Тёмный

MZEE AMWAMBIA RAIS MWINYI UOVU WA ZANZIBAR BILA KUOGOPA. 

AL FATAH TV ONLINE
Подписаться 99 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 210   
@AminasalimKhamis
@AminasalimKhamis 14 часов назад
Shukrn sheikh Allah akulipe khery mkono kwa mkono hadi peponi
@MchaFakih-ij8kh
@MchaFakih-ij8kh 19 часов назад
Well said may Allah bless you and Grant highest level of jannah
@ramzsule7678
@ramzsule7678 18 часов назад
Sheikh huna hoja mbele ya Allah umefikisha na Sisi mashuhuda na tunakuunga mkono Kwa Hilo hawakutekeleza watakwenda jibu shukran sheikh
@Quran-hidayat01
@Quran-hidayat01 14 часов назад
ameen
@IbrahimMussa-g6l
@IbrahimMussa-g6l 13 часов назад
ALLAH Akulipe ustadh ujumbe umefika na viongozi in shaa Allah M/Mungu awasaidie kupambana na izo hali
@Hussein-qq2uy
@Hussein-qq2uy 17 часов назад
Wallaahi sheikh wangu Allah akulipe kheyr umeshafikisha ujumbe huna dimma mbele ya Allah watu wa serikali wanajulikana wanauogopa mfumo Kristo ulioshika hatamu Tanzania nzima mimi naamini kama Rais atatoa tamko la kuzuia uchafu huu kwa nafasi yake hakuna atakaethubutu lakini ni mtihani tuwaachie mizigo yao
@joycedimoso8648
@joycedimoso8648 13 часов назад
Zuieni na smart phone zisiingie Wala kutumika Zanzibar bila ivyo kazi bure
@abuusalum928
@abuusalum928 16 часов назад
Allah akuzidishie mzee wangu , umefikisha na Allah ni shahid!!
@solomonadams6337
@solomonadams6337 19 часов назад
Mimi niko UK mwaka wa 22 lakini naungana nae huyu Sheikh hawa waumbaji wasije kuimba Zanzibar sisi tuna mila zetu za kiislam sawa,thanks
@joycedimoso8648
@joycedimoso8648 13 часов назад
Ishini kulingana nanyakati sasa ivi ulimwengu wautandawazi nyimbo hazitapigwa kwenye tv na redio vp kuhusu smart phone hawataangalia kwenye tv sawa je kwenye cmu pia mtazuia? Mkitaka kuliweza hili nawashauri mpige marufuku cmu kuuzwa Wala kutumika zenjy Dunia yautandawaz huwezi kushindana nayo
@gwajimagwajima
@gwajimagwajima 13 часов назад
Unaweza kuzuaia RU-vid na kila sehemu​@@joycedimoso8648
@HUSSEINALLY-b7f
@HUSSEINALLY-b7f 12 часов назад
​@@joycedimoso8648we itakuwa unapenda Hawa wasanii wahuni.kinachowezekana kifanyike
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 10 часов назад
Acha ujinga lazima ikatazwe mtu akifungua mwenyewe nijukumu lake binafsi​@@joycedimoso8648
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 9 часов назад
​@@joycedimoso8648tatizo siyo wakati ila wanatembea uchi wanaharibu maadili, leo mashoga na malaya wote wa Afrika Mashariki wamejaa Zanzibar, wanapanga mageto kufirana nje nje yani ni hatari zaidi ya hatari, kwa huo ushenzi wanaoufanya huku hiyo Dar inasubiri... wadada kutoka Dar na maeneo mbalimbali wanatembea nusu uchi kwa ajili ya kujilengesha kwa wazungu.
@JumbNovis
@JumbNovis 19 часов назад
Allah akubariki, Allah ailinde zanzibar yetu ,
@abuuzahra-fc2jg
@abuuzahra-fc2jg 16 часов назад
Naam huu ndio ukweli Mzee wetu Allah akulipe
@SuolFat
@SuolFat 14 часов назад
Hongera sana shekhe umeongea ukweli mtupu
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 16 часов назад
Ndugu yangu katika upo sahihi allah akuifadhi
@NassorrajabJuma
@NassorrajabJuma 15 часов назад
Allah akulipe shekhe wetu na wanaovaa uchi pia nao waambiwe
@saidbakar-x1m
@saidbakar-x1m 15 часов назад
Umesema kweli shekhe wangu
@ghalibelghanim1151
@ghalibelghanim1151 15 часов назад
Asante Sheikh. Zanzibar imeharibika.
@najashdawood9680
@najashdawood9680 14 часов назад
Upo sawa kabisa sheikh wetu ..hongera kwa ukweli uliowapa hao waheshimiwa .mmaana nao wanjitoa fahamu kabisa
@alijuma8009
@alijuma8009 19 часов назад
Mashaalah muungu akulipe kwa ujasiri wako
@FathiaHassan-g7t
@FathiaHassan-g7t 15 часов назад
mashallwah allwah atakulipa kila khiri
@AllyAme-h9e
@AllyAme-h9e 18 часов назад
Mashallah Zanzibar waislam cc mambo hayo kharam kwetu tusaidien viongoz kuondoa uchaf huu
@KizaSelepa
@KizaSelepa 14 часов назад
Allah akipe afya njema mzee wng❤❤
@faudhiaabdallah4361
@faudhiaabdallah4361 17 часов назад
Well said❤mashaallah
@FaridaAlita-jx6lt
@FaridaAlita-jx6lt 18 часов назад
Asanteni hii mada nimeipenda kwakweli
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz 14 часов назад
ilo baraza la sanaa lihamiye baraa sisi waislamu zanzibar uchafuu uwoo hatutaki
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 часа назад
Ndiyo matokeo ya muungano
@Zanzibar-e4h
@Zanzibar-e4h 14 часов назад
Mashaa Allah shehe wetu ushafikisha Allah akulipe heri zako
@kamalmukaddam1521
@kamalmukaddam1521 13 часов назад
Hongera sheikh ukweli umesema maana viongozi wa kisiasa wapo kidunia zaidi wanakula akhera yao duniani kabisa
@alimsellem6103
@alimsellem6103 15 часов назад
Diamond asije zanzibar
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 14 часов назад
Ungeanza na Mauzinde kumkataza aache usenge ungefanya Jambo jema sana
@alsam4881
@alsam4881 13 часов назад
Wote hao wapigwe marufuku kuingia Zanzibar kuanzia Diamond na harmonize na hawara zao, Mwijaku, babalevo, gigy money, wema sepetu, whozu, lulu diva, shilole na mahawara zao na wengine wote wenye tabia chafu wasikaribishwe tena Zanzibar wapewe marufuku kuingia,
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 9 часов назад
​@@alsam4881wote hao ni makahaba. Wasanii hao wanatuharibia jamii zetu
@utaani1
@utaani1 7 часов назад
Naunga mkono wote hao wasiruhusiwe kuingia Zanzibar
@MrA24G
@MrA24G 4 часа назад
​@@alsam4881 na p diddy
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 18 часов назад
Usiogope sema haki halafu hata wanamziki wasikaribishwe ikulu inakuaje wanamziki wanakwenda ikulu namuomba rais wanamziki niwatu wabaya wstaiharibu jsmii
@abdulatifismail4747
@abdulatifismail4747 13 часов назад
Ndio wapiga kura wao na mabarazuli mashoga hai ccm oyee😅
@utaani1
@utaani1 7 часов назад
Waimbaji wenyewe wanafirwa ndio wagaiwe funds na umoja wa mahanisi ulaya
@NoufelSalim
@NoufelSalim 13 часов назад
Hahah et me staki kuziona😂,hongera sheikh
@AbdulazizElShuwehdy
@AbdulazizElShuwehdy 12 часов назад
Alfatah TV Tafadhali rakibisha mimi sio mzee Andika ifuatavyo Shaikh Abdulaziz El Shuwehdy
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 15 часов назад
Na wanaovaa uchu ni wale watalii wa kiafrika kutoka Nigeria. ghana.kenya. Na south africa.na wabongo pia
@utaani1
@utaani1 7 часов назад
Hawana faida yoyote wasiruhusiwe kuja Zanzibar wageni hawa kutoka nchi hizo
@sulaimansalim8086
@sulaimansalim8086 10 часов назад
Masha Allah mashaa Allah huyu Mzee haya maneno yake inafaa yaandikwe Kwa wino wa dhahabu Allah ampe Jannat Firdausi Ameen
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 18 часов назад
Kiufupi wasiingie ikulu wasikaribishwe wanamziki hata kuwenda kutoa pole wanapofiwa msiwaruhusu
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 17 часов назад
Safi kabisa sheikh wetu Mheshimiwa amekuelewa vema
@nurdinimzimbiri
@nurdinimzimbiri 14 часов назад
Sheikhe Allah akulipe ujumbe ushafika serkali ya Zanzibar inalakijibu mbele ya Allah
@alsam4881
@alsam4881 14 часов назад
Ni kweli kabisa ayasemayo hayo huyo Sheikh, Haswa hao wanaojiita wasanii na watu maarufu kutoka bara ndiyo wanakuja Zanzibar kufanya maasi na uchafu wao huo na kuvaa nusu uchi, Kwakweli wanatuharibia vijana wetu, Mie naomba Serikali ya Zanzibar isiwakaribishe tena hao wasanii kutoka bara wenye maadili mabaya pamoja na huyo binti wa kizanzibari Zuchu na hawara yake Diamond.
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo 19 часов назад
Ikiwa mnaweka sharia ktk nchi lazima Raia awe na kitambulisho ataweza kupata huduma za serika halafu raia ananyimwa kwa makusudi hamumpi. Halafu mnategemea hao wataweza kusimamia maadili ya Zanzibar? Wakati vitambulisho vya Mzanzibari wanapewa machangudoa wanaokuja kujiuza .
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 18 часов назад
Ndio hapo
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 16 часов назад
@@nailamohd-wn6sb Nisawa wakati wa Rais Karume Airport ya znz kulikuwa na vitenge maalum akishuka ndege 2 mtalii anapewa kitenge maalum ajistiri!
@saiddgsmg
@saiddgsmg 15 часов назад
umeongea haki
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 15 часов назад
@@TunauzaSimu-fn2ff ndio nikasema hawezi kusimamia km alivosema brodher hapo juu mana vitu simple tuu ni kurudisha yale ya zamani na mrejeshaji ni serikali na msimamiaji ni serikali sheikh na jamii kazi yao kutoa taarifa tuu laa sio hivo basi tutakauka mate kwa kusema na hawezi kusimamia hilo chezea Muungano ww
@RashidiAlly-cl7fo
@RashidiAlly-cl7fo 14 часов назад
Serikali inakwepa jukumu lake,wao ndio waliokula kiapo kuilinda katiba ya Znz,tumuulize Mh.Rais kwa mujibu wa katiba ya Znz hapo Unguja bar zilitakiwa zisidi ngap?jee! Sasa hivi zipo ngapi?,jee! Mwinyi huyajui yanayoendelea CCM mkoa pale Amani?,kuna kila aina ya uchafu unaofanyika pale,jee sio wewe mwenye mamlaka ya Zanzibar kwa sasa?nani wa kuyazuia hayo kama sio wewe!!,leo unashindwa hata kuitetea katiba ulioiapia!!
@mohamedshaban745
@mohamedshaban745 13 часов назад
Umefikisha kaz kwako mh mwinyi ujumbe umefika❤
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 18 часов назад
Mzee ujumbe umefikisha
@Zanzibar-e4h
@Zanzibar-e4h 14 часов назад
Hussen umelichomowa sheria za znz mnazikataa mnasingizia jamiii
@angeluspm5476
@angeluspm5476 2 часа назад
Mimi namuunga mkono huyo ndugu yetu alichosema. Naishi nje pia lakini napenda sana kutazama filamu za Tanzania na yale watu binafsi wayawekayo kwenye mitandao ya kijamii. Kwa kweli inasikitisha sana. Yaonyesha watu wamesahau kabisa mila na tamaduni zetu. Watu hujionyesha uchi bila hata ya aibu. Twawatayarishaje watoto wetu kuwa raia bora iwapo waendelea kuona mambo kama haya kila siku! Serikali ni lazima ziingilie kati jambo hili ili kuweza kudhibiti kutokea kwa mambo kama haya, tafadhali. Ahsante.
@PanyaBuku-qo7tu
@PanyaBuku-qo7tu 10 часов назад
Safi kabisa shekh tena wafungwe hao jela kwa kukaa uchi tumewachoka mishetani na wachafu
@khaledsuleiman9819
@khaledsuleiman9819 17 часов назад
Jazaka Allah khair
@omarhusna1766
@omarhusna1766 17 часов назад
Ujumbe ushawafika fungu lako lisha malizia sasa kwazi kwao
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 3 часа назад
Ni kweli Sheikh simu inapotosha
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 2 часа назад
MAASHA ALLAH BAARAKALLAH Sheikh ALLAH akubaarik saaana na akuhifadh saaana.
@jaysullman3697
@jaysullman3697 9 часов назад
Mashaa'lLah tabarak al Rahman JazzakalLah khairan akhui yangu 👍💯 kiukweli maneno uliyoyasema hakuna anaethubutu kuyaongelea hayo kiukweli Uliyoyasema ni maneno ya AlLah Azza wa jaalLah!!!❤❤❤❤
@saheelameir4313
@saheelameir4313 3 часа назад
Sheikh Allah atulinde na avilinde vizazi vyetu umefikisha ujumbe
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 13 часов назад
Jina la raisi msiseme hamumjui ❤❤❤❤
@ip_header
@ip_header 4 часа назад
JazakhaAllah Khairah, ahsante sheikh umeongea ukweli, tatizo viongozi wetu wanaongea kisiasa zaidi kuliko kuwa na hofu ya Mungu
@nadhifamohammed7749
@nadhifamohammed7749 13 часов назад
Mbona inawezekana viongozi tu wadharau lkn wanaweza kudhibiti Allah awajalie wapokee huu ujumbe
@alifoum6236
@alifoum6236 12 часов назад
Asante shekh, ALLAH atakulipa kheri kwa ujumbe
@MUHSINSALUM-cc4tg
@MUHSINSALUM-cc4tg 2 часа назад
Ahsante saana mzee Allah akulinde na Atupe suluhu Katika hilo.
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 4 часа назад
Allah s.w akuongoze sheikh wetu
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 13 часов назад
Desturi na hulka za ZANZIBAR zimepotea kutokana na viongozi wanaletwa kutoka TANGANYIKA.
@MuzneOthman-l7i
@MuzneOthman-l7i 11 часов назад
KWELI BWANA WAO NDIO WALIYOLETA SUNSUMIA NA SAMRAT HAPA ZANZIBAR
@MrA24G
@MrA24G 4 часа назад
Ndgu yangu ndimi.Maadili ni maadili hakuna cha mtanganyika wala m znz,kwani zamani hata bara wanawake walikuwa wakitembea uchi no ni kuiga mila na desturi za watu wa magharibi wasio na maadili.Maana hata wazungu wenye maadili hawavai hivyooo.Mimi nafanya kazi na wazungu wenye dini mbona hawaendi uchi ni utovu.Sikiliza hata hotuba za trump amekemea mambo hayaaa hayaaa ushoga,uvaaji ovyo nk.Lakini dunia ukikemea hayo unaonekana huna maana.Magufuli alikemea sanaaa upuuzi huu.Ni mambo ya kipuuzi kabisa.Ungemsikia juzi museveni nae anakemea hayaa hayaaa.Ni self discipline tuu imepotea hasa kwa aina hii ya vijana wa sasa hviii na kuiga mambo ya kishoga shoga na usagaji ndio balaaa linaanzia hapo.
@Zivago12
@Zivago12 32 минуты назад
Alhamdulillah. Allah akulipe kheri zako kwa ujasiri ulousema. Na umalaya pia umezidi madanguro yamezidi. Jamaa zake wa bara ndio walojaa znz hakuna ustaarab kabisa.
@AwenaFeisal
@AwenaFeisal 13 часов назад
Maa shaa Allah kweli jamani
@JOKHAALIY
@JOKHAALIY 3 часа назад
Allah akulipe kheri mzeee wangu Ujumbe umefika
@mbaroukkhalfani9244
@mbaroukkhalfani9244 10 часов назад
Allah akufanyie wepesi sheikh
@LibroadAgency
@LibroadAgency Час назад
Zeee jinga Sanaa...wazanzibar awapendi watu weusi...wao ndio machoko wa dar...mnona usemi watalii wanao lawiti watoto na
@rashid3562
@rashid3562 11 часов назад
Much confident
@KamchapeKachara
@KamchapeKachara 11 часов назад
Wewe ndo muumin wa kweli na mungu atakusaidia na atatupa kheri inshaallah
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc 12 часов назад
Mimi naona nyinyi ni kama watoto wadogo tu bila ya kuwa na dola ya kiislam tutapiga make time
@kunsule9261
@kunsule9261 11 часов назад
Hakika sheiykh umefikisha. Allah Azidi kukuongoza. Zanzibar Imeharibika inaikimbiza Tanganyika kwa upotevu wa maadili. Kila rais zanzibar ni Muislam. Mawaziri wakuu wa mikoa hadi chini ni waislam lkn hujifanya Uovu uliopo znzbar hawauoni kwa kuhofia Ajira yao. Amri Inatoka tz bara. Jipangeni kumjibu Allah.
@KhalfanSaid-v1h
@KhalfanSaid-v1h 4 часа назад
Sheikh Allah akulipe heri...
@abdallasadik
@abdallasadik 11 часов назад
Dah' yaani shekh umeshafikisha mahala sahihi na Allah Anasema hamuadhibu mtu mpaka amfikishie ujumbe Mh.Rais kazi kwako mamlaka unayo
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 12 часов назад
hapo kuna jamaa ndiye anayewaleta kina zuxhu na yule mke wa pdidi
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 11 часов назад
Allah awajaalie hao viongozi Wawe na masikio na masikio ya moyo wasikie.
@SalumKeya
@SalumKeya 12 часов назад
Sahihi kabisa sheikh wetu umefikisha vilivyo na viongozi wakae chini kulitatua hili tatizo maan vijana wengi sas wameharibika sana na hii sanaa ya Muziki.Nafikili wangeondoa tu maan haina faida yeyote kwa jamii zaidi ya kuharibu vijana
@FaridaAlita-jx6lt
@FaridaAlita-jx6lt 18 часов назад
Kweli hilo lishughulikiwe kiingozi asimame imara kwakweli wanaume zama hizi ndio wanajistiri mno ila wanawake wao ndio matangazi yakila kitu ipigwe marfuk tusiwasikilize wazungu wasemavyo ety haki za binaadam hizo ni njama zao tu za kupotosha watu
@w4058
@w4058 12 часов назад
Kweli dada na safari ya skuli au madrasa inaanza nyumbani na sie tuanze na kwa sie wenyewe tuwache muweka ma help me kwanza na kujipamba tukitoka tuwache na mchanganyiko na kujitowa haya khasa katika siasa vyama vyote vinawashirikisha vibaya wanawake
@niyaabdi
@niyaabdi 50 минут назад
Wallahi exactly sheikh 👍👍👍👍
@zaudinzau2258
@zaudinzau2258 Час назад
Awoo unawaambia Mabasha watupu Serikalin ..apo wamekuchukua Roho zao zinauma hawana jinsi tu .. hakuna kitakacho fanyika
@thehomeoffootballskills4358
@thehomeoffootballskills4358 12 часов назад
Alhamdullillah umefukisja Shekh ata uku bara natamani tungepata wakutisea kama wewe maadil yamealibika sana sana umefikisha Shekh nasi ni shahidi kwa hilo
@Rukinho
@Rukinho 11 часов назад
Hakika ni kweli kabisa hizi nyimbo hazifai kabisa
@AllyHamran
@AllyHamran 18 часов назад
Zanzibar kichaka na kigenge cha wahun tu.Maana mtu anacheza uchi wa mnyama na inapigwa television ya taifa.
@AslihanKhamis
@AslihanKhamis 15 часов назад
Anachokizungumza mzee ni sahihi utamskia rais anawaagiza masheikh suala la kukemea maadili wakati anajua kwamba yeye anayo nguvu kubwa ya kuondosha uovu kwa mikono yake na kwa mdomo wke.
@aseelaisaa428
@aseelaisaa428 14 часов назад
Mashallah ❤❤❤❤❤❤ Shukran Mh Rais Dr Hussein mwinyi umejibu vizuri sanaaa safiiii kabisaaaaa sahihiiiiiiiiiiiii.media mitandao etc zote na wazee na kila mtu ktk jamiiiii wanawajibu wa kuongozana na kuelewesha jamiiiii ❤❤❤❤ sio serikali peke yake .
@NaglaSaid-jn1xo
@NaglaSaid-jn1xo 14 часов назад
Subhanallah , hakuna anaepinga hilo kwamba kila mmoja anao wajibu wa kukumbusha, lakini mtume SAW amesema kuna njia tatu za kuzuwia uovu isitendeke , Njia ya kwanza kuzuwia kwa mkono wako, Njia ya pili kukemea kama uwezo wa kuzuwia huna kama mzee wangu alivyofanya hapo . Na njia ya tatu ni ys kuchukia ingawa huko kuchukia ni udhaifu wa imani. Hivyo rais kama kiongozi mkuu wa nchi hana njia ya kukwepa sababu yeye leo akitamka tu kuanzia leo marufuku muziki Zanzibar akimaliza kutamka tu tayari Zanzibar itaanza kupiga hatua maana amri itakuaimetoka kinachofata ni utekelezaji , ukituletea mziki ni kichapo tu kila mmoja atakaa kwa heshima na adabu,
@NaglaSaid-jn1xo
@NaglaSaid-jn1xo 14 часов назад
Lakini je ana ubavu huo,? mfumo utamuacha salama? Ulwa hautaki tena?
@w4058
@w4058 13 часов назад
​@@NaglaSaid-jn1xo Hana Nia ya hayo aloyasema Allah atuongoze sote maana haiwi harusi tu ya mtoto wake alivyo vishwa utupu na video kurushwa kwenye you tube na sasa imekuwa fashion siyo yeye tu hapana sote tunajisahau siku hizi Allah atusaidie sote kuwacha
@w4058
@w4058 13 часов назад
Usimsifu bure yeye ni uli amri atanabahishwa kajitetetea tu hapo aonekane kama anataka kuyafanya yule dada alokuwa akisema khabari za ushoga na mengine wakiwemo mauwaji mbona hatujasikia wahusika kupandishww mahakamani
@abubakarkassim4161
@abubakarkassim4161 16 часов назад
Nawizara ya elimu inachangia kuharibika kwa kiswahili cha zanziba imepitosha maadili
@shehaali7632
@shehaali7632 3 часа назад
Asante maalim ujumbe umefika kazikwao
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 10 часов назад
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI QABRI
@w4058
@w4058 13 часов назад
Kweli kabisa ile harusi ya mwanawe tu inatosha maana sawa raia wanafanya na wao lakini Rais wa nchi aaa
@abdulhakimjuma9112
@abdulhakimjuma9112 19 минут назад
Mashallah baba allah akulipe
@kassimkunta1974
@kassimkunta1974 3 часа назад
Mashaallah kila lakheri
@w4058
@w4058 13 часов назад
Ni kweli muwongo hana nia ya maadili hata chembe kajitowa tu kimaso aonekane kama nae hafurahuwi mwanawe siku ya harusi Subhanallah nguo alovishwa machuchu yakionekana haaa asitudanganye na kama ana Nia kweli basi mabaa yalojaa amani na miziki ayapige marufuku hatutaki sanaa za uharibifu
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 15 часов назад
Sanaa hiyo unayosema ndiyo viongozi wanategemea wasanii ili kuwashawishi wananchi kukusanyika kwenye mikutano yao, " vigumu sana kwao sasa" kuwakataza! 😂
@bongo39
@bongo39 3 часа назад
Sahihi kabisa piga marufuku zuia kabisa najua watajitokeza wengi kusema mnakiuka haki za binaadamu ubaguzi waambueni sawa hatutaki hiyo laana ni aibu mungu atunusuru yani hata hayawani hafanyi hayo
@AmourMachano-x1q
@AmourMachano-x1q Час назад
Hebu shehe sema kama mungano umeharibu sana maadil ya zanzibar
@maishadume3272
@maishadume3272 13 часов назад
Hongeraaaaaa shehe ❤
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c 17 часов назад
😄 Atakae aje ndio hayo. Na wakati tumeungana na Watanganyika kamwe hayoondoka. Sababu hayo mambo yapo kiserikali.
@yasiniselemani2412
@yasiniselemani2412 5 часов назад
WATALII NAO WAFUATE MAADIL YETU otherwise wabaki kwao
@knight6757
@knight6757 12 часов назад
Enzi zetu hata TV hazikuwepo ...ati twende na wakati ! Mbona hao watalii hawa igi utamaduni zetu za kiafrica juu ya mawazi 🙄🤔
@masoudhassan153
@masoudhassan153 57 минут назад
Na wageni wasio na dababu za kuishi Zanzibar waondoke kuna raia wanaishi wala hawana kazi wala sio wafanya biashara wanazurura tu...sisi tupo mchi za Arabuni huku lakin huwez kuta mtu anazurura akiwa hana kazi na ukigundulika unashikwa na police vipi kuhusu Zanzibar?????❤❤❤
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 17 часов назад
Nilisema na mimi km serikali haingilii kati mashekhe mate yataganda na serikali hii ya mapinduzi hakuna litakalokua 😅 naona majibu ya Rais yy kishajitoa anakwambia tiktok hawezi kuchukua khatua mambo yataendelea km kawa
@AbdulMajidi-i9m
@AbdulMajidi-i9m 12 часов назад
Kichwa Cha habar na markezo tofaut muandish uache uhuni😊
@alikidungura9419
@alikidungura9419 19 часов назад
Wamesema serekali haimadini ila mambo ya sanaa ni ya dunia
@Zivago12
@Zivago12 30 минут назад
Serikali yenyewe inavunja maadili pia dhulma imezidi wanauwa hadi raia kwa kuutaka urais.
@Nabiilkhamis
@Nabiilkhamis 15 часов назад
Nyinyi mashekhe mauzinde ana Dukani katika mitandao yule ndio anavunja maadili
@abkhamsalshamte429
@abkhamsalshamte429 14 часов назад
Hekoo Barakaallah
@fahadabdalla8194
@fahadabdalla8194 18 часов назад
Serikali
@MohdJumaa-q3l
@MohdJumaa-q3l 14 часов назад
Asalama aleykum warhamatu Allah wabarakatu. Bora kukatika viuno wanawake hata ktk ngoma za vikosi ni marufuku. Kidini bora Allah kuliko Sanaa.
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 3 часа назад
Mashallah zanbar njema
@mwinyiothman5106
@mwinyiothman5106 16 часов назад
Mim mwenyewe kwangu sina tv kwa sababu ya hayo hayo
Далее
ZANZIBAR YAFURIKA UJIO WA MUFTI MENK
8:46
Просмотров 13 тыс.
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10
Как улучшить шоколадку Милка?
00:35
MAALIM SEIF AJIVUA UMAKAMO WA RAIS ZANZIBAR
10:09
Просмотров 78 тыс.
CHAGOS ISLANDS | Britain’s Strategic Defeat?
13:55
Просмотров 14 тыс.
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10