Kama njia mojawapo ya kumiliki ardhi kwenye Kaunti ya Turkana,wizara ya ardhi Kaunti hiyo imeanzisha hamasisho kwa jamii ya Turkana ili waweze kusajili na kumiliki ardhi kikamilivu kulingana na Sheria ya ardhi nchini.
10 сен 2024