Тёмный

MNYIKA AFUNGUKA MWANACHADEMA KUTEKWA KWENYE BASI "WALIMSHIKIA BUNDUKI". 

JAMBO TV
Подписаться 922 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@JosefuSwai
@JosefuSwai 9 дней назад
Kazi ngumu sana mzee mnyika pole na kazi
@alexvenas2699
@alexvenas2699 8 дней назад
Tunakoelekea siyo kizuri, najaribu kuwaza siku huyu mtu anaeonewa akichoka itakuwaje?
@FurahaNelson-z6c
@FurahaNelson-z6c 4 дня назад
Wakristo mkae kimya na waislamu muone tu sawa lakini chadema Kuna waislamu na wakristo jeshi la wanaichi mkae kimya sisi tataisha kama ndugu zenu
@drallan6879
@drallan6879 8 дней назад
why should we allow this ;tunashauri mama it's so embarrassing:as citizen ;we are very touched
@noelmbise9157
@noelmbise9157 8 дней назад
Mimi naona chadema wape silaha za kujilinda kwa sasa au kama sio hivyo uchaguzi uhahirishwe
@caesar7745
@caesar7745 8 дней назад
Inasikitisha sana
@Ahmedseif-l5g
@Ahmedseif-l5g 8 дней назад
kma chadema mtakua hv hv tu maneno matupu tu daima mtadhalilishwa tafuteni silaha mulipize visasi
@KilimoMichael
@KilimoMichael 8 дней назад
Wana mharibia raisi samia kazi
@Mufti-g3x
@Mufti-g3x 7 дней назад
Mambo Kama haya yalifanyika Sana Zanzibar miaka ya mwanzoni mwa siasa ya vyama vingi vilipoanza hapa tz na pale wa Zanzibari walipokua wanalalamika Basi wenzetu wa upande wa pili walibeza Sanaa na kusema wazanzibari kazi yao siasa tu Sasa jee mnaona uhalisia wa kuwa wapinzani? Lakini mbilili unapohitaji mabadiliko (ukombozi wa kweli) hayo hukutokezea Mara kwa Mara ila tumuombe Allah atuhifadhi na awahifadhi watanzania kwa ujumla
@gerald6720
@gerald6720 8 дней назад
Yaani kuongoza nchi kunatakiwa uwezo na si tamaa
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 9 дней назад
ZAMANI WALIJULIKANA KAMA WATU WASIOJULIKANA LAKINI SASA WANAJULIKANA. WAMEJIWEKA WAZI ZAIDI..
@gellangi9694
@gellangi9694 8 дней назад
Wasiojulikana sasa wanajitokeza hadharani na kufanya matendo yale yale ya wasiojulikana.
@davidntowanga7717
@davidntowanga7717 9 дней назад
Taratibu
@fridayjkajange1247
@fridayjkajange1247 8 дней назад
Duh inauma mno
@rithaurassa
@rithaurassa 7 дней назад
Watauwa San wanajua ya kesho yake?wajitafakari sana watafika Mahali watachoka ty. Maana dam nzito kuliko Maji.
@evansdecaprio8196
@evansdecaprio8196 8 дней назад
Kwa maelezo hayo naingiwa na kigugumizi juu ya maaskari
@chancesholdan342
@chancesholdan342 7 дней назад
Sipandi tena mabasi ya hiyo kampuni.....usafiri wao sio salama
@IssaTayari
@IssaTayari 7 дней назад
Asa kirasiku watu wanatekwa nyinyi kazi kupga domo watu wanazidi kupotea inakuaje
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 8 дней назад
Lazima kiburi kitangulie anguko!
@merumount5988
@merumount5988 8 дней назад
Mambo haya hayakubaliki ktk jamii yenye ustaarabu na kuheshimiana! Rais anayemjua Mungu kwamba yupo Mungu! hawezi kuruhusu vitendo vya aina hii vinavyohusishwa na vyombo vya dola..HAWEZI KURUHUSU! vyombo vya dola haviwezi kuwa na magenge ya kufanya uhalifu kwa kulindwa na sheria!
@huyu1993
@huyu1993 8 дней назад
Skiliza wewe sio kila kinachotokea kwamba rais anajua,kwani rais ana macho kumi? Rais ni binaadamu kama binaadamu mwengine ,kwa chunga kauli zako
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 8 дней назад
Alafu usikute wewe ndio mtu asiojulikana, empty head. Why CCM hamuwateki na kuwauwa?​@@huyu1993
@merumount5988
@merumount5988 8 дней назад
@@huyu1993 wewe ni mjinga hujui lolote..marais wanaoshitakiwa ICC huwa wao ndio wameua? Halafu shika adabu yako si kila mtu unaweza mtisha..shenzi typ!
@hawaa341
@hawaa341 8 дней назад
Kwa nini hawakupingwa picha
@homeandaway2811
@homeandaway2811 8 дней назад
Thubutuuu uwapige picha uone, na wenzao ushaambiwa walikuwa humohumo kwenye Bus.
@AbeidMagambo
@AbeidMagambo 7 дней назад
Nihatari kaka
@hakikahajijecha3558
@hakikahajijecha3558 8 дней назад
Wewe ni nani unaetowa amrita kwa jeshi la police, unachotakiwa kufanya ni kutowa ripoti kwa kituo cha karibu...watching wenye kazi zao wafanye... Fikiria mbona kina watu wengi hawajachukiliwa na vyombo vya usalama... Acheni tabia ya kujihukumu kwa vitendo vyenu wenyewe... wasiwad wa nini tena ? Stahamilini ndio utajuwa maana ya silikali....
@victaboy7273
@victaboy7273 8 дней назад
Pumbavu wewe na coment ya kichoko
@charlessentiyongo8484
@charlessentiyongo8484 8 дней назад
Huenda ndo mmoja wapo uko kwenye kundi Hilo, hivi ingekuwa ndugu yako, au baba yako ungefurahi kwa jambo hili?
@byabatotv3283
@byabatotv3283 8 дней назад
Angekuwa ndugu yako sidhani kama ungeandika hii ngonjera
@AbdalaSalumu-q1o
@AbdalaSalumu-q1o 8 дней назад
Unazngua
@user-zairo3ki1m
@user-zairo3ki1m 8 дней назад
Kuwa chama cha upinzani sio dhambi
Далее
Каха и жена (недопонимание)
00:37
New Race ? 🪽| Doge Gaming
00:12
Просмотров 1,6 млн
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36