Тёмный
No video :(

USIKU HUU!! DIAMOND AKUBALI YAISHE, AJUTIA HAYA ALIYOMFANYIA ZUCHU, AELEZA CHANZO A-Z ZANZIBAR 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 77 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 167   
@TuyishimePelagie
@TuyishimePelagie 6 месяцев назад
Zouchouu ongela ongela sana!!! Nakupendaa endelea kushindaa
@messiahfeatures3994
@messiahfeatures3994 6 месяцев назад
Hakuna kitu hapo ukisikia usanii ndo huo wa jukwaani, endeleeni na ujinga huo, iko siku itakuwa kilio kikubwa, mnamchezea M/Mungu
@franklinmganga736
@franklinmganga736 6 месяцев назад
Basi na ww usitumie cm
@user-cd6yy3pz9w
@user-cd6yy3pz9w 6 месяцев назад
​@@franklinmganga736Acha ushamba amesema ukwely.
@user-rm8hz1iw7h
@user-rm8hz1iw7h 5 месяцев назад
I love you guys may God bless you diamond u shafika nyumbani Tulia mbasi
@kimah9855
@kimah9855 6 месяцев назад
Umri inaenda Nasibu awache mchezo na Aowe😂😂😂Hongera kwao I ❤them both ❤❤❤❤❤❤❤❤
@oliviahill7891
@oliviahill7891 6 месяцев назад
Kiki tu! Tz mnapenda kuamini kiki za hawa malofa😀🙄🙄🙄🙄
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 6 месяцев назад
Hakuna biashara isiyokuwa na matangazo kaa kwa kutulia
@Nihadshighadi
@Nihadshighadi 6 месяцев назад
She's daimond business tool 😊
@graceamadi1096
@graceamadi1096 6 месяцев назад
As long as she is making her money and fame
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 28 дней назад
​@@graceamadi1096les femmes avec leur jalousie de l'autre , hum quel haine 😢
@ashakijaji5869
@ashakijaji5869 6 месяцев назад
Usijidanganye Julia zuchu be strong,hawaeleweki hao kabisa
@YusufDuale-eq4kl
@YusufDuale-eq4kl 6 месяцев назад
Huyu mshamba tuu anaharibu watoto wa watu na jamii
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 6 месяцев назад
Mm sio shabiki wa Mond lakin anaeharibu watoto wa watu sio yeye tu hata mm na ww bro tunaharibu watoto wa watu
@YusufDuale-eq4kl
@YusufDuale-eq4kl 6 месяцев назад
@@menalikechildren8836 mmmm labda wewe mi nina wake 2
@Silencer_htr
@Silencer_htr 4 месяца назад
Kaushaa😂
@ahmednassor-te2eg
@ahmednassor-te2eg 5 месяцев назад
Innalillahi wainnaa ilaihi raajiuun 😭😭 huo nimsiba mkubwa tubuni kwaallah namumuombemsamaha yeye allah
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 6 месяцев назад
Diamond alishasema hawez kumuacha zuchu, nilijua ni kiki kuna jambo lao mbele, na kweli kuna show😂😂😂😂
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 6 месяцев назад
Ni kkkkktu mapeziya jukwaniii😂😂😂😂😂
@JamaliZidadu-jd1nl
@JamaliZidadu-jd1nl 6 месяцев назад
Wapuuzi
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 6 месяцев назад
Mnachezewa kweli akili nyie ehe endeleeni kuwafatilia
@mazengojohn2090
@mazengojohn2090 6 месяцев назад
Tumtafute mungu jamn
@user-wf2us4vs4t
@user-wf2us4vs4t 6 месяцев назад
Ayo ... dharau ipo trending no 1 ..huko anajua
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 6 месяцев назад
Dharau inapaa waache waweweseke
@louloubika8603
@louloubika8603 6 месяцев назад
Zuchu be strong!❤❤❤❤❤❤❤❤
@asiamerey9081
@asiamerey9081 6 месяцев назад
Kama namuona sheikh Abdullrazak vilee
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 6 месяцев назад
Uzuri ni kwamba mnazidi kupush Sanaa yetu mengine ni ubunifu tu🎉
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 6 месяцев назад
Hivi ninyi wasanii mnajua kwamba Mungu yupo na biashara hiyo mnayo ifanya ya kuhamasisha ngono mnajua kwamba mnatumikia ufalme gani ,
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 6 месяцев назад
diamond huna jipya ,,,,mbona usimuoe 😂😂😂
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 6 месяцев назад
Mwambie aika na navykenzo waoane wao kwanza maana wana watoto tayari na mahusiano yao yana miaka mingi na wanaishi bila ndoa, acha kumwambia diamond mwenye mahusiano na zuchu ya miaka miwili na sehemu hata kuzaa hawajazaa
@HappyDancing-xz9hb
@HappyDancing-xz9hb 6 месяцев назад
Eti amuoe amechanganyikiwa kwani
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 6 месяцев назад
@@HappyDancing-xz9hb Diamond atamuoa zuchu mchana kweupe hutaki kufa
@user-ue3bi3rn6x
@user-ue3bi3rn6x 6 месяцев назад
She is cute AF, period
@fahimarahil6829
@fahimarahil6829 6 месяцев назад
of course we are Zanzibarian, it is not easy to be left, sisi hatuachwi wewe tunaachwa🥳🥳🥳🥳
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 6 месяцев назад
Hakuna Zanzibarian ni Zanzibari...... halafu pia wazanzibari wa cku hizi wanaachwa kirahisi san kutokan na midomo yao ilojaa ujeur na vibur wazanzibar wa zaman ndo ilikua ngumu kuachika maana walijawa na utiifu na mpnz ya dhat pmj na uvumilivu, anyway mm ni mzanzibar mwenzako
@fahimarahil6829
@fahimarahil6829 6 месяцев назад
@@menalikechildren8836 sio kila anaetembea na mwizi na yy atakuwa mwizi nadhan hapo utakua ushaelew anyway tuyaache hayo ila jua Kuna watoto ambao wamefunzwa na wazazi wao jinsi ya kuishi na watu vizur kwa upendo , busara na mengneo na pia namanisha kusema kwamba usione uliekutana nae yupo ivo ukaona na wengne pia watakua ivo wengne tumefunzwa wewe
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 6 месяцев назад
​@@menalikechildren8836exactly!!
@dubariz_mic_killa
@dubariz_mic_killa 6 месяцев назад
😂Simbaaaa funga ndowa na Zuchu ni mremboooo aliye funzwa na makopa kopa❤❤❤❤❤ umelijuwa hilo
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 6 месяцев назад
SubhannAllah endeleeni mwisho waja mtadhalilika na mwanaume unaongea kama chocolate
@Zuuh4286
@Zuuh4286 6 месяцев назад
Ile yote ilikuwa mipango ya kiki looh me shawajulia kitambo sana 😂😂😂😂😂
@imanibakili8028
@imanibakili8028 6 месяцев назад
Mnazani sisi ni watoto wadogo tulijua ni kick tuu😂
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 6 месяцев назад
Sio kiki hiyo
@peninashungu6633
@peninashungu6633 6 месяцев назад
Ni kweli penz kikohoz amsamehe zuch ni mdogo amrinde
@Kadebecomedy
@Kadebecomedy 6 месяцев назад
Kamond kanafki mbona huoi?
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 6 месяцев назад
Umeona ehhh angemuheshimisha kwa ndoa
@Kadebecomedy
@Kadebecomedy 6 месяцев назад
@@bahatinassorali5222 anamuigizia sana mtoto wawatu,halafu ukichek ndio boss wake maskin hata saut hana
@TwoBrother-tc2cu
@TwoBrother-tc2cu 6 месяцев назад
Inasemekana kuwa wasanii ni kioo cha jamii lkn naona wasanii wasikuhuzi ni waharibifu wa jamii sioni cha kujifunza kwao
@amoji126
@amoji126 6 месяцев назад
Wasanii ni kioo cha jamii maana yake sio kuwa ni wema maana yake ni kuwa wanareflect yaliyo kwenye jamii, sasa angalia yanayoendelea kwenye jamii yetu halafu ndio ulaumu. Jamii yetu ipo hovyo so usishangae wanayofanya wasanii, tofauti yao na yetu ni platform tu.
@TwoBrother-tc2cu
@TwoBrother-tc2cu 6 месяцев назад
@@amoji126 na wao ndio chanzo na kutokana ya maana ya kioo ilitakiwa wao waonyeshe yalio mazuri ili jamii ifuate
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 6 месяцев назад
Hawa kweli ni kill chetu, wanatuonyesha tunavyovipenda. Sisi tz ni taifa la kuimba sifa za shangwe. Kea kila kila kitu cha kijinga. Uwezi kuelewa tunapenda nini au kuchukua nini. Midhaa ni utamaduni wetu. Hatutafakari mapenzi tunashabikia umalaya wa mtu. Uchumi, mazingira, haki,. Imani, siasa ubabaishaji
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 6 месяцев назад
Siku hizi Diamond kiki zake nyepesi sana yaani.
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 6 месяцев назад
Naipenda sana hii couple ❤
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 6 месяцев назад
Couple ndio ujinga gani sema nawapenda sana hawa wazinifu wenzangu
@user-qk4lx4hg7g
@user-qk4lx4hg7g 6 месяцев назад
Ni kweli Zuchu ni mke material
@michaelmahenyemuya164
@michaelmahenyemuya164 6 месяцев назад
Makiki ya kishamba tu😂😂
@b4lfbeat598
@b4lfbeat598 6 месяцев назад
Kwa kwel umesema ukwel ujinga tu
@lenakassian-pr3dy
@lenakassian-pr3dy 6 месяцев назад
Wameona awafatiliwi ovyoo
@user-dr4ju6fs8b
@user-dr4ju6fs8b 6 месяцев назад
Hawana cha kufanya toa nyimbo acha pereche mzee😂😂
@josephvenus3259
@josephvenus3259 6 месяцев назад
UMEUMIA ET EE 😆😆😆
@jamilamussa7250
@jamilamussa7250 6 месяцев назад
Kiki gani na kweli Zuchu alikasirika😅
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 6 месяцев назад
Nonsense, uzinzi mtupu.
@OmarOmar-ol3fj
@OmarOmar-ol3fj 6 месяцев назад
Kabisa yani
@swalehrodgers4525
@swalehrodgers4525 6 месяцев назад
Huu ushoga mtaacha lini lakn
@user-xq7eo3eb4p
@user-xq7eo3eb4p 6 месяцев назад
Muogopeni mungu jamani kuna na mungu....
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 6 месяцев назад
hakuna mwanaume mwenye ujasiri wakumuacha mwanamke mwenye akili kiurahisi
@user-jq9rj4dm5u
@user-jq9rj4dm5u 6 месяцев назад
Sikupingi bro
@MariamYahaya-xr3xp
@MariamYahaya-xr3xp 6 месяцев назад
Inallilah muowe bas
@maremm5737
@maremm5737 5 месяцев назад
Zuchu pack and go the earlier the better we ugandan ladies we leave when it's worse now it's better we are back for better for worse 😂
@wema3619
@wema3619 6 месяцев назад
Wa Tz Bana 😁😁😀 Eti Kikki Ila Mko Bze Kufuatilia Mkiona Tu Notification Ya Huyu Mwamba Mnaruka Mbio😁
@alawimohd
@alawimohd 6 месяцев назад
Sikuzote watu walikiwa wanaamini Diamond na Zuchu ni wapenzi ila kwa tukio hili mumeshaharibu sana maana Kila mtu ameshajuwa mbinu zenu za kuvutia mashabiki
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 6 месяцев назад
Safi sana daimond
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 6 месяцев назад
Maigizo tu, Ila akikubali zuchu ataachwa kweli.... #zuchu hawezi kuachwa au kumuacha diamond ALAFU akaja kwenye show... Maigizo tu hayo
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 6 месяцев назад
Masanii ya bongo matako kweli
@IMANWILLIAM-bl2ui
@IMANWILLIAM-bl2ui 6 месяцев назад
hili ni tukio tu limepangwa
@Official83640
@Official83640 6 месяцев назад
KIKI hiyo msituchoshe😅
@kiya0910
@kiya0910 6 месяцев назад
Muowe basi kama nimwana mke mwema nakama ana busara muowe ndie tujuwe kama wampenda
@SalmaThabiti-jd5dk
@SalmaThabiti-jd5dk 6 месяцев назад
Yaani Hadi Leo Bado hawajiamini kashow kadogo Bado wanafanya na kiki duhhh😊😊😊
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 6 месяцев назад
Hahahah
@user-qi6wy6kl4g
@user-qi6wy6kl4g 6 месяцев назад
Diamond anajua kucheza sana na akili za watu 😂😂😂
@Mary_suip
@Mary_suip 6 месяцев назад
Lazima yaishe anachopewa na zuchu lazima aombe msamaha
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 6 месяцев назад
Hahaha nmecheka san
@uwimana6533
@uwimana6533 6 месяцев назад
Ramadhan inakaribia wenzie wapo wanaolewa nakufunga ndoa mekalia kusapoti ujinga , mayayi yananza kuyeyushwa na piloti zauzazi ,kecheche anapiga pesa 😂😂😂😂
@Mary_suip
@Mary_suip 6 месяцев назад
Nyosha maelezo mbona hueleweki,nani anasapoti ujinga zuchu au mondi
@uwimana6533
@uwimana6533 6 месяцев назад
@@Mary_suip kwani kinachoendelea kwenye mitandao hukioni
@user-iv9uk9lw4j
@user-iv9uk9lw4j 6 месяцев назад
Hamna kitu enyewe apologies kiki
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 6 месяцев назад
Endeleyeni kutesana nakupenda mimi nitaeleya kutesana na ugali wangu nakupendana nao.
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 6 месяцев назад
Love you guy's, simbna na zuu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@gb-ys3ee
@gb-ys3ee 5 месяцев назад
I don't really understand Sawahili, can someone translate for me what's happening, thank you🤲
@user-ct5yt9zp1u
@user-ct5yt9zp1u 6 месяцев назад
Sura mbaya kama tabu mtigita 😂😂
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 6 месяцев назад
Usisemee hivyoo ndugu yangu hujafaaa hujaumbikaa muogope mungu
@ashakijaji5869
@ashakijaji5869 6 месяцев назад
Una roho mbaya sana wewe Mondi,utakuja kuadhirika sana
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 6 месяцев назад
Wa bongo not all of them but some wataacha ujinga kusema zuchu kwa nini an date na boss wake, pia diamond ni msani kama zuchu so waki date sioni shida, mbona Jay Z ana date na msani mwenzake Beyonce, Rihanna ana date na msani mwenzake, mwache u shamba, ujinga , matharau, matusi, zuchu enjoy mama haters there will always be there ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@Silencer_htr
@Silencer_htr 4 месяца назад
Kwaio yameisha au
@user-sp7ki1hn3h
@user-sp7ki1hn3h 6 месяцев назад
Nyie mnajielewa kwele wte hovyo waonee
@JescaMateseko
@JescaMateseko 5 месяцев назад
Vizury kuwa pamoja
@user-qx3jw2wn3i
@user-qx3jw2wn3i 5 месяцев назад
Unakunawa pesa alefu mshamba ulimbekeni
@user-ij2lp1om6i
@user-ij2lp1om6i 6 месяцев назад
Kiki za kipumbavu
@Habib-vh7ru
@Habib-vh7ru 6 месяцев назад
Watu so mafara mbwa nyinyi!
@chrissjully3154
@chrissjully3154 6 месяцев назад
Its was a showbz ili shoo yao injaeee
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 6 месяцев назад
Ktk kitu sikipendi kiki nahisi kiki zinawaporomowa
@user-qk4lx4hg7g
@user-qk4lx4hg7g 6 месяцев назад
Haya mwenye wivu ajinyonge ndo kashsmwomba msamaha diamonds huyo ndo mke material achana na waongezamakalio oa zuchu utaenjoy kwenye ndo Hadi ushangaee mtoto hana mambo mengi anajitambua mno
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 6 месяцев назад
UKIONA HIVYO ZUCHU MTAMU SANA
@elizabethchabluma-zw5qz
@elizabethchabluma-zw5qz 6 месяцев назад
❤❤❤❤b zuu
@user-vh6ki1ti5e
@user-vh6ki1ti5e 6 месяцев назад
Mnajua kuigiza jamn
@gracekimario6526
@gracekimario6526 5 месяцев назад
Hamna lolote sbb hampi gharama, kiki tu
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 5 месяцев назад
Kumbe wewe ndio umemfanya hatukane hapo
@Neema-qm9kk
@Neema-qm9kk 6 месяцев назад
Kama anampenda aende kwao kutoa mahali kisha amuoe
@Official83640
@Official83640 6 месяцев назад
Muolewaji yu wapi angetaka ndoa c angekomaa lkn kakubali kuchezewa tuendelee kutazama tu ndoa sio lele mama
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 6 месяцев назад
Sa mbona unatuambia sisi' chefuuu mtaachana tu
@EvaInnocent-nd2vg
@EvaInnocent-nd2vg 6 месяцев назад
Kitu unachokipenda lazima unasukuma kwa pingu za maisha lakin hii unamdanganya sifa ulizompa zote hizo anafaa kuwa mke unasubir nin kumuoa??
@isaacmunisi5559
@isaacmunisi5559 6 месяцев назад
Aisee jombaa mond hata mimi nilisha kuchukia tu sababu ya wewe kumwacha zuchu mbona nimtupoa sn natunapenda couple yenu sn.
@mrmartinipaul2464
@mrmartinipaul2464 6 месяцев назад
Clamo is typing and deleting 😂😂😂
@antonjohn134
@antonjohn134 6 месяцев назад
Kimi hizo mlitaka watu waingie kwenye hiyo sho
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 6 месяцев назад
HARMONIZE KIMYAA....CHEZEA DAI
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 6 месяцев назад
Msitupe stori za ovyo muowe tu ndo heshima
@omardini5112
@omardini5112 5 месяцев назад
Kama unampenda muoe
@user-nr1ld3fc1h
@user-nr1ld3fc1h 6 месяцев назад
Hii nimeipenda❤
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 6 месяцев назад
Mmesahau Kiki au
@criseldamasika674
@criseldamasika674 6 месяцев назад
Zuchu huyo habadiliki nakumba achana naye
@AbdillaahAbdillah
@AbdillaahAbdillah 6 месяцев назад
Hamna kitu ipo siku moja yataisha haya kama mtu unampenda umuoe.ipo siku mutajuta nyotee
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 6 месяцев назад
Mara hakujua nakuja mara nilimwambia kafanye show nitakuja mwisho.
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 6 месяцев назад
Diamond acha ukuma
@zainabwage4658
@zainabwage4658 6 месяцев назад
Anampumbaza duh 🙄
@augustinealex4178
@augustinealex4178 6 месяцев назад
Jamaa mjanja uyu
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 6 месяцев назад
Upuuzi%
@user-he3xr3mc2w
@user-he3xr3mc2w 6 месяцев назад
Ushenziii kabisa
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 6 месяцев назад
Na bez car mpe
@datty.wozaah865
@datty.wozaah865 6 месяцев назад
😂😂😂😂 KIKI
@worldwide_254
@worldwide_254 6 месяцев назад
Punguzeni mabange 😂
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 6 месяцев назад
aya nasibu
@wilsontrygg7928
@wilsontrygg7928 4 месяца назад
🤗 "promo sm"
@kilimaentertainment1687
@kilimaentertainment1687 6 месяцев назад
Tuko silias tunasikiliza hadithi ya mapenzi
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 6 месяцев назад
Hawa wanatupanga hawana cha kuachana na uzinzi wao wala nn binafsi ujanipanga bro😂😂wacha nionekana mshamba wa nchi kabisa😅😅upuuz mtupu
@JacobMaganga-re9ji
@JacobMaganga-re9ji 6 месяцев назад
tushawachoka na makiki yao bana
@devidjav3583
@devidjav3583 6 месяцев назад
Tanzanians mazuzu tu😂😂
@samsonsimon3138
@samsonsimon3138 6 месяцев назад
Ukiwa msanii mjinga kma diamond utakoswa akiri zaidi kupata hela si viashiria vya akiri hata kichaa akipata gap la kupata hela anakuwa tajiri lakin haimtoi kwnye ukichaa hata huyu mjinga anafikiri anatumia akiri kuwa na kiki ya kipumbavu kma hii lengo lake kuzimisha video ya harmonize ya i made it lakin kilichopangwa kimepangwa na hakitazimika dawa ya moto ni moto
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 6 месяцев назад
Business as usual yaani zuchu ni commodity sio mke anamfanyia apendacho dah zuchu umeshindwa mwanaume mwingine kweli?
@user-rj2wj6jl6g
@user-rj2wj6jl6g 6 месяцев назад
😂❤❤❤
@fundidaudi4939
@fundidaudi4939 6 месяцев назад
Muowane sasa
@user-fb3cc9ji9o
@user-fb3cc9ji9o 6 месяцев назад
Acha wivu fanya yako mrembo ww
Далее
Коротко о моей жизни:
01:00
Просмотров 409 тыс.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
Просмотров 2 млн
Can You Bend This Bar?
01:00
Просмотров 3,9 млн
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
Просмотров 163 тыс.
Коротко о моей жизни:
01:00
Просмотров 409 тыс.