Тёмный

UNA JINA LA KUWA HAI,LAKINI UMEKUFA // DAY 14 

SIRI ZA BIBLIA
Подписаться 115 тыс.
Просмотров 2,3 тыс.
50% 1

Ufu 3:15-16
Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/siri...
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@mariyammariyam-y3u
@mariyammariyam-y3u 18 дней назад
Eeeeee Mungu nirehemu sawa sawa na mapenzi yako nitakase Yesu kwa damu yako takatifu ishuke kuanzia utosini mpaka unyayoni initakase nafuta mashitaka yote nilio shitakiwa na ibilisi mbele za kiti cha enzi Mimi na family yangu yote mmewang na mwanagu brayn wazazi wangu wadogo zangu wote na Bibi yangu tusamehe Yesu tusienende namna ya ulimwengu uendavyo bali vile wewe utakavyo Mungu wetu😢😢😢😢😢
@SevAl-p9k
@SevAl-p9k 17 дней назад
Eee mwenyezi mungu nko mbelezako baba naomba uniwiye radhi maana mm binadamu najuwa kabsa sii mkamilifu baba nirehemu unitakase kwa damu ya yesu 🙌🙌🙏
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 18 дней назад
Eee Mungu nisaidie kwenye Dunia hii iliyojaa tabu nyingi na machozi naomba unipe maarifa zaidi 🙏🙏
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 18 дней назад
Eh BWANA YESU Naomba nirehemu nisaidie univushe kutoka hapa nilipo
@BahatiChengo-n8k
@BahatiChengo-n8k День назад
Ee,mungu,na,shukuru,Kwa,,mada,hii,ni,Kwa,neema,yako
@EstherMulekania
@EstherMulekania 18 дней назад
Amen mtumishi wa Mungu,leo naamua kubadilika. Ambia Mungu tuanze upya na aniwezeshe kuishi maisha matakatifu
@MaseaKerry
@MaseaKerry 18 дней назад
Mungu turehemu tumepotea kwa akili zetu neema Yako itutoshe katika jina la Yesu Amen Amen 🙏🙏
@julianarichard920
@julianarichard920 18 дней назад
Mungu anisaidie niwe hai sio mtu Kwa kweli kiuchumi.niwe hai sio.mfu
@MariahOmar-r8q
@MariahOmar-r8q 17 дней назад
EeMungu unirehemu makosa yangu yote unisahidie Ee Mungu Mungu wangu
@Princesscareen
@Princesscareen 18 дней назад
Ww mtumishi mungu kakuleta ili unipe mafunuo mapya Asante
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 17 дней назад
Dah hili neno limenifurahisha mpaka sasa nimerudia mara 4 na bado natamani kusikiliza watu wa Mungu tubadilikeni jmn😢😢😢😢
@ruthmoranga5142
@ruthmoranga5142 17 дней назад
Bwana naomba niweze kutenda kulingana ma mapenzi yako ni badieishe mienendo yangu ili matendo yangu yafae mbele zako
@neemakarisa1496
@neemakarisa1496 4 дня назад
Amen Amen Amen 🙏. Asante Mtumishi
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 17 дней назад
E Mungu wangu nirehemu na uniongoze katika maisha Yngi maan siwez bila wwe
@AnnKaranja-eo1ql
@AnnKaranja-eo1ql 18 дней назад
Mungu nsaidie nikae upendavyo 🙏🙏🙏
@joycemaina4975
@joycemaina4975 17 дней назад
Eee Mungu naomba msaada wako peke yangu mimi siwezi
@josehenriqueshenriques9782
@josehenriqueshenriques9782 17 дней назад
Asante baba naskuru kwa ujumbe mzito huu
@josehenriqueshenriques9782
@josehenriqueshenriques9782 17 дней назад
Asante baba naskuru kwa ujumbe mzito huu
@AnnahNickson
@AnnahNickson 18 дней назад
Amen mtumish barikiwa sana🙏
@shelyboyshely2928
@shelyboyshely2928 18 дней назад
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@harrietkemiyondo4171
@harrietkemiyondo4171 17 дней назад
Oh God am sorry forgive me 😢
@EvalynePendo
@EvalynePendo 16 дней назад
Hallelujah 🙏🏻🙏🏻
@ambrosebarasa448
@ambrosebarasa448 17 дней назад
Unirehemu mwana wa adamu
@josehenriqueshenriques9782
@josehenriqueshenriques9782 17 дней назад
Amina Pastor
@irinenjombo3368
@irinenjombo3368 17 дней назад
Ameen Ameen 🙏🙏🙏
@Victotia-p4b
@Victotia-p4b 18 дней назад
Amen Mtumishi
@JoyceMlelwa
@JoyceMlelwa 18 дней назад
Mungu nisaidie
@ArinaitweFatuma
@ArinaitweFatuma 18 дней назад
Amen 🙏🙏🙏🙏
@Tinahtinash
@Tinahtinash 18 дней назад
AMEN 🙏 🙏 🙏
@waitheramwangi3558
@waitheramwangi3558 18 дней назад
thank you for this information my God bless you 🙏🙏🙏
@NiyonkuruEstella-m8o
@NiyonkuruEstella-m8o 18 дней назад
Ukiota mutu anavuwa viayatuvyake akaukabizi yeyeakavavimpya inama gani nindoto ambao nimeiota
@GodfreymwinukaGodfreymwinuka
@GodfreymwinukaGodfreymwinuka 18 дней назад
AMEN 🙏🙏
@FaridaKivuno
@FaridaKivuno 18 дней назад
Amen 🙏🙏
@LucienneBalume
@LucienneBalume 17 дней назад
Amen amen
@margaretmumby2411
@margaretmumby2411 18 дней назад
Amen 🙏
@rumariletimba7585
@rumariletimba7585 14 дней назад
Amen
@alicemwaka3762
@alicemwaka3762 18 дней назад
Emeeeen
@Lizzelizze35Jira
@Lizzelizze35Jira 17 дней назад
Amen
@MarieMakiwa
@MarieMakiwa 18 дней назад
Amen
@HappyEthan-v9f
@HappyEthan-v9f 18 дней назад
Amen
@HappyEthan-v9f
@HappyEthan-v9f 18 дней назад
Amen
@biannapiter554
@biannapiter554 18 дней назад
Ameni❤❤🙏🏻
@AsnathObadiah
@AsnathObadiah 16 дней назад
nirehemu ee yaweeeh
@MerryMwailoka
@MerryMwailoka 17 дней назад
❤❤❤
@mariamjumaa-e6u
@mariamjumaa-e6u 18 дней назад
@HappyEthan-v9f
@HappyEthan-v9f 18 дней назад
Amen
Далее
MAISHA YAKO NI MVUKE // JITHAMINI,UNA KITU
24:22
Просмотров 2,8 тыс.
Ко мне подкатил бармен
00:58
Просмотров 204 тыс.
NENO LA SIKU | Yohana 1 | Maombi Ya Kupata Matokeo
38:39
#LIVE: NAMNA SAHIHI YA KUTAFSIRI NDOTO ZAKO  // DAY 16
1:21:32
MAOMBI YA KUFUNGUA MBINGU // OMBA MPAKA MBINGU ZISEME
1:04:55