Ronaldo ndo mbora wng wa misimu yote ya kisoka,lkn nimejifunza kuwa kufanikiwa kimaisha kunatoka mbali sana na inakuhitaji kuwa mvumilivu,kujituma zaidi,nidhamu na kutokuwa na tamaa na kumuomba sana Mungu,big up to him 🙏
Cristiano Ronaldo CR7 Jeshi la mtu mmoja uyo in atali sana jeshi la mmoja popote anacheza uyoo ata umpeleke stoke city anacheza ana mpinzani uyoo akuna kama CR7 Dunia nzima
Yani kila nikifuatulia maisha ya watu waliofanikiwa nakuta hawakufanikiwa kizembe hata ronaldo nilikuwa namuona bishoo tu.. Kumbe ninavyomuona sivyo alivyo ndani yake duh nataka kumueshimu kuanzia sasa nami staki njia nyepesi tena
Wa Tz buana mwajifanya wajuaji na Ubishi kwa Kila kitu..Kama uwongo hebu na Nyie tuleeteeni za kwenu za Ukweli..Sio maneno maneno kama Mnywa Denge.Mwenzenu kaweka ya kwake mnayoona uongo..Leteni n Nyie ya kwenu ya Ukweli..
WCB mmeleta mapinduzi ,, mtiga unavosimulia mtu unaweza angusha udenda kwa utamu wa stor dah had unataman iwe saa zima dk 19 nmeangalia kama dk 3 Thanks bro MB zangu huwa haziendi bure nkiwa nasikiliza story zako
Messi kwenye soccer hatumdai kitu kwa sasa kiufupi debate is over nani mfalme kwenye soccer tumeshampata 2022 Messi ni mmoja tu msimuliaji anapiga polojo tu
Hata mourinho aliwaambia wanaobisha kua messi sio bora hawajui Soccer... 😂😂😂...Yule ni mungubwa soccer haitaji jimu na kushinda mazoezini kila saa kua bora .....Huo ndio tunaita kipaji cha kuzaliwa nacho