Тёмный

Uniondolee Dhambi Nitakase | Sauti Tamu Melodies (Wimbo wa Kwaresma | Ash Wednesday | Lent) 

Sauti Tamu
Подписаться 150 тыс.
Просмотров 1,4 млн
50% 1

Uniondolee dhambi nitakase, unioshe niwe mweupe pe
Nakiri makosa yangu, naziona dhambi zangu
unioshe nowe mweupe pe.
Fuatilia nyimbo za kipindi cha Kwaresma, nyimbo za njia ya msalaba (Way of the Cross Catholic songs), nyimbo za jumatano ya majivu (Ash Wednesday Catholic Songs/ lent songs) katika channel hii kama vile Watumishi wake Baba, Amin Amin Nawaambia, Kuteswa Kwake Bwana, Yesu akalia kwa sauti, Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, nani angesimama.
nyimbo nyingine maarufu za kwaresma ni Lakini hata sasa/nirudieni mimi, rarueni mioyo na nyinginezo.
umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki
Kinanda kimechezwa na Gabriel C Mkude Sekulu

Видеоклипы

Опубликовано:

 

28 фев 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 424   
@sauti_za_kuimba
@sauti_za_kuimba 2 года назад
LYRICS Uniondolee dhambi nitakase Unioshe niwe mweupe pe 1. Nakiri makosa yangu, naziona dhambi zangu Unioshe niwe mweupe pe 2. Mimi kweli mkosefu, tangu kuzaliwa kwangu, Mwenye dhambi tangu tumboni mwa mama yangu 3. Kweli unafanya vyema, wewe unaponihukumu Una haki unaponiadhibu 4. Wewe wataka unyofu, ule unyofu wa ndani Nifundishe hekima moyoni
@duncanwanyama7126
@duncanwanyama7126 Год назад
👍🙌🙌🙌🙌
@mainamaggie6693
@mainamaggie6693 Год назад
Good song
@susanogone2328
@susanogone2328 7 месяцев назад
Good one
@gordonokumu1337
@gordonokumu1337 6 месяцев назад
Could you share with me the musical notes of this song so that I may play it on my piano
@andrewsaenyi
@andrewsaenyi 3 месяца назад
@johnmogaka9822
@johnmogaka9822 Месяц назад
I pray for my dad 👨 to get into the Kingdom of God he loved the mass regardless of his health status 😢 Heavenly hymns ❤❤
@samanthasumazikarisa2745
@samanthasumazikarisa2745 9 месяцев назад
Kila ninapo usikia wimbo huu huwa ninajiona kuwa sifai mbele ya uso wa Mungu, ninajitafakari nakuona kuwa ni mkosefu ninahitaji huruma ya Mungu
@SautiTamu
@SautiTamu 7 месяцев назад
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@CEDRIcMacharia
@CEDRIcMacharia 2 месяца назад
😮😮😮 Okay tomorrow morning and I will be home by the
@CEDRIcMachariaKIBIRU
@CEDRIcMachariaKIBIRU Месяц назад
charia
@taylorannice1347
@taylorannice1347 3 месяца назад
Dear God forgive me my sins and to be a better person in Jesus name
@SautiTamu
@SautiTamu 3 месяца назад
Amen
@CEDRIcMachariaKIBIRU
@CEDRIcMachariaKIBIRU Месяц назад
amen
@kamwenjig9595
@kamwenjig9595 2 месяца назад
I need you Lord ❤ ❣️🙏 Please forgive me
@SautiTamu
@SautiTamu 2 месяца назад
Amen
@IPOSIKU001
@IPOSIKU001 Год назад
Mimi kweli mkosefu, tangu kuzaliwa kwangu, Mwenye dhambi tangu tumboni mwa mama yangu.........
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@user-br3uv4jq1k
@user-br3uv4jq1k Месяц назад
Nawa umbea maisha marefu u yenye kumu pendeza Mungu baba na mama na familia yangu yote. Amena 🙏🙏🙏🙌🙌
@mmbonelinah2020
@mmbonelinah2020 2 года назад
Happy Lenten season....asanteni kwa wimbo
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
🙏🙏🙏
@murimi9645
@murimi9645 2 года назад
A good gift for Lent. Asanteni WanaSauti Tamu. #injiliiendembele
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Asante Murimi, ubarikiwe
@ConradMukoye
@ConradMukoye 2 месяца назад
Mimi n mtenda dhambi Mungu unisamehe Kila mara
@enockmabulls
@enockmabulls 2 года назад
My favourite choir ever Mungu atuoshe na kutuondolea dhambi tunapoadhimisha kipindi hiki Cha kwaresma🌹🌹🌹🌹💕💕💕
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Shukrani sana Enock. God bless you
@annmariamoraa1185
@annmariamoraa1185 8 дней назад
May God come through my life 😢 am down
@fayamina2560
@fayamina2560 2 года назад
Hakika ni Sauti Tamu, mmeutendea haki wimbo huu, Mungu kawabariki katika utume huu
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Ubarikiwe nawe pia Fay
@EmmyWendy-zn5vj
@EmmyWendy-zn5vj 3 месяца назад
Sifai machoni pako Ee Mungu wangu, naishi tu kwa ajili ya huruma na neema yako 🙏🙏🙏
@Onesmus8301
@Onesmus8301 2 года назад
Kazi nzuri sauti tamu... May God bless the work of your hands
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Asante Onesmus. Be blessed
@ayiechawalter591
@ayiechawalter591 Год назад
Tnks sana for spreading good news to the word.. God bless you n giv you new strength to do more. Amen Amen. Kweli sauti tamu sana na ujumbe mwafaka.
@stephenf.sikolia7588
@stephenf.sikolia7588 Год назад
God, thank you. Love your neighbour as you love yourself. Amen.
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Amen
@carohlastii903
@carohlastii903 2 года назад
What a team God bless you God bless us through your songs
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
God bless you too Caroh
@kiarienjenga8219
@kiarienjenga8219 2 года назад
My all time favorite time favorite song. Well done
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thanks a lot David. Blessings to you
@agostinemtongolo3741
@agostinemtongolo3741 2 года назад
Huu wimbo unatuliwaza wakati huu wa kwaresima. Barikiweni kwa kwa mara nyingine
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Shukrani Agostine, ubarikiwe
@Daktari_Muhati
@Daktari_Muhati 2 года назад
Kazi Safi Sana. Na inabariki
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Shukrani Doktari
@cletusgitonga2611
@cletusgitonga2611 2 года назад
Second to like, but first to comment. May God bless you sauti tamu, to continue with the same spirit
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Cletus, blessings
@andreameza-km9wv
@andreameza-km9wv Год назад
Uniondolee Dhambi nitakase unioshe niwe mweupe pee Amina
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Amina
@felixodhiambo6719
@felixodhiambo6719 4 месяца назад
Kwa kweli una haki ukiniadhibu I'm not worthy before you my God 😢
@florencemawere2338
@florencemawere2338 2 года назад
My very favourite song during Novenas those days🙏🏿 I still cherish my catholic roots in me! I will always pray with you. Am a Seventh Day Adventist today🙏🏿🙏🏿🤞🏾
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you so much Florence, be blessed
@clinton1369
@clinton1369 Год назад
you do know that Catholic church was founded by Jesus Christ. why did you leave the one true holy and apostoloic church??
@theobaldbagambe9549
@theobaldbagambe9549 7 месяцев назад
Kweli nimezaliwa mwenyi dhambi, unioshe Bwana
@SautiTamu
@SautiTamu 7 месяцев назад
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@ambrosekangethe3139
@ambrosekangethe3139 2 года назад
💘💕❤️🕊️🕊️🕊️wow here comes my request may God bless you abundantly team sauti tamu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💗💗💗
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Ambrose for your proposal, it's a great piece🙏🙏🙏
@georgemakori248
@georgemakori248 2 года назад
Great my brother Martin may God bless you
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
God bless you too brother
@christianmenas9528
@christianmenas9528 2 года назад
Hamjawahi niangusha nyie watumishi mbarikiwe sana, sauti tamu.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Shukrani Christian
@theawesomez8805
@theawesomez8805 2 года назад
This reminds me of my youth days in St. Peter's clavers Nairobi.... Meditative
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you
@nickmusyokamusyoka2042
@nickmusyokamusyoka2042 2 года назад
kazi zuri,, mungu azidi kutuondolea dhambi zetu
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Amina
@damarismukaimutia7064
@damarismukaimutia7064 2 года назад
Good work well done,, God bless you continue with the same spirit.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
God bless yoi too Damaris
@reginamutune5383
@reginamutune5383 6 месяцев назад
Listening to this song on Christmas eve 2023.
@ceciliajoseph8412
@ceciliajoseph8412 2 года назад
Great one👏👏 Meditative Lent season all
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Asante Cess🙏🙏🙏 be blessed for great singing as well
@felisianilenjo6791
@felisianilenjo6791 Год назад
Amina👏👏👏👏
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@jeremiahsagwe9856
@jeremiahsagwe9856 Год назад
May God bless you , you real humbled like children the true christian people of 1970s and 1980s missionary.
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Amen. God bless you too Thank you
@jacklinemutayabarwa428
@jacklinemutayabarwa428 Год назад
Asante sana na Hongeren kwa utume huu, nimebarikiwa mnoo. Mbarikiwe
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
🙏🏻🙏🏻🙏🏻asante
@estherwaiganjo8678
@estherwaiganjo8678 2 года назад
Beautiful voices beautiful song praise the Lord
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Amen
@athanasiuskibiwott1326
@athanasiuskibiwott1326 2 года назад
Nice song as we start this Lenten season.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Athanasius, be blessed
@kiarienjenga8219
@kiarienjenga8219 2 года назад
I like the way That lady with brown braids performs passionately. God bless the whole team
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
She is a great performer, God bless you too
@franciskironjo9369
@franciskironjo9369 2 года назад
Very committed,.. just admire ur choir... Can one join?
@AnMutuma-kr2wv
@AnMutuma-kr2wv 4 месяца назад
Maseno
@petermutuku2237
@petermutuku2237 2 года назад
I always feel really blessed by your very sweet and touching melodies and I appreciate it big time. These oldskool Catholic tunes will last for good. Keep them coming guys and May God bless you all in your needs.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you so much Stay tuned for more
@nancy6579
@nancy6579 Год назад
Consolation that my father in heaven is full of forgiveness.
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Amen
@innocentntirenganya9866
@innocentntirenganya9866 2 года назад
Asante sana mungu ababarikiye kweri
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Ubarikiwe nawe pia, shukrani Innocent
@zacharynyabayo1540
@zacharynyabayo1540 2 года назад
Making my Sunday lit 🔥✌💯
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Zachary, blessings
@mjkinuthia386
@mjkinuthia386 2 года назад
Penitential songs effectively capture God's MERCIFUL love. This song is soothing, humbling, comforting and assuring. We honor God & celebrate the power of our songs, prayers & practices in every liturgical season. Sauti Tamu, your work is commendable!
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thanks alot, MJ
@OGT456
@OGT456 2 года назад
Solemn mood for the season,ever nice,@ sauti Tamu keep up the good work 🔥
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Tony
@jamesgachau2566
@jamesgachau2566 13 дней назад
Lord have mercy
@perpetuamutindi2035
@perpetuamutindi2035 2 года назад
Kazi safi sana. Keep spreading the gospel 👏👏👏👏
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thanks a lot Perpetua🎈🎈
@habartsimiyu5319
@habartsimiyu5319 Год назад
Sauti tamu may God continue to bless you good work
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Amen. Blessings too
@PatrickNjoroge-hb2yy
@PatrickNjoroge-hb2yy Год назад
Asante kwa wimbo murua.
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Karibu. Ubarikiwe
@carolinemwiti
@carolinemwiti 2 года назад
A nice one,may God bless Sauti tamu. Blessed Ash Wednesday
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Carol, beautiful singing and performance
@carolinemwiti
@carolinemwiti 2 года назад
@@SautiTamu Thank you
@pasilisajerono7409
@pasilisajerono7409 2 года назад
Nice song congratulations, may God strengthen your faith to countiue priseing.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Amen
@fayamina2560
@fayamina2560 2 года назад
Hongera sana Director Munywoki, you're a blessing to us all
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Shukrani Fay, be blessed
@martinmunywoki
@martinmunywoki 2 года назад
Thank you
@aureliamariah2121
@aureliamariah2121 2 года назад
Ooh my God I remember this song during my childhood 😍 God bless you sauti tamu
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Aurelia, God bless you
@MUTUMAMNAIROBI
@MUTUMAMNAIROBI 2 года назад
Kazi nzuri. This is a beautiful song 💯💯💯
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Mutuma, be blessed
@elondesignske
@elondesignske 2 года назад
Sauti tamu kweli...kazi safi sana
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Shukrani Wambui
@monicahkatumbi6223
@monicahkatumbi6223 2 года назад
Sauti tamu....may God continue blessing you guys...keep it up
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Monicah, God bless you too
@clementmwamburi5592
@clementmwamburi5592 2 года назад
Bass 🔥, Great job Sauti Tamu
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank Clement
@PaulNdolo-ft8og
@PaulNdolo-ft8og 8 месяцев назад
Nice melodies in my heart ❤
@SautiTamu
@SautiTamu 7 месяцев назад
Thank you Paul. Blessings
@yonamatanda7104
@yonamatanda7104 Год назад
m barikiwe na bwana
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Ubarikiwe nawe pia
@michaelbrian4011
@michaelbrian4011 2 года назад
Thank you for this classic
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Michael
@emilykanini5793
@emilykanini5793 2 года назад
Congratulations for the good work.keep the fire burning 😇
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Emily, blessings to you
@annancy9917
@annancy9917 Год назад
Sauti zuri kweli, Mungu awabariki
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Thank you annancy
@kevinoloo455
@kevinoloo455 2 года назад
Kazi nzuri kama kawaida...the voices 👌
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Kevin. God bless you
@kusemeregwaalex833
@kusemeregwaalex833 2 года назад
Hard working choir may God bless you and keep going on
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you, God bless you
@brianserem5536
@brianserem5536 2 года назад
Kazi nzuri this song is really nice
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Shukrani Brian, blessings
@muchaijames16
@muchaijames16 2 года назад
My good friend Cecilia 👏
@ceciliajoseph8412
@ceciliajoseph8412 2 года назад
Yaaas😊
@ceciliawairimu366
@ceciliawairimu366 4 месяца назад
Cecilia too
@ceciliawairimu366
@ceciliawairimu366 4 месяца назад
Unioshe niwe mweupe pepe
@kulelinkproduction
@kulelinkproduction 2 года назад
Great ST choirs and may God bless u all and continue to compose more songs
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you kulelink, God bless you too
@christineiseu8421
@christineiseu8421 2 года назад
Sauti tamu....you are the best
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Christine. God's blessings to you
@ruthnjagi5387
@ruthnjagi5387 2 года назад
Am not a Catholic but this song! Oh my...i rem singing it at Bible on the Ground Nanyuki when the Father was leading us into repentance and forgiveness of those that hurt us whoever bad, while in form 4 just before Kcse...it struck through my heart and i cried and prayed alot...
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Wow, thank you Ruth, be blessed
@Unityforevers
@Unityforevers 2 года назад
God have mercy on us, mostly this month of Christians fasting and praying
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Amen Thank you Maddy
@stellamulisa8336
@stellamulisa8336 Год назад
I'm here on Holy Thursday, what a wonderful prayer in lyrical form
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Thank you Stella Be blessed
@naetroselindacheonali9693
@naetroselindacheonali9693 2 года назад
Amina, hongera sana kwa kazi poa
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Shukran naetRoselind, ubarikiwe
@rosetuds6380
@rosetuds6380 2 года назад
Unioshe niwe mweupe pe!🙏🙏😓
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@bruce001
@bruce001 2 года назад
I miss this kind of songs in the church,I miss everything
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
🙏🙏🙏🙏
@getdowno5152
@getdowno5152 2 года назад
Asanteni sana. This song is so sweet! Thank you for the blessings
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you, be blessed
@emmanuelkiprotich2535
@emmanuelkiprotich2535 Год назад
congratulation wapendwa ni sauti tamu kweli
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Shukrani Emmanuel Blessings 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@kamuconkamucon8543
@kamuconkamucon8543 2 года назад
Mweupe sio bila dhambi. Mweupe sio msafi.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Soma Isaya 1:18 kwanza “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, zitakuwa nyeupe kama theluji; ingawa ni nyekundu sana kama damu, zitakuwa nyeupe kama sufu.
@carolinekathambi8917
@carolinekathambi8917 2 года назад
Great my fellow brethrens, keep the fire blazing
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you
@violaomollo9442
@violaomollo9442 2 года назад
Happy Easter to you all❤️🇰🇪 and across the world🇰🇪, the greatest day of the Holly week. The tomb couldn't hold him, He has risen 🎶❤️🌍. Hallelujah, hallelujah..❤️❤️❤️.He is above all troubles and anguish and depression 🙌 Praise Jesus son of Yahweh 💪🤲
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Viola
@charlesthuku1131
@charlesthuku1131 Месяц назад
Wow 😮😮😮 amazing 😍
@nerimanawirimiliana2928
@nerimanawirimiliana2928 2 года назад
Congrats 👏👏 sauti tamu melody
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Asante Nerima
@christineliboyi1691
@christineliboyi1691 Год назад
Waau Mungu awahifadhi wapendwa
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Amina Shukrani Christine
@jameskimani3574
@jameskimani3574 2 года назад
Another song we don't get a chance to listen to outside the church often...Great job 🙏
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Asante James
@kimanijohn9529
@kimanijohn9529 2 года назад
We serve a merciful lord, congratulations guys, peace be upon y'all, stay blessed sweet voices
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Stay blessed too John, thank you
@reu.mathematicsacademy8566
@reu.mathematicsacademy8566 2 года назад
Very beautiful 🤩 I can see my great choir master Dr muhati... very timely melody
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Reu, blessings
@reu.mathematicsacademy8566
@reu.mathematicsacademy8566 2 года назад
@@SautiTamu welcome
@maryakinyi4621
@maryakinyi4621 2 года назад
Good bass line😁
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Mary, blessings
@paulinekawira4858
@paulinekawira4858 2 года назад
Good song ..great voices ooh ..my teacher christine congratulations in order dear
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Pauline. Blessings
@bonfacewaswa6031
@bonfacewaswa6031 2 года назад
Kazi tamu warembo
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Asante Boniface
@fauliskaiser9567
@fauliskaiser9567 2 года назад
Great songs of Lent❤️❤️
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Faulis. Be blessed
@emperorvicky5299
@emperorvicky5299 Год назад
Best Lenten song na pia wimbo mzuri sana wa toba
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@lawrenceagar5104
@lawrenceagar5104 2 года назад
Very nice voices.You are talented guys we love you all.God bless you.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
God bless you too, Thank you Lawrence
@norbertlotha1159
@norbertlotha1159 2 года назад
Another hit🌝🌝the song matches the beauty of the singers.Hats off to you all.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you
@milkamusiko7705
@milkamusiko7705 2 года назад
Feeling blessed ooh my ...
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Milka
@obadiahkiptoo4769
@obadiahkiptoo4769 Год назад
May God bless you sauti tamu fraternity
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Amen
@moseotieno4996
@moseotieno4996 2 года назад
Mbarikiwe sana sauti tamu
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Shukrani Moses, ubarikiwe pia
@hillarymangera9333
@hillarymangera9333 2 года назад
The notification did not hesitate to notify me of another great hit💪wonderful voices
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thanks so much
@davidkamuthee3103
@davidkamuthee3103 2 года назад
This makes me miss my church st Francis of assisi kiamunyi and st rwanga catholic church gatunyu.Great song and great performance.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you David
@komasstuff3343
@komasstuff3343 2 года назад
I was looking for this song. I used to sing it in Keruugoya Boys back in the days
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Welcome Komas, be blessed
@sharks_ketv3231
@sharks_ketv3231 2 года назад
I wish a blessed Lent period to everyone watching this. May God cleanse you and bless you
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Amen God bless you too
Далее
ASANTE YESU
6:06
Просмотров 7 млн
MENDA - Maybe (Original Mix)
6:49
Просмотров 166 тыс.