Тёмный

UMUHIMU WA KUWEKEZA KWENYE UFALME WA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO 

Подписаться
Просмотров 13 тыс.
% 199

Katika kila kitu ambacho Mungu anakubariki kwacho ni muhimu sana kuwekeza kwenye Ufalme Wake, maana kwa kufanya hivyo Ufalme wa Mungu unakuwa na kazi ya kukilinda kisipotee wala kuharibiwa na muovu. Chochote ambacho kina ulinzi wa Mungu adui hawezi kupata nafasi ya kukiharibu. Lakini pia huwezi ukatoa kwa ajili ya Ufalme wa Mungu na Mungu akakuacha, ndio maana kwenye Malaki 3 anaelezea vizuri namna ambavyo huwa anafanya kwa mtu ambaye ameamua kumtolea, anasema tumjaribu halafu tuone kama hatafanya. Jifunze sana kuwekeza kwa Mungu na hakika utaona baraka Zake kwa ukubwa kwenye maisha yako, na hii huenda hadi kwenye uzao wako..baraka hizi huenda kizazi hadi kizazi.
#PastorSunbella#Kuwekeza#UfalmeWaMungu

Опубликовано:

 

26 май 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@FloraSilvester-s1o
@FloraSilvester-s1o Год назад
Nakuelewa Sana mtumishi
@kihwelekulwa6576
@kihwelekulwa6576 2 года назад
Amina
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 года назад
Amen mtumishi barikiwa sana
@janetjanet8669
@janetjanet8669 2 года назад
Naomba na mimi muntumie mafundisho ya kila siku tafadhali mtumishi ambay ni mwalim 🙏🙏🙏🙏🔥🔥
@Jastus100
@Jastus100 2 года назад
Natamani kuwe na ibada live kweny TV tutapata mafundisho mengi
@pastorsunbellakyando
@pastorsunbellakyando 2 года назад
Very soon Tutakuwa na TV endelea kutuombea
@antybakary953
@antybakary953 3 месяца назад
ubarikiwe mtumishi nakufatilia❤❤
@joycesanga6951
@joycesanga6951 2 года назад
Amina. Baba
@vedastogwido5311
@vedastogwido5311 2 года назад
Aminaaa, inawezekana kuwa bilionea
@neemasaidisaid1791
@neemasaidisaid1791 2 года назад
Amen
@neemasaidisaid1791
@neemasaidisaid1791 2 года назад
Amen baba
@janetjanet8669
@janetjanet8669 2 года назад
Nipen ya mwazi huu 5/26/2022
@ciciandjojo7701
@ciciandjojo7701 2 года назад
Ameeen! Mbona mchungaji hufundishi siku hizi?
@angelkanoga2175
@angelkanoga2175 2 года назад
Fatilia chanel ya kanisa
@angelkanoga2175
@angelkanoga2175 2 года назад
Reality OF Christ church
@stjfamilytz7824
@stjfamilytz7824 2 года назад
Sikuhiz hatuoni akifundisha hata kwenye chanel ya kanisa tunaomba nae aendelee kufundisha
@zipporahm8154
@zipporahm8154 2 года назад
Kweli kabisa. From Kenya I miss and thirst his teachings
@joycegeorge4712
@joycegeorge4712 2 года назад
Amina
@rehemakatana1137
@rehemakatana1137 2 года назад
Amen