Тёмный

UTAMBULISHO WA WACHEZAJI SIMBA MNYAMA ANAUNGURUMA MUDA HUU. MUUNGANO WA SIMBA NA VODACOM _ 

CMB BRIGHT TV
Подписаться 35 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Follow us WHATSAPP GROUP {CMB BRIGHT TV}
chat.whatsapp....
Follow us CMB BRIGHT TV on Instagram
...
Follow us CMB BRIGHT TV on Facebook
www.facebook.c...
Follow us CMB BRIGHT TV on Twitter
Cm...
Follo us CMB BRIGHT TV on Tiktok
www.tiktok.com...
CMB BRIGHT TV Ni TV inayokuletea habari, matukio, simulizi, exclusive interview na mambo mbali mbali yanayojiri ulimwenguni. Subscribe channel yetu kisha gusa alama ya kengere ili uwe wa kwanza kupata habari zetu.
CMB BRIGHT TV
IFUATAYO NI RATIBA YA VIPINDI
1: BACK TO BACK
Hiki ni kipindi kinacho waleta au kuwafata wajasiliamali na wafanyabiashara mbali mbali ili kukupa elimu na kukufungua juu ya usiyoyajua. pia kuwafungulia Dunia wafanyabiashara na wajasiriamali ili waweze kujulikana
2: NGUVU YA JAMII
Hiki ni kipindi ambacho kinawawezesha watu wanaosumbuliwa na matatizo mbali
mbali kama vile magonjwa na kadhalika. Tutaweza kufanya kipindi na mtu ambae
ana matatizo yaliyo nje ya uwezo wake kiasi kwamba anahitaji nguvu au mchango
wa watanzania ili kuweza kukabiliana na matatizo hayo kitu ambacho kitamsaidia
muhusika sauti yake kusikika kwenye jamii na kuweza kupatiwa msaada na jamii
au sector husika. Kipindi hiki kitakuwa ni kila siku kuanzia saa11:00 asubuhi hadi
saa 2:00 mchana.
3: THE TRUE NARRATION
Hii ni kwa ajiri ya kukupa story kali zenye kusisimua na kuhelimisha zilizojiri au
zinazojiri hapa duniani. Kipindi hiki kitaruka kila Jumapili na Jumatano saa 2:00 mchana hadi saa 04:00 jioni.
4: JINSI & JINSIA:
Hapa utapata kutazama mada mbali mbali zinazohusu mapenzi, majukumu ya kifamilia, malezi, haki na sheria za ndoa. pia utaweza kupata maoni ya watu mbali mbali mtaani kuhusu mada hiyo.
5: LIVE TALENT:
Hiki ni kipindi kinachowapa nafasi ya kuonesha vipaji wale wote ambao wana vipaji
huko mtaani lakini hawajapata nafasi ya kuingia katika soko la sanaa
6: SCHOOL LIFE:
Hi ni kipindi cha shule kwa shule kwa ajiri ya kuzungumza na wanafunzi pamoja na walimu ili kujua mambo mbali mbali ambayo yanawza kufanyiwa ufumbuzi ili kuiboresha sector ya elimu.
JE? Una story. kipindi simulizi tukio habari au jambo lolote na unataka kuzungumza nasi kupitia TV yetu? Piga namba +255 718023191 au tutafute whatssap namba hiyo hiyo utapata huduma kwa haraka sana.

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1   
@JumbeMirambo-n5n
@JumbeMirambo-n5n Месяц назад
mm jumbe mirambo simba safii
Далее
Прохожу маску ЭМОЦИИ🙀 #юмор
00:59
Friends
00:32
Просмотров 824 тыс.
Прохожу маску ЭМОЦИИ🙀 #юмор
00:59