Тёмный

Unataka kupima DNA? Hizi hapa hatua za kufuata 

Asili Digital
Подписаться 305
Просмотров 53
50% 1

Katika video hii, tunamtazama mtaalamu kutoka ofisi ya mkemia mkuu wa serikali kuhusu DNA. Unataka kupima DNA Hizi hapa hatua za kufuata. Ametoa maelezo yake na maarifa kuhusu DNA kwenye maonyesho ya saba ya mifuko ya programu ya uwezeshaji wananchi kiuchumi mkoani Singida, ambapo mikoa sita ya Tanzania iliungana.
Utajifunza kuhusu:
* DNA ni nini?
* Matumizi ya vipimo vya DNA
* Sheria za Tanzania kuhusu DNA.
Usikose kutazama video hii ili kupata maarifa zaidi kuhusu DNA na jinsi inavyofanya kazi.
*#DNA #Vinasaba #MaonyeshoYaSabasaba #Singida #Tanzania #MkemiaMkuu #Afya #Sayansi #Utafiti*

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
MAPENZI NI GAME | EPISODE 13 | Love story 💞
25:52
Просмотров 2,5 тыс.