Тёмный
No video :(

UTACHEKA UFE HAJI MANARA ALIVYOMZINGUA MKE WAKE ZAIYLISSA WAKATI ALIVYOSHINDWA KUONGEA MBELE ZA WATU 

Manara TV
Подписаться 272 тыс.
Просмотров 108 тыс.
50% 1

UTACHEKA UFE HAJI MANARA ALIVYOMZINGUA MKE WAKE ZAIYLISSA WAKATI ALIVYOSHINDWA KUONGEA MBELE ZA WATU
#manaratv #hajimanara #wasafimedia #bugati #millardayo #diamondplatnumz

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 195   
@oman1oman179
@oman1oman179 5 месяцев назад
❤❤❤❤eli bugati ujuwe kama mti wenye matunda ndo upigwa mawe
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 5 месяцев назад
Mwanake mzuri. Ni tabiya na mwenye HAYA.. ( MWENYE KUONA AIBU ) Pongezi zako Bi ZAI. Nakupenda sana❤❤❤. Kuanzia Leo nita angalia JUWA KALI.Na nitakua shabiki wenu. 👏👏👏 From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-mr6bv5pg8f
@user-mr6bv5pg8f 5 месяцев назад
❤🇷🇼
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 5 месяцев назад
Hizo ftari zenu za kualika watu wanao jiweza ili muonekane kwenye Camera sijui ftari za wapi hizo wakati kuna waislamu wengi wanaofunga na hawajiwezi munashindwa kuwaftarisha
@fimboonlinetv5282
@fimboonlinetv5282 5 месяцев назад
Ni bora haya mambo wawe wanatafuta mwezi mwingine kwa sababu yanayo fanyika sio katika malengo na maana ya ramadhani... Futari sio CHAKULA kama vyakula vingine bali ni kitendo kinacho fanywa na waislam baada ya kufunga siku Nzima...sasa hizi futari za kuailika watu wenye imani tofauti sio futari bali ni CHAKULA kama vyakula vingine Na dini ya uislam haikatazi kuwaalika wasio waislam katika mambo ya CHAKULA na mengineyo lakin sio katika mambo yanayo husu ibada na futari ni ibada
@belak999
@belak999 5 месяцев назад
Kwan siku nyingine nani huwa anawalisha? Mpk mtaje walishwe siku za Ramadan, msipangie watu matumizi ya pesa zao, wakati mia mia zenu hakuna anae wapangia, embu msipitie mlango wa dini
@swabramohammad4487
@swabramohammad4487 5 месяцев назад
​@@belak999kabisa
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 5 месяцев назад
Umehonae nikiki tu
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 5 месяцев назад
Kwakweli watu ambao hawajiwezi ni wengu Subhanallah 😢
@winnieseba2257
@winnieseba2257 5 месяцев назад
Binadamu kwa lawama ukifiturish maskin kwa media ooh ana sifa ukifiturisha wenye nacho ooh hujaon maskin achen kuhukumu na kupangiana maisha bwana
@user-xc4or2vp6l
@user-xc4or2vp6l 5 месяцев назад
Ktk maisha JIFUNZE kuongea kitu unauhakika nazo. Usiongee kitu usichokiwa na UHAKIKA. Wamefunga, hawajafunga tumuachie Mungu. Hata wenye hela wanafutari. Mkeo ana haiba. That's good. Hongereni kwa kufuturisha❤. Mc Galab nampenda kazi zake ila nitakuja weza malipo yake, ngoja tuone Mungu asaidie.
@tuchannyitike
@tuchannyitike 5 месяцев назад
Nice one ila use gloves jamani mnaoshika chakula mara mtu ashike simu,ajipanguse kwenye nguo than unaokota maandazi
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 5 месяцев назад
Avae gloves kwani yupo lebour anazalisha.
@tuchannyitike
@tuchannyitike 5 месяцев назад
@@mwanaishaabubakar5013 you can't even spell labour bora ungenyamaza tu,gloves aren't only used for labour or you meant to deliver Abee?? thats why people like you who de Mumu head..
@redemptajerry5446
@redemptajerry5446 5 месяцев назад
mwenyewe nimejisikia vibaya chakula kizuri sana kwa macho lkn usafi hakuna mwigine amebeba sinia kaegemeza kwa tumbo
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 5 месяцев назад
Namie nakupenda garab in Sha Allah utakuja kwa shuguri yangu nataka huwe EMS
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 5 месяцев назад
Kuandika mwenyewe hujui eti EMS hapo e na s xina uhusiano hapo? Kuandika mwenyewe shida,hela watpata wapi umpe aje akufanyie kaxi???
@beautifulafrica6886
@beautifulafrica6886 5 месяцев назад
😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣 jamani​@@yukundapeter8200
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 5 месяцев назад
Huyo aliyepika mkate wa kumimina mashaallah unaonekana mzuri sio wa kunata naomba namba yake
@abumoyo840
@abumoyo840 5 месяцев назад
😂😂😂 Umeeona piaa
@SashaSasha-hd7qe
@SashaSasha-hd7qe 5 месяцев назад
Yani wewe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 5 месяцев назад
uko wapi mm natengeneza km hutojali
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 5 месяцев назад
Mke wa manara kaupika 😂.wee ukitaka uwe poa piga zako mayayi sana
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 5 месяцев назад
@@user-vy2bc6xg3i kwani unatiwa mayai sio nazi?
@meowzna
@meowzna 5 месяцев назад
Masha'Allah Tabarakallah🙏🤲
@chany9950
@chany9950 5 месяцев назад
Aaah safi sana mungu awaende mbere jmn
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 5 месяцев назад
Mashaallah nimependa menu😅
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 5 месяцев назад
Nimemuona chichi kavaa kishekh shekh😂
@MosiHassan-dx6gc
@MosiHassan-dx6gc 5 месяцев назад
Kufuturisha wasiokua waislamu inaweza ikawa njia ya wao kuupenda uislamu
@user-bd6rw7kl7r
@user-bd6rw7kl7r 5 месяцев назад
Jamani hao wayoa vyakula mbona wanashika kwa mkono?wamejitia malipstik tu hawama Tungo bibi hahahahàa
@fatumamkuzi8051
@fatumamkuzi8051 5 месяцев назад
Maa shaa Allah ila mgeli futirisha wasio jieleza ingeli kua bora zaidi Allah atukabalie swaum zetu amiin
@user-rg8fq8fc3k
@user-rg8fq8fc3k 5 месяцев назад
Hiii sio kufuturisha ni kutafuta content😅😅😅😅
@fatumamkuzi8051
@fatumamkuzi8051 5 месяцев назад
@@user-rg8fq8fc3k Nao wame pata
@mauamnobwa3519
@mauamnobwa3519 5 месяцев назад
Futurisha kwa watu wasio jiweza, ili upate thawabu kwa Allah
@Nailaty564
@Nailaty564 5 месяцев назад
Wanafuturisha au wanajifurahisha kuna masikin wanafuturu maji wenyewe wanatafuta sifa
@mauamnobwa3519
@mauamnobwa3519 5 месяцев назад
@@Nailaty564yani we acha tu alieshiba hamkumbuki mwenye njaa
@ZariheenaMsambaa
@ZariheenaMsambaa 5 месяцев назад
Tunaambiwa tuwape wenye uhitaji,sasa hao wanauhitaji gani vyakula wanakuka kila siku
@zainabusaidi5982
@zainabusaidi5982 5 месяцев назад
Nyinyi mnajuaje kama hao hawana huitaji
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 5 месяцев назад
Nawe lamata nae Habaliiii sema habari zenu ndo watakuelewa😂😂
@NusraHozza-qp8yy
@NusraHozza-qp8yy 5 месяцев назад
Hakuna watu wana furaha wakishirikishwa ftari kama wakiristo nao pia ni watu na wanahitaji umoja kingine tusimuhukumu mtu hajawapa maskini wakati hatujui kawapa au hajawapa hiyo ni siri yake na muumba wake kwa sbb anajua sheria ya uisilamu ni kusaidia wasiojiweza tumuache aenjoy life na awapendao.
@Natashawaziri-bv2xl
@Natashawaziri-bv2xl 5 месяцев назад
Wallah
@duasufiani2782
@duasufiani2782 5 месяцев назад
Alhaji ingependeza zaidi ungevaa balkashia kuliko kapelo
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 5 месяцев назад
Inawezekana anajikinga na mwanga wa taa kwasabab wan uoni hafif mwanga unamsumbua.
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 5 месяцев назад
Hajji Manara aache kunywa maji na diamond
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 5 месяцев назад
😅😅😅😅
@Maryc2G
@Maryc2G 5 месяцев назад
Haji manara ana roho nzuri ya kupenda watu.
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 5 месяцев назад
Mungu akuongezee kaka manala
@mwajumalubuva
@mwajumalubuva 5 месяцев назад
Mashallah
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 5 месяцев назад
Manara unapenda sifa Sana umeona GSM kafuturisha na wewe lazima ufanye sifa Zitakuuwa we mzee
@annalubango9899
@annalubango9899 5 месяцев назад
Wivu tu
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 5 месяцев назад
Hata ww km una uwezo wakuita hat wat 5 10 waalike ufuturu nao .
@mrsab303
@mrsab303 5 месяцев назад
MashaAllah ❤❤❤❤
@mwambaadijira7190
@mwambaadijira7190 5 месяцев назад
Kwanini binadamu mko ivo lakini ivi kufuraiya neema za wenzenu binaitaji nn wallah hamutofanikiwa km hamubadiliki Allah awaongoze
@ashurahaji4794
@ashurahaji4794 5 месяцев назад
Ningekuwa kunawasaidia wenye shida ingekuwa poa sana
@zainabusaidi5982
@zainabusaidi5982 5 месяцев назад
Hata ww unaweza kuwasaidia binadam hamna shukurani
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 5 месяцев назад
Wanasika vyakula bila gloves mi vichwa wazi ..wachafu wapishi😊
@bennamush4616
@bennamush4616 5 месяцев назад
Sijapenda kwa kweli
@annalubango9899
@annalubango9899 5 месяцев назад
Huwa mnjikutanwajuaji kwani gloves ndo nini yaani wewe nyumbani kwako unavaa mkwende hukp na usafi wenu wa kipuuzi kikubwa kunawa mikono
@SikudhaniKulonda-jy1bq
@SikudhaniKulonda-jy1bq 5 месяцев назад
Kichw kisiwe waz tu ila gloves sio muhimu noma kudharau rizik
@ReginaKaizirege-sd3hn
@ReginaKaizirege-sd3hn 5 месяцев назад
Punguzeni kujifanya mnayajua sana loh,, uenda wenimchafu kuwaliko Wao fyuuuuuuu
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 5 месяцев назад
@@ReginaKaizirege-sd3hn Msg yako tu Inaonyesha ulivyo mchafu
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 5 месяцев назад
Mvae gloss mkiwa Mnarekodi jikoni sawa Siri yenu
@Zainab_salat
@Zainab_salat 5 месяцев назад
Zaylissa mm ni zainab wajina, mm sijui kuongea na watu wengi😂😂😂😂 maybe wawili or watatu sio crowd
@user-vb4pw8fx9h
@user-vb4pw8fx9h 5 месяцев назад
Nakuona tktk live
@vero57
@vero57 5 месяцев назад
Ndizi mbona hazina nyama 😂😂😂
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 5 месяцев назад
Si ukanunue upike zako
@beautifulafrica6886
@beautifulafrica6886 5 месяцев назад
​@@lilianestephanie7881😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n Месяц назад
Good​@@lilianestephanie7881
@user-qo8eu1br6f
@user-qo8eu1br6f 5 месяцев назад
Mie nimemezea mate kitumbua safii hakina mafuta mengi
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 5 месяцев назад
Mimi hamjanialika mnaita watu Maarufu 2
@user-ls9lc4zu3z
@user-ls9lc4zu3z 5 месяцев назад
Ivi buga kweli Thomas kakushinda adi bagarashia umetupoa cape kweli???!!!! Umechusha skunyingine jipange
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 5 месяцев назад
MashaAllah madevu kapendeza ❤😂😂😂😂
@AsiaJuma-mn7se
@AsiaJuma-mn7se 5 месяцев назад
Zai ukijitandaga ushungi unapendeza sana
@mwanamisimwangaro8001
@mwanamisimwangaro8001 5 месяцев назад
Manara mshari 😂😂😂 eti tunapo itwa waongeaji mbele za watu mtuheshimu😂😂😂
@rozeyousef9823
@rozeyousef9823 5 месяцев назад
Haswa kipaji tosha mimi nikianza tu nitacheka mpaka masaa yaishe bila kuongea kwa aibu😂😂
@user-nj5re9db3j
@user-nj5re9db3j 5 месяцев назад
Nikweli kabisa tunakosea kuna wasiojiweza wanafunga hawajui watapata wapi iftar yao sisi tunapeana wenyewe kwa wenyewe hiyo makosa
@fatmaali4921
@fatmaali4921 5 месяцев назад
Haji mkeo sio mtu wa mitandao mzid kumficha ana haya bado sana hivi dulla alifeli wapi?ila zay kina haya ss wakisema ndoa imekufa wapi?mbona wapo happy kwenye ndoa nataman wanaume hata awe maskin wote ila wawe na upendo km hajis kwa mke wake
@beautifulafrica6886
@beautifulafrica6886 5 месяцев назад
❤❤🙏🙏
@kulthumbintmsuwakollo838
@kulthumbintmsuwakollo838 5 месяцев назад
Mmefturisha au mlikua mnasheherekea birthday za watu?
@nikrahayubu-sz3pw
@nikrahayubu-sz3pw 5 месяцев назад
Mmh mmefunga mnapena mikono hvy jmn waislam wengii hatuinui dini na wala mpng wa kuisoma hatuna astaghafiruallah
@user-tm5ls1ml6d
@user-tm5ls1ml6d 5 месяцев назад
Bila hiv watu watakujuwaje kama unazo nakat wapo hawana hata sukar robo chakuftar hakui lalini wenzetu wajionyesha ila mungu yupo mbele wataenda semaje
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 5 месяцев назад
Kwa hiyo bugati ndio amewazuia kutafuta pesa?
@winnieseba2257
@winnieseba2257 5 месяцев назад
Siku zote mnakulaga kwa bugat 😂 binadamu kwa lawama acha kutegemea mwanadamu mtgemee Mungu ebooh
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 5 месяцев назад
Dah ndoa hizi yani miezi 2 mtu anajipingeza duh 😳😳😳
@NoorynMuddy
@NoorynMuddy 5 месяцев назад
Mie mwenye uchu nimeona kuku na samaki to😂
@salemarahbi9171
@salemarahbi9171 5 месяцев назад
Misosi mashallah 😂😂
@user-ds3os5qv4o
@user-ds3os5qv4o 5 месяцев назад
😂😂 gara b❤❤❤❤
@Zainab_salat
@Zainab_salat 5 месяцев назад
Mambo gani unachukua vyakula bila wageni kufika😂😂😂😂 mara maandazi mawili mara aandazi😂😂😂😂
@dojabia2918
@dojabia2918 5 месяцев назад
Sasa na mawig ya nini kichwani yani mtu kuvumilia mwezi mmoja tuu jaman mtihani😂
@user-qm5un9yc8r
@user-qm5un9yc8r 5 месяцев назад
Buggat una baya
@uwimana6533
@uwimana6533 5 месяцев назад
Zai kwa bugatti ndiko sahihi kuliko kwa dulla makabila kunaukoo hustahili kuolewa nao 😂😂😂
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 5 месяцев назад
Kuandika kwenyewe shida eti nitamualiika EMS,Kweli inaandikwa hivyo?? E na S xina uhusiano??hela ndo uipate??
@user-iq7gx2ip7d
@user-iq7gx2ip7d 5 месяцев назад
Hata ao wanaokiweza wakt wamewepewa sadaka bc thawabu wanazo muhim nia tu yakutoa sadaka
@user-hz9tx1mi1h
@user-hz9tx1mi1h 5 месяцев назад
Jana kuna boss mmoja hapa nairobi alikuwa anatoa pesa kusaidia wasiojiweza tena amewafuata sehem walipo wao akawasaidia bila hata kupiga picha sisi wapita njia ndio tulikuwa tunapiga picha
@SikudhaniKulonda-jy1bq
@SikudhaniKulonda-jy1bq 5 месяцев назад
Ma Sha Allah utoe mikono wakulia wakushoto usijue
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 5 месяцев назад
Ukitangaza pia sio shida huenda wengne nao wakavutiwa kufanya.
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 5 месяцев назад
Mm samaki tu 😋😋😋😋
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 5 месяцев назад
Mbona mimi nimecheka na sijafa?
@songombingo108
@songombingo108 5 месяцев назад
Bughat bhana😂😂
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 5 месяцев назад
Wakumbukeni na masikini hawana cha kufuturia
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 5 месяцев назад
Manara mke mvishe nguo za kujistiri zaid kifua kipo wazi hicho ktk hadhara hio ya wayu hebu ona wenzake walivyovaa vifua wamefunika vizur
@fimboonlinetv5282
@fimboonlinetv5282 5 месяцев назад
Hiyo ni chakula sio futari inayo husiana na mwezi mtukufu wa ramadhani
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 5 месяцев назад
Sikuhizi kufutilisha imekuwa ni matangazo ya kwenye mitandao da! Niheri ungeenda kinyakinya kuwapelekea watoto wa tima futari na wajane ,hapo wengi wao hawajagunga ni km sherehe tu
@user-qd2mn7ml4f
@user-qd2mn7ml4f 5 месяцев назад
kwenda mshamba ww chuki tu
@josephlorri431
@josephlorri431 5 месяцев назад
Sijasema mimi..tunafahamiana mtaani.. wamealikana wwnye nazo..aloandaa ameagiza naye aalikwe.. Mungu ana kazi sana​@@user-qd2mn7ml4f
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 5 месяцев назад
Yaani ni upumbavu mtupi ftari unamftarisha kafiri na promo za movie
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 5 месяцев назад
​@@user-qd2mn7ml4fwewe kafiri hujui nini maana ya kuftarisha kenge wewe
@barakamjunangee9559
@barakamjunangee9559 5 месяцев назад
😅
@simonitaagesti4765
@simonitaagesti4765 5 месяцев назад
lulu mtoto wakislamu mwezi huu na hiyo miwigi jmn
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 5 месяцев назад
Watu wasio jiweza ni wengi mitaani kwakweli hao naona wanajiweza 😢😢
@zainabusaidi5982
@zainabusaidi5982 5 месяцев назад
Huko nenda kafuturishe ww
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 5 месяцев назад
@@zainabusaidi5982 jishushe mbon unapaaa juu
@MosiHassan-dx6gc
@MosiHassan-dx6gc 5 месяцев назад
Acheni midomo kama nyinyi hamna kitu shukuruni mnajuaje mtu anayo yafanya km ameshawapa hao masikini awambie au?
@user-ct2qp6ur9t
@user-ct2qp6ur9t 5 месяцев назад
Mbona nyumba ya manara tofauti na na umalufu wake
@zainabusaidi5982
@zainabusaidi5982 5 месяцев назад
Mjengee ww yenye hadhi yake..
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 5 месяцев назад
kuna shughuli gan tena jmn!??
@zayanazayana5518
@zayanazayana5518 5 месяцев назад
Zaylisa angekuwa anashinda nyumbani, zamani sana mngesha timuana, lakini eti anashinda kazini tangu asubuhi hadi usiku Manara ana mke hapo?
@marymiraji7983
@marymiraji7983 4 месяца назад
Kwani kasema ni kila siku???😢
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 5 месяцев назад
Hongera sana bugatti
@user-eu4pk3eh5d
@user-eu4pk3eh5d 5 месяцев назад
Ajabu wanafturisha hadi wasiokuwa waislam hio ni mualiko wa kawaida tu na hujakusudia hasa kufturisha walengwaa wanaohitaji kufturishwa
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 5 месяцев назад
We futurisha
@linnahmshama
@linnahmshama 5 месяцев назад
Weee acha ubaguzi kwan ujui pia ni kwaresma duuuu yan waisilamu wengi ni wa baguzi sana sisi tumeubwa na mungu mmoja uyo kafanya sio kidini na mungu ajasema ivo kwamba niwape dini yangu 2 daaaaaaaaa
@mariammpamka
@mariammpamka 5 месяцев назад
Hahaha
@user-pc8gf4ol1j
@user-pc8gf4ol1j 5 месяцев назад
Lulu waswali vipi dada tattoo hizooo
@shakilamohamed8179
@shakilamohamed8179 5 месяцев назад
ftarisha wenye uhitaji upate darja kwa Allah....hizi kiki zitakupa darja hapa duniani ila kwa Allah 0.....hawa kina mc Gara B wamefunga? au wana uhitaji? au ni ilimradi tu tukuone?
@ConfusedBalkhHound-on2mx
@ConfusedBalkhHound-on2mx 5 месяцев назад
Unaalika watu hawajafunga sibora utoe Kwa mayatima sadaka
@user-md6ll9mm2m
@user-md6ll9mm2m 5 месяцев назад
Mtihani mkubasana
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 5 месяцев назад
Sio vibaya
@zayanazayana5518
@zayanazayana5518 5 месяцев назад
Mke wa nini sasa Manara huna faida nae, mke akisha rudi usiku hoi hafai kitu, yote kisha yamaliza atokako kama kazini kweli au wapi Babu jinga kaa ufikiri
@mariamomary7758
@mariamomary7758 5 месяцев назад
Inaelekea inakuuma sana man coment mar 3 tatu alafu wenzio Wana enjoy tu ,sasa kazi kwako
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 5 месяцев назад
Wapishi wabeba vyakula hawajafunika vichwa wala gloves nini hiki
@bennamush4616
@bennamush4616 5 месяцев назад
Hata mi sijapendaa
@jacklinemichael3311
@jacklinemichael3311 5 месяцев назад
Ni mait iyo
@kassimukipingu7917
@kassimukipingu7917 5 месяцев назад
Apo tu kwenye majini mayele aliwaambia mnamtumia vimbora
@Maryc2G
@Maryc2G 5 месяцев назад
Women who handle or prepare Food, make sure you don’t touch food 🥘 on your hands, wear gloves 🧤 or use tongue spoons 🥄 to move the food from one container to another. Un unhealthy to touch with bear hand
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 5 месяцев назад
Ftari unamualika kafiri swawabu hizo tutazipata wapi Allah atuongoze katika mema Inshallah
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 5 месяцев назад
Sasa kafiri ni nani hapo
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 5 месяцев назад
Tz tupo mchanganyiko my dr acha kuita wenzio kafiri
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 5 месяцев назад
Huyo ni muislamu mchoyo na sijaona muislamu mwenye roho chafu na ubaguzi kama huyo...inaonesha hata kwake ni lichoyo hilo....eti kisa kakaribisha wakristo ndo makafiri.....dini safi ni Ile ambayo watu hawatendi matendo machafu...peponi huingii kwa tiketi ya dini never ever..Kazana kutenda mema hiyo ndo tiketi yako
@linnahmshama
@linnahmshama 5 месяцев назад
Duuuuu ngoja nikae kmy maana ila mungu akusanehe
@monicagrayxon8104
@monicagrayxon8104 5 месяцев назад
Kafir mama ako na Baba ako
@user-tm5ls1ml6d
@user-tm5ls1ml6d 5 месяцев назад
Haji mnunulie.mkeo shungi stara muhim usivae majukum kwa mkeo nunua mashungi kwa mkeo manara
@user-jq9rj4dm5u
@user-jq9rj4dm5u 5 месяцев назад
Bughati zombie amepiga tena
@loveness09-k
@loveness09-k 5 месяцев назад
Galab ana moyo kakaa na mume mwenzake Frank 😂😂
@R10_Rajab
@R10_Rajab 5 месяцев назад
Vitumbua 😂😂😂vyeusiiiii
@ashaali7154
@ashaali7154 5 месяцев назад
Binaadam hamuishi kutoa makosa hivyo vitumbua vikiwa vyeupe pia mtasema Mwenyeezi Mungu kawaumba na bado munashindwa kumshukuru itakuwa kutoa kasoro kila kitu? Mola awasamehe.
@KhadijaMiteya-hh8xl
@KhadijaMiteya-hh8xl 5 месяцев назад
Yaani tena amesemehewe sana na Allah, kitumbua kina kasoro gani kwa macho kinavutia.Binaadamu
@R10_Rajab
@R10_Rajab 5 месяцев назад
@@ashaali7154 kinachopostiwa sio wote kusifu hata kikiwa Kibaya na ndio maana kuna like 👍 na dislike 👎 hauwezi kuposti vitumbua vimeungua ukasifiwa bhana raha ya vitumbua viwe brown na sio vyeusi .
@R10_Rajab
@R10_Rajab 5 месяцев назад
@@KhadijaMiteya-hh8xl lol
@bennamush4616
@bennamush4616 5 месяцев назад
Ana njaa huyo amevitamani sema ndo Ivo 😂
@farahali6041
@farahali6041 5 месяцев назад
Garab kama garab
@chany9950
@chany9950 5 месяцев назад
Lulu kazuri jmn
@mariamomary7758
@mariamomary7758 5 месяцев назад
Kutana naye laev umuone utamkimbua😂😂
@user-td8bp9kz8d
@user-td8bp9kz8d 5 месяцев назад
Jamani waislamu wenzangu kukaribisha futari watu wanaojiweza sio tatizo ni kuongeza mapenzi na kukutana kwa pamoja pia kuna fadhila mbele ya Allah msiwe hivyo wakifuturisha wasiojiweza hawaiti kamera
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 5 месяцев назад
Robo tatu ya waliopo hapo hawafungi
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 5 месяцев назад
Twala misosi 😂😂😂
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 5 месяцев назад
Umeonaeeeh
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 5 месяцев назад
Wala wadingeiita ftari wangesema tu kua kuna kula kujigalagaza
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 5 месяцев назад
Ramadhani yote hio mtu anahudumia kichwa kikiwa wazi
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s 5 месяцев назад
Kufutulisha anayepeta swawabu aliyetoa ww hufunge ucfunge n ww ila aliyetoa hakinuia mambo yake wameenda
@leaherasto929
@leaherasto929 5 месяцев назад
Kuongea mbele zawatu kazi sana
@user-xo5lq7mw3n
@user-xo5lq7mw3n 5 месяцев назад
Alhamdulillah Allah aendelee kuwasimamia nawapenda ❤❤❤
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 5 месяцев назад
Nawe lamata nae Habaliiii sema habari zenu ndo watakuelewa😂😂
@MosiHassan-dx6gc
@MosiHassan-dx6gc 5 месяцев назад
9:11
Далее
14 August 2024
2:26
Просмотров 211
MIAKA 5 YA TIFFANY STORE NDANI YA NDOA NA GABO ZIGAMBA
22:09
[WANANCHI]💚💛amapiano_vibe_type beat  🔥🔥
3:26