Imelda ameletwa mbele ya mwenyekiti Dr Ofweneke na mumewe Japhet ambaye amekuwa akishuku kuwa mkewe amekua akienda nje ya ndoa na pastor wao.Imelda akiri makosa yake na kuanza kulia huku akimwomba mumewe asimuache.
5 сен 2024