Allah akuhifadhi shekhe Mselemu Ally,Hakika umejaaliwa elimu ya Tafsiri na Allah,Allah akupe kheri zote anazozijua yeye na akuepushe na Shari zote azijuazo yeye ALLAH, inshaa-allah
Aslamu alaykum warhmatullah wabarakat shekhe wetu naomba usaidizi naomba dua zako nimepata mitihani na nipo safarin kurudi pia imekuwa vigumu kwa Sasa sijui ya ALLAH mbeleni inshaallah kheri
Kila Sheikh anapotoa mawaidha yenye suratul fatiha akatanguliza bis'millahi Rahman Rahim ambayo wengine baadhi wanasema alhamdu lilahi rabul alamiyna ndiyo ayya ya kwanza na hiyi hadith wanapoisoma huanzia Kwa alhamdu Kwa hivyo Kwa vile mahaba yangu ni makubwa Kwa neno bis'millahi Rahman Rahim na anayeitumia kiukweli ninampenda na huwa mawaidha yake yote Mimi nikipenzi yake