Amen amen pastor mm niko na ushuhuda na hili fungu juzi nilitoa nyumba ya konokono mdogo wale wa baharini kwa mkono wangu wakulia kulikua kama jibu nikakamua nikatoa hicho kinyumba chake na niko saudi nafanya kazi amen amen kupitia mafunzo yako nimesimama na mungu zaidi kukaa ndani yangu
Amen 🙏 pastor mungu akubariki ahsante Kwa haya mafundisho tangu nijue nguvu za mungu ndani yangu nashuhudia kuna mambo siyafanyi ambayo hayakuwa yampendeza mungu
Pastor ushuhuda WA swala la ada limeniyokea wiki chache zilizopita pale MUNGU aliponilipia ada kwa muda wa masaa mawili tu..ada ya mwanangu wa std seven 2023...amount ilikuwa milioni moja kasoro....Hakika MUNGU huyu anaweza KULIKO chochote..ukuu wake kwangu HAUELEZEKI
Aminaaaa sana pastor ,Mungu akubariki sana na azidii kukutumia popote palee ulipoo,kupitia ujumbe unaotamkika kinywani mwako .....umeimarisha maisha yangu ya kiroho na kiuchumi piaaah!!!! Jina la Bwan lihimidiwe mileleeee.
MUNGU atukuzwe Kwa hubiri hili,,,nimegundua ni kwa sababu gani BANDA LANGU LA KUKU lote lilipatwa na ugonjwa WA ajabu..biashara ya kuku 300 sikufanikiwa kuingiza hata shilingi laki sita kwa mauzo maana walikufa karibia nusu ambao walikuwa ni 150.... Nimepata kitu kikubwa Sasa kutoka Kwa hubiri hili na sasa ninaanza Tena biashara RASMI...Ee MUNGU nisaidie....
Unanibariki sana sana Mchungaji Mbaga sina Mchungaji nabarikiwa nae zaidi yake isipokuwa wewe natamani siku nipate kukufikia ulipo nihudumiwe Kwa karibu zaidi ndo shauku yangu
Asante sana Mchungaji kwa neno la Bwana. Lakini ninachangamoto ya ugonjwa wa ulcers, nimejaribu madawa mara kadhaa lakini bado sijapona, naomba nawe uniombee . ( Jina langu ni Bolis Ainebyoona kutoka nchini Uganda)
Amina haya ndyo mafundisho syo pokea gari lanani Hilo gari. Mm siyo msabato ila Huwa siangaliii dini naangalia Neno la Bwana hakika huyu mchungaji Mungu wambinguni ana mtumia sana
Pr.mimi kwavile sikujua na niliolewa namchawi ameni angaisha akunakitu naweza Fanya ifanikiwe mi nimwanabiashara tangu nimweleze mikono tangu yoteinagandaikiuma nanimefika sikuiziroho yamaombi sina na nikisikia kuomba mwili inakuamzito na uchofu siwezi omba nisaidie mtumishi ninateseka