Тёмный

UNAFAHAMU KAMA WANAWAKE KATIKA KOO ZA KIFALME WALIZAA MBELE YA UMATI MKUBWA WA WATU? 

Nianimaarifa
Подписаться 232 тыс.
Просмотров 441
50% 1

Kuzaliwa kwa mtoto wa kifalme kulichukuliwa kuwa nia jambo la
muhimu sana hivyo kwamba kulihitaji mashahidi kutoka katika
Ufalme mzima kuja shuhudia jambo hilo TUKUFU: mara nyingi
malkia au wake wa wafalme walilifanya jambo hilo la kujifungua
mbele ya Kadamnasi, Ingawa kiukweli hali hiyo ya kuzaa mbele
ya kadamnasi iliongeza hofu katika nafsi zao ila ndio hivyo tena
nani wa Kumvisha PAKA kengele?
_______________________________________________________________
@NiaNiMaarifa imeamua kuja na SHINDANO maalumu kwa SUBSCRIBERS Wetu na wafuatiliaji wetu wa Makala Zetu.
NAMNA YA KUSHIRIKI.
Nirahisi.
1. Ingia kwenye Channel yetu na Bonyeza Orodha ya Video zetu kisha Tafuta Video ambazo ZIPO Kwenye hali au zimeandikwa PREMIERED Na upande wa kulia wa video husika utaona Chumba cha Kuchati.
2. Washindi ni WAWILI tu kwa kila video. Mmoja ni kutoka kwenye Kibox cha kuchati upande wa kulia. Akiwa wakwanza kujibu swali kwa kuweka jibu sahihi. Jibu lakwanza ndilo litakuwa linaonesha MSHINDI Wa swali.
Mshindi wa PILI atapatikana kwenye Comment ya Video Husika. UKIWA WA KWANZA ku- Comment pia utakuwa umejishindia Zawadi Tajwa.
Ungana na msimulizi katika kupata maarifa zaidi:-
Usisite Ku-Comment na Kushare, pia ku-like.
Facebook: / nianimaarifa​​
Instagram: / ​
RU-vid: www.youtube.co...

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Injili kwa kinyakyusa
9:13
Просмотров 16 тыс.
БЫСТРАЯ сборка ПК - от А до Я!
00:22
FAHAMU HISTORIA YA ZIWA KISIBA -MBEYA -RUNGWE MASOKO
22:08
KUTANA NA WANYAMA KUMI WENYE USINGIZI WA AJABU
9:04
Просмотров 1,2 тыс.