Тёмный
No video :(

USTADHI SHAFII AFUNGUKA MAISHA YAKE KABLA YA MIKUTANO NA WAKRISTO NA SABATO, AMTAJA USTADH MAZINGE 

SIMULIZI ZONE
Подписаться 219 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

LEO USTADHI SHAFII AMETUPA HISTORIA YAKE YA MAISHA NA JINSI ALIVYOANZA MIHADHARA BAADA YA KUVUTIWA NA USTADHI HABIBU MAZINGE WA KIPINDI HICHO

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@omargargaar5611
@omargargaar5611 2 месяца назад
Allah awarehemu wazazi wko Allah awepe Njana Firdous Allah akuhifadhi sheikh wg Shafi MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah
@eliasharun3273
@eliasharun3273 2 месяца назад
Mungu awe pamoja nawe kwa kujishughurisha na Mambo ya Mungu
@user-ot5cr4hy1c
@user-ot5cr4hy1c Месяц назад
Pole yakhe sheikh ya shukran Allah akwihifazi na akupe akhra na furaha na atujalie pepo nzuri jannah
@user-lm8xl4pc1d
@user-lm8xl4pc1d Месяц назад
Asalam aleikum warahmatullah taarah wabarakatu kweli she Allah akuongoze katika kheri inshallah ila mshaulin Dr sure aludi kwa Allah make anapokwenda dini aisem ivyo et mpen ushauli
@DavidMatata
@DavidMatata Месяц назад
Umeongea vizuri sana mkuu... Mungu akubariki!!
@babyboy6310
@babyboy6310 Месяц назад
Shekh mazinge. Allah amuweke
@jotafungo4622
@jotafungo4622 2 месяца назад
Kumbe Mmafia mwenzangu!
@BURUNDIB
@BURUNDIB 2 месяца назад
Pole sasa lakini mama hangependa upotee usijuwe mgu
@kdloon2030
@kdloon2030 2 месяца назад
Mguu na mkono anavijua
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 Месяц назад
​@@kdloon2030 😂
@muslimmuslim512
@muslimmuslim512 Месяц назад
Mngu yupi?
@mikidadikiga90
@mikidadikiga90 2 месяца назад
Mwamba
@SundayMbatia-hr8qp
@SundayMbatia-hr8qp Месяц назад
Ametaja watu weng lakin cjakia jina la dokta sule, wakat amepita mikonon mwake
@AbasMabuli
@AbasMabuli Месяц назад
Amshataja mbona sema labda hujasikiliza mahojiano yote
@maase2023
@maase2023 Месяц назад
Huyu anaongelea majini kwa kuwa hajawahi kukutana na majini wala kumiliki wala kuwajua ! Siku atayokutana na jini mmoja tu basi huyu hataongea tena kuhusu viumbe hao
@user-ij9te1ck9p
@user-ij9te1ck9p Месяц назад
@@maase2023 ivi mtaacha lini utaahira umekaribishwa wali unaulizia ugali ugenini punguzeni utaahira
@maase2023
@maase2023 Месяц назад
@@user-ij9te1ck9p nakuambia huyu shafi siku atayokutana na jini mmoja tu basi huyu ataugua sana na hataongelea tena au kuwakejeli majini! Hajakutana nao ajue nguvu zao ndio maana anabwata sana
Далее
Cute kitty gadget 💛💕
00:23
Просмотров 4,7 млн
USTADH SHAFII AMLIPUA MWAMPOSA NA UONGO MAFUTA YAKE
12:56
DEBATE   SHAFII SHOMAR   BIBLIA IMEHARIBIWA
1:49:35
Просмотров 140 тыс.