Тёмный

Usimnyooshe Mtu Kidole | USIHUKUMU | Rev. Dr. Eliona Kimaro 

Rev. Dr. Eliona Kimaro
Подписаться 150 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@upendogreutert199
@upendogreutert199 Месяц назад
Mchungaji Kimaro Baba yetu wa Kiroho hata tulio nje ya Tanzania, Mungu akutumie Sanaa. Unatusaidia sana tunapona bila hata kuombewa Wala kuwekewa mkono.
@user-br1oi2tr4g
@user-br1oi2tr4g День назад
Amina pastor unatubariki Sana mungu azidi kukuinua na kukutia moyo
@MUTUKUMUNYWOKI
@MUTUKUMUNYWOKI Месяц назад
Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kutumia mchungaji Dr Eliona Kimaro kuokoa wengi kupitia neno
@hongerakimbwala8650
@hongerakimbwala8650 3 дня назад
Ubarikiwe mtumishi Wa mungu
@user-fc8cq3pu2g
@user-fc8cq3pu2g 17 дней назад
Mchungaji nampenda mafundisho Yako mungu akubariki sana
@godlovemrosso5973
@godlovemrosso5973 Месяц назад
Neema ya Mungu baba ikawe juu ya watoto wangu na uzao wangu Barikiwa sana Mtumishi
@lizpallangyo8057
@lizpallangyo8057 26 дней назад
Ubarikiwe mno baba kwa kuponya roho zetu,Mwenyenzi Mungu azidi kukuinua zaidi uendelee kutumika kama chombo
@RamadhanKhalid-qc7bo
@RamadhanKhalid-qc7bo 26 дней назад
Ahsante mtumishi
@GodfreyLukumay-ex1nz
@GodfreyLukumay-ex1nz Месяц назад
Asante MUNGU ukaivishe familia yangu neema ya upendo
@user-yz5zn4tr6i
@user-yz5zn4tr6i Месяц назад
Asante sana BABA mchungaji kimaro MUNGU akutunze umpendeze MUNGU NA WANADAMU pia ❤❤❤❤❤❤
@peehmuki7271
@peehmuki7271 Месяц назад
Baba naombo univishe haki yako katika jina la Yesu ....Amen
@gracembwilo1455
@gracembwilo1455 Месяц назад
Asante Mtumishi wa MUNGU kwa kunifungua AKILI mafundisho yako yana HEKIMA sana naomba kuvikwa HAKI yake
@williammollel97
@williammollel97 Месяц назад
Kwa kweli unaheshimisha jina la yehova ubarikiwe na atukuzwe mungu Alie kupa kipawa na ukawa tayari
@user-gc8vb3gv8c
@user-gc8vb3gv8c 29 дней назад
Ubarikiwe baba Mchungaji, naamini tutavikwa haki yake
@RohiSam
@RohiSam Месяц назад
Watching from Kenya ,,,,am so blessed 🙏
@ElionaKimaro
@ElionaKimaro Месяц назад
Wonderful
@MeshackMunuo-yc5ji
@MeshackMunuo-yc5ji 21 день назад
Barikiwaaa
@JaneMaiga
@JaneMaiga Месяц назад
Mungu naomba univike haki yako amina
@tumpemkola6752
@tumpemkola6752 Месяц назад
Mungu akubariki sana baba mchunga kwa neno
@user-yl2ir7gv1h
@user-yl2ir7gv1h Месяц назад
Munguakulinde mchungaji Asante kwaneno lako
@BeathaSwai
@BeathaSwai Месяц назад
Asant baba mchunguji Mungu aendelee kukutunx
@elishamwakihaba942
@elishamwakihaba942 Месяц назад
Mungu akubariki sana mchungaji ❤
@rodgersakaya7158
@rodgersakaya7158 Месяц назад
Mchungaji asante sana, ubrikiwee
@BeathaSwai
@BeathaSwai Месяц назад
Amin Mungu akutunxeee
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 28 дней назад
Amina kubwa
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 Месяц назад
Amen, ubarikiwe Baba.
@johntemba9477
@johntemba9477 Месяц назад
Mungu akubariki sana Baba
@user-vi7he4zm2d
@user-vi7he4zm2d Месяц назад
Amen mungu akutunze
@MariaNdagile-hx5pr
@MariaNdagile-hx5pr Месяц назад
Aminaa baba
@EdinaFelician
@EdinaFelician Месяц назад
Mungo akubarikai sana Mchungaji
@speciozakaloli
@speciozakaloli Месяц назад
Mchungaji Kimaro unatumiwa na Mungu asante sana
@irislecha8662
@irislecha8662 Месяц назад
Kwa kweli mchungaji umenihubiria Mimi binafsi kwetu nyumbani Mimi ndie Rahabu naomba Mungu anikumbuke, naishi na nembo ya umalaya baada ya kuzaa watoto 6 na wababa tofauti, Mungu nikumbuke
@rammyrallen1473
@rammyrallen1473 Месяц назад
Amen Mungu Ni mwaminifu Amen
@Wamisangi
@Wamisangi Месяц назад
Isaya 1:16-19. Mungu ni Mwema Wakati wate. Omba akupe Nguvu na Maongozi yake uishi sawasawa na Mapenzi yake. Tazama ya kale yamepita na yamekuwa mapya.
@sylviachikwindo7263
@sylviachikwindo7263 Месяц назад
Aameen ameen ameen.
@JudthKanyange
@JudthKanyange Месяц назад
Nikusikiliza mchunga nabarikiwa
@CHRISTINAYOHANA-oy7vo
@CHRISTINAYOHANA-oy7vo Месяц назад
🙏
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi Месяц назад
Ameeen Baba ❤❤🎉🎉
@GRACENyanda-cn3pg
@GRACENyanda-cn3pg Месяц назад
Amina
@kikiteri7486
@kikiteri7486 Месяц назад
Amem Amen
@grace-rh3vv
@grace-rh3vv 29 дней назад
Amen. Amen
@larzagraph9326
@larzagraph9326 Месяц назад
Mungu watu azidi kukulinda nakukubariki mchungaji Tunabarikiwa sana na mahubiri yako tukowa USA
@naeema8155
@naeema8155 28 дней назад
Amen 🙏 🙏
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Месяц назад
Ameen
@veronicaanosisye4160
@veronicaanosisye4160 Месяц назад
Ameeeen
@speciozakaloli
@speciozakaloli Месяц назад
Usiangalie ulikotoka tazama unakoenda
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Месяц назад
Kwa hiyo hata kama kakosea usimrekebishe eti usihukumu jamii itasadikaje?
@nemeskilagula3119
@nemeskilagula3119 Месяц назад
Fanya maombi juu yake na si vinginevyo, Mungu wetu ni wautaratibu
@Wamisangi
@Wamisangi 28 дней назад
@@nemeskilagula3119 Mungu wetu si muongo wala hahitaji ahubiriwe kwa uongo. Mungu ni Roho. Yohana 4:24
@Wamisangi
@Wamisangi Месяц назад
Wapelelezi walikuwa ni wawili si 12 . Joshua Mlango wa 2 Rahabu ndiye aliye funga kamba wala si wale wapelelezi wa 2. Hakuna mahali ambapo Biblia inasema ndugu zake Rahabu walimtenga. Na ndio maana aliweza kuwakusanya wakaja kwake kama sharti la wao kuokolewa na mashambulizi. Rahabu alijua nguvu za Mungu wa Israeli na Matendo yake makuu ya kuwaangamiza maadui wa Israeli. Aliwaapiza wale wa pelelezi kwa Mungu wao wa Israeli. Waebrainia 11:31. Rahabu aliokolewa kwa Imani yake kwa kuukiri Ukuu wa Mungu wa Israeli na kwa vile aliwapokea wale wapelelezi wawili kwa Amani. Ni vizuri kuchukua muda kuandika mahubiri kuliko kujiamini na kuhubiri uongo na kweli madhabahuni
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 28 дней назад
Lakini umeelewa alichomaanisha
@Wamisangi
@Wamisangi 28 дней назад
@davidkawesa3594 Nimeelewa kwamba Mungu ni Roho nao wamuabuduo hufanya hivyo katika Roho na Kweli. Yohana 4:24 Bila ya Roho Mtakatifu utakuwa unachekelea hata ukihubiriwa uongo ulio cha nganywa na ukweli kwa kujua/kutokujua ama kutetea anaye fanya hivyo badala ya kumshauri..
@hadijambwambo6833
@hadijambwambo6833 Месяц назад
Hallelujah
@qatarrarre30
@qatarrarre30 Месяц назад
😂😂😂Amen 🙏🙏
@witnesssamwely8812
@witnesssamwely8812 Месяц назад
Mahubili yako yananibaliki
@user-vi7he4zm2d
@user-vi7he4zm2d Месяц назад
Amen mungu akutunze
@CatherineMgala-ui8oi
@CatherineMgala-ui8oi Месяц назад
🙏🙏
Далее
REV. DR. ELIONA KIMARO: UNA KITU GANI MKONONI MWAKO?
1:42:14
kkkt kimara
3:09
Просмотров 16 тыс.
REV. DR. ELIONA KIMARO: ZITAFAKARI NJIA ZAKO
1:02:30
Просмотров 13 тыс.
REV ELIONA KIMARO - MATUNDA YA MDOMO (OFFICIAL VIDEO)
59:01
REV. DR. ELIONA KIMARO: MASHAKA YA MAISHA
1:03:55
Просмотров 32 тыс.