Тёмный

Ufafanuzi kuhusu vitambulisho kwa Wazanzibari wanaoishi ughaibuni 

Gumzo la Ghassani
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 4,8 тыс.
50% 1

Kwenye Gumzo hili, Mkurugenzi na Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora katika Ikulu ya Rais wa Zanzibar wanazungumzia vitambulisho vipya vinavyotolewa kwa ajili ya kuwatambulisha Wazanzibari wanaoishi Ughaibuni, wanadiaspora.

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@MassoudMaghwaly-jo8sh
@MassoudMaghwaly-jo8sh 2 дня назад
Me naona wanazunguka mbuyu tu tanzania ilikua waruhusu uraiya pacha tu..
@shillingandpence
@shillingandpence 2 дня назад
Kulikuwepo na kampeni kubwa ya uraia pacha na serikali ilikuwa ishaanza kulainika lakini ilipokuja kutolewa idea na "hadhi maalum" serikali ilipata support kubwa sana kwa wale wanaoishi katika nchi ambazo haziruhusu uraia pacha kama hususan nchi za kiarabu. Pia walipata support kubwa kwa wale wanaoishi USA. Yaani hata kama ukiangalia wale walio mbele mbele katika kulisimami hili na kuanzisha ma whatsapp groups na kuitisha mikutano ni watanzania wanaoishi USA.
@jaysullman3697
@jaysullman3697 12 часов назад
Mbona mnazunguka Sanaa?? Mzanzibar atabaki kua Mzanzibar tu!!!
@MrKhatibu
@MrKhatibu 20 часов назад
It's a trap 😂😂😂
@jaysullman3697
@jaysullman3697 11 часов назад
Kiufupi apo hao watendaji hawana maelezo kamili ya kuweza kukuridhisha hawana jipya!!!
@ommykhatib
@ommykhatib 2 дня назад
Roho mbaya imewajaa nchi zote including Kenya Uganda Rwanda na nyenginezo zinaruhusu uraia pacha ila hawa watu wana roho mbaya sana kutunyima sisi haki zetu
@jaysullman3697
@jaysullman3697 11 часов назад
Maneno yao ni mitego mitego tu lkn huduma apo hakuna wanamuona kila mtu alietoka kwenda nje nchi uyo atakua na Pesa tu kwa iyo mie naona hakuna tofauti na unyonyaji Damu tu!!!
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 3 дня назад
Shukraan saana ❤
@salahaljahury2907
@salahaljahury2907 2 дня назад
Naona hii kitambulisho cha diaspora hakimsaidii Mzanzibar ikiwa kila kitu hupati sasa faida yake ni ipi
@shillingandpence
@shillingandpence 23 часа назад
Ikiwa huna lengo la kwenda kuekeza project kubwa zanzibar ushauri wangu usipoteze muda wako hii haina faida yeyote ile kwetu sisi watu tusiokuwa na mamilioni ya $ za kuwekeza. Serikali hii haijui kitu kingine ila $ tu!
@jaysullman3697
@jaysullman3697 12 часов назад
Sahihi kabisaa 💯 😂​@@shillingandpence
@buchbeats5337
@buchbeats5337 15 часов назад
Hee SMZ imekuwa inatupenda kiasi hiki mchongo huo wa kupata pesa za kulipa madeni kama kweli SMZ inawapenda WaZanzibar basi ingevunja muungano mana hiyo ndo main resone ya WaZanzibar kwenda kuishi nchi nyengine.
@sarboko
@sarboko 2 дня назад
Nimemsikia unalipa visa
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 2 дня назад
Hawana choche cha maana hao wanaowaletea ukhanithi huu,kwanini watu wasipewe urai pacha? Ukiwasikiliza kwa undani watu hawa wa mfumo ni watu waliotawaliwa na roho mbaya sanaa kuliko nyoka katika nafsi zao.
@shillingandpence
@shillingandpence 23 часа назад
Kuna siri iliyo wazi kuwa kuna watoto wa viongozi wa serikali na upinzani ambao wana uraia pacha. Tena pia kuna baadhi ya viongozi serikalini wana uraia pacha. Kuna watu wanafanya kazi ikulu zote mbili za zanzibar na tanzania na wanajulikana wazi wazi kuwa wana passport za nchi mbili mbili na maraisi wanajua kabisa!!!
@nassorally-xi6zh
@nassorally-xi6zh 2 дня назад
Br ss tuliopo hapa ni shida
@user-sr9js6rj5v
@user-sr9js6rj5v 2 дня назад
Hivo vitambulisho vinagharimu pesa ngapi kukipata?
@shillingandpence
@shillingandpence 23 часа назад
Niliuliza kwa husika na sikujibiwa ni kiasi gani vinagharimu kupata ila niliambiwa ni $200 kurenew kila baada ya miaka miwili. Kwa maneno mengine utalipia $100 kwa kila mwaka kuwa na kadi ambayo haitambuliki tanzania bara seuze kimataifa! Ni changa la macho ndugu yangu!
@saleemshehabu3071
@saleemshehabu3071 2 дня назад
huenda ukawa mwanzo mzuri Allah atufanyie wepesi
@shillingandpence
@shillingandpence 23 часа назад
Uzuri gani wakuwa na kibali ambacho hakitambuliki Tanzania nzima (kinatambulika zanzibar tu) na wala hakitambuliki kimataifa?
@shillingandpence
@shillingandpence 23 часа назад
Plus unatakiwa ukilipie $200
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 3 дня назад
Tungeomba hio website(ya mtandao) ili wanaotaka kuomba wafanye hivo
@user-oo3vj7ku8r
@user-oo3vj7ku8r 2 дня назад
Wekeni email basi ili tuweze kuuliza masuala mengine zaidi au any contract ambazo zitatupatia bursa za kuuliza masuala na kujibiwa
@stonefacestoneface2976
@stonefacestoneface2976 2 дня назад
Jee Kama Mimi NI MZANZIBAR na ninatumia Passport ya ki TANZANIA na Nina watoto WA kitanzania na niWAZANIBAR Lakini nimewazalia ULAYA Jee inanihusu Mie au watoto wangu kupata kitambulisho hicho Vilevile nawatoto wangu wanazo Passport za kiTANZANIA.SUALA LANGU NI HILO. NAOBA JAWABU TAFADHAL.
@shillingandpence
@shillingandpence 2 дня назад
Haswa!!! Kama ukisoma comment yangu ya mwanzo utapata jawabu lako. Ni wengi wanatatizwa na hii issue kwa sababu serikali yenyewe (i mean viongozi/ wafanya kazi wa ofisiya diaspora) hawana definition moja juu ya nani ni diaspora na nani anahitaji ID hizi. Kwa ninavyofahamu mimi nandivyo inavyotakiwa iwe sisi ambao tunaishi nje ya tanzania lakini still tunatumia passport za tanzania hizi IDs hazituhusu kwa sababu hatukabadilisha uraia wetu, hence tuna haki sawa sawa na watanzania waliopo nyumbani.
@ommykhatib
@ommykhatib 2 дня назад
Kama una passport ya Tanzania wewe hii haikuhusu
@mohassan1978
@mohassan1978 День назад
Ww ni mtza hiyo haikuhusu. Ppt yako inatosha kuwa kitambulisho popote. Wate ambao wana ppt za nchi nyengine ndio wanahitaji hivyo ili waweze kupata huduma mbakimbali hapa znz
Далее
PITIO LA KITABU: Maisha Yangu cha Khamis Abdullah Ameir
1:10:58
BABA YANGU KIPOFU Full episode /39/ #love
23:12
Просмотров 23 тыс.