Тёмный

USIWACHUKULIE POA WAMAMA WA KITANZANIA WAKIWA CHINA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Ayo TV ikiwa China itatuonesha maisha ya wenzetu Wachina wanavyoishi kwenye nchi yao lakini haiwezi kusahau kutuonesha maisha ya Watanzania wenzetu na Kazi zao ambazo wamekuwa wakizifanya wanapokuwa China na hapa ni ushuda wa Watanzania kwa ukarimu unaoendelea kutolewa na ndugu zetu @silent_ocean_ltd Watanzania waliondoa mzigo wa kusafirisha mizigo kutoka China na Dubai kuja Afrika.

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@theeyechannel8601
@theeyechannel8601 4 года назад
My love to you✌ Ayo nime wapenda bure! Ahsante kwa taarifa nzuri sana! Tunaenda China sasaivi. Na silent ocean ndio number ☝️ kwangu. From Rwanda!
@marwawindilameck1945
@marwawindilameck1945 5 лет назад
Rama yuko poa sana. Very helpful guy. Ingenious investment by Silent Ocean
@thaddeuskeanu8456
@thaddeuskeanu8456 3 года назад
Instablaster
@kingoman7895
@kingoman7895 5 лет назад
Ndoto yangu nifike hapo ln shaa Allah
@fatmanasornasor9047
@fatmanasornasor9047 5 лет назад
Labda tabora ndo utafika
@rytgjf4990
@rytgjf4990 5 лет назад
Hata mm aiseee Mungu afanye wepes
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 5 лет назад
Mashallah Allah akuwezeshe hakuna kinachoshindikan kwake
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 Год назад
🎉 InshaaAllah Amiin 🙏
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 года назад
Mungu awabariki saana Silent Ocean
@ramadhanisalum8321
@ramadhanisalum8321 5 лет назад
Naona watangazaji wa Ayo mnakula shavu tu...
@saadajumanne8656
@saadajumanne8656 4 года назад
Hahahha
@sharifabdul6085
@sharifabdul6085 5 лет назад
Dullaaa dullaaa dullaaa wanimaliza ndugu yangu yaaani ayo hapa hajafeli kabisa
@clementalu3925
@clementalu3925 8 месяцев назад
Nimependa sana naomba namba za sm
@JacksonMabuya
@JacksonMabuya Год назад
I need to communicate with silent ocean
@suraithsureiman7714
@suraithsureiman7714 5 лет назад
inshalaaa
@juniorkering8953
@juniorkering8953 5 лет назад
ningependa niende China nani ako na connections Millard
@deborahmpuzu3585
@deborahmpuzu3585 4 года назад
Namba za simu
@TheoneOfficial
@TheoneOfficial 5 лет назад
good
@tausilifestyle795
@tausilifestyle795 4 года назад
Dullah unarudi lini TZ tumeshakumisi mtangazaji wetu .sema nini tuko pamoja
@damasbundala3228
@damasbundala3228 5 лет назад
Jaman naona kama mwakini ivi takua uko china
@fatmanasornasor9047
@fatmanasornasor9047 5 лет назад
Aaa wapi
@JacksonMabuya
@JacksonMabuya Год назад
Sasa napataje mawasiliano yao
@jafetzani8568
@jafetzani8568 4 года назад
Nadhani corona Sasa huko hakuna sijaona mtu aliye vaa barakoa
@ibrahimjoel806
@ibrahimjoel806 5 лет назад
Kweri kaka Dullha naona
@oseatv8259
@oseatv8259 4 года назад
Chukua video na kwenye vyombo
@mugishanadia1910
@mugishanadia1910 2 года назад
Je Silent inafika burundi kwa anaejua jibu tafathali.
@davidjohn5396
@davidjohn5396 5 лет назад
Third
@mwajumabulugu4115
@mwajumabulugu4115 5 лет назад
Tembea uwone
@marobamkeya2399
@marobamkeya2399 5 лет назад
1
@gabrieldenicc4502
@gabrieldenicc4502 4 года назад
Nimtu mwenye sifazipi kwenda China kibiashara
@heavenlightabel5223
@heavenlightabel5223 4 года назад
Ni hela yako
@rukiyahussan4190
@rukiyahussan4190 4 года назад
@@heavenlightabel5223 kama kiasi gani cha kuwazia kama unamtaji mdogo
@ashuramnyachi1124
@ashuramnyachi1124 4 года назад
Gabriel Denicc uwe na mtaji kiasi gani uweze kwenda china kuchukua biashara
@emmanuelmasele311
@emmanuelmasele311 3 года назад
Uwe mweupe
Далее
WATANZANIA WANAZIDI KUZIPAMBANIA FURSA WAKIWA CHINA
17:01
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 219 тыс.
Jua Kali Leo Jumatano Usiku 16-10-2024
24:44
Просмотров 50 тыс.
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 219 тыс.