Sjawah kucheka vdeo yako hata moja broo ispokuwa hiii nimecheka sanaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 big fan broo big fan nakukubali sanaaaaaa.. alaaaaa alaaaaa
Hahahha,daaah nilishindwa kuvumilia nikapitisha mkono ndani ya mtaroo🤣🤣🤣🤣nyuma yangu alikuwapo Baba paroko ambaye nlipomtupia jicho alikuwa anacheka ty