Kutokana na wasiwasi wa kupotea kwa mila, desturi na tamaduni za kabira la Wairaqw, Mzee mwenye umri wa zaidi ya miaka 70 ameamua kuchukua jukumu la kukusanya na kuhifadhi historia ya jamii hiyo inayosadikika kutokea nchini Ethiopia.
Mko wengi wilaya nyingi sanaaa mbulu ,karatu,Hanang, manyoni, ilamba wanyilamba na irangi Kondoa na walisambaa had iringa upaleni na pia usukuma huko.meatu na Bariad na maswa aliolewasanaaa hawa wairaq yaan wakushi wa Ethiopia
I am quite impressed with how the Iraqw people retained their language and culture, even when they live so far from the Cushite territories. I am amazed at how much common words we have (Iraqw and Somali )after a thousand years of separation
Cushites in Tanzania are from Ethiopia and originated from Esrael not Iraq Mesopotamia never ,in Tanzania cushties lives in Kondoa,manyoni, ilamba, Hanang, mbulu ,karatu majority are Christian Catholic and other Muslim groups are wanyilamba, warangi, mbulu, salatoga, etc
Wairaq walitokea Iraq kwa asili Ethiopia walipitia na wengine wakabaki huko tafiti maana ya neno"Irqwar daaw" maana yake "Wairaq wa mashariki" walijiita hivyo walipofika Mbulu