Тёмный

Una leseni ya udereva bila cheti? Kiama kinakuja 

Подписаться
Просмотров 99 тыс.
% 271

Jeshi la Polisi limetangaza kuanza msako wa kukagua leseni za madereva kuanzia Agosti Mosi, mwaka huu . Lengo ni kuhakikisha kuwa wanaoendesha vyombo vya usafiri wanakidhi viwango. Kamanda wa Polisi Kitengo cha Usalama barabarani, Musilimu anaelezea zaidi zoezi hilo.

Опубликовано:

 

24 июл 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 120   
@starboychyner3458
@starboychyner3458 6 лет назад
KWA UPANDE WANGU MM NAONA CHETI SIO KIGEZO CHA KUZUIA AJARI BARABARAN.... COZ USOME USISOME KM WW NI MZEMBE NI MZEMBE TU...
@iddysufiani6116
@iddysufiani6116 6 лет назад
Kwanini umkamate drv songea ametoka dsm vyeti vipo dar huo ni uonevu kwanini msitoe muda ..!!!
@70SIXER7
@70SIXER7 5 лет назад
Mi nadhani kaongea good point!...ni lazma mtu uwe safe kuendesha barabarani!...mko bize kutwa kulalamika mnataka tu kusukuma vyombo vya Dola around hili muendeshe kienyeji alafu kilasiku mnauwa watu sababu ya less experience on the road alafu mnakomplain!....Kamanda yuko Sahii kabisaa!...alafu mnabahati anawapa a second,third chance nk!..Nchi nyingine ukifanya upuuuzi kama huo wana Suspend Driver License yako kwa miaka 300! Tuacheni Utoto na tupende ukweli!..Sasawa Kamanda Hiyo itapunguza vifo Vingii!...alafu muwe mnawapima Alcohol!..
@hatibuwage4766
@hatibuwage4766 6 лет назад
babu yangu ni deveva mzuri sana tangu enzi za mwalimu hajawahi pata ajali lakini hajui kusoma na kuandika lkn alama za barabarani anazijua
@fdqmwanzamwanza2952
@fdqmwanzamwanza2952 6 лет назад
masrai yake hamngalii anaacha kazi akasome maisha yake yakuunga unga mtrngenezeen masrai kwanza akiacha kaz akienda shule maisha nyumban yanaenda mmekulupuka mnacho kifanya mungu anawaona kuwen na huluma dreva haki yake hamuion mnazid kumhukumtu anatoka dar anaenda Congo na analud Safi naanae toka shule ukimwambia aende tripu aminini nacho waambia kulud salama ningum sana siamin mnachokisema kwamba dreva anasababisha ajal kisa hajasoma .....hamjiuliz anakuwa namatatizo gan kuna watu wana kaz lakin kama hana kaz shida tupu kwanini asiwe namawazo kwahili sio kwer hata kama mmesema tukasome sawa hatujakataa nahuko tunako enda kusoma msimamie haki waache lushwa, najua umesoma lakin utasumbuliwa kupata chet mpaka utoe Hera 😖😖😖😖🙌🙌
@martinkarata1097
@martinkarata1097 6 лет назад
Leseni zinatoka wp? Na kwa nn mtu anapewa leseni hajaenda kusoma mnatakiwa mfikirie au lesen zinatoka mitaani
@gerkombo6512
@gerkombo6512 6 лет назад
Wamkamate huyo anayetoa leseni bila kuwa na cheti.
@omarihussien9654
@omarihussien9654 6 лет назад
Kusoma kwanza
@mohamedally7100
@mohamedally7100 Год назад
Ni shida hali ilivyo kuwa ngumu ivi yanaanzishwa mapya Allah tufanyie wepesi kwa hii mitihani tulio kuwa nayo
@anzamenmunisi
@anzamenmunisi 9 месяцев назад
Futeni zote mwendeshe ninyi mkishafuta tuanze ihakiki wa vyeti vya polisi
@hamadshein935
@hamadshein935 6 лет назад
Tengenezeni barabara.kila mkoa zakutoka mbili za kuingia mbili.barabara toka ukoloni.ilizoea leyland na bediford,na vokuswgen.leo kuna gari za kisasa.
@jumakiparis2267
@jumakiparis2267 6 лет назад
Sio mtunge sheria tu na Barbara pia zirengenezwe sio njia ya kuchangisha pesa tu
@calabash4221
@calabash4221 6 лет назад
Hiyo ndio solution..
@bahatimwansengo9371
@bahatimwansengo9371 6 лет назад
hapo sawla
@eliamwakalong6160
@eliamwakalong6160 6 лет назад
Hamad Shein yaaa wanaleta uhuni tuu bara bara finyu wanasingizia vyeti
@eliamwakalong6160
@eliamwakalong6160 6 лет назад
Wekeni bara bara mbili kwenda na mbili kurudi muone kama kutakua na ajali msituletee uhuni kusema watu wanakufa kwa speed ujeruman watu wanaenda hadi 300km/h amna ajali ata siku moja kwa sabab barabara ni nne kwenda nne kurudi sasa hapa bara bara moja kwenda moja kurudi mnatuletea story tuu eti vyeti what a shame sasa mnataka watu watoke apa adi mbeya kwa speed 50km /h watu watakufa migongo sasa msituletee uhuni bwana
@EmmanuelKunzugala-uw7gg
@EmmanuelKunzugala-uw7gg Год назад
Tufikilie fedha tunaipata vip na bado tuwafikilie nyinyi duh kifup tafuteni njia ya kutunyonya nyingine hii tumeshituka kama leseni nyinyi ndo mmetupa kwahyo hizo mada hapo mwazo zilizikwa au? Tumechoka asee
@aboubakarmkurdi2698
@aboubakarmkurdi2698 6 лет назад
Mnataka hela kwa nguvu alo kwambia nani asie kuwa na cheti ndio anasababisha ajali?Mzee gari haiendeshwi kwenye makaratasi gari inaendeshwa bara barani!sasa kukuonyesha kuwa madereva tunanguvu kubwa subili ifike huyo siku ya msako wewe mwenyewe utapanda baiskeli kwenda kazini kwako
@akramally4742
@akramally4742 6 лет назад
Aboubakar mkurdi safi saaana hiyo point kwanza hizo kodi zinaongozwa na magari pia ajali haisabishwi na madereva bali miondombinu yetu mibovu
@aboubakarmkurdi2698
@aboubakarmkurdi2698 6 лет назад
Akram Ally unajua katika ajali kuna vitu vinne!moja kadari pili ubovu wa gari tatu bara bara!nne uzembe sasa!hapo ukiangalia hakuna ajali inayo sasabishwa na kutojua sheria !na kingine hawawezi kuvichambua hivyo vupaumbele vinne kilicho baki wanatapa tapa ngona tuwasubiri tarehe moja tu
@piopatmo2464
@piopatmo2464 6 лет назад
mimi ninakuunga mkono ila anza na barabara.2.askari wawerafiķi wa madereva kwa kila jambo.3.maslahi ya dereva uyazungumzie ili alipwe vizuri tena kupitia benki na serikali ipate kodi halali.4.magari yawe na viwango sii howo mnawauwa watanzania.5.kagua leseni bila kutangaza ili wale mlio wapa muwanase vizuri nawatoe mwongozo wamepewa na nani.naakupongeza kwa juhudi zako kiongoz mungu bariki tanzania na watanza nia wote.6.MADEREVA WOOTE TUTOE USHIRIKIANO KWA JESHI LA POLIC BILA HOFU CC NI WAO NA WAO NI CC MUNGU NI MWEMA.
@habakukiephes-ld8rd
@habakukiephes-ld8rd Год назад
Kazi ipo
@boazpeter6524
@boazpeter6524 Год назад
Kabla ya kufanya hivo fikilieni Marshall ya Hawa watu msichukulie mchezo nyinyi Athenian kuleta shida nchin mnaongeza wimbi la ujambazi ajali huwezi zuia mzee miundo minutes nayo shida tupu
@mohamedkhamis7453
@mohamedkhamis7453 6 лет назад
Usafirishaji utasimama Asilimia kubwa ya Maeneo Tz sababu swala la leseni bila cheti ni sawa na Store bila vumbi wengi Sana wanahusika hapa
@salumkifite388
@salumkifite388 6 лет назад
Mkwara huo
@isaacsengunda3099
@isaacsengunda3099 6 лет назад
Mohamed Khamis mimi ninayo leseni aisee,,niunganishie basi kazi lakini nataka mkataba mzuri ili nisiwe na mawazo.
@arabimandindi5930
@arabimandindi5930 6 лет назад
Baada ya kwenda mbele tunarudi nyuma kwani hizi leseni walio xitoa ni akina nani jamani na asilimia kubwa watu wanaleseni lkn ni madereva waxuli na asilimia kubwa wote walio enda veta mpaka leo ni malena huwajui kuendesha magali
@limolimo4701
@limolimo4701 6 лет назад
acheni kukurupuka hao waliotoa hizo leseni bila vyeti nao mnawachukulia hatua gani nao mtawaweka mahabusu
@dicksonlusinde2830
@dicksonlusinde2830 6 лет назад
Limo Limo ujumbe mzur
@antonyshalali5517
@antonyshalali5517 6 лет назад
kama vilitokabila vyeti nani ashitakiwe
@hemedwow8802
@hemedwow8802 6 лет назад
Hongera kwa jambo hilo....Ila bado hujapambana na ajali.pigania marekebisho ya sheria za usalama barabaran.ili kila anaewajibika au kusababisha ajali awajibike!!sheria zilizopo sasa hivi hata uzembe wafanye TANROADS lakini dereva ndio mhanga!! MIUNDOMBINU KWANZA#
@asteriambwei95
@asteriambwei95 6 лет назад
Ni Kweli cheti hakisababishi kutokupata hajali mmechemsha hapo wako madreva nawajua Siku nyingi hawajawai kupata ajali mawanzo yenu askari bado hakijaeleweka tuone km wana vyeti wote km hajali haitatokea?eemungu tusaidie watu wako tunaangamia Kwa kukosa maarifa
@silylyimo946
@silylyimo946 6 лет назад
Je, na wale askar waliosababisha ajali singida na wao vyeti vyao ni sawa?? Je, walichukuliwa hatua gani?? Kwahyo sahv vyeti vinaendesha magari??? Duh kazi kweli kweli.
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 6 лет назад
Yaleyale ya mwakyembe asie na cheti cha kuzaliwa asifunge ndoa
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 6 лет назад
Richie P Paschal haiwezi kua sahihi wako wazee hawana hivo vyeti kwani walipata leseni halali kabla ya mfumo huo
@samkyando2332
@samkyando2332 4 года назад
Nan anatoa lesen kwan
@victorwareba7500
@victorwareba7500 6 лет назад
Saaaafi,shule lazima.
@stephanomwakyobe4675
@stephanomwakyobe4675 6 лет назад
ni very nice
@charlescosmas-uc7es
@charlescosmas-uc7es Год назад
Tunamtaka mtoaji
@omarmohamed-gc7lw
@omarmohamed-gc7lw 6 лет назад
Hii mnataka hela kwa masikini ,,hatari sana urongo tu
@atugonzalugemalila5142
@atugonzalugemalila5142 5 лет назад
Mliwapaje lessen bila vyeti makosa si yenu wenyewe labda Kama lessen ni feki hapo sawa
@abdullasalim9266
@abdullasalim9266 6 лет назад
Kigezo cha shule ni kumnyima raia haki yake ya binaadamu hio ni kum'bagua kutokana na kukosa kwake elimu ..
@70SIXER7
@70SIXER7 5 лет назад
haaaaaa!..hana maana urudi Secondary!...cheti cha udereva kinaitwa Driver Licence.....na kinatolewa na Serikali Dunian nzima hili kuahkikisha uko salama pia!...na hataukifeli unaruhusiwa kurudiarudia hadi upasi....na kama umekuwa tiari ukiendesha huwezi feli!...ahahahaa...usipanik so kwamba wanakurudisha shule tena!aaaaahahaha..na sidhanikwamba wana haki ya kukuuliza cheti cha shule!...wakifanya hiyo ujue kuna kamchezo!...sanasana ni kitambulisho lakini never elimu...hata kama ujawahi kuwa darasa la kwanza still una haki ya licence ca muhimu ni uijue tu gari vizuri
@createchannelnyonyo6528
@createchannelnyonyo6528 6 лет назад
mtu ameweza kupata leseni ambayo ndo ngumu kuipata atashindwa kupata cheti?wenye driving school sasa ni zamu yao kupata pesa za kutengeneza vyeti
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 6 лет назад
create channel Nyonyo usiongee uozo unafikiri vyeti feki ivyo?? vikitengenezwa ambavyo havionekani ktk system ya compyuter zao watajua tu kwani kabla ya uhakiki itabidi vyeti vyote halali vitiwe ktk compyuter usifikiri ni wapumbavu kiasi hicho. wewe kama una leseni ya magumashi nenda ukatengeneze hicho cheti kisha ukione cha mtema manyonge. utajuta kuzaliwa...
@bwatorahim3410
@bwatorahim3410 3 года назад
Mzee Anza na hao waliotoa lesen bila cheti,Kwan nyinyi amjui Kama ni kosa
@omarykhamis7163
@omarykhamis7163 6 лет назад
swala la ajali ni swala mtamvbuka sana kwaiyo viongozi wapaswa kukaa na kutafakali kwa kina kujua vyanzo vya ajali, labda mimi niombe kuwashauri kwanza kukagua magari ya mizigo kujua mizigo wanayo beba ni sawa na uwezo wa gari husikaa?, kwa mfaano gari aina ya fuso za tani 4 zinabeba mizigo ya tani 10, hili ni kosa linaloweza kusababisha ajali kwakua huo mzigo ni mzito kuliko uwezo wa taili na mfumo wa bleki, gari aina ya scania tani18 zinabeba mzigo tani 30 hapa napo ni tatizo na chaajabu katika mizani zinakaguliwa na kupita eti zipo sawa hazijazidisha mzigo, pia mabasi tumeshuhudia basi ikitoka dar kuelekea mikoa ya kusini huwa kuna watu wanatangulia mkuranga katika mizani kunafanyika michezo ya ovyo sana humo katika mizani ambayo yote hayo ni vyanzo vikuu vya ajali, swala la madereva kuongea na simu wawapo kazini yaani wanapoendesha gari, lakini pia kuna mtindo umeenea nchi nzima askari wa usalama barabarani akisimamisha gari ya abiria basi hushuka konda na kwenda kuongea na askari huyo baadae huruhusiwa bila askari kukagua gari na hata maloli pia baada ya askari akisimamisha gari dereva hushuka na kwenda kwa trafiki huyo au alie kaa pembezoni mwa barabara na atimae gari huluhusiwa hapa kunahaja ya kubadili mfumo wa wasimamizi wa usalama barabarani kwa ushauri wangu ebu tuwape jwtz au jkt tuone kama kuna mtu ataleta muchezo na taaluma yake ya udereva, kwakweli serikali inafanya kazi kubwa sana ila huu mchezo wa kupena mikono, tiketi na kadi za gari kati ya maofisa wa usamala barabarani na madereva unachangia sana uwepo wa ajali. TANZANIA BILA YA AJALI INAWEZEKANA EWE DEREVA BADILIKA SASA..
@hermanmassawe8984
@hermanmassawe8984 6 лет назад
Mimi nilipata license yangu 1987. Sijawahi kupata ajali. Sasa kamanda niambie. Jee unatengeneza kiuhalisia bado ninavyoelewa hizo karatasi za shule kweli? Ndio maana Tanzania inakuwa ya 153 kati ya 156 kwa nchi zenye furaha. Maderefa wapi 5,000,000 na ushee. Ziko shule za udreva ngapi hapa Tzii? Acheni usanii.
@petershapa350
@petershapa350 5 лет назад
Asa mimi nashangaa unapokuwa na leseni ci umepewa na veco ci akamatwe anae toa leseni sasa jeshi la polisi mnahangaika na mwanakijiji kwa lipi
@boazpeter6524
@boazpeter6524 Год назад
Hawana kazi za musings za kufanya wangepelekwa hata congo wakasaidie kutetea amani ya wenzetu kuliko kuzungumzia mambo ambayo Malibu yake wanayo
@omarmohamed-gc7lw
@omarmohamed-gc7lw 6 лет назад
Mi nauliza mnafanya watu wajinga nyinyi ,,hebu angalieni katiba mnanyanyasa watu sana duuh ni sawa lakini tungeni sheria ipasavyo ndio mwanze kuwakamata
@ibrahimshilinde6129
@ibrahimshilinde6129 6 лет назад
mara paaa,tairi imepasuka ajari hiyoo inatokea na cheti unacho,hapo kosa ni cheti?
@josephatmazinde1628
@josephatmazinde1628 6 лет назад
IBRAHIM SHILINDE karibuni RU-vid link Punguza mwendo
@mohamedsanyange1366
@mohamedsanyange1366 Год назад
Hata Kama usome veta ajali zipo mkuu miundombinu mibovu mbona gari za. Serikali zinapata ajali hawajasoma nao ajira ya mtu
@masrergaudens3967
@masrergaudens3967 5 лет назад
Mmetutesa mno lakini tutawashiki kwa mungu ili ahukumu kwa haki na mungu hatanyamaza mtashuhudia maneno haya ya kinabii
@charlescosmas-uc7es
@charlescosmas-uc7es Год назад
Mtoaji wa nayo madaraja nn
@hamisihassan3070
@hamisihassan3070 6 лет назад
Hahahaha!!!!! Mazingila hayo
@yusuphyusuph6076
@yusuphyusuph6076 6 лет назад
Duhhh serikali imekuwa vikwazo Kwa raia wake msikurupuke tengenezeni haki ya Dereva ndo mangine yafate
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 6 лет назад
Tobaaa kwa znz mnaanza lini jameni
@ibrahimshaban4126
@ibrahimshaban4126 5 лет назад
mwezi unaisha sasa cwaoni mkikamata hayo magari kweli mnafanya mambo kwa kukurupuka
@harshkirit6780
@harshkirit6780 6 лет назад
acheni usanii.. mnataka kuwa kamua hela wananchi.
@maspanabig95
@maspanabig95 6 лет назад
Duuuh hii nishida
@jonesiakaganda9177
@jonesiakaganda9177 6 лет назад
Hadi kesho nyie mnaendelea kutoa leseni bila vyeti!!alafu mnahitaji madereva watembee na vyeti Original!! Kweli uongozi ni kipaji!!
@erichance1037
@erichance1037 6 лет назад
Me'ne Me'ne Te'kel...
@omarmohamed-gc7lw
@omarmohamed-gc7lw 6 лет назад
Tengezene bara bara mwanzo mkisha kamilisha ndio sasa
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 лет назад
Cheti cha ukimwi au
@treyibrahim3327
@treyibrahim3327 6 лет назад
mmmmh izo sheria jamani na ninyi toeni vyeti vyenu mlisomea wapi udereva tuendeni sawa wote...mmeona njia sahihi ya kupunguza ajali ni vyeti vya udereva na wala sio ulevi wa ma dereva au mengine ?mhetuhakikishia baada ya zoezi hili hakuta kuwa na ajali tena au?mmmmh mna makuu sana
@richardmarunda4195
@richardmarunda4195 5 лет назад
Trey Ibr
@saidfundi9193
@saidfundi9193 5 лет назад
huu ni uonevu mzee ajali imepangwa na uenzi kuzuia ajali hata cku1 mtu atakama ana cheti hutozuia kupata kwa ajali
@sumatanjunior231
@sumatanjunior231 6 лет назад
This country is going backward at god speed.
@omarymussa4815
@omarymussa4815 6 лет назад
hovyo kabisa
@daudmsemo7025
@daudmsemo7025 6 лет назад
mi no dereva ishu so kukagua leseni Bali mi udobinu mibovo sana afu Hugo dereva alie soma na Mimi nilie tokea kwenye utigo nikawa DRV nibora mana tayari naijua gari hapo bado sana
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 6 лет назад
Daud Msemo tatizo shule inafundisha Adabu na utiifu, waweza juwa kuiendesha hiyo gari ila nidhamu ni zero. waweza ukawa ni fundi haswa kushinda yule Aliyesomea ila Adabu ni mundu wa kunguru, ila kuhusiana na Ajari tatizo siyo miundo mbinu tu, ushirikina wa matajiri pia unachangia kwa kutoa watu makafara ovyo, Pia na Adabu ya madereva oia ni kikwazo, na hiyo miundo mbinu pia ni kikwazo kikubwa.
@lucianodeo4103
@lucianodeo4103 6 лет назад
Elimu ni ufunguo wa maisha
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 6 лет назад
Sheria inasema dereva atembee na leseni tu.Huku kukurupuka na kutaka vyeti vya shule kunatoka wapi? Hawa polisi ni wa juzijuzi tu.Hawajui kwamba shule za udereva zilianza miaka ya 80? Kabla mtu ulikuwa unajifunza binafsi na kisha kufanya mtihani polisi na kupewa CERTIFICATE OF COMPETENCE. Kwa hiyo polisi labda waombe vyeti vya CERTIFICATE of COMPETENCE.Lkn kwa dereva wa zaidi ya miaka 20 sidhani kama atakuwa na chet hiki.
@saidmaganga4847
@saidmaganga4847 6 лет назад
Si vibaya kuboresha usalama likini je imezingatiwa haki kwani. haki ndiyo kila kitu kuongoza bin Adamu. Ni mtihani mkubwa kwani kiongozi mzuri apaswi kuruhusu kutoa maamuzi ndani yake kuna challenge ndani ya challenge kuna positive and negative kwa viongozi wa umma mnatakiwa mviangalie sana Tanzania ni nchi tulivu na watt wake ni wapenda Amami mungu wabariki viongozi wetu wadumishe Amani waondolee maamuzi ya jazba Amin
@marobotv4510
@marobotv4510 6 лет назад
ivi nyinyi nategemea km mtu alisha poteza cheti je atakipata wapi acheni mambo yenu bhana
@amirmotors9735
@amirmotors9735 6 лет назад
Sasa kwann mcanze kwenu kwanza yaaan muanze na madereva wa serikali alafu mmalizie nje sasa
@geraldkimaro7027
@geraldkimaro7027 5 лет назад
Luck dube
@kelvinkimisha5518
@kelvinkimisha5518 6 лет назад
Halaf wabongo akili hamna .....ajal zikizid madera Lena hao Mara askar hawafanyi kaz ...wameamua kufanya kaz Leo maneno ya kipumbavu ifike pindi tujiheshimu ndugu zangu....ndo maana tunapelekeshwa na wanasiasa coz hatujitambui...!! Mi naona ni sahihi waanze kaz yao.
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 6 лет назад
kelvin kimisha kazi siyo hiyo. Leseni za serikali na police traffic ndiyo walioauthorise na kucertify kwamba muombaji amefaulu test zote na anastahili kupewa leseni.Tatizo kila kiongozi anataka kuonyesha kwamba yeye ni bora kuliko aliyetangulia.Za zamani walizihakiki 2000 vipi tenaaaaa.
@stanleybupambambogo3334
@stanleybupambambogo3334 6 лет назад
Faustim Luambano, hata hiyo mbona ni sahihi na ni matarajio ya kawaida ya wanaoongozwa /watakaoongowa kuona kiongozi anayeshika nafasi ya uongozi fulani anakuwa bora zaidi ya mtangulizi wake... Vinginevyo huoni kumbadilisha kiongozi hakutakuwa na maana yoyote basi?!
@stanleybupambambogo3334
@stanleybupambambogo3334 6 лет назад
Faustim Luambano, kuhusu madai yako ya kwamba awali zilishakaghuliwa leseni 2000... Je, unadhani ni sahihi zikishakaguliwa 2000 huko nyuma basi inatosha kwa vipndi vyote ya uwepo wa Idara ya Usalama Barabarani katika taifa letu la Tanzania? Je, kwa maana hiyo yako, kitengo kinachosghulikia ukaguzi kisiendelee kuwepo kazini (kilale usingizi) au kifutwe kabisa kwa kuwa kilisha kagua leseni 2000 katika kipindi cha nyuma?! Hebu watanzania tujitahidi kubungua/kutumikisha bongo zetu vizuri tunapokuwa tukichangia maoni yetu katika masuala yanayohusu usalama wa uhai (maendeleo) wa taifa letu. Tukumbukeni, usalama na uhai wa taifa letu ni kwa ajili yetu, sisi sote watanzania wa aina zote bila kujali rangi, rika, jinsia, dini, elimu wala nafasi ya kazi au uongozi.
@deusmauka9626
@deusmauka9626 6 лет назад
Warudi darasani fasta.
@mashakafundiinatafakarisha5521
Hawa waende kufanya nini mtaani leseni zikichukuliwa na je sheria hii ilipitishwa bungeni lini?
@kelvinkimisha5518
@kelvinkimisha5518 6 лет назад
Faustin kuna chuo cha udreva kinachotoa mafunzo bila kutoa chet?
@johnsonbubinza4646
@johnsonbubinza4646 6 лет назад
bla shaka uyu ana stress za k2 fulan ndo maana anakurupuka aoneshe chet chake kwanza alchosomea yy maana awez kosa kumiliki gar
@70SIXER7
@70SIXER7 5 лет назад
Mi nimemuelewa...anamaanisha Driver Licence sio cheti cha Secondary au la!...ikiwa ni hivyo itakuwa ni mahajabu ya Musa!
@chikuluchidodokochiitingan340
@chikuluchidodokochiitingan340 6 лет назад
Nyinyi kamaten lesen fungieni zotee tutawaleta watoto wetu muwasomeshee. Ma mtulipie modi za nyumbaa maana mnatafuta kiki mjulikane mnafanya kazi acheni hayoo mambo. Kwanza cheti ndio kinaendeesha gar. Angalie mtu anamiaka mingapi kwenye hoi kazii. Tuondoleenii mawazoo potofuu. Tukitaka masilahi yetu mbona hamtuteteii. Tulipieni tutaenda kusomaa.
@abdulkarimsaid730
@abdulkarimsaid730 4 года назад
V
@madukurumwanileles7909
@madukurumwanileles7909 6 лет назад
Kiongozi Mkoa wa mbeya hawana material ya kutengenezea leseni,watu time lipia Kwa ajili ya kupata leseni lakini yapata miezi minne hawajatoa leseni hapa una saidiaje?
@sarababi3560
@sarababi3560 6 лет назад
Wenye vyeti hawaendeshi magari huku wakiongea na simu au amelewa?
@abellabv
@abellabv 6 лет назад
Mheshimiwa, vipi kuhusu madereva wageni, ama kutoka nchi jirani ama popote nje ya Tanzania ama Watanzania waliopata Drivers Licence nje ya Tanzania ? Hao huwa wanatumia Drivers Licence tu kuendesha magari, sasa mtawanyang'anya hizo Drivers Licences zao ? Hakuna sheria inayowalazimu kutembea na cheti cha shule walipohitimu mafunzo ya udereva barabarani huko watokako kwa hivyo hawatakuwa na vyeti hivyo hapa Tanzania. Taifa letu tuna wageni wengi na tunatarajia wengi zaidi kwa ajili ya biashara na utalii. Jeshi la Polisi mnawalindaje wageni wetu ? Je, mtawanyang'anya Drivers Licences zao na kuwaweka mahabusu kwa kukosa vyeti vya vyuo waliposomea udereva ? Huo si utakuwa uonevu wa hali ya juu kwa kundi hili ? Tunaomba ufafanuzi tafadhali.
@apataefatacky6644
@apataefatacky6644 6 лет назад
Hakika Tanzania kuna vituko Kila kiongozi anaekuja anakuja na mbwembwe zake. Hivi sheria ya kupata driving license ina semaje? Mbona Watanzania tuna nyanyaswa kila siku. I can’t believe what am listening from that big chef
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 6 лет назад
Abella Vidtfeldt leceni za ulaya au marekani wale lecence zao hazibughudhiwi kwani hao ni wa kimataifa hata passport zao wanaingia popote pale kama chooni, ila kama una lecence ya vijinchi visivyojulikana itabidi uende na mwalimu wako aende kuhakiki kama ni kweli hiyo, ikishindikana mkodi polisi wa hiyo nchi aende kukithibitishia, Ikishindikana basi beba leseni na vheti cha hiyo nvhi wao wenyewe watafamya utafiti wao kisha utapewa jibu mkunduni ili ujikune vizuri
@omarmukhtar8663
@omarmukhtar8663 6 лет назад
Mbona mm nimeuliza swali Leo nina leseni miaka 54 toka wakati ukoloni hicho cheti nikitoe kwa baba yake huyo anaejiita ninja
@dazbaba6126
@dazbaba6126 6 лет назад
Mmmh yatakwisha tu kila chenye mwanzo kina mwisho wake
@ibrahimshaban4126
@ibrahimshaban4126 5 лет назад
hahahaha nawacheeeeeeeeekaaaaaa aaaa aaaa ahaa
@yakoboisack9054
@yakoboisack9054 6 лет назад
leseni zinapatikana wapi
@bonifacepetro6376
@bonifacepetro6376 6 лет назад
mumekulupuka mutasabisha watukuto fanya kazi ukilinganisha na wahitaji fikilieni upya mutapata mjibu asahihi naleseni mumeto nyinyi jamini kulikoni mbona mwafanya hivyo! mbona hiyo dawa ya ajali
@salumkibwana1848
@salumkibwana1848 6 лет назад
We mwenyewe na familia yako mna vyeti vya udereva?
@Boniphace261
@Boniphace261 6 лет назад
mikataba ya madereva vp mbona mnang'ang'ania sana vyeti
@piusthobias6789
@piusthobias6789 6 лет назад
Hiyo so muhimu
@petermasele4686
@petermasele4686 6 лет назад
waliotoa leseni wabebe mzigo kamata mwenye leseni muulize kaitoa wapi msijitoe bana.
@mahunduinnocent8027
@mahunduinnocent8027 6 лет назад
Miradi mipya mh
@naturelle1097
@naturelle1097 2 года назад
Driving school ziboreshwe, unakuta wanafunzi wanajazwa kwenye gari moja wakati wa practical, kwani leseni itatolewa moja au kwa kila mwanafunzi? Bodaboda zimekua kero, kila sehemu ya kwao kupita. Kama waenda kwa miguu wanatii taa za barabarani kwa nn hao bodaboda mumewazoesha kufanya wanavyo taka? Hata zebra crossing hawajui maana yake, pavements za kwao, taa nyekundu hawasimamagi. Hizo boda kama mmeshindwa kuzi control ziondolewe! Na iwe sharti wakate bima zao wenyewe sababu ya kuzidi kupata ajali kila kukicha wagharamie matibabu zao wenyewe!
@deograsiassteven9262
@deograsiassteven9262 6 лет назад
Fix hizo kwani madereva wanaopata ajali wote hawana vyeti?unaweza kupita shule na bado usiwe makini barabarani...
@ggmmjasiliamalionline2746
@ggmmjasiliamalionline2746 6 лет назад
Sasa mnadai madereva wa pikipiki kuna chuo wanafundisha kuendesha pikipiki au na hao wanaotoa leseni nao mnawachukuliaje manake msiundhuru mnywaji wakati kiwanda kinachotengeneza udanganyifu mnakiacha mi mniambie tuu kama kuna chuo au ni veta wanafundisha kuendesha pikipiki
Далее
Luiza Rasulova #luizarasulova
00:37
Просмотров 2,6 млн
ХЕРЕЙД БОИТСЯ МОЕЙ СОБАКИ!
37:08
小天使和小丑离家出走#short #angel #clown
00:36
Is it impossible to cut off so much?💀🍗
00:14
Просмотров 3,6 млн
Luiza Rasulova #luizarasulova
00:37
Просмотров 2,6 млн