Тёмный

UNCLE DOKO ((01)) 

CHELEKO GANG
Подписаться 4,2 тыс.
Просмотров 50 тыс.
50% 1

#doko #chelekogang #snake

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 109   
@turnfidennikazo9437
@turnfidennikazo9437 8 месяцев назад
Aifai aifai sema tu ujaelewa bwana achen kuaribu kaz za watu hii inafundishaa sema uelewa wenu
@Wigasquare
@Wigasquare 8 месяцев назад
Ndio, watu huwa wanapenda kutafsili mawazo chanya tu
@MamuRamadhani
@MamuRamadhani 6 месяцев назад
hahahaha 😂😂😂 mwanzo mwisho kicheko tu
@JadanHaruna-n7p
@JadanHaruna-n7p 6 месяцев назад
Hapo hamuna ki2 muna halibu jamii2 achen ku2nga siliz kama hiz hapo mumefeli
@SaumuFaida
@SaumuFaida 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂ni kweli wanafunz sahii wameharibika hilo ni funzo
@JacquilineNoah
@JacquilineNoah 6 месяцев назад
Kwan doko mda wote huo kwenye mlango wa choon kwel 😂😂😂😂😂
@HilaliMussa
@HilaliMussa 8 месяцев назад
Hivi mnajua kazi ya sana kweli nyie ambao mnasema mnaharibu vizazi.
@WillaTx
@WillaTx 8 месяцев назад
Ndo hapo sasa, kuna watu wengine kazi yào ni kukatisha tamaa tu
@RidhUliza
@RidhUliza 8 месяцев назад
Kazi nzuri ,,,,,,,,,,,, alafu wanaosema aina mafunzo waangalie mbaka episode ya mwisho ❤❤
@Wigasquare
@Wigasquare 8 месяцев назад
Apana, Fanyeni kazi Movie nzuli sana
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 8 месяцев назад
Hii unapotosha jamiiii sio nzuri hata kidogo
@UpendoMatembo
@UpendoMatembo 8 месяцев назад
Inafundish bwan Sema tunaguswa
@pendorichardi3146
@pendorichardi3146 8 месяцев назад
Huu ufalaaaa, haina reflection yyote njema kwa jamii, upuuzi mtupu huu
@franklinemkoto6041
@franklinemkoto6041 8 месяцев назад
Mafunzo mengi hapa, hasa Kwa wazazi,
@HilaliMussa
@HilaliMussa 8 месяцев назад
Acheni sanaa ifanye kazi yake.... Msikatishe watu tamaa mkajiona mpo sahihi sana.... Kuna ujumbe unafikishwa hapo
@ScholaMalale
@ScholaMalale 8 месяцев назад
Kbs ndugu yangu yani hapa ujumbe umefika moja kwa moja
@WillaTx
@WillaTx 8 месяцев назад
Alafu ukizingatia ndio Sehemu ya kwanza alafu mtu anakwambia hakuna mafunzo, watu wengine bhana 😏
@MildredNyongesa-g7n
@MildredNyongesa-g7n 8 месяцев назад
Hii nayo n noma😂😂😂
@marthaelias3422
@marthaelias3422 8 месяцев назад
Hii kwa kwel sio nzur kwa jamii
@mwanashajambia3420
@mwanashajambia3420 8 месяцев назад
Fanyeni vitu vya kuelimisha jamii siokuaribu jamii.
@ShilingiMwapesa
@ShilingiMwapesa 8 месяцев назад
Doko umenifnya imecheka Sana big up😂😂😂😂😊
@jamillahassan3405
@jamillahassan3405 8 месяцев назад
Mm haswaa nakufa na kicheko😂😂😂
@kasiyoamissi9327
@kasiyoamissi9327 8 месяцев назад
Hapana Doko hii hapa haifai kabisa katika jamiii😭😭😭😭😭
@RizikiZiki
@RizikiZiki 8 месяцев назад
Stafurulai mujomba noma sana😅😅😅
@Hadija-y9z
@Hadija-y9z 7 месяцев назад
Acheni kualibu kadi za watu kama unaona aina maadili usifatilie kwani lazima useme punguzeni gubu
@IZAACManyonyi
@IZAACManyonyi 8 месяцев назад
Nyie mhache tuangalie muvi bira kuangalia uwezi kujifunza makosa
@nabiimundo6545
@nabiimundo6545 8 месяцев назад
Malizieni Hadi mwisho kuangalia❤
@dullymsomaly3782
@dullymsomaly3782 8 месяцев назад
MAANA YA SANAA NI HALI YA MAKATAZO YA TUKIO NAMNA LINAVOTOKEA ILI WEW UNAE ANGALIA USILIFANYEEE PIA .
@kingPetro-uk2qy
@kingPetro-uk2qy 8 месяцев назад
Hakuna ch mwanzo Wala mwisho hii haifai kiufupi
@PATRICIALEILA-yx3ec
@PATRICIALEILA-yx3ec 8 месяцев назад
Ila hapo kwakuzagamuana nimecheka 😂😂
@mejubagu6825
@mejubagu6825 7 месяцев назад
Mm kama kuku kimoja tu chali
@johnmamba682
@johnmamba682 8 месяцев назад
Kwa hapa umechesha ndugu
@Centrinewekesa-b8y
@Centrinewekesa-b8y 6 месяцев назад
Woooow 🥰
@official_kingnabiryOg
@official_kingnabiryOg 8 месяцев назад
Wewe subili movie iishe kwanza ndo utajua ina maana gan 👉👉👉👆
@KingKingsly-h3e
@KingKingsly-h3e 8 месяцев назад
Doko kwakweli iyi mbaa
@BeatriceEmanuely-pq6xz
@BeatriceEmanuely-pq6xz 8 месяцев назад
Chafuuu fyuu mnafundisha nn apo
@ginafaruque5335
@ginafaruque5335 8 месяцев назад
Doko hapo umefely kabissa
@zainabufaidhi4799
@zainabufaidhi4799 8 месяцев назад
Hii haifai katika jamii hapa hakuna mafundisho mna aribu vizazi
@Chelekogang
@Chelekogang 8 месяцев назад
Ujumbe upo
@HilaliMussa
@HilaliMussa 8 месяцев назад
Kumbe nyie hamjui maana ya sana ndio maana mnaongea hivi.
@WillaTx
@WillaTx 8 месяцев назад
Mafundosho utayakuta mbele, kumbuka hii ndio kwanza sehemu ya kwanza, acha haraka na kuwavunja moyo watu😢
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 8 месяцев назад
Sbr igzo liishe ​@@WillaTx
@usher_bambi94
@usher_bambi94 8 месяцев назад
Una stress nn😂😂😂😂 sasa watu si ndio wanafundisha hapo
@kelivinwambuikamau
@kelivinwambuikamau 8 месяцев назад
ni ujinga kabisa
@aljazisalem4692
@aljazisalem4692 8 месяцев назад
😂😂😂mzagamuo
@WillaTx
@WillaTx 8 месяцев назад
Kazi nzuri🎉
@djmaxmnyamaglobal7744
@djmaxmnyamaglobal7744 8 месяцев назад
Doko msengeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@pendorichardi3146
@pendorichardi3146 8 месяцев назад
Sasa hii jmn inafundisha nini?? Mbona ujingaaa tuuu
@Salmakikuli
@Salmakikuli 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂mjomba unalo na bado c umeruhusu😂😂😂😂😂😂
@agreuswillbad
@agreuswillbad 4 месяца назад
iyoo po🎉
@NillyNilly-fm5pw
@NillyNilly-fm5pw 8 месяцев назад
😂😅😂😅😂😅😂 mjoba na mbado kaka 😂😂 pambana...watching from 🇰🇪 kenya ❤❤
@MagrethShangwe
@MagrethShangwe 8 месяцев назад
Tujifunze k2 wazazi ap Sy tunalaumu2
@IssaBacar-i2i
@IssaBacar-i2i 8 месяцев назад
Hii movie inamaanisha kuna wazazi wenye tabia kama hizi hapa, na sio kwamba yeye anaelekeza watu wafanye hivi hapana bali anaonya vile vile kwamba wazazi wenye tabia kama hizo basi waziache.
@shamsahasan2748
@shamsahasan2748 8 месяцев назад
Ety nyoko nyoko😂😂😂😂😂
@husseinmgandi-ej5kp
@husseinmgandi-ej5kp 8 месяцев назад
Nikubaya😂😂😂
@rubyrung8808
@rubyrung8808 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂watoto wamejiongezaaaa😂😂
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 8 месяцев назад
Hii picha inamaneno mambaya da
@Onesmo944
@Onesmo944 8 месяцев назад
Xf By the way msipende kuponda kile kinacho onekana ni kizir machoni pa watu na machawa vijana wanajua
@manueljuniormuangane3658
@manueljuniormuangane3658 6 месяцев назад
Kama kuku
@marialuvinga867
@marialuvinga867 8 месяцев назад
Watoto waongea vtu ambayo havina maadili si vizr jaman
@djmaxmnyamaglobal7744
@djmaxmnyamaglobal7744 8 месяцев назад
Usemgeeee
@MrsDariya-y1j
@MrsDariya-y1j 8 месяцев назад
Doko😂😂😂😂🙌
@djmaxmnyamaglobal7744
@djmaxmnyamaglobal7744 8 месяцев назад
Usengeeeeeeeee tu😂
@NapatNapat-x6i
@NapatNapat-x6i 8 месяцев назад
Yaan naharibu vizazi
@MaryamNurru
@MaryamNurru 8 месяцев назад
movi nzuri ila kwenye mafunzo tu hakuna
@elickmongare5754
@elickmongare5754 8 месяцев назад
Gud job bro Doko
@BertrandBarakuririza
@BertrandBarakuririza 8 месяцев назад
Good
@AliAbdullah-hg8pd
@AliAbdullah-hg8pd 8 месяцев назад
Safi sanabro
@amossiri1107
@amossiri1107 8 месяцев назад
Doko unajuwa san
@RAINFRIDAMTEGA-ew3ns
@RAINFRIDAMTEGA-ew3ns 8 месяцев назад
🔥🔥
@giselemauwa4477
@giselemauwa4477 8 месяцев назад
yani😂😂😂😂😂
@Salmakikuli
@Salmakikuli 8 месяцев назад
Ila doko mh umenichekeshaa
@GHgh-hq3zj
@GHgh-hq3zj 8 месяцев назад
😂😂😂😂
@Adelababy
@Adelababy 8 месяцев назад
Nzuli🎉🎉
@DaruweshLevole
@DaruweshLevole 8 месяцев назад
Sio nzul🎉🎉🎉🎉
@daliahmachendenice8543
@daliahmachendenice8543 8 месяцев назад
Good job
@DaruweshLevole
@DaruweshLevole 8 месяцев назад
Doko kipara😅😅
@RehemaBakari-u7x
@RehemaBakari-u7x 8 месяцев назад
Tayari wamejiongeza
@saidjelani1566
@saidjelani1566 8 месяцев назад
Yaani wewe doko hiyo ndio elimu unawafundisha wanafunzi pumbavu mkubwa toa story za kueleweka mtu mzima
@Zizuuh
@Zizuuh 8 месяцев назад
Bro huyu anaifunza jamiii mana vitu kama hiv vpo kwenye uhalisia wa maisha yetu kwahiyo mbona uko sawa
@Iddi-w3r
@Iddi-w3r 8 месяцев назад
Be Gap
@SaidiYusuphOggar
@SaidiYusuphOggar 8 месяцев назад
W7 mm ila Kibuvi kikali
@KhadijaTagalalakasonta
@KhadijaTagalalakasonta 8 месяцев назад
😂😂😂Doko
@selemanpaul2710
@selemanpaul2710 8 месяцев назад
Doko🎉🎉🎉
@marynyota6146
@marynyota6146 8 месяцев назад
😂😂😂😂❤❤❤
@RakmaRakma-o9b
@RakmaRakma-o9b 8 месяцев назад
🙏🙏🙏❤❤❤🇧🇮
@IslamKhanjr
@IslamKhanjr 8 месяцев назад
Umeona mabdilko sas
@Chelekogang
@Chelekogang 8 месяцев назад
Yaaa
@pendorichardi3146
@pendorichardi3146 8 месяцев назад
Huu ufalaaaa,inatuharibia watoto
@Credokiwaga01
@Credokiwaga01 8 месяцев назад
Nisikilize 😂
@MwajumaJuma-h4k
@MwajumaJuma-h4k 8 месяцев назад
@SikukuuHassan
@SikukuuHassan 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@حليمهالبلوشي-ز5ث
@حليمهالبلوشي-ز5ث 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@saidiabdalahshabani941
@saidiabdalahshabani941 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@safiasafiya7904
@safiasafiya7904 8 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅
@johnmamba682
@johnmamba682 8 месяцев назад
Kwa hapa umechesha ndugu
@BertrandBarakuririza
@BertrandBarakuririza 8 месяцев назад
Good
@Sananemc-hz2yp
@Sananemc-hz2yp 5 месяцев назад
😂😂😂
Далее
UNCLE DOKO ((2))
10:21
Просмотров 34 тыс.
BABA ((FULL MUVIE))
56:54
Просмотров 413 тыс.
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37
А я с первого раза прошла (2024)
01:00
USIYEMPENDA KAJA | Kp & Zebuu
11:57
Просмотров 267 тыс.
BAMANDA FULL 1_4
50:55
Просмотров 11 тыс.
BIBI TIKISA HII HAPA..TANZAMA UMBEA
9:22
Просмотров 15 тыс.
Kp Na Zebuu | MZUSHI.
19:25
Просмотров 366 тыс.
UNCLE DOKO ((4)) FINAL
7:44
Просмотров 31 тыс.
MASALO.   FULL.   1_4
1:05:36
Просмотров 3,1 тыс.
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37