Тёмный
Gumzo la Ghassani
Gumzo la Ghassani
Gumzo la Ghassani
Подписаться
This is an official RU-vid channel of the Swahili poet and multimedia journalist, Mohammed Ghassani.
UWAPE wamtafuta mlezi wao kwa udi na uvumba
8:34
2 месяца назад
Lugha ya Kiafrika kwa Ukombozi wa Muafrika
22:48
2 месяца назад
Kujikolonisha na Hatari za Wakati Tuliomo
21:57
2 месяца назад
Translating Home. Kuitafsiri Nyumbani
39:01
2 месяца назад
Kijana muuaji aliyepewa ufalme
13:33
5 месяцев назад
LADHA ZA GHASSANI: Unimilikiye
1:33
5 месяцев назад
Shukrani, Khalid wa Ghazza
2:59
8 месяцев назад
Maulid ya Maalim Seif
42:26
8 месяцев назад
Комментарии
@user-xz1rc1oq8w
@user-xz1rc1oq8w 9 часов назад
Mmmmmmmmmmmhhh
@AbubakarHafidh-b6v
@AbubakarHafidh-b6v 23 часа назад
Naomba kujua kitabu tunaweza kukipata wapi?
@khelefal-kindy-lh6sx
@khelefal-kindy-lh6sx День назад
Wazanzibari ni Watu Mwenyezi Mungu amewapa Subra kubwa sana. Baada ya Dhulma zote walizofanyiwa na kuendelea kufanyiwa hiyo siku ya kuuliwa Watu na miaka yake ya Sabini kwa vifo na mateso ambavyo hata Firauni hakufanya na hiyo Miaka ya Dhulma ndio imekuwa ndio maadhimisho na Furaha na Vifijo ya kitaifa. Zanzibar ndio Nchi peke yake inayoadhimisha kwa furaha na maadhimisho ya Mauwaji ya Raiya wasiokuwa na hatia kwa kisingizio cha kuwazulia uongo wa Ukabila na Rangi na ati Ukoloni watubwasiokuwa na hatia. Hayo yaliyoandikwa kwenye vitabu vilivyoandikwa ni kidogo na madogo na ndio angalau yanaweza kuandikika lakini yapo mengi na makubwa sana ambayo watu wameyaficha ambayo hayawezi kuhadithiwa kwa jinsi yalivyokuwa Makubwa ambayo imma watu wameona wayanyamazie au hayawezi kuhadithiwa au yaliyowafika tayari wapo mbele ya haki Watu hujuta kwa maovu waliyofanya Wazee wao lakini Madhalimu hutumia Dhulma kuwa ndio silaha ya kuendelea kuwadhulumu watu na siyo kuwa kila mwaka siku ya Dhulma na matendo yake na tija zake ikawa ndio siku ya kuadhimisha na kutonesha watu Vidonda. Naona sitoweza kumaliza kuandika , bora niishie hapa. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hicho kidogo ambacho wametokea Wazee wetu kukiandika ambacho zamani ilikuwa siyo rakhisi na sasa wengi wao hawapo tena Duniani. Zamani wacha kuandika, Mtu kuzungumza tu dhiddi ya Serikali au Dhulma basi chembelecho wenyewe wana wa Mapinduzi Utaku.... Ndooni Haki na Ukweli utafichwa lakini daima unakuwa upo na ipo siku lazima utajulikana Ahsanteni
@user-iw2kk4mw5m
@user-iw2kk4mw5m 2 дня назад
Maghani mazuri haya. Mashallah!!
@shafikakrabi8490
@shafikakrabi8490 2 дня назад
Mashaalah jazakallah kher
@bellalygeomecky1145
@bellalygeomecky1145 2 дня назад
Mungu akupeni afya yenye neema...na baraka 1:19
@ABDALLAHMWATANDA
@ABDALLAHMWATANDA 2 дня назад
HONGERA KWA KUTUTAJIA USUL NA ASAS YAKO
@saidhamad7504
@saidhamad7504 3 дня назад
Nafikiri tukipe jina kabisa hcho kitabu cha " walio jifanya waungu watu" Mwisho wa maji n'tope
@user-pf1vl6wn4v
@user-pf1vl6wn4v 3 дня назад
kitabu kama hicho kwa Zanzibar tunakipata wap
@fathiyaalrawahi6382
@fathiyaalrawahi6382 3 дня назад
Mwandishi ana hekma nzuri hataki fitna yaani ukimjua mtu alokutesea mtu wako itakua kisasi.anakuacha kwenye suspense utambue mwenyewe
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 3 дня назад
Hapana aliejifunza kwa sababu Serikali inayaficha ili watesaji wazidi kutesa watu kwa maslahi ya CCM
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 3 дня назад
Tupo sawa
@MalengoKai
@MalengoKai 3 дня назад
Ni sawa andika kilichowakuta
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 3 дня назад
Ungemuachia jusa akakichambua kitabu bila kuficha
@ally1702
@ally1702 4 дня назад
Kaka asalamu alaikum mimi naomba mawasiliano yako au naomba unitafute kwenye +97466037344
@user-hh5ew8wb7d
@user-hh5ew8wb7d 4 дня назад
Pole bi khadija
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 3 дня назад
Na yeye pia ameshatangulia
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 дня назад
@@user-hh5ew8wb7d Mungu awalaze pema. Amin
@user-hh5ew8wb7d
@user-hh5ew8wb7d 4 дня назад
Good alhasan
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 4 дня назад
Ndio maana Zanzibar (Unguja na Pemba) haikai sawa wala haina barka kwa dhulma na mabaya walofanyiwa. NCHI imejaa watu lakini hawaijuwi nini Zanzibar na wangeijuwa kweli Zanzibar basi wote wangekimbia.
@sheikhasalim1190
@sheikhasalim1190 4 дня назад
nitakitafuta inshaAllah. shukran kwa ufafanuzi, Allah awalipe kheir
@suleimanmohammed5344
@suleimanmohammed5344 4 дня назад
Kuna ulazima wa mambo haya kusimuliwa na kuelezwa kila mahala ili sisi kizazi cha leo tuyajue kwa sababu kuna mengi ambayo tulikuwa hatuyajui.
@jamalkishangu
@jamalkishangu 4 дня назад
Hakika
@Marjeby
@Marjeby 4 дня назад
Hassan leo nimependa sana jinsi video ya leo ilivyo clear
@azizamri1522
@azizamri1522 4 дня назад
Wallahi inasikitisha na kuliza. Dhulma haiwezi kudumu!
@saeed5190
@saeed5190 4 дня назад
Wapi tutakipata kitabu na kiasi gani
@abdulhakimsaleh6899
@abdulhakimsaleh6899 4 дня назад
Wapi kinapatikana
@GumzolaGhassani
@GumzolaGhassani 4 дня назад
www.lulu.com/shop/ibrahim-mohammed-hussein-and-ahmed-rajab-and-mohamed-a-saleh/baraza-ya-majestic-na-machinjioni-kwa-bamkwe/paperback/product-gjgkyde.html?q=Ibrahim+Hussein+&page=1&pageSize=4
@MussaMohammed-r8j
@MussaMohammed-r8j 4 дня назад
Kama pataandikwa mwisho wa watesaji kina Mandera itakuwa ni somo tosha . Nakubaliana na wazo la muandishi alomuandikia sh. Mohammed said. Na wewe kaka Mohammed Ghasan ulisimamie hilo.
@mohamedkhalifa5764
@mohamedkhalifa5764 4 дня назад
Dunia Mapito na hawa wauaji watakufa Watayakuta waliyoyatenda
@saifancal1629
@saifancal1629 4 дня назад
So sad kwakweli
@nassoromarelbajouny4462
@nassoromarelbajouny4462 4 дня назад
Tunaomba kujua wapi tutakipata hicho kitabu
@GumzolaGhassani
@GumzolaGhassani 4 дня назад
@@nassoromarelbajouny4462 www.lulu.com/shop/ibrahim-mohammed-hussein-and-ahmed-rajab-and-mohamed-a-saleh/baraza-ya-majestic-na-machinjioni-kwa-bamkwe/paperback/product-gjgkyde.html?q=Ibrahim+Hussein+&page=1&pageSize=4
@nassoromarelbajouny4462
@nassoromarelbajouny4462 4 дня назад
Thanks bro​@@GumzolaGhassani
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 4 дня назад
,Jina la kitabu please na kinapatikana wapi kwa gharama zipi please 🙏
@GumzolaGhassani
@GumzolaGhassani 4 дня назад
@@imraniqbal00765 www.lulu.com/shop/ibrahim-mohammed-hussein-and-ahmed-rajab-and-mohamed-a-saleh/baraza-ya-majestic-na-machinjioni-kwa-bamkwe/paperback/product-gjgkyde.html?q=Ibrahim+Hussein+&page=1&pageSize=4
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 4 дня назад
Inauma na inasikitisha mnoooo la kushangaza mpka leo yanaendelezwa licha ya watu kushinda kwenye vibla vya misikiti kila ijumaa lkn wanaendeleza mauaji mabakaji na ulawiti kila siku za uchaguzi zanzibar na wakubwa hawasomi
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 4 дня назад
Nakipenda Kiswahili cha Zenji jamani. Kina vionjo vyake vilivyojaa Lahaja busara za mtu mwenye hekima kama kiarabu vile. Waooo!
@abdulbastadam7985
@abdulbastadam7985 4 дня назад
Kaka tushamiss vipind kma hivi ni mda san
@saidhamad7504
@saidhamad7504 4 дня назад
Yani tmevimis sana, Kuanzia Prof Ibrahim Noor, Sheikh Riadh Al busaid, Sheikh Abdul Mutalib (Mutta)Miss them badly!
@shaficabdalaziiz218
@shaficabdalaziiz218 7 дней назад
Dah sauti ni ile ile, madhaaAllah
@Hassannur-oe5tx
@Hassannur-oe5tx 11 дней назад
Wairaqw ni wasomali wetu tulippteleana we need to claim
@Hassannur-oe5tx
@Hassannur-oe5tx 11 дней назад
Wairaqw Wana ukaribu na rendile na wasomali
@josephmwangi3198
@josephmwangi3198 12 дней назад
@Yayouselim
@Yayouselim 18 дней назад
Ghassan wew kiboko
@rahamuha1932
@rahamuha1932 19 дней назад
Hahaha eti mitoto ya zamani ilikua mizuzu😂
@YohanaJoshua-g3p
@YohanaJoshua-g3p 19 дней назад
Waislam ni walalamishi sana mpewa nafasi nyingi sana na serikali hijabu mnavaa mbona mnapenda vita vya nini
@YohanaJoshua-g3p
@YohanaJoshua-g3p 19 дней назад
Serikali inahofia usalama wa nchi
@AllyKhamis-n1k
@AllyKhamis-n1k 19 дней назад
Asante Mh Rais mpendwa nakuaminia mkuu
@user-hp7yb3tn2t
@user-hp7yb3tn2t 22 дня назад
ukweli huyu msomaji wa qaswida hii ndio aliumia zaidi na nimefanya uchunguzi anakasida nyingi na nzuri na hana makuu lakini jamii haioni hizi kazi zake kwa jina anaitwa Sheikh Issa Qaswida nimepekua youtobe yake huyu kija sio wakawaida
@SuadAlbarwani
@SuadAlbarwani 24 дня назад
😢Mwenye Enzi Mungu Mkubwa
@SuadAlbarwani
@SuadAlbarwani 24 дня назад
Kweli Unguja njema atakae na are.
@lenniefei6710
@lenniefei6710 25 дней назад
Sultan Said Khalifa aliifnyia makubwa Zanzibar japo kuna watu fulani wanadai alikua Kibaraka, Jee hawa viongozi walioko leo ambao 'sio vibaraka' wamewafanyia yepi waZanzibari ???????????
@lenniefei6710
@lenniefei6710 26 дней назад
Kitu kinachonikwaza na kuniuma hadi waleo ni kwanini Sultan Jamshid Al Busaidi na Mohd Shamte waliuza mwambao kwa nchi ya Kenya bila kuhusisha watu wa mwambao (Mombasa) wenyewe na kutuletea madhila makubwa kwa kupoteza ardhi zetu, biashara, tamaduni, na kadhalika hadi leo hii 😢😢😢😢
@jumafaki7473
@jumafaki7473 29 дней назад
labta haijulikani llipo, wanahistoa wote afrika mashariki ,hamjagika kilwa , itakua maajabu ,ya wanahistorua wa ajabu ulimwengu , ngombe kilwa inatarehe mlangoni mpaka Leo, 1123,hijiria
@KautharHamad-o1y
@KautharHamad-o1y 29 дней назад
Allah akupe maisha mema pepon baba yetu tunakukumbuk Kila masaa
@willykhatambi9226
@willykhatambi9226 Месяц назад
Kifo huna huruma
@user-ik4xc5vh7b
@user-ik4xc5vh7b Месяц назад
Allah akulipe maalim kw jihaad ulioifanya