Hii ni tafakuri juu ya wanasiasa watatu ambao wameathiri kwa kiasi kikubwa siasa za Tanzania kwa kujenga vyama imara - Mwalimu Julius Nyerere, Maalim Seif Shariff Hamad, na Freeman Mbowe. Nani anasema hayo? Fuatilia uchambuzi huu mfupi.
Heshima yataifa letu ndani na nje ya nchi imetokana ma wanasiasa wengi waliowahi kuishi ktk nchi yetu so hao 3 tu. Mf Dr Ahmed Sakim, Marais wetu, mabalozi nk. Kwa hiyo Tanzania ijayo klhazina kubwa ya wanasiasa maarufu.
UKO sawa kabisa. Hawajakosea maprofesa. KWA Sasa tunaweza KUWA na wasiwasi Kama wakati wa Baba wa Taifa alivyotaka kun'atuka tuliona hakuna wa kulingana na yeye kiuongozi tulikuwa na wasiwasi.Hata KWA Mbowe Ana kipaji kumfuatia KWA Baba wa Taifa.Mbowe NI wa Karne hii ya vyama bingo anafaa!!!
huyu ambaye anamshauri mbowe aende ccm ni kati ya watu wasiotambua nini maana ya uongozi na hawa ni kati ya watu wanaololazimisha kuwa viongozi bila kujua jamii atakayoiongoza inataka nini.
Hizo zinaitwa hisa za kisiasa. Bahati mbaya hakuna Soko la Hisa za Kisiasa ( SHK) "Political Stock Exchange Market" (PSEM). Hisa hizi huonekana Sana kipindi Cha uvlchaguzi. Wingi wa mashabiki na wameachana wanaomuunga mkono mwanasiasa.
Kimtazamo wa nje utamuongelea maalim seif kua muunganishaji wazanzibar ila ukija kiundan kabisa tunajua cc wazanzibar co wanaojiita wazanzibar Kuna vtu mctusemee tunajua cc wazanzibar co wanaojiita wazanzibar kwenye kuunganisha wazanzibar Hilo nakataa sana kuunganisha kwake co kizanzibar tatzo lenu mnaojita watafit wa siasa mnatafit kichama co kitaifa njoo. Zanzibar watafuten wazanzibar co wanaojiita wazanzibar mtapata meng
Mbowe is the first following with Maalim seif. Then the last one is Mwalimu Julius K Nyerere. Ni kwa sababu Nyerere aliongoza nchi ikiwa na wasomi wachache sana