Kifungo kimekaa huku cha juu kiko chini na cha chini kiko juu 13.48 aaahaaa nimecheka nikadondoka chini sijui kesha kutana nao akasema hivi mwee nimecheka mbaya sana mie 🤣😅🤣
Mnatufunza hasaa tena twashukuru kwahilo ila ningependa kuwa kumbusha wa mm zangu wapedwa kujistiri vichwa vyetu hasa tukiwa kwenye hadhara kama hivi na mnapendeza mkijitanda nyie mshaa Allah