Тёмный

Uhusiano kati ya Kenya na Tanzania ulikumbwa na misukosuko 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Uhusiano kati ya Kenya na Tanzania ulikumbwa na misukosuko
Rais Magufuli alikwaruzana na serikali ya Kenya mara kadhaa
Hata hivyo Magufuli alisisitiza kuwa Kenya na Tanzania ni ndugu
Uhusiano wa Rais Magufuli na wenzake wa EAC ulikuwa unayumba
Magufuli alisusia mikutano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mara kadhaa

Опубликовано:

 

17 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@mwantimazdombo6049
@mwantimazdombo6049 3 года назад
tulimpenda magufuli ameiliza Kenya kwakweli
@pinchesmbuche4354
@pinchesmbuche4354 3 года назад
Iliwasaidia aje
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 3 года назад
Acheni ugombanishi nyie wakenya ndo mliazisha kuzuia ndege za Tanzania kutua kenya
@zuhuramohamed3424
@zuhuramohamed3424 3 года назад
Kwa sabb alisimamia misimamo yako na hakutk kuendeshwa na m2, plz ungeacha huo upuuzi wako
@mwantimazdombo6049
@mwantimazdombo6049 3 года назад
Marafiki ugombana lakini bado watakua marafiki
@sallysarch9441
@sallysarch9441 3 года назад
Shame
@africatoday861
@africatoday861 3 года назад
Acha raisi wetu apumzike tafuta habari nyingine
@mitchelljohnson5218
@mitchelljohnson5218 3 года назад
Hahata vikombe hugongana vikiwa kabatini
@sallysarch9441
@sallysarch9441 3 года назад
Smh
@richardmageto7780
@richardmageto7780 3 года назад
LET US BE UNITED AS AFRICANS AS WE MOURN OUR PRESIDENT
@jacksonmwangi6581
@jacksonmwangi6581 3 года назад
Wa Tanzania ni jirani mbaya chuki na wifu ndo zao
@karimabdul3928
@karimabdul3928 3 года назад
Hizi sio habari za maana wakati huu tafuteni habari zenye kwenda na mayukio
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 года назад
Km zipi
@lilylilian8729
@lilylilian8729 3 года назад
Iko sawa tu nikuonyesha vile alikua anakabiliana na mambo Kweli alikua raisi mfano wa kuigwa
@zainabalbasry8652
@zainabalbasry8652 3 года назад
haki kwanini "Tz mko na machungu na kenya.
@trizahmacharia2939
@trizahmacharia2939 3 года назад
Huyu ni mnafiki kweli
@seniorcomradenyongesa
@seniorcomradenyongesa 3 года назад
Mnafiki ni nanii
@aaa64sa13
@aaa64sa13 3 года назад
Wanini au nani. RIP
@wambui4590
@wambui4590 3 года назад
Usabasi
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 года назад
😅
@bensalome4676
@bensalome4676 3 года назад
Uhuru na walevi wenzake ndio walisababisha.
@lynelee5846
@lynelee5846 3 года назад
Kwa hivo ndio tufanyeje?? 🤔😓
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 года назад
Mungu ailaze roho yke mahal pema peponi
@Du-Rango
@Du-Rango 3 года назад
Hii habari inasaidia nini @Citizen tv... Upuuzi na porojo 😠😠😠
@pinchesmbuche4354
@pinchesmbuche4354 3 года назад
Ni ukweli ngombe 1000 moja unafikiria ni pesa ngapi Kwa mfugaji
@davidngwesa
@davidngwesa 3 года назад
@@pinchesmbuche4354 Acha kulia wewe...suck it up and move up on. Maji yakimwagika hayazoleki!
@kingsan2548
@kingsan2548 3 года назад
Uyu jamaa ali dhulumu wakulima wakenya sana but now r.i.p magufuli
@wanyonyikenmaulo6228
@wanyonyikenmaulo6228 3 года назад
Wakenya ni mikora tu
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 3 года назад
Mlitaka kuifanya Tanzania kichwa Cha mwendawazimu Magufuli akawanyosha na bado msitarajie kuinyonya hii nchi
@sallysarch9441
@sallysarch9441 3 года назад
Maghufuli barathuli mkubwa
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 3 года назад
Tuachie Magufuli wetu
@sallysarch9441
@sallysarch9441 3 года назад
Huyu nikama Sonko alikuwa naujinga mwingi
@wanyonyikenmaulo6228
@wanyonyikenmaulo6228 3 года назад
We ndio ng'ombe
Далее
Silent Hill 2 - Мульт Обзор
07:26
Просмотров 448 тыс.
How the US President Travels
12:01
Просмотров 8 млн
Rais Suluhu atania wabunge kuhusu ufahamu wa kiswahili
3:06
Monuments in Kenya
9:37
Просмотров 10 тыс.