah akuifaz Shekha Ramadhan kuria
@sheemaryam
@sheemaryam Год назад
Ma Sha Allah muhadhara mtamu kweli sheikh ungetuzidishia hapo imeishia jamaa anakaa kuelewa maandiko
@Ismaelnoton2543
@Ismaelnoton2543 Год назад
Aslam alaykum wa rahmatullah wa barakatuh. Kazi nzuri sheikh mwenyezi Mungu akujalie afya na akufanyie wepesi kwa kila jambo jema unalo lifanya
@nassrubushoot5750
@nassrubushoot5750 Год назад
Waaleykmslm warahmatullah wabarakaatuh brother Isom, na sheikh wetu nae Allah amkidhie haja zake na amuongoze kwa ayatendao
@Ismaelnoton2543
@Ismaelnoton2543 Год назад
@@nassrubushoot5750 ameen
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Год назад
Aamin 🤲
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 Год назад
Masha Allah Allahu Akbar
@lovablelioh9685
@lovablelioh9685 Год назад
Yohana 14 :6 yesu ndie njia ya kwenda uzimani na hakuna jina lingine isipo kua yesu tu
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 Год назад
Hata mussa likuwa ndio njia kwa watu wake lakn walikuwa wakimuabudu mungu lakn wakristo wanamuabudu yesu kwa imani hiyo moto unawasubiri
@lovablelioh9685
@lovablelioh9685 Год назад
@@mohamedhozi8110 hujasom vizur biblia sio wakat ule yeye ni jan leo hatamilele mnawadanganya watu ambao ata biblia hawajui kiukwek nyie waislam mnamuabudu shetan mkizan mnamwabudu mungu geuken sam shamour mtafute akuelekeze
@fatimafff3065
@fatimafff3065 Год назад
Takbr Allahu Akbr
@MohamedMeja
@MohamedMeja 5 месяцев назад
Mwenzi mungu alisema kuwa litakujaa za watu wataingi katikaa dini yake fidini lahi afuajaa makundu makundu
@aflahabdula4084
@aflahabdula4084 Год назад
Takbirrr takbirrr allah awafanyie wepesi wote wanaosilim na amjaliye shekhe Ramadhan umri mrefu wenye afya na hekma na umzidishie elimu na wingi wasubra
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Год назад
Maa shaa ALLAH 💚💚💚
@abdhallagali4735
@abdhallagali4735 Год назад
Allah Akbar,,, ALLAH awajalie umri mrefu mashekh wetu Kwa ajili yakuitangaza dini
@ndevumbili7117
@ndevumbili7117 Год назад
Ongera
@malikdodo5190
@malikdodo5190 Год назад
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
@SaidMgeni
@SaidMgeni 11 месяцев назад
MashaAllah
@OroCover
@OroCover Год назад
masha allah Allahu akbar
@hamisijm8437
@hamisijm8437 Год назад
Masha allahy Sheikh Ramadhani na Wenzio . Allahy Awajalie Kwa kila Jema Ameen
@omargalole4069
@omargalole4069 Год назад
Masha Allah
@jumakutengeza1080
@jumakutengeza1080 Год назад
Allah Akbar, mashallah
@lailahumaid2011
@lailahumaid2011 Год назад
Allah kupe kheri za dunia na akhera pia mwalimu Ramadhan
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Год назад
Aamin 🤲
@xogmalxarandid9369
@xogmalxarandid9369 Год назад
Masha Allah tabaraka laah sheikh ramathan mungu akupe umri mrefu mungu alisema dini ya haki mpele ya mungu ni uislamu
@jumakutengeza1080
@jumakutengeza1080 Год назад
Subhanallah
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 Год назад
Mashalla❤❤❤❤❤❤
@hassanadam3007
@hassanadam3007 Год назад
❤❤❤❤❤❤❤mashaa ALLAH
@mrimh7798
@mrimh7798 Год назад
MashaAllah MashaAllah tabaarak Allah mungu awabarik Sana kwa Kaz hii
@rashidshukery
@rashidshukery Год назад
Mkono kwa mkono hadi peponi
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Allahuma ameen 🤲
@daru2549
@daru2549 Год назад
Asalamu Aleikum Ustadhi,,Twaomba uiweke inayofuata kama ipo.
@husseintayar699
@husseintayar699 Год назад
Mashalah
@fatumahamisi1604
@fatumahamisi1604 Год назад
Asalam Alykum wahmatullah,mashallah,mashallah mungu awape mwisho mwema walimu wetu na wanao silimu pia mungu awape subra na mitiani watakayo ipata
@user-se8ik6ik6q
@user-se8ik6ik6q Год назад
Asalam aleikum Brother Ramadhan wewe ni mkikuyu lakini hukai kiswahili chako sanifu umekaa wa huku mombasa mashallah Huna accent ya huko
@faridbashuu
@faridbashuu Год назад
Quran 110 : 1 Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, Quran 110 : 2 Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, Quran 110 : 3 Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Год назад
Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar la illaha illa Allah Allahu akbar
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 Год назад
MashaAllah, ndugu yetu Ramadhani Allah akulipe kheri nyingi. Huyu msomaji husoma poa kabisa
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 Год назад
Maashaa Allah.. ❤ Allah akuhifadhi Sheikh wetu
@adanabdi5249
@adanabdi5249 Год назад
Nice.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Год назад
ALLAHUAKBAR
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Год назад
Masha ALLAH. Takbiiiiiir
@rizikiali328
@rizikiali328 Год назад
Yesu alimaanisha wanafunzi wafate matendo yake Kwa mfano kutawadha kusujudu. Kuingia msikitini kukataza machafu na haya yote hakuna mkirsto anae fanya haya
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Год назад
Allah hu Akbar ❤️❤️❤️
@Maryam-h4y1q
@Maryam-h4y1q Год назад
I miss you khekh ramathan
@firdaushamid8200
@firdaushamid8200 Год назад
تكبير الله اكبر ماشاءالله
@saudahassan3804
@saudahassan3804 Год назад
Taqbrii
@hamisijm8437
@hamisijm8437 Год назад
Assalahm alahykum warahmatullah .
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Год назад
Alhamdhulillah 🤲
@HusseinAli-fx1ld
@HusseinAli-fx1ld Год назад
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatu ustadh Ramadhan. Uko tayari kusilimu? Kuna mtu anakulazimisha? Kuna pesa umepewa au hongo? Unasilimu kwa mapendeleo yako? Ustadh Waonaje uwaulize zaidi kwa maneno haya. #Zakir naik
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 Год назад
MashaAllah,, msomaji kapotelea wapi?
@josephkitau1076
@josephkitau1076 Год назад
Wale wenye Imani ndogo ndio huslim
@jokhasimba586
@jokhasimba586 Год назад
Mashallaah lkn mbona shekh hukummalizia hyo shahada hukumtajia Muhamad tasulilaah na hyu ndio hasa wanampinga wakiristoo
@AbdiKiza-t2h
@AbdiKiza-t2h Год назад
location sio tatizo tatizo maokoto nihii ni comedy
@rizikiali328
@rizikiali328 Год назад
Hii kifungu ya Mimi ndimi njia kweli na uzima hawakielewi
@carolinevijedi9139
@carolinevijedi9139 Год назад
Mtu ambaye amekubali kufa na yesu na kufufuliwa na yy hawezi kujichanganya. Na dini zetu hazitupeleki mbinguni .ila tunaenda mbinguni kupitia yesu kristo ambaye yeye ni njia ya ukweli
Далее
MKRISTO ANAYEKULA NYOKA AJITOKEZA KWENYE DAWAH MITAANI
1:13:42
GODBLESS LEMA AKIZUNGUMZA NA RAIS SAMIA MAMBO MAZITO
21:28
PASTOR ATAFUNA MANENO BAADA YA KULEMEWA NA HOJA
1:40:26