Тёмный

UKAGUZI WA VYETI NA LESENI ZA UDEREVA KUFANYIKA NCHI NZIMA 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 31 тыс.
50% 1

UKAGUZI WA VYETI NA LESENI ZA UDEREVA KUFANYIKA NCHI NZIMA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 107   
@Kasimabbas-gg4bv
@Kasimabbas-gg4bv 6 месяцев назад
Mkimaliza ukaguzi wa leseni,tunaomba sana,Mkuu,Mama Samia,tuangalieni sana hii Sekta,ya udereva,inashida sana,hatujaliwi mmetusahau sana
@mremoney6276
@mremoney6276 Год назад
Madereva walio wengi waliotoka huko veta na n.i.t ndo wanaosababisha ajali😏😒
@mansa_islam9898
@mansa_islam9898 Год назад
Acheni usenge! nyie endeleeni kula rushwa mkalee famila zenu...
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo Год назад
Mgongano wa maslah labda🤔
@IssaSaid-ru4cq
@IssaSaid-ru4cq Год назад
HAO ma askali NDIO wanasababisha AJALI KWAKUA Wana penda lushwa watoaleseni WATU AMBAO SIO MADEREVA sahihi hajui wajibu WAO nfano WAO wenyewe hawajui kuendesha hayomagali watutafute tuwa wape mikakati kunadereva anapewa leseni kulingana NA PESA zake SIO ujuziwake
@MichaelBalagula
@MichaelBalagula Месяц назад
Taratibu izo Zikichukuriwa kwa ufanisi Akika madereva wote watakua wariopita Vyuoni. Niwakumbushe viongozi. mpite na kwenye na kampuni. naviwanda. wapo madereva awana vyeti na Awajasoma. wapo uku mikoani. wakati sheria katika Ufanyaji Kaz zao. watu wanakufa Kira siku Kwauzembe wa madereva.
@mwafyongomwamani-ug5td
@mwafyongomwamani-ug5td Год назад
Hawa matajiri mwaogopa .mbona hamumtetei huyu dereva kuhusu hajira yake? Hujue huyu anafamilia nanideiwaka
@husseinkassimu2714
@husseinkassimu2714 Год назад
Inteki yetu kgm huyo afande ndio alikua RTO alikua anaingia darasani kufundisha anamchezo uyo ila wawape mda wakutosha madereva
@JosephBwanali-dr3dp
@JosephBwanali-dr3dp 10 месяцев назад
19:22 Ajali zina mambo 3 , Moja miundombinu ya barabara, Kafala zilizo kithili kwa viongozi wa juu na wafanya biashara, na kwa sehemu ndogo sana kwa theluthi ni uzembe wa meendeshaji . Selikari ijipange kutanua barabara ,na watu ifike atua viongozi kuacha makafara barabarani . Munataka kumpa dereva makosa wakati uzembe upo kwenu ? Punguzeni uchawi na kuwanga mabarabarani
@allykassim1120
@allykassim1120 Год назад
Duh na hao warundi na wanyalwanda vyeti vyao vya shule ipi na ipi kutwa nzima tunao rold tz akisababisha ajali mtac hunguza chuo Gani alichosoma acheni izo ninyi
@EvalistTokwa-lw8hf
@EvalistTokwa-lw8hf Год назад
Mbona madelava waselikali wamesomea alafu wao ndyo wanaongoza kuvunja shelia pia wanaongoza kwa ajali
@saidsalum6101
@saidsalum6101 Год назад
Hamjui kuuliza maswali mgetafuta madereva wenyewe
@khalfanially8156
@khalfanially8156 Год назад
LESENI MBOVU WANAPITISHA WAO WENYEWE, HAZINA NJIA NYINGINE YA UPATIKANAJI.
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 Год назад
Yeye mwenyewe huyu hatoshi kuwa kamishna elimu yake ni ndogo a inabidi arudie mtihani fom4 six na chuo tuone Kama atafauru
@AbdallahMahupa
@AbdallahMahupa 4 дня назад
Ombi kwasababu Leseni inamuda,kwanini wasisubilie muda wa kuliniu,au kuwena chombo kitakachoonyesha hiinireseni sahihi au sio sahihi.
@Kisase
@Kisase Год назад
Police anashindwa kujibu ipasavyo
@SalumJuma-bv3wp
@SalumJuma-bv3wp Год назад
Huyo Askari hajitambui maana naona majibu alotoa hakizi hayana mashiko
@AllyMtalika-i9n
@AllyMtalika-i9n 10 месяцев назад
FUATILIENI KWANZA HAKI ZA MADEREVA. NDIO MUMALIZIE NA VYETI.
@sudmpanda7374
@sudmpanda7374 Год назад
Anamumumnya kamanda vp tena we jobu maswali kifasaha
@JohTemu
@JohTemu 10 месяцев назад
tunataka kuwakagua mapolisi vyeti vyao
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
Mi wa 1 kucomment.Kweli mmefanya vizur, labda ajali zinaweza pungua, make wengi hawajasomea na wanaendesha ovyo, pia madreva waongeze umakin aisee ,Tz ajali zimekithiri mno.
@charlesally6028
@charlesally6028 Год назад
huyu muandishi ana akili sana kwenye kuuliza maswali
@Kasimabbas-gg4bv
@Kasimabbas-gg4bv 6 месяцев назад
Shida tena kusoma ni hela,dereva analipwa laki na nusu
@alphoncejuma9652
@alphoncejuma9652 Год назад
Ww huna maelezo ya kutosheleza
@YusuphHemed-vv9bp
@YusuphHemed-vv9bp Год назад
Kiupande wangu hii ngoma ngumu, ngoja tuone mwisho wake
@josephsaro6535
@josephsaro6535 Год назад
Ni usumbufu na uharibifu wa hela
@nurdiniathumani9388
@nurdiniathumani9388 Год назад
Ongeza sauti
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Год назад
Asa mie nmekata lesen mwaka 2002 mpak leo ntakua nacho hiko cheti vha shule
@athumanfuko199
@athumanfuko199 Год назад
mzee cheti cha udereva ni sawa na cheti cha form 4 au form 6
@Maajidabdillah
@Maajidabdillah Год назад
Ao ndio wanoonewa maisha yote magar ya private hayasumbuliwi wakat ndio weng wanaoendesha sabab kwao iko tu ila hawajui sheria za barabara
@georgenewa3458
@georgenewa3458 Год назад
Tumekuelewa mkuu
@aureusmkadange9016
@aureusmkadange9016 Год назад
Haha nchi ngum San hiii ngoja tuone
@stevenkisinda
@stevenkisinda Год назад
Pia na udereva mzuri ni ule mtu kapitia garage kukujua chombo Kama kucheki oil kwenye enjin kucheki maji haidrorik kucheki Breck kucheki mfumo wote wa engen then kuingia balabalani kujua njia yaani utandiboy huyu anakuwa makini sana hata gali ikiwa inagonga kitu frani anajua Hawa waliopitia shule Hawa ndo tunawakita serenje na denjahili wamelimwaga zigo la mteja
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo Год назад
Kiukweli huyu jamaa Ni muhongo nahatufai Kwanza alihaibisha jeshi la Police kwa kusema uongo tulio wahi ku-renew SEMENI UKWELI KUNASEHEM ULIPIMWA ,MACHO AU ULEMAVU WOWOTE USIO ONEKANA? ¹ mim binafs hapana ² 3 4
@anzamenmunisi
@anzamenmunisi Год назад
Rushwa
@maximillianmayani5119
@maximillianmayani5119 Год назад
mkae mkijua hao wa gari binafsi pamoja na madereva wa serikari ndio wasababishaji wakubwa wa ajali barabarani haswa madereva wa serikali wakiwemo polisi waona kama wao wapo juu ya sheria huo ndio ukweli
@kobiroamosi2372
@kobiroamosi2372 Год назад
Kaka umesema ukweli mtupu😢
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 Год назад
Mnatuletea ujinga wa zaman kila mwaka mtu akaguliwe cheti
@mussaezekiel9363
@mussaezekiel9363 Год назад
Huyo anajua madereva wa nchi hii wanazalishwaje na je hivyo vyuo wanauhakika kama ukienda kusoma utaelewa
@JohTemu
@JohTemu 10 месяцев назад
wengi kama sio fff form four failure tu wengi wamejaa humo
@laulymo2063
@laulymo2063 Год назад
Watangazaji mnazo sifa zote maana mnauliza maswali mazuri sana
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo Год назад
Labda Kama wanapambana na Jambo jingine ,lkn hii siyo sehem sahii ya kuanzia yaa huwa viongozi wengi Tz hawanaga plan isiyo leta kuonsha udhaifu wao, kwa mtu mwenya akili madhubuti na mwenye Nia thabit ,angeibua kizazi kipya chenye ueledi.
@ibrahimkadibo810
@ibrahimkadibo810 Год назад
Leseni na vyeti haviendeshi gari, gari lina endeshwa na binadamu ambae amepitia chuo tena cha serikali sheria zote anazijua lakn kutokona yeye ni binadamu na kazi kashaizoea ndo analeta mazoea had kwenye maisha ya wengine hapo ndipo ajali hutokea..mi nishaur mdili na matendo ya huyu dereva lakn msidili na makaratasi na hiv vikad hakuna kitu mtagundua zaidi ya kunyanyasa watu tu humo mabarabarani.
@alphoncejuma9652
@alphoncejuma9652 Год назад
Acheni mambo ya kihuni kwani hao ambao wanaleseni madalaja hayo mengine wanasababishia ajari madereva ambao ni mahiri hizo leseni nyingine zimetolewaje
@issayajacksonlaizer2253
@issayajacksonlaizer2253 Год назад
Chamuhimu bana mngewapa muda m dreva wasome wapate vyeti kwsb ghn vyote vinapitia kwenu apo saw iyo kama kamt itakosti
@SalumuAthuman-zy9ug
@SalumuAthuman-zy9ug Год назад
Huku Moshi iko tofaut Sanaa wanataka chet og lessen og chet Cha awali lesen ya kitabu navingine vingi Kwa ufupi mosh ni wasumbufu
@mussaezekiel9363
@mussaezekiel9363 Год назад
Kawau we ni mtu na nusu hii serikali inakulupuka Sana kwann wasisubili lesseni ikienda kuhakikiwa ndo wakague
@AllyMtalika-i9n
@AllyMtalika-i9n 10 месяцев назад
Achaivoo YAANI wafatilie kwanza haki za madereva ndio waje ktk cheti
@mokitaa8750
@mokitaa8750 Год назад
Malori ni zaidi ya elfu8 labda useme elfu80 hapo kidogo unaweza ukakaribia makadirio
@hamisimwangu-um2ej
@hamisimwangu-um2ej Год назад
Kwa maoni yangu,ni bora2 madereva kupimwa akili maana wengine wajua sheria na amesoma vizur lkn anavunja sheria hasa mabasi
@olaismollel7162
@olaismollel7162 Год назад
Vyeti vyangu VYOTE NI VETA NA N.I.T LKN KAMA KUNA MADARAJA HAYATAKIWI KWANINI MNAMUEKEA MTU??? JIBU HAPA WASIENDELEE KUJENGA CHUKI BARABARANI TUNACHOKA ..WANGOJEE KWEYE KURENEW WAFANYE WANACHOTAKA
@sadickkalinga3182
@sadickkalinga3182 Год назад
Mm naona sio sababu ya msingi cheti hakiendeshi chombo nimtu mwenyewe lakini angalieni upande wa pili tz matajiri asilimia kubwa gari zao ni oldmodel hayapo salama, kwanini msizuie hasa magari chakavu yalioko barabarani? Pia matajiri wengine gari yake new model lakini hayana kiwango kizuri hasa systems ya breack hasa mchina zuieni hivo kwanza ajari itapungua
@alphoncejuma9652
@alphoncejuma9652 Год назад
Yoyote mwenye leseni inatakiwa awe na cheti kama sheria inasema hivyo
@ibrahimally7637
@ibrahimally7637 Год назад
Nataka kuiambia serikali ya Tanzania iajiri watu kwaajiri ya kufikili . Kwanza mtambue hakuna reseni feki sawa . Kwanini nasema hakuna leseni feki nikwasababu pale unapo simamishwa na poli kwakosa la kuandikiwa fine ndo inapo julikana kwamba leseni ni feki hivyo hakuna leseni feki huo . Naleseni mnatoa nyie wenyewe . Polisi akili zenu sina imani nazo
@SamweliSamweli-gf4cs
@SamweliSamweli-gf4cs Год назад
Daah serikar yetu kwa kweli sisi madavo ambao hatuna cheti Cha veta munataka kutuweka mtaloli family zetu zitakula nn na kuanza kwema veta Napo ni muda angarie fanyen mudir Bora na mabasi ss maror mu2ache2 watu wengi hajasoma veta 2mesoma kitaani
@jamalduncan6069
@jamalduncan6069 Год назад
Wakitaka uchumi kuyumba wazuie,pili ajali huwa Askari ndo wanasababisha,mfano,kule mbeya wanasimamisha magari na kuyakusanya Kisha wanayaruhusu kwa pamoja.kwa Hali hiyo ajali sitaendelea tu.pia cheti sio udereva,wapo wenye vyeti Bali udereva wao ni mdogo
@janeaniceth4751
@janeaniceth4751 Год назад
Ni bola kuwa na madereva wenye akili wawili kuuliko kuwa na madereva 1000 wasio jielewa
@alphoncejuma9652
@alphoncejuma9652 Год назад
Hawa polisi ndiyo tatizo kwa sababu ndiyo watowa leseni
@QuietNajma-tu8rt
@QuietNajma-tu8rt Год назад
leseni mmezitoa wenyewe kama karanga saizi mnasema vyeti na hela za madereva zimetolewa na huwezi pewa leseni na tra kabra ujapita kwa veco mwandishi hongera sana kwa maswali na pia miundominu ya barabara zitanuliwe
@manenomkumba5205
@manenomkumba5205 Год назад
Maloli elfu nane sio kweli
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo Год назад
Pia tulikotoka, Barbara zilikua chanzo kikubwa Cha ajali
@Waziri-zm2rw
@Waziri-zm2rw Год назад
Hongereni watangazaji kwamaswali mliomuuliza kwaufupi ilizoezi wangesubili kipindi chakulinyuu licence ndio waulize sivii kwamda walioweka nimdogo sana madereva niwengi kuliko Walio na kazi
@mokitaa8750
@mokitaa8750 Год назад
Swala lakupata nafasi za kusoma ni ngumu kwasababu MADEREVA tusiosoma ni wengi sanaaaa na hatupati nafasi za kusoma kwasababu shule ni chache
@fredmanueck9292
@fredmanueck9292 Год назад
Mhalifu ni nani aliyetoa leseni au dereva maana dereva kadri anavyozidi kuendesha gari ndivyo anavyozidi kuwa mzoefu
@mwapachukikombe2083
@mwapachukikombe2083 Год назад
Mimi nilisoma veta 2003 Tanga sasa ,iyo time ata afande yupo chuo moshi ,waangalie new driver
@adammjomba5814
@adammjomba5814 Год назад
Huo ni ushuzi WA ngomani haukawii kuisha (bado hakuna lolote mlungula tu
@maigajohn5828
@maigajohn5828 Год назад
Watangazaji mumejipanga kuuliza maswali hongereni sana
@maximillianmayani5119
@maximillianmayani5119 Год назад
nadhani wangeanza na madereva wa serikali,maana hao ni chanzo kikubwa cha ajali huo ni ushauri tu
@binkhalifa6956
@binkhalifa6956 Год назад
Wazee sijakutana na watangazaji wenye maswali kama nyinyi ebwaanaee hongereni
@MichaeliSimwinga-c7d
@MichaeliSimwinga-c7d Год назад
Shida kubwa inasumbua kwa madereva wengi hawazingatii alama za barabarani
@stevenkisinda
@stevenkisinda Год назад
Dereva hajasoma lakini anafikisha mzigo kwa mteja na hapotei
@janeaniceth4751
@janeaniceth4751 Год назад
Fukuza madereva wote wasio kuwa na sifa kamanda uko vizuri kuen sirias
@saidausi9917
@saidausi9917 Год назад
Shoga wewe utaishia ndani ya Tz mpk kaburi likufike unaongea Kama mvaa dera
@jamessimkonda-ox8cb
@jamessimkonda-ox8cb Год назад
Unazzingua chet akiendeshi gali
@jamessimkonda-ox8cb
@jamessimkonda-ox8cb Год назад
Madeleva wengi www auna mtoto ungekuwa namtoto wako nidreva usinge sema
@nasrimohammed1666
@nasrimohammed1666 Год назад
Na kuna wale ambao bado tupo safarini tunaenda nchi za jirani na tunakaa zaid ya miez 2 itakuaje
@JohnJohn-gm7yb
@JohnJohn-gm7yb Год назад
Dereva bongo hana mtetezi
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 Год назад
Aslimia kubwa za Ajal ni mazingira ya barabara tanueni njia kama mtaona ajali
@SalumuAthuman-zy9ug
@SalumuAthuman-zy9ug Год назад
Kamanda hujui hujuichote
@suleimankhalfan8030
@suleimankhalfan8030 Год назад
Muda waliotoa ni mdogo
@ramadhanichuka3583
@ramadhanichuka3583 Год назад
Braza unauliza maswali mazur kwel sana
@ramadhanyusuph4426
@ramadhanyusuph4426 Год назад
kuna sababu nyingi sana zinazo sababisha ajari chakwanza barabara zetu sio nzuli kabisa micholo pia shida kwaiyo iyo plan walioanzanayo sio sahii wangesubiri adi siku inaisha lesen ndo waje na mpango wao ila apo wanakuja na plan ya kuongeza rushwa michoro inafutika ukuti imechorwa tena kazi sana mama anakazi sana kunyosha watu wake
@fidemgonja1966
@fidemgonja1966 10 месяцев назад
Sasa ivi tochi tupa kule nimwendo wa chateni chatano au cheti ukitoa cheti atka barua huna toa maokoto desembar hii
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Год назад
Vyeti vyenu vinakaguliwa na nani
@kilyneymar3653
@kilyneymar3653 Год назад
Kwa dar wanakagua wapi
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Год назад
Mnatafuta Rushwa tu
@YusuphHemed-vv9bp
@YusuphHemed-vv9bp Год назад
Sawa na sisi madereva wa maroli tunataka kuyapaki maroli yote ili tukasome, Harafu mmechagua watu wa maroli na madereva wa ma bus, nyie wenyewe mnaondeesha magari binafsi mmejitenga, nchi ngumu hii dah😂😂
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
🤣🤣🤣ila nyinyi mna vituko asee.
@YusuphHemed-vv9bp
@YusuphHemed-vv9bp Год назад
@@ameria2332 wanakera sana, leseni watupe wenyewe afu wanakuja kutusumbua hapa, we ngoja tuyapak tu iii tukasome
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
@@YusuphHemed-vv9bp Haaya bhn ,mi napita 2 kusoma comments kufurahi na kukwangua vicheko mie.
@diesclaudio594
@diesclaudio594 Год назад
JAMAA amembana vzuri Sana wengi wapi safari wengine wapi mapolini wengine tupo saiti wengine vyeti vipo mbari
@vincosmeticsmarvin
@vincosmeticsmarvin Год назад
😅😅😅😅 tanzania yetu ❤
@JosephMushi-jp2fs
@JosephMushi-jp2fs Год назад
Naomba kumuuliza afande jee kama nilikuwa na leseni faraja E na sasa siendeshi tena malori nitakuwa nafanya kosa kuendesha hari yangu ndogo?
@adaboythegreat1449
@adaboythegreat1449 Год назад
😮😮😮😮
@renatusmahombwe3093
@renatusmahombwe3093 Год назад
Think before act Serikali imebugi mahala flani Kwangu Mimi usumbufu kwa madereva+kutengeza mianya ya rushwa kwa wale waojiita watakatifu watakaosimamia zoezi hilo
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 Год назад
Huyu naye anatafuta kiki tu mie sioni kama kuna mashiko yoyote hapo. Halafu pili suala la kutoa leseni lina simamiwa na hao hao Polisi chini ya Veko; kwa maana hiyo anataka kutuaminisha kwamba wao mapolisi si wahadirifu katika kutoa leseni hizo. Nadhani huyo ana nia ya kulidharirisha jeshi la Polisi, kwamba hawajui wajibu wao na sio waadirifu katika kutoa leseni. Katika oparesheni hii mie binafsi naona huyo Afande kakurupuka na anatafuta sifa na kuwatengenezea askari wenzake mianya ya rushwa tu. Leseni wametoa wao wenyewe kwa malipo halali ya fedha; halafu mwisho wa siku unakuja kudaiwa uonyeshe cheti cha VETA au chuo cha usafirishaji kinacho tambuliwa na serikali kiukweli huu utakuwa ni usumbufu wa hali ya juu kabisa. Kwasababu unaweza ukawa ulisoma chuo fulani kilicho kuwezesha wewe kupata leseni hiyo; lakini mwisho wa siku ni kwamba hicho chuo kikafungwa kwa kutokuwa na vigezo vya mafunzo ya udereva saa sijui hapo napo ina kuwaje sijui. Halafu na mwisho hao askari nao wote wakaguliwe vyeti vyao vya elimu maana walio wengi wametumia vyeti fake kupata ajira hiyo. Tuliona Rais Magufuli alifanya ukaguzi wa vyeti vya elimu kwenye sekta nyingine tu kama Wizara ya Afya, Elimu, Kilimo, Nishati, n.k. Lakini Wizara ya Ulinzi na Mambo ya Ndani hatukuona waki hakiki na kukaguliwa vyeti vyao vya Elimu. Yaani tena huko ndo kuna uozo wa kutosha kupita maelezo kuhusu vyeti vya elimu fake. 😳😳😳😳😳😳
@sebastiandomink7006
@sebastiandomink7006 Год назад
Maswali mazuri sana
Далее
MADARAJA YA LESENI ZA UDEREVA
9:24
Просмотров 92 тыс.
Лиса🦊 УЖЕ НА ВСЕХ ПЛОЩАДКАХ!
00:24
The Story Book: NDOTO NA MIUJIZA YAKE
28:34
Просмотров 527 тыс.