Тёмный

UTAKASO WA MAENEO MATATU MUHIMU 2 | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO) 

MAHUBIRI TV
Подписаться 214 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@ChristineBinsari-ql5bf
@ChristineBinsari-ql5bf Год назад
Amina mchungaji, nakufutilia nikiwa kenya naomba mniombee mungu aniinue kiroho na pia anisaidie nijifungue salama...
@KalmelaChesco-ok2yl
@KalmelaChesco-ok2yl Год назад
MUNGU atende kwa kadiri uombavyo. AMEN.
@HildaPaul-hm4jk
@HildaPaul-hm4jk Год назад
Mungu akupe malaika wake wakuzalishe
@kabalizasekanabomarko6063
@kabalizasekanabomarko6063 Год назад
Amen
@dorcusamisi2926
@dorcusamisi2926 11 месяцев назад
Kama kuna mtu mwenye amebarikiwa na mafundizo ni mimi Asante sana pastor YESU akubariki hallelujah AMEN
@PaulHenry-fq6fi
@PaulHenry-fq6fi 11 месяцев назад
Nilikua nimeshakata tamaa ya maisha na kuelemewa na dhambi ila kwa mafundisho yako Pastor Mmbaga nimeinuka na sasa na mimi nawahubiria wengine habari njema ya huyu YESU. Mungu akubariki na akuzidishie
@tukaesanatu2754
@tukaesanatu2754 Год назад
Ubarikiwe Mmbaga,mahubiri yako nayapenda sana yananiingia sana moyoni,unapohubiri roho yangu inafurahi sana. Ubarikiwe na mungu aendelee kukulinda
@dorcusamisi2926
@dorcusamisi2926 11 месяцев назад
Mungu akubariki sana pastor WOW YESU NI BWANA nifurahi kwa mafunzo mazuri
@hbdina
@hbdina Год назад
Asante sana Baba Mungu Jehovah kwa jina la Yesu Kristu Amen 🙏🙏🙏
@neemapeter4822
@neemapeter4822 Год назад
Mungu aendelee kukutumia ili tuendelee kubarikiwa na mahubiri yako barikiwa pr
@SébastienKakengero
@SébastienKakengero Год назад
Ubarikiwe pasteur mungu akulinde
@yolandaleonard228
@yolandaleonard228 Год назад
Ninaposikia mahubiri yako mchungaji nabarikiwa sana Mungu akubariki na familia yako
@ruthmagare8725
@ruthmagare8725 Год назад
Hili fundisho limenifungua macho sana. Asante sana mchungaji, zidi kubarikiwa.
@marsellah9295
@marsellah9295 Год назад
Mafunzo yako yamenierefusha Kiroho mbaka imefika nikilala nakuota juu mahubiri yako imekua dawa kwangu Amen
@milkanyambarora7325
@milkanyambarora7325 Год назад
Mchungaji ubarikiwe sana umenifunza mengi
@VickyMoses-m2b
@VickyMoses-m2b Год назад
Mungu akubariki pastor
@messagerkambale5830
@messagerkambale5830 Год назад
Amina mchungaji, Nime barikiwa nikuwa nikiwa congo , na pashwa uliza swali?
@kibecate2495
@kibecate2495 Год назад
Sehem ya kwanza iwapi
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 Год назад
Amina
@samuelkamau9960
@samuelkamau9960 Год назад
God bless you pastor
@christinamakwi4533
@christinamakwi4533 Год назад
Mwenye Namba za Mchungaji Mbaga anisaidie
@theodorhamisi8867
@theodorhamisi8867 Год назад
Mchungaji ubarikiwe nene ndio lioae na mwili nanfsi hujaribiwa sana
@susanomwenga8882
@susanomwenga8882 Год назад
Amen pastor baraka teletele watching from Nairobi Kenya nisiogope yakwamba kuna mungu katika Israel anayenipigania mashaka na maovu kando yesu mbele 🙏
@nezerinejuma5510
@nezerinejuma5510 Год назад
Amen
@lasentinelle77
@lasentinelle77 Год назад
Umebarikiw mchungaji. Nahitaji kupata sehemu ya kwanza ya somo hili.
@TimotheoKayombo
@TimotheoKayombo Год назад
mchungaji MUNGU akubaliki Sana mm binafsi nabarikiwa
@BarakaMjelima
@BarakaMjelima Год назад
Barikiweni
@olphanyamweya3154
@olphanyamweya3154 8 месяцев назад
Hii ni yangu aki MUNGU ni wakati wangu
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 Год назад
Hata mm paster mkono unakufa gazi Kwa muda inapotea na kz nafanya lakini Hela inakuwa na mambo mengi nna mwaka WA tano Imani sna hata kiwa nja nna nyumba ya uridhi ni ya matope nmeshindwa hata kuibadilisha na sna hata akiba
@nezerinejuma5510
@nezerinejuma5510 Год назад
Tunaye mungu wakweli walausikate tamaa baba yetu ni mfalme wawa falme muhombe nauwe naimani naye Atakujibu🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@nyancheraann4976
@nyancheraann4976 Год назад
Amen 🙏🙏
@lasentinelle77
@lasentinelle77 Год назад
Naitwa Pr Samuel NGEMBWA, tokea Lubumbashi, DRC
@jonaskaminsa1810
@jonaskaminsa1810 Год назад
Amina Asante Sana
@olphanyamweya3154
@olphanyamweya3154 8 месяцев назад
😭😭😭😭😭😭😭😭
@shemi3270
@shemi3270 9 месяцев назад
Pastor sehemu ya kwanza iko wapi?
Далее
Prank Orchestra
00:10
Просмотров 1,6 млн
UJASIRI WA MAOMBI | PR  DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
1:05:35
SOMO : UTAKATIFU | Bishop Elibariki Sumbe
29:45
Просмотров 6 тыс.