Kutokana na Uchache wa walimu Kaunti ya Turkana ,Zaidi ya wanafunzi 40 wamefadhiliwa na Mbunge wa Turkana ya kati Joseph Namuar kusomea ualimu huku wanne wakipata nafasi ya kusomea udaktari.
10 сен 2024