Тёмный

UTAMU WA PWANI: WAMAMA HATUJIHANGAISHI MAJUMBANI/ KILA KITU DADA WA KAZI/ NGUO ZA NDANI KUFUA. 

Thinkers TV Online
Подписаться 23 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

#UTAMUWAPWANI
#TANGARAHA
#TANGANAMAENDELEO
#TANGAYETUSOTE
#KARIBUTANGA
#yanga #simba #wasafi #wcb #thinkerstv #niyeye #milladayo #pwani#azamtv

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 44   
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 3 года назад
😃😃😃😃✋✋✋maneno kuntu wangu mimi watu hawafanyi mambo yakakamilika kwauvivu ahsante maa❤❤❤❤
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 3 года назад
Kwakweli hizi tabia zipo sana wadada wakazi wanateseka sana Allaah awajaze khery kukumbusha nasaha
@muniraidd7613
@muniraidd7613 3 года назад
mungu amrehem mama yetu ila alitufundisha na kutuzoeshaaa hata km kunaa dada lazm tumsaidieee kazi za nyumbn
@lydiamuliwa7414
@lydiamuliwa7414 2 года назад
Mafunzo mazuri sana mie napenda kumshughulikia mume wangu mi dada wangu wa kazi hanipikii sipendi hata kumpa hata maji sikubali
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 года назад
Kama walabu huku kila kitu ufanye mfanya kazi chupi ya mume unafuta ww alafu wanasema watanzania wamalaya lazima tuwabebe ww unalala kutwa 👌👌
@mename6020
@mename6020 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣,....
@KhalidKhan-ud9cz
@KhalidKhan-ud9cz 11 месяцев назад
Mzuri Sana kweli nakupenda sana 💖💕💖
@leilacat4976
@leilacat4976 3 года назад
Habari ndio hiyo 🤣🤣
@zuwenaamour1727
@zuwenaamour1727 3 года назад
wanawake wavivu asant kwa mafunzo
@prosperlilian1371
@prosperlilian1371 3 года назад
Wooow. Shukrani
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 3 года назад
Mashallah pendeza wangu mimi
@mename6020
@mename6020 3 года назад
We Blandina na Tumu... Yaaan sina mbavu kwa kicheko...
@muniraidd7613
@muniraidd7613 3 года назад
hapooooo malkiaa umenigusaaaa jamn watu wavivuuuu kutwa wasingiziaa kuumwaaaa kilaa leo shenz na nusu khaa mara naumwa kucha maraa nywelee,mara kopee .
@bettynzibonera6645
@bettynzibonera6645 3 года назад
Bawapenda bure mama zangu! From Congo😘
@ThinkersTVOnline
@ThinkersTVOnline 3 года назад
Love u too
@malikiawahuba6500
@malikiawahuba6500 3 года назад
Asante Sana tunawapenda pia
@samirayassin9958
@samirayassin9958 2 года назад
Nataman hawa waarabu tunaowafanyia kila kitu wawe wanafundwa haki nadhan wangeelimika khaaa😎😎....maan mashaghala tushakua mama mijengo kwenye nyumb za warabu😂😂😂😂😂😂sababu kila kona twajua nini kinakaa ..nini kinahifadhiwa.....tusochojua ni pesa tuu wanahifadhi wapii 😂😂😂😂nyie nyie achen tuu....nawapend haki😍😍😍 japo nimechelewa ku join u kwa page yenu
@lydiamuliwa7414
@lydiamuliwa7414 2 года назад
Je watoto wanafaa wampikie babayao
@parisz
@parisz 2 года назад
Where from Tanzania?
@rizikisebe890
@rizikisebe890 3 года назад
Maneno kuntuu.....haaalooooo wambieeni wamezidi mume akichukuliwa ndio yuwaanza kulia na mithoo
@aika3024
@aika3024 2 года назад
🤣🤣🤣🔊 Woiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🙌🏻 Yanga Bingwa 28/05/2022💚💛
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 3 года назад
Mashallah nawapenda sana
@zuwenaamour1727
@zuwenaamour1727 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hadiaismail3583
@hadiaismail3583 3 года назад
⚘⚘ ukosefu wa taaluma ndomana yanakua ayoo kutojua haki zao na zawenzao⚘⚘ wajirekebishe mana wapoo wanyambiii
@ashachai3416
@ashachai3416 2 года назад
Hya maneno ni kweli
@queenhassan5983
@queenhassan5983 3 года назад
Wambie
@hidayamasood7668
@hidayamasood7668 3 года назад
kweli.jamani yapo hayooooooo twayaona
@mwenesisaid3995
@mwenesisaid3995 2 года назад
No ya cm
@muniraidd7613
@muniraidd7613 3 года назад
mmmh wengin walala nakunguni🤣🤣🤣na mumewee haloo
@stellahsabaya3257
@stellahsabaya3257 3 года назад
Habari zenu asanteni kwa mawaidha lakini hii tabia ipo sana kwa wanawake wanaojitia wasomi
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 года назад
Kweli kabisa
@HalimaHalima-og8bd
@HalimaHalima-og8bd 3 года назад
Hallo
@ashachai3416
@ashachai3416 2 года назад
Tabiya km zawarabu 😂😂😂wamezidi
@HalimaHalima-og8bd
@HalimaHalima-og8bd 3 года назад
😆😆😆😆
@benaly4045
@benaly4045 3 года назад
Ntakuja tanga kuwaona hawa wanawake. Blandina na malkia. I like them. I would like to take them out.
@ThinkersTVOnline
@ThinkersTVOnline 3 года назад
Cameraman nae atakuwepo!! 😂😂😂
@mename6020
@mename6020 3 года назад
Karibu Tanga... Tanga raha... Tanga starehe... 🤣...
@ashourahsaleh8958
@ashourahsaleh8958 3 года назад
Asant wapendwa wangu
@azzasultan8351
@azzasultan8351 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@neemahassan4872
@neemahassan4872 3 года назад
Wambie walo jisahau na majukumu yao
@ThinkersTVOnline
@ThinkersTVOnline 3 года назад
Tunawakumbusha
Далее
▼ЮТУБ ВСЁ, Я НА ЗАВОД 🚧⛔
30:49
Просмотров 291 тыс.