Тёмный

UKIACHANA NA MTU LAZIMA UMUOMBEE YAMKUTE MABAYA| KUACHANA NA MTU KWETU NI VITA 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 18 тыс.
50% 1

www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

11 окт 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@user-ms3tp9oy2o
@user-ms3tp9oy2o 9 месяцев назад
Baba levo unaogea point sana broo ni kweli kbsa npo south Africa mkoa wa north west province klesdorp
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 9 месяцев назад
Hao wamesoma wanazidiwa uwezo wa kufikiri na uyo mjinga Babbaevo duh. Nikitaka kuajiri sitaki vyeti nataka talent
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 9 месяцев назад
Vipo sana point ya Oscar ni mfano alisia kabisa kwa family ya Mama mdogo ila point ya manyanyaso ya Baba Levo pia nailewa hipo sana point sana
@HubertCubaka
@HubertCubaka 9 месяцев назад
Oscar umeongea ukweli kabisa... Nyumba zetu zina siri saana... Watu wameshaachana lakini wanaishi nyumba moja na kila mmoja wao ana mtu wake...
@frankjohn2201
@frankjohn2201 9 месяцев назад
Baba levo wewe nishida hua unaongea point sana japo kua watu wasio kufaatria hua hawajui madini uliyo nayo
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 9 месяцев назад
Oscar hiyo point,Mimi nikaka yangu kabisa wanaishi nyumba moja na kila mtu na chumba chake.
@user-ln9px2vh6r
@user-ln9px2vh6r 9 месяцев назад
Baba levo yuko sahihi mwanaume hamuwez mka share nyumba eti mnalea watoto aone unazagamuliwa na mtu mungine hAIWEZEKANI😂😂😂
@Anna-jl2ie
@Anna-jl2ie 9 месяцев назад
vita lazimaa😮
@FredoBoy
@FredoBoy 9 месяцев назад
Hiyo kweli kabisa
@patricklufundya5009
@patricklufundya5009 9 месяцев назад
Kama mnapendana sana mkiachana chuki lazima iingie mtu uliyempenda moyo unauma sana
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 9 месяцев назад
ukiona watu wanachukiana sana baada ya kuachana ni dalili walipendana sana hili ni kweli kaka
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 9 месяцев назад
Baba Levo mnasema hajasoma? Mbona anaongea point sana
@FredoBoy
@FredoBoy 9 месяцев назад
#B Levo
@HusseinMajali-dd4vx
@HusseinMajali-dd4vx 9 месяцев назад
Wapo wengi sn mm mwenyewe nawafahamu baadhi yao ila anachokisema baba levo ni asilimia kuvwa
@MS.independent8934
@MS.independent8934 9 месяцев назад
Oscar yupo sahihii vipo mmoo TZ
@jumakhaji1620
@jumakhaji1620 9 месяцев назад
Promaxxxx ❤😂🎉🤣🤣🤣🙏
@fundishalabours4971
@fundishalabours4971 9 месяцев назад
Baba levo kichwa san diamond amuongezee mshahar ao wengine ni mpira2 hamna k2
@magzeeee
@magzeeee 9 месяцев назад
Bora andazi😅
@kassidpandu866
@kassidpandu866 9 месяцев назад
Huwezi kuchambua vizuri kama utaweka ushabiki wako Mjengoni
@vincosmeticsmarvin
@vincosmeticsmarvin 9 месяцев назад
Sio mabaya tu,,, lolote limkute 😅😅😅
@omarykimamure7656
@omarykimamure7656 9 месяцев назад
Da.! fund manyumb nakukubar kinyam..
@official_dicksonmunga
@official_dicksonmunga 9 месяцев назад
B levo Ba unatema point tupuuuuu
@Killer_wayne227
@Killer_wayne227 9 месяцев назад
We got fck n forget 😂😂😂 here
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 9 месяцев назад
Na wafungwa, wanafunzi wa bwenini, unawajaji vipi?
@patricklufundya5009
@patricklufundya5009 9 месяцев назад
Mi ex wangu sitaki ata kumuona
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 9 месяцев назад
Inabidi uhamie kisiwani ukae uko uko mana hapa hapa lazima mtakutana
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 9 месяцев назад
Oscar Hana story katungia hapohapo
@estonsaimon6671
@estonsaimon6671 9 месяцев назад
Hiyo ni kwelii
@user-se5zb4qh2f
@user-se5zb4qh2f 9 месяцев назад
Mimi niliachana na mke wangu, na niliendelea kukaa nae nyumba moja kwa miaka 4 zaid wakat tushatalakiana. Hatukua na chuki wala ugomvi wowote. Kwa Sasa kila mmoja anaishi kwake. Hadi sasa ni rafiki yangu sana. Swala la mwanaume kufanya mapenzi, Mimi nimekaa miaka 3 bila kujamiiana, na Sina tatizo lolote.
@imma_billy
@imma_billy 9 месяцев назад
Rama Binda unapaswa upewe tuzo, wewe ni mwanaume wa pekee.
@uwimana6533
@uwimana6533 9 месяцев назад
Hongera sana 🎉
@francyprojest2703
@francyprojest2703 9 месяцев назад
Una matatzo ya kiafya wew sio bureeee😂😂
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 9 месяцев назад
Utakuwa lazima unapiga punyeto wewe afu ni hatari sana iyo ujue
@Deboracharles-pw6wg
@Deboracharles-pw6wg 7 месяцев назад
Hongera ubalikiwe aliyekuumba anakupenda uzidi kujitunza
Далее
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
У тебя проблемы?
00:20
Просмотров 485 тыс.
Да блин 😀
0:19
Просмотров 1,1 млн
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
0:27
Просмотров 6 млн