Тёмный

UNDANI TUKIO LA KUPIGWA KWA JUMA NA WAFANYAKAZI WA OYA, MKE AFUNGUKA/SHUHUDA AELEZEA ILIVYOKUWA 

JAMBO TV
Подписаться 935 тыс.
Просмотров 3,8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@geraldabel8784
@geraldabel8784 37 минут назад
hiyo OYA ifutwe tu hata wengine wanaodaiwa wasilipe kabisa hao ni majambazi.
@BeatriceKimaro-h8z
@BeatriceKimaro-h8z 24 минуты назад
Hawa oya niwasumbufu sana na huwa wanapenda kutishia maisha sana ila hili limewakuta
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 41 минуту назад
Majirani kidogo mlikosea ,hamkuonyesha ushirikiano nzuri kwa mwenzenu, basi mngepiga cm polisi kwa msaada zaidi
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 Час назад
Kausha Damu kiboko😊
@MwajabuShabani-p2f
@MwajabuShabani-p2f Час назад
Yaani hao ndio utaratibu waliojiwekea Kama ukichelewesha Salio wakikufuata nyumbani ni kipigo Cha mbwa mwizi yaani nashangaa sijui watu wa aina Gani hao
@EmmanuelMpali
@EmmanuelMpali Час назад
Poleni sana ndugu juma ila Hawa oya walichokifanya sio mambi
@SophiaKamgunda
@SophiaKamgunda 18 минут назад
Hata angemshirkisha Mme wangechelewesha kulpa wangejeruhiwa tu inaonyesha siwavumilivu
@adammjomba5814
@adammjomba5814 22 минуты назад
Ndugu wanakijiji jifunzeni kutumia fedha kulingana bakia kipato chenu kukopa ni changamoto sana hasa hasa kama mtakopa ktk benk ambazo sio sahihi Lakini tunaomba tusikie upande wa 2 ktk shauri hili.
@swabialli8542
@swabialli8542 2 минуты назад
Huyu mtangazaji yeye neno LA kuhoji analolijua ni changamoto tuu😂😂
@RehemaMtono
@RehemaMtono 58 минут назад
Hawa watu wamikopo kwa upande mwingine nikama wezi fulani hivi wameenea kila mahali mpaka vijijini wapo
@abdullahfrank
@abdullahfrank 10 минут назад
Muda wa kudai sio tatizo mpaka mtu aje asubuhi maana yake akija muda hisika munakimbia Acheni mchezo na pesa za watu mkikopa rejesheni kama mkataba unavyosema sasa hapo alaumiw nan aliekopa akagoma kulipa au yotekwa yote wote wanamakosa mungu muweke marehemu pahala pema peponi
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 Час назад
Huyu jamaa si jirani mwema kwanini usingeenda polisi au kumweleza mwenyekiti mshenzi tuu
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa Час назад
Je, laki 2 inafaa kuhatarisha maisha ya mtu?
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 30 минут назад
Mambo Nimengi Kukopa Nimtihani Nakukopesha Nimtihani. Kwaufupi Umauti Nihaki Hivyo Hizi Ninjia Tu Zakufika. Hivyo Tujipange Hakuna Namna Kukikwepa Kifo ila Namna Yakujiandaa Naumauti.
@neemamwengama2584
@neemamwengama2584 57 минут назад
Sio kweli msisikilize sehemu moja hawawezi kuondoka na mtu kapigwa mpaka kaka kama ni ndugu yako kwa nini uende shambq ndugu yako anapigwa kweli jamani mpangaji pia hakuamka hao labda majambazi sio oya
@JumanneHaruna-l8d
@JumanneHaruna-l8d 49 минут назад
Wa hapa mlandiz jilan kabisa ulipo msiba hii sio haki mi nazan Sheria ifate mkondo wake na hak itendeke
@BeatriceKimaro-h8z
@BeatriceKimaro-h8z 19 минут назад
Nishida kwakweli hii OYA ifungwe tu hili nimeona kwa wengi wakifanyiwa fujo daaa
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 7 минут назад
Neema,huwajui.... Niko kijichi Mbagala, mimi ni mmoja wa waanga wa kampuni hiyo... NI MOTO USIWACHEZEE... NI VIJANA WANAKUJA WAMELEWA SOMETIMES WANAKUJA NA MAGARI 7 KUKUDAI SAA 8 USIKU, NA TAA ZOTE ZIMEMULIKA KWAKO... OGOPA SANA!
@cessyliamkenda
@cessyliamkenda Час назад
Ninachokiona hapo tatizo wakopeshaji nguvu wanayotumia kudai mikopo sio mfumo sahihi ila niwaambie wakopaji kama hawakubali kuziishi sheria za urejeshaji mikopo angalizo ipo siku mtauziwa kila kitu dawa ys feni ni kulipa sio kwa utaratibu wa kujipangia mliokubaliana kwenye mkataba🙏
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz Час назад
Dah......😥
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 6 минут назад
Kwan hiyo Hoya ndo takataka gan Serikal ifutilie mbal huo uchafu
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 Час назад
wana mpaka mapanga
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs 11 минут назад
Ukweli tusiseme mke ndokamponza Mume nainawezekana alikuwa ajui Mume nahao walijua labda kamficha ndougomvi wote wasinge mjimiy uyoo
@EliasMwita-q3x
@EliasMwita-q3x Час назад
Daah poleni sana kweli inauma😢
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 5 минут назад
Hawa watu ni wahun Hawa Lak inatoa mtu roho Au Hawa ndo wale wasiojulika
@SamwelTogolai-jh2uq
@SamwelTogolai-jh2uq 8 минут назад
Kafa sasa ndoo watalipwa???
@AminaLibisa
@AminaLibisa Час назад
Unachuaje mkopo bila kumshirkisha mume wako sura zitoo 😏😏😏
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 30 минут назад
Oya wafilisiwe pesa walipwe familia, hamuwezi kutoa uhai wa mtu kwa deni
@annamussa185
@annamussa185 2 часа назад
Yani mnawinda watu usiku,ila nahisi hao walikuwa wasumbufu wa kulipa why mfatwe usiku
@teddymassawe3583
@teddymassawe3583 Час назад
Siyo jamani, OYA ni wajinga kabisa
@andreakomba1773
@andreakomba1773 34 минуты назад
Hawa jamaa hata ukiwa mdhamini wanakuja mpaka usiku Kwa mdhamini kwahiyo ni shule wamepewa nchi nzima maana Hawa utaratibu wao ndo ulivyo hawafai kiujumla Hawa.
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f Час назад
From 🇧🇮 inalillah wa inalillah rajiun nawao wawauwe tu
@FadhiliMgalla
@FadhiliMgalla Час назад
Mimi siwapendi Hawa oya
@SaidKudavada
@SaidKudavada Час назад
hao majirani wanawivu wa maisha roho mbaya tu
@ShekhaHamad-r9t
@ShekhaHamad-r9t 28 минут назад
Hizi kampuni zisizo na too Sheria za ukopeshaji zifungwe matapeli wamekuwa wengi mitandaoni selikari inawaona inawaachia sasa wamefikia hatuna ya kuua si Haki kabisa wanachokifanya inabidi lifanyiwe kazi kwa wakopeshaji wote isiwe sababu kuwanyanyasa watu kwa umasikini wao.
@RehemaKipanga-k4l
@RehemaKipanga-k4l 39 минут назад
Yaani hivi vigari vya oya vinazunguka hadi usiku wa manane ni shidaa
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 18 минут назад
Oya Niwakorofi Mnakopa Yanini
@GemmaMnyanyi
@GemmaMnyanyi 52 минуты назад
Serikari inayowapa leseni iwape masharti rafiki mbona benki kubwa au taasisi zingine hawafanyi mauwaji
@smktv9659
@smktv9659 Час назад
Mwanzo umesema alitambulika kwa jina moja badae unataja majina yote matatu vp ndugu mwandishi unajitambua ?
@ibrahimmnoma7334
@ibrahimmnoma7334 20 минут назад
hawafai hao
@JonathanMGAIWA-ow4py
@JonathanMGAIWA-ow4py Час назад
Huyu nae bure pia, kwa nini hakutoa taarifa kwa uongozi wa mtaa badala ya kwenda shamba kwanza bila kujua hatma ya jamaa yake?
@SirajiAbdalah
@SirajiAbdalah Час назад
Shamba usiku
@fedmiradaf3141
@fedmiradaf3141 Час назад
Alfajir​@@SirajiAbdalah
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 Час назад
Alienda shamba baada ya wahusika kutoka na mwili kwenda nao hospitali. Na ilikuwa ni alfajili
@michaelnsangano2229
@michaelnsangano2229 Час назад
Jirani nae chenga tuu,msaada wa marehemu haukuwa na faida kwake, yaani mtu anaonewa kwa kushambuliwa na silaha jirani yupo anashuhudia tuu hata angepiga ukunga ajaze watu pengine ingeokoa maisha ya mtu pale ktk tukio...!!
@ibrahimmnoma7334
@ibrahimmnoma7334 20 минут назад
hawa watu wa Oya hawana utu
@LeonidasStephano
@LeonidasStephano 6 минут назад
Angalizo tu tukiwaona mtaani tunachoma moto gari zao
@fatumamahoiga3978
@fatumamahoiga3978 40 минут назад
Una utimamu Eti nkaenda Shamba
@Thomaskulikiza
@Thomaskulikiza Час назад
Ninyi wamama ndio mnasababisha mikopo kibaoo alafu majibu ya kipuuzi kwhy ndio hapo umefrahi mjinga sana
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p 2 часа назад
Jamani hiyo oya ifungwetu harafu wanyongwe
@HusnaMohammedramadhan
@HusnaMohammedramadhan 45 минут назад
Wanawake acheni mikopo ili kushindana kimaishaa rizika naunachokipataa onaa Sasa
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 29 минут назад
Shida ni mtu kuuliwa mikopo ni sehemu ya maisha hata serikali inakopa
@teddymassawe3583
@teddymassawe3583 Час назад
Oya wamezidi wafungie,na hao watu wafungwe kabisa
@michaelwilson679
@michaelwilson679 42 минуты назад
Mkikopa pesa za watu lipeni sio kuleta kauli mbaya kwa waliowakopesha pesa yani mnapewa pesa alafu mnakuwa na majibu makali
@andreakomba1773
@andreakomba1773 38 минут назад
😢Kwa hiyo wewe umefurahi sana kuuawa mtu Kwa ajili ya pesa za mkopo ndo haki yake ya msingi?
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 4 минуты назад
huwajui.... Niko kijichi Mbagala, mimi ni mmoja wa waanga wa kampuni hiyo... NI MOTO USIWACHEZEE... NI VIJANA WANAKUJA WAMELEWA SOMETIMES WANAKUJA NA MAGARI 7 KUKUDAI SAA 8 USIKU, NA TAA ZOTE ZIMEMULIKA KWAKO... OGOPA SANA!
@chinedu255
@chinedu255 Час назад
😭😭😭😭😭laki tatu inamuuwa mtu
@ErickPallanjo-qr9iv
@ErickPallanjo-qr9iv Час назад
Alishindwa kupiga kelel watu waamke? Aseee
@nassorsukusilanda9489
@nassorsukusilanda9489 Час назад
Wakamatwe na hiyo kampuni ya oya ifungwe
@ndimizarohomtakatifurichar9802
Kampuni za mikopo zishaanza kuwa watu sasa
@nancyenock5601
@nancyenock5601 2 часа назад
Tanzania sasahivi siyo sehemu salama
@salmajafari6838
@salmajafari6838 Час назад
SELEKALI ndio inaleta yote haya, maana kama wao wanatuuwa tutegemee nini sasa
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd Час назад
Kuma mbuzi ww. Unatombwa n mbowe nn. Kuma la mme wako.
@MichaelMaro-hj7yo
@MichaelMaro-hj7yo Час назад
ACHENI MIKOPO MNATAPELIWA MARA KAUSHA DAM MARA OYA HAYAMSHAUWA
@MichaelMaro-hj7yo
@MichaelMaro-hj7yo Час назад
HAO WEZI TU NA WAUWAJI SAA 11 KAMATA WOTE SUKUMA NDANI
@FadhiliMgalla
@FadhiliMgalla Час назад
Laki tau munakatisha uhai wamut kwakweli hii kitu haikubaliki watanzania tunakwenda wapi nakinachi niuzi hivo vigali malanyingi naviona baaa kiongozi wa hilo kambini watu ulio waajili sio waungwana kwanza wengi wao niwalevi kambuni lijitasimini kama muliamuwa kutowa huduma kwawatu fwateni shelia sasa hao wawe findisho kwawote kwahao wanao fanya kazi kwenye hilo kambuni
@ellysilasreweta1387
@ellysilasreweta1387 2 часа назад
Mwandishi maswali ya hovyo,rudi shule.
@ShekhaHamad-r9t
@ShekhaHamad-r9t 38 минут назад
Hizi kampuni zisizo na too Sheria za ukopeshaji zifungwe matapeli wamekuwa wengi mitandaoni selikari inawaona inawaachia sasa wamefikia hatuna ya kuua si Haki kabisa wanachokifanya inabidi lifanyiwe kazi kwa wakopeshaji wote isiwe sababu kuwanyanyasa watu kwa umasikini wao.
Далее
Поплатился за подлые удары!
01:00
Pete Buttigieg on 2024 and the ‘Crank Realignment’
57:48
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Просмотров 1,7 млн
Kũhagũrwo gwa Gachagua; #iNooroRũciinĩ
21:01
Просмотров 10 тыс.
Поплатился за подлые удары!
01:00