Тёмный

Njia za kushinda Woga (Sababu Za Migogoro Sehemu Ya 24) Dr.Elie V.D.Waminian 

Chomoza Tv
Подписаться 216 тыс.
Просмотров 116 тыс.
50% 1

Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com
Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV
Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo.

Развлечения

Опубликовано:

 

27 янв 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 132   
@rahmakapalata6373
@rahmakapalata6373 6 лет назад
Yani huyu dr elie hua natamani kila siku masaa 24 niwe namsikiliza tuu yani anamadini sijapata ona wala kusikia. Namuombea kwa mwenyezi mungu ampe maisha malefu na yenyeama tele amin,
@magesagodfrey4049
@magesagodfrey4049 4 года назад
Naona Mungu akiinua watu kama we we dhambi zitakuepo ila hazitakua na uzito kama sasa
@kombeonaumishenaritv642
@kombeonaumishenaritv642 2 года назад
Aminaa
@MkalaTsanje-pi7ps
@MkalaTsanje-pi7ps Год назад
Ameni
@williamkirway4620
@williamkirway4620 3 года назад
Mwenye huzuni, ndiye atakejiandalia ukatili.21/01/2021 William cresent kirway toka Haydom-manyara.
@SuzieMahalu
@SuzieMahalu 6 лет назад
Nawaza ambao hawapati hizi elimu, wanaishije
@dicksonkwayu7155
@dicksonkwayu7155 Месяц назад
Dah kw kweli
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 5 лет назад
Doctor kila unalo lisema yani nikama Nisha wahikukusimlia maisha yangu unaakili nyingi hadi me najiona sina kila niliongealo huwa nakosea Asante Dr lov mingi kwako
@mayungahima1987
@mayungahima1987 6 лет назад
Ukisikia chakula cha ubongo wa akiri ndio huyu Bwana Dr elia, unashiba mpaka bac
@dattotenga2521
@dattotenga2521 2 года назад
Naitwa Tenga nipo Katesh Manyara minakipenda Sana kipingi na maelekezo ya Dr. Mungu awabarik
@dattotenga2521
@dattotenga2521 2 года назад
Kila jumapili nafuatilia Sana masomo Mimi ni mlemavu kwa Sasa baada ya kupata ajali 2006Nov 26 naomba simu ya Dr Ananifariji Sana ktk masomo yake kweli Amejaaliwa Busara na Hekima hivyo havina Darasa Wala Shule ni TUNU
@dattotenga2521
@dattotenga2521 2 года назад
Hicho kitabu ni Bei gani nitakupataje?
@amonexavery7708
@amonexavery7708 11 месяцев назад
Asante sana Dr. Elie. Leo ni 8 September 2023, naomba kujua hicho kitabu kinapatikana wapi ili nipate nakala yangu.
@stetualois6027
@stetualois6027 5 лет назад
ninajifunza sana mno siku zote!!MUNGU AKULINDE!! LIVE LONG Dr na familia!
@goneent.
@goneent. 5 лет назад
Dr is our solomon of today.may God bless him
@kambonanzogela243
@kambonanzogela243 6 лет назад
Asante Sana kwa mafundisho Mungu awabariki
@emmanuelmayombo6188
@emmanuelmayombo6188 5 лет назад
Asante sana nasubiri kitabu
@yohanasiyame6426
@yohanasiyame6426 6 лет назад
Najifunza vitu vingi cn kweny kipindi cha chomoza mungu awabaliki sana
@angelamussa7123
@angelamussa7123 5 лет назад
Dah nimejifunza kitu kikubwa sana Leo. Asante kwa kipindi kizuri
@christopherkalinga3358
@christopherkalinga3358 5 лет назад
Umeful mafuzo ya kufundishika hakika hii ni rahaaaaaaa tele nauona utajiri kwa safari ya umasikini Mungu ni pendo kutupa mwalimu elevuka baraka na hekima na zijae juu yako na chakula cha kiroho na kikajae mioyoni mwetu ili salama ya maisha yetu ipatikane.
@joackimujoabu5552
@joackimujoabu5552 5 лет назад
Nimekuelewa Dr.
@GiDY_paris
@GiDY_paris 5 лет назад
Wonderfull
@gyellahpeter2866
@gyellahpeter2866 6 лет назад
Thanks Dr na Sam ubarikiwe sana
@siasamwel6781
@siasamwel6781 6 лет назад
Thank you so much Chomoza kwa mada hizi mnazotuletea sisi wasikilizaji wenu, am so blessed with Dr Elii VD Waminian huwa anatema madini. May God bless you all Chomoza team.
@willyshabani3221
@willyshabani3221 4 года назад
𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚 𝐫𝐚𝐡𝐚 𝐭𝐮𝐩𝐮 , 𝐭𝐮𝐩𝐨 𝐭𝐚𝐲𝐚𝐫𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐚𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐮𝐟𝐚𝐚𝐦𝐮 𝐦𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐲𝐚 𝐡𝐞𝐤𝐢𝐦𝐚 𝐬𝐡𝐮𝐤𝐫𝐚𝐧𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐳𝐞𝐞 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 .
@naiyanaeshongo1958
@naiyanaeshongo1958 6 лет назад
very powerful word ,,, anaye kudharau hajatambua dhamani yako,,,.... powerful... asante sana dr Elie,,,you have renewed my energy completely,,,, coz i have been having search questions inside my heart,,, coming to realise that i am absolutely right.. i am no more doubting myself... ,,, your choosen by our MIGHTY LORD,,,, naamini unajenga leo na kizazi kijacho,,,, building the ppl ,,, generations... AMINA,,,, greetings to chomoza,,,
@helenmark7965
@helenmark7965 6 лет назад
Dr Elie tumekufaham vuzuri sana mungu akubariki
@bethmakombe4810
@bethmakombe4810 4 года назад
Habari mwaka huuuu lini 2020
@brenthylland2507
@brenthylland2507 4 года назад
I like his teachings very essential In my life
@saradolaso9730
@saradolaso9730 6 лет назад
Amen barikiweni kwa mafundisho mazuri mtupayo 🙏🙌🙋
@reginanampala729
@reginanampala729 3 года назад
Ubalikiwe
@subiraomar4771
@subiraomar4771 5 лет назад
Thank you so much doctor
@jumamuhammed7421
@jumamuhammed7421 Год назад
Dr elie mungu akubariki sana nakupenda sana, ila naomba nikushau kitu fanya tafiti kwa umakini sana kuhusu dini zetu kuu 2 ni ipi dini ya haki na inayoendana na maisha ya mwanaadamu.
@rahmakapalata6373
@rahmakapalata6373 6 лет назад
Yani dr elie unaakili mpaka unatufanya wengine tujione kama tunaakili za nyongeza.
@naiyanaeshongo1958
@naiyanaeshongo1958 6 лет назад
ana roho mtakatifu wa mungu... ana mungu wa kweli.. ameteuliwa na mungu kwa ajili ya wengi,, amina
@FloxAlkirk
@FloxAlkirk 5 лет назад
naiyanae shongo Kweli jamani Mimi na ogopa sana ndugu wanionea nikirudi utanisaidi na ushari Reggina
@stetualois6027
@stetualois6027 5 лет назад
yaani niko hoi!mzee yuko vzr kichwani !Mkeo Ana RAHA! MUNGU AWALINDE!duuu niko hoi!hicho kichwa cha nchi hii!Asante YESU!!
@reginapaulo1305
@reginapaulo1305 5 лет назад
Stetu Alois mungu akupe afya njema my doctor
@johnchristophermahugi
@johnchristophermahugi 6 лет назад
Sichoki kuangalia kipindi hiki, kila nikiangalia na kusilkiliza kipindi hiki najikuta napata vitu vingi sana ambavyo vina manufaa sana kwangu, Dk. Elie V.D. Waminian kila siku unatupatia madini ambayo ni mhimu sana
@rajabumrama3161
@rajabumrama3161 3 года назад
Dr elei tuko pamoja
@hkmayala414
@hkmayala414 6 лет назад
Thank u doctor
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 6 лет назад
Love you so much Dr. Elli for your mada. You made my day.
@bethuelnyudike6461
@bethuelnyudike6461 6 лет назад
thanks Dr Ell
@lukamwakosya6676
@lukamwakosya6676 5 лет назад
Nayapenda sana mafundisho ya Dr.hakika nafalijika.
@florangowi2459
@florangowi2459 5 лет назад
Asante sana Dr
@mammyali3424
@mammyali3424 6 лет назад
Bwana awabariki Sana nafatilia nikiwa Dubai
@raphaelexzaverraphaelexzav2038
@raphaelexzaverraphaelexzav2038 4 года назад
Nawapendasana.
@queenyahaya3147
@queenyahaya3147 6 лет назад
Asante sana doctor
@peterjija8201
@peterjija8201 3 года назад
Nimependa sana hints z Dr Elly VD
@gracesaulomisonge6069
@gracesaulomisonge6069 3 года назад
Afya ya akili barikiwa Sana Dr Elly
@silverman6930
@silverman6930 2 года назад
I’m still watching this today for the third time thanks so much Dr and all 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧❤️
@erastorweyongeza9343
@erastorweyongeza9343 2 года назад
That good 👍
@faidaruzamuka6997
@faidaruzamuka6997 3 года назад
AMEN
@rosesalukan4207
@rosesalukan4207 6 лет назад
Dr Ellie unaakili sana I'm Apriciatte you unamambo mazuri ya kumfungua mtu kiakili kiroho yaan daa
@mussaclifu3714
@mussaclifu3714 5 лет назад
Asante Sana Dr
@samwelmwaijumba6018
@samwelmwaijumba6018 6 лет назад
Nmekuelewa sana Dr.... Kitabu nakisubir kwa hamu saaaaaana... Mungu akubariki sana
@bakariramadhani3387
@bakariramadhani3387 5 лет назад
Sifaey yesaya namba yangu 0682595685 tuwasiriane asante sana kutufudisha jamii
@joshualeonard8729
@joshualeonard8729 4 года назад
Doctor nimekuelewa sana nasubili kitabu nitapata 0745755405
@joshualeonard8729
@joshualeonard8729 4 года назад
Mungu akubariki sana
@evaanthony8106
@evaanthony8106 6 лет назад
Asante sana kaka Joe.
@gaudenciaalois4718
@gaudenciaalois4718 6 лет назад
yaani najikuta muda wote ninafuraha sana kusikia...Dr elia mungu akubariki sana sana
@georgekweyamba4454
@georgekweyamba4454 3 года назад
Good lesson
@lauriangervas1392
@lauriangervas1392 5 лет назад
asante kwa ushauri mzuri
@ozld4864
@ozld4864 3 года назад
Naomba Dr Elly awe na kipindi maalum kwenye redio yeyote na na kidhaminiwe na serikali yenyewe kutokana ukuu wa maarifa aliyonayo.
@venusterjoseph9023
@venusterjoseph9023 4 года назад
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@speedwaytravel7116
@speedwaytravel7116 4 года назад
oh yeah!!!!!!!!!!!
@sharonndowo6922
@sharonndowo6922 5 лет назад
Hapo kwenye Wokovu wa mwili umesema vema haswa makanisani leo ndio umejaa Dr
@janeeliason2705
@janeeliason2705 6 лет назад
Daaaa mung akubariki
@mustaphpongwe4141
@mustaphpongwe4141 6 лет назад
M/MUNGU AWABARIKI KWA MASOMO MNAO TUFUNDISHA.
@neemaneemapaul6110
@neemaneemapaul6110 6 лет назад
Hicho kitabu nitakipataje mm nipo Oman nabarikiwa Sana nA masomo yenu watumishi mungu azidi kuwabariki
@richardniganya332
@richardniganya332 6 лет назад
Save youth
@sethmwaigomole.3411
@sethmwaigomole.3411 6 лет назад
hiki kichwa ni cha tofauti.
@mayelias4207
@mayelias4207 6 лет назад
aminahh
@paulosulley8788
@paulosulley8788 6 лет назад
Napenda sana mafundisho hayo.God bless you!
@babgmjanja5757
@babgmjanja5757 6 лет назад
Paulo Sul
@babgmjanja5757
@babgmjanja5757 6 лет назад
Niceeeeee
@julianapetro3897
@julianapetro3897 5 лет назад
Dr asante nimejifunza mengi
@patrickchristian8366
@patrickchristian8366 6 лет назад
Nemelewa somo lako doctr
@costanciamwita7532
@costanciamwita7532 4 года назад
hee kumbe hii ni 2018 mimi nasikiliza 2020
@joellucas2036
@joellucas2036 4 года назад
nice
@danielelias4639
@danielelias4639 6 лет назад
ahsante
@dawsonkabyemela4009
@dawsonkabyemela4009 6 лет назад
Ubarikiwe Dr.
@papakefa2201
@papakefa2201 4 года назад
Niajabu sasa ayo yote anatowa tu akilini bila kuwa na kalatasi ya mipangiyo ya somo !ila na mpenda
@henryemanuel7072
@henryemanuel7072 4 года назад
MUNGU akubariki dk
@mayelias4207
@mayelias4207 6 лет назад
namba za Dr Elie znapatikanaje
@joelkidunye9317
@joelkidunye9317 6 лет назад
hahahaha dr bhana nakuelewa sana mzee wangu
@hemedimuna1400
@hemedimuna1400 4 года назад
Uyo doctor ubongo wake upo vizuli sana mimi nataka vitabu vyake ila sijui vinapatikana wapi
@beatriceluminino7741
@beatriceluminino7741 5 лет назад
Dr. I need that book please, how can I get it?
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 года назад
Upendo ndo muhm...
@geraldbenjamin9302
@geraldbenjamin9302 3 года назад
Bila shaka hicho kitabu kipo tayari! Naomba nipewe Utaratibu wa kukipata plz
@abasibogga4798
@abasibogga4798 5 лет назад
i dont hve a confidence to speak infront of the majorit, wt can i do to solve this.
@swagaboy
@swagaboy 6 лет назад
hallow Jimmy.... VP hcho kitabu cha doctor Ellie kinatoka lini na kitauzwa sh. ngapi
@shotkeez
@shotkeez 5 лет назад
I wish Dr Elie angekua na RU-vid channel
@evamwinga921
@evamwinga921 3 года назад
Wazo zuri rafiki, yaan ni mwalimu mzr sana
@kondojrshebby6253
@kondojrshebby6253 6 лет назад
Dr.Ellie ,nabarikiwa sana na masomo yako, naulizia kitabu kinatoka lini?
@sagboison6297
@sagboison6297 Год назад
Hello wapendwa hbr zenu,naombeni namba za dk Elie
@ashashabani4402
@ashashabani4402 5 лет назад
naaam
@matokeowihanzi1004
@matokeowihanzi1004 5 лет назад
Nina hamu sana na hicho kitabu
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 3 года назад
Uyu jamaa yupo deep sana . kkkkkkkkkkkkkkkkkk
@richardniganya332
@richardniganya332 6 лет назад
Nje ya tanzania tutakipata vp,,,,,
@fundieddy3490
@fundieddy3490 6 лет назад
Tafadhali naomba namba ya mawasiliano yako Dr. Elie.
@hemedhajikiumba
@hemedhajikiumba Год назад
Dr alia unapatikana wapi
@deborakituma8673
@deborakituma8673 5 лет назад
Tunaitaji icho kitabu
@robertshemaonge6000
@robertshemaonge6000 5 лет назад
Tuko pamoja dr
@rashidiomary1324
@rashidiomary1324 6 лет назад
achia tunadownload
@kenotinga7744
@kenotinga7744 2 года назад
How can I get your books, in Kenya
@kelvincharles9825
@kelvincharles9825 6 лет назад
Alafu kingine ni sauti inakuwa ya chini sana kwa watu tunaotumia kukuangalia live kwa computer zetu
@erickhaule8680
@erickhaule8680 6 лет назад
Duu watu wana akili jamani sasa Mimi si tahira
@hbnelly8359
@hbnelly8359 5 лет назад
I apprentice my brother
@restypeter1141
@restypeter1141 5 лет назад
Hahhahahahahha
@msalaba6768
@msalaba6768 6 лет назад
Mtusaidie pia kupata kitabu hicho.
@alamnyopo9739
@alamnyopo9739 3 года назад
Hivi kitabu kilishatoka?
@bestcakes7098
@bestcakes7098 Год назад
Nahitaji kitabu cha hekima nakipataje?
@gracesaulomisonge6069
@gracesaulomisonge6069 3 года назад
Kitabu tunakisubiri
@newbornhaule1635
@newbornhaule1635 5 лет назад
Napataje kitabu hiko Niko mbeya
@emmanueledmund1918
@emmanueledmund1918 4 года назад
Dr.Elie nahitaji kitabu nitakipataje?
@kelvincharles9825
@kelvincharles9825 6 лет назад
I'm sorry Dr Elli napenda kuuliza khabari ya kitabu bado?
@zarafimustafa5325
@zarafimustafa5325 5 лет назад
Doct nawezaje kukipata hicho kitabu kwa maelekezo please tumia number hii 0654242664
@bettyjamila3795
@bettyjamila3795 5 лет назад
Good
Далее
Будзек и рецепт🐝
00:25
Просмотров 130 тыс.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
Просмотров 16 млн
Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.
41:49
Быть эмпатом это:
0:17
Просмотров 4 млн
КРАЖА ПОСРЕДИ БЕЛОГО ДНЯ😱
0:26