Mahitaji 1 Siagi vikombe 3 Unga wa ngano kikombe 1 Mahitaji 2 Unga wa ngano vikombe 4 Chumvi vijiko 2 vidogo Maji ya ndimu kijiko 1 kidogo Maji ya baridi kikombe 1 Siagi 1/2 kikombe
Pole blue band huwezi kutumia kwasababu ina maji Sana an pia ina mchanganyiko wa mafuta kwahivyo haitopanda kama hivyobyaani result zake huzitokuwa sawa
I applaud you my dear, I am usually too lazy to make my own puff pastry. It takes me forever to work up the stamina to make my own croissants but whenever I do get round to it I never regret it. Homemade beats store bought any day!
Siagi inakua in fats, na milk solids sijui kiswahili inaitwa nini na samli inakua ni pure haina kitu, angalia hii video nifanya jinsi ya kutengeneza samli kutokana na siagi labda utafaham vizuri ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-GVc-9mYNREU.html
I make my recipes in English and Kiswahili, here's the english version and please scroll down on the description box you will find the measurements ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-BaAe7KcG6ag.html
Kwa kweli siwezi kujua Mimi siishi Tanzania. Na Kama utaanunua tafuta kutoka UK maana vitu vya Marekani havifanyi kaxi nchi yoyote ile kwa tofauti ya voltage ya umeme
You are welcome dear, puff pastry filling can be anything from chicken to meat to veggies theres no specific recipe just make sure the fillings are moist but not wet, If I do make one I will share but not so soon though
Hizi ni za Marekani hazitumiki nchi nyengine kwasababu ya umeme tofauti ni vizuri kununua vifaa vinotumia umeme kutoka Uengerza. Hiyo stand mixer ni kiasi Dollar $200 mpka 1000 kutokana na size na edition mbali mbali
Mie natumia standandard measuring cups za kupimia zinapatikana nchi zote waulize maduka wanaouza vitu vya cake utapata, haitiwi baking powder kama niliivyoonyesha hapo