Тёмный

UJENZI na LCH02 | FAHAMU NAMNA YA KUTIBU FANGASI KWENYE UKUTA 

The Builders Home Tz
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Kuna aina mbili za maji yanayo athiri ukuta, maji yanayo panda kutoka chini ardhini na maji yanayotoka nje nakuingia ndani.
leo tumezungumzia namna yakutibu kuta zilizo athriwa na maji yanayotoka chini na kuingia ndani hivyo kuathiri kuta mfano rangi kubanduka nakadhalika.
Kwa mahitaji ya huduma hii tuwasiliane kwa Simu/Whatsapp; 0716573079
instagram; @lchbuilders
intagram; @thebuilderhometz_

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 6 месяцев назад
Dawa iliyochanganyiwa kwenye cement ni sikalite ila kwa kipimo inategemea na athari ya eneo husika. Mpigie kwa namba zake hapo akakutatulie tatizo. Unaweza kuitumia na isikupe matokeo.
@devothadonaldsimbi3499
@devothadonaldsimbi3499 4 года назад
Kazi nzuri Sana Ila ikiwa ndani Kuna unyevu mkubwa kana kwamba Kuna chemi chemi chini hi hatua gani ifanyike?
@TheBuildersHomeTz
@TheBuildersHomeTz 4 года назад
Kila nyumba inatatizi tofauti... ni vyema mtaalamu afike akahue tatizo na kutoa ushauri ... - Call/WhatsApp 0716573079 kuwasiliana naye...
@DegeHomestay
@DegeHomestay 2 года назад
Thank you for the information
@EvansAmahwa-ri6ik
@EvansAmahwa-ri6ik Год назад
Sawa vizuri,jina la dawa
@TaheraJusab
@TaheraJusab Год назад
Hi dawa inaitwaje na nataka namba ya simu fundi
@khalidsuleiman
@khalidsuleiman Год назад
Kaka nzuri sana
@Pihansmo
@Pihansmo Год назад
Wabongo niwachoyo sana kutoa elimu. Shkamooni wazungu
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 6 месяцев назад
Inaitwa sikalite mzee
@lwagamwakalinga8038
@lwagamwakalinga8038 5 месяцев назад
Namba zako za simu please
@eventelias3566
@eventelias3566 3 года назад
Ni vipi kwa ukuta ulioliwa na chumvi?
@brunoonenjemu3674
@brunoonenjemu3674 Год назад
Number ya simu?
@boanergesd2858
@boanergesd2858 3 года назад
Somo zuri sana.
@gabrielrobert8677
@gabrielrobert8677 2 года назад
Dawa tunapata wapi inaitwaje
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 7 месяцев назад
Sasa mnatusaidiaje na jina la dawa hamsemi? Kama ni nyie basi wekeni no za mawasiliano mtuokoe!
@engshiwamushi952
@engshiwamushi952 3 года назад
Good
@upendocharles3192
@upendocharles3192 3 года назад
Hiyo dawa inaitwaje?
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 6 месяцев назад
Inaitwa sikalite mzee
@denisjoseph1118
@denisjoseph1118 2 года назад
Hiyo dawa unayoweka hapo inaitwaje
@shakukawele9959
@shakukawele9959 2 года назад
Hii dawa tutaipataje pamoja na simu yako fundi
@herifransis4038
@herifransis4038 3 года назад
Hamjataja jina la dawa
@hajimohamedhajimohamedmtun1177
@hajimohamedhajimohamedmtun1177 2 года назад
Iyo dawa inauzwaje
@Mr_Hussein01
@Mr_Hussein01 2 года назад
Dawa ipo. Dukan kwetu namba hizo nipigie au Wasap
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 3 месяца назад
Mbona mnafanya siri sasa hamsej8
Далее