Тёмный
No video :(

BIBI IRENE AELEZA NAMNA AMBAVYO NYUMBA YAKE YA KUFICHA BATI ILIVYO MTESA KWA KUVUJA  

Sanuka Media
Подписаться 46 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@MichaelMagembe-g8o
@MichaelMagembe-g8o 2 месяца назад
Umefanya vizur ila hujasafisha Ilo bat baada ya kupiga plasta
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 7 месяцев назад
Mnakwepa gharama ya bati na mbao , mnakuja kuingia gharama ya kuboresha baadae .
@nwntz
@nwntz 7 месяцев назад
Alafu wanachokwepa hata 2m haifiki😂😂
@AthumanAidan
@AthumanAidan 7 месяцев назад
Wewe unaijuwa gharama ya hizo nyumba ...iko sehemu gani 😂😂 au unasema tu ety kukwepa gharama za bati. ....pole
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 7 месяцев назад
@@AthumanAidan Kama hujajenga nyamaza hujui kitu , sababu kubwa ya watu kupaua mtindo huo ni kupunguza gharama , aina hiyo ya upauaji inatumia mbao chache na bati chache kuliko aina nyingine yyt . Walionielewa wamenyamaza ..
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 7 месяцев назад
@@AthumanAidan Angalia VIDEO za nyuma za Mr House utaona ameeleza mara nyingi kuhusu aina 3 za upauaji na gharama zake , na kwanini watu wengi sasa hivi wanapaua aina hiyo , ni kukwepa gharama , My tindo huo unatumia mbao chache na bati chache , umeuelewa Bwana Athumani. ???
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 7 месяцев назад
@@AthumanAidan Haijalishi nyumba Iko wapi , ukubwa wa kiwanja , . Mtu yyt anapotaka kujenga anafikiria kupunguza gharama , kwa aina hii ya upauaji mafundi wengi bado hawajaujua , ndio maana nikasema unakwepa gharama za mbao na bati mwanzoni lakini unakuja kuhangaika na marekebisho baada ya nyumba kuanza kuvuja . Umeuelewa Bwana Athumani ???
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 7 месяцев назад
Yes sir❤❤❤
@user-hq3yn4uj1f
@user-hq3yn4uj1f 7 месяцев назад
Mbona skating za mlalo wa juu zimepinda
@astroworld2021
@astroworld2021 7 месяцев назад
Sikiliza vizuri
@kulwagama3677
@kulwagama3677 7 месяцев назад
Ahsante sana kaka
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 7 месяцев назад
Hizo nyumba hazina mana huku nje zinavujaa😅😅
@uwimana6533
@uwimana6533 7 месяцев назад
Inategemea na mafundi wanae jenga ,ukiweka mafundi njaa lazima ivuje 😂😂😂😊
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 7 месяцев назад
Ukipqtq fundi ana uwelewa ndo litalukuta janga km ili lkn ukipqta fundi makini mbona raman nzur
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 7 месяцев назад
Siitaki kwa kweli.
@user-vb2nc5vn7q
@user-vb2nc5vn7q 6 месяцев назад
Hapo fundi wa palaster hayupo kasafiri
@joycechuki8258
@joycechuki8258 7 месяцев назад
Nitakutafuta ndugu wacha nipambane kwanza huku Qatar
@nicokamily1749
@nicokamily1749 7 месяцев назад
upo Qatar sehemu gani
@joycechuki8258
@joycechuki8258 7 месяцев назад
@@nicokamily1749 Niko Qatar Doha, Al Rayyan
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 7 месяцев назад
Natamani kuja huko
@roidaRichard-ho3uq
@roidaRichard-ho3uq 7 месяцев назад
watu ukiwaambia hiz nyumba azifai.wanaona huna maana wao wanachodai ni kukwepa gharama kwenye mvua watakiona cha.moto labda wapate mafunzi wajuz kama huyu
@user-vb2nc5vn7q
@user-vb2nc5vn7q 6 месяцев назад
Hapo fundi wa plaster hayupo kasafiri
Далее
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 489 тыс.
Fixing a leaking roof of a hidden roof house
9:32
Просмотров 23 тыс.
PAGLALAGAY NG FLASHING
23:08
Просмотров 286 тыс.
Secret / Hidden roofing | Pros and Cons
7:51
Просмотров 124 тыс.
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 489 тыс.