Тёмный

Ulimis Mch Lusekelo Huyu Hapa Akieleza Sifa Za Wahubiri Wazamani 

Chomoza Tv
Подписаться 217 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Mchungaji Lusekelo Ameeleza Jinsi Walivyo Fahamiana Na Bishop Dastani Maboya Kwenye Shamra Shamra Za Miaka 25 Ya Kanisa La CALVARY ASSEMBLIES OF GOD Dar es salaam
#ChomozaUpadate #Hatunajambodogo #Chomozanews

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@briannyiti8234
@briannyiti8234 5 лет назад
Napenda vile mzee wa upako huimba
@emmyjohn3970
@emmyjohn3970 5 лет назад
Blessed day Lusekelo
@mariammasika4690
@mariammasika4690 5 лет назад
wazee wangu hawa nawapenda sana, niliwamis wote
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 5 лет назад
Maisha yana mambo mengi sana, huyu mzee alikua vzr tu, sijui nini kimempata,hakua amechoka hivi, hayuko vizuri tumuombe Mungu watumishi wa Mungu hua wana mapito mazito
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 лет назад
Mtumishi wa Mungu?hivi Mungu mmeshamfanya mjomba eee Msome basi biblia jaman Mungu anasema akikutuma anakwenda na wewe hivi anaenda na Mungu kweli?mlevi anatukana anatishia majiran anakwenda na Mungu?Hakuna mtumishi wa Mungu wa Hivo wote wafanyabiashara tu
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 5 лет назад
Chris Masawe kumbuka hakuna mkamilifu hapa duniani isipokua kila MTU hujitahidi tu kumuishia Mungu, msome mfalme Daudi kwa nini kuna wakati alikua akiomba toba, ni kwa sababu alimkosea Mungu.
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 лет назад
Wasijiite watumishi wa Mungu sasa Wa Mungu akikutuma anakutakasa alimtuma yesu aliekuwa mtakatifu hata alipomtuma daudi alimtakasa akawa mtakatifu sasa huyo mtumishi na bado anatukana hivi petro alitukana wengine?kwanza sio watumishi wanajipachika mavyeo tu
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 5 лет назад
@@chrismassawe326 Subil ww uone mwisho wako pumbuvu,,CYO unacheka mtu hujui kesho yako'__Mutangulize Mungu cyo kashifa za Mdomo wako mchafu
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 лет назад
@@nyamogafamily4262 pumbafu mwenyewe unashabikia dhambi pambafu kabisa hata Eliya akiwachinja mabaali wsliomkataa Mungu tengeneza ww mwisho wako mimi mwisho wangu najua kwani Mungu kanipa Neema ya kujua Mwisho nikiwa Mwanzo soma Neno acha utegemezi wa kuombewa na matapeli nimekustahi maana Neno linanionya usimjibu mjinga sawa sawa na Ujinga wake
@boniphacemengoru1497
@boniphacemengoru1497 5 лет назад
Mhhh mungu mpe nguvuu
@jayproducts5871
@jayproducts5871 5 лет назад
Wa upako
@humphreybilly3258
@humphreybilly3258 5 лет назад
MATHAYO 18:21-22 Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba?Yesu akamwambia, Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini. Ndo siri yake,Mzee wa upako.
@annaelia5743
@annaelia5743 5 лет назад
Pole unaonekana unaumwa
@muhusinibakari7045
@muhusinibakari7045 5 лет назад
Baba nimgonjwaa sana tena sana
@merrypeter5909
@merrypeter5909 5 лет назад
mzee Tusekero MUNGU akuponye
@evancelyimo6764
@evancelyimo6764 5 лет назад
Tumuombee lusekelo
@asteriambwei95
@asteriambwei95 5 лет назад
Sawa tumwombee kweli bc mungu akamponye akafanye muujiza juu yake akawe mnzima nakuona askofu maboya hapo mungu akubariki sana
@sylivanusdamian4752
@sylivanusdamian4752 5 лет назад
Baba yangu wa Mbinguni, chonde chonde nakuomba ktk Jina la Yesu, umponye Mch Lusekelo
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 лет назад
Ajiombee mwenyewe kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe mnamwita mzee wa upako upako wa kuzimu au
@emanuelmushi6878
@emanuelmushi6878 5 лет назад
Huyu jamaa kama vile mgonjwa hivi
@SEMANKA97
@SEMANKA97 5 лет назад
Kaitafute utajuta
@chimwanakasanda3952
@chimwanakasanda3952 5 лет назад
WA kwanza nikakobe
@dorcusnsemwa3442
@dorcusnsemwa3442 5 лет назад
hako kapete vipi baba
@edwardkifungo7864
@edwardkifungo7864 5 лет назад
Wats wrong wz D's man of God? Mbona kazeeka ghafla hvi? Sick or wat?
@bahishaalexander3641
@bahishaalexander3641 5 лет назад
Edward kifungo I wonder even myself as why a Man of pastor Lusekelo looks somehow week, Tanzanian Dr. ,Please a have charge on him so as he recover in case you found unfeet.if okey then we shall keep praising our God in Jesus name .amen.
@danielmgogo8305
@danielmgogo8305 5 лет назад
WAKWANZA SIO LUSEKELO NI KAKOBE JAMANI
Далее
"Mawazo" Sehemu Ya 73 Thoughts Dr Elie VD Waminia''
30:43
Песня РАСПУТИН на русском!🔥
00:56
Пчёлы некроманты.
00:46
Просмотров 28 тыс.
IMBA LIVE NA MCH. ANTHONY LUSEKELO - MZEE WA UPAKO
4:34
VIASHIRIA 10 VYA MWANAUME MUOAJI - MIN.SUNBELLA KYANDO
24:53
Песня РАСПУТИН на русском!🔥
00:56