Тёмный

MFANYIE MUMEO HIKI AKUPE KILA UNACHOTAKA 

AL FATAH TV ONLINE
Подписаться 95 тыс.
Просмотров 61 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 июн 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 93   
@MariamSaleh-hm2jm
@MariamSaleh-hm2jm 2 месяца назад
Mwanaume hata umfanyie nn aridhiki Kwa maisha ya sasa mtihani mtup tumuombe allaah atusimamie katika ndoa zatu inshallah
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 Год назад
Watu wapo busy kuhangaika kutafuta pesa kama mama mzazi kashindwa kumlea utaweza wewe mke, khaa!😂😂hakuna fundi huyo muuza vikuba yy mwenyewe anaisoma namba 😂
@Sheba4651
@Sheba4651 Год назад
So hivyo ! Jitahidi In Sha Allah utaweza
@user-pt9uw3nz8c
@user-pt9uw3nz8c Месяц назад
Udinchekeshe mie wa2 wako bizy kutafuta hela😂😂😂😂😂
@zeinabathman4969
@zeinabathman4969 Год назад
Mashallah ukhty swadakta ni kweli tuelimishe zaidi dadangu mashallah
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 Год назад
Nyie semeni ila ndoa haina mwalimu haina kungwi wala haina mjuzi tumuombe mungu atusaidie tu unaweza ukafanya yoote hayo na mtu moyoni mwake ana mengi nina miaka 12 kwenye ndoa hapo hakuna jipya hata moja mlilo liongea hamishieni madarasa kwa wanaume mana kila siku mnatwambia hayo hayo
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto Год назад
Bas km ni hayo kila siku mjue yana tija myafanyie kazi
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Год назад
Sawasawa mwanamme anahitaji darsa ili kujua wajib wake kwa mkewe na mamlaka yke somo kwa wanawake ni mengi saana ila kwa wanaume hatuyaoni na wao wanahitaji somo khasaa ili tubalance ❤
@shufaahamza847
@shufaahamza847 Год назад
Jamani jamani dada wewe usiseme bakisha maneno shoga angu tulize wengine inafika htm mpaka uwaza asiyo yapenda Allah😏🤔
@ummuhkhalfan5542
@ummuhkhalfan5542 Год назад
​@@shufaahamza847Allah atukinge na atunusuru kwa rehma zake
@farajaflorence1690
@farajaflorence1690 Месяц назад
Nyie mnafanya haya yote ? Mume wako hachepuki ebu ombeni Mungu tu mtuache hamna jipya
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Год назад
Leo mmetufunza wanawake next week wafunzwe wanaume 😊
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 Год назад
Ndio mana wanadhani wanawake tu ndio wasijua mapenzi na kuzilinda ndoa zao kila kungwi anafundisha wanawake wanaume wanahitaji darsa zito nawao
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Год назад
@@fatmakhanii1676 sanaa anahitaji mafunzo mwanamme ndoa sio mwanamke tuu kuilinda mwanamme ndio huyo anaiharibu ndoa
@kidakanitzonline5067
@kidakanitzonline5067 Год назад
@@nailamohd7693 kivip
@khadijarashidy9304
@khadijarashidy9304 Год назад
Nikiwaza baaada ya kufanya yote hayo halafu atatoka nje kiukwel nakosa nguvu😚😚😚
@salumaliysalum6069
@salumaliysalum6069 Месяц назад
Mashallah Allah akulipe ujira wako sisi wengine dio darasa yetu tunasoma
@PiliKapweso
@PiliKapweso 3 месяца назад
Ahsanteni xan Allah awalipe
@MeswalehShaban-mg5kk
@MeswalehShaban-mg5kk 5 месяцев назад
Mashallah mashallah...mwenye akili ataelew 2 ...hili darsa latakiwa liwe pana kias
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Год назад
Nawambia wanawake wenzangu. Fanya chochote cha halali kwa mumeo. Lakini usiwe mtumwa. Kama wewe hujafahamu neno haki sawa endelea kuwa slave kwa mumeo. Mapenzi hayana formula huna kazi bibi kakojoe ukalale. Mapenzi hayo upande mmoja tu. Hata mwanamke anataka kusingwa na mumewe. Hamna mada kalaleni. Fanya yote na akitoka anakwenda kwaalaya.
@rehemasharifu8985
@rehemasharifu8985 Год назад
Mashallah mashallah
@nasrimswaki4824
@nasrimswaki4824 Год назад
twaateswa jamani wake wenyewe wapo bize na vikoba jamani daah
@user-oq6hb9hh2b
@user-oq6hb9hh2b 3 месяца назад
Bado hamjatoa maelezo matumizi y ndoa bado nikitu kidogo Sana mnalazimisha vingi
@safiasaleh669
@safiasaleh669 9 месяцев назад
Anaongea kama mama Samia 🎉🎉
@aishasaleh6070
@aishasaleh6070 Год назад
Ungekivaa japo glav za mikono ukitia hina
@IreneAbuu-ub9fy
@IreneAbuu-ub9fy 2 месяца назад
Mbona unaweza Fanya Kila kitu nakikawa tofaut
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Год назад
Mwanamme ndio mas-uliya toa pesa mkeo ajishughulikie pesa za mkeo ni zake hata km hazitumii hazimkhusu mume toa pesa mpe mkeo. Hivo vya kwenye mbanjo kuna siku vitamaliza hata miaka 2 badae mume atoe usimtetee mume atoe pesa usimkumbizie mkewe wajib ni mume km hawezi basi hajawa tayari huyo kua na mke.
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto Год назад
Kwaiyo km hujapewa ndo utakaa mchafu hujitunzi kwa sababu hujapewa? Hutii hina kwa sababu hujapewa? Kuna vitu hutafanya kwa sababu hujapewa? Kuna faida gani ya kuwa na pesa yko ili utumie kwa ajili ya nn? Toka nje ya box usikariri maisha aina yako ya watu ndio wanaoshindwa hata kuwaambia waume zao pole na kazi kwa kudhani ndo wajibu wao kuchoka kwa kutafuta risk
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Год назад
Kiase muwachwe.kama hata mke ukifanya kazi unapata mshahara halafu pesa yako ni yako hutowi tukaendeleza maisha.kula kuvaa na kujenga na biashara.wewe mke pesa yako inakwenda kumuhongo mwanamme wako wa zamani. Hutujakuoweni mututumilie
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto Год назад
@@hajiabdalla5772 kwani nani kaachwa kwa hayo? Unajiskia nn unasema sijasema mtu atoe pesa yke amsaidie mume majukumu nimesema wajipendezeshe wao usikute ww ndo huyo humtunzi mkeo unataka sifa tu hapa. Ifike mahala kila mmoja akue mipaka yke
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Год назад
@@AttiyaHassan_somomtoto narejea kusema mume ndio mshughulikiaji pesa ya mke ibaki kua ya mke hatujafahamiana sio km siwezi kujitunzia pesa zangu namaanisha bado nnapesa mume wajib wake yy atoe pesa asione mm nnapesa tena ndio ajikalishe eti mm nafanya kazi hapana km ww unafanya hivo kwa pesa zako endelea mm mume wangu anajua wajib wake kila mwezi ananikatia changu najiremba kwa pesa zake mwenyewe... Tena nilikua nafanya kazi hakuwahi hata siku 1 kuniuliza mshahara wako kiasi gani au nunua hichi vitu vyote ananunua mwenyewe na mwisho wa mwezi ananipa changu na watoto hata nikenda dukani nikwafanyia shopping watoto mwenyewe tuu vitu nimevipenda nikirudi anasema kwann hujanambia km unataka kufanya shpng ya watoto ah nimeamua tuu basi nitakulipa tena hapo nitamwambia nimekusameh nimetaka tuu mwenyewe huyo anajua wajib wake 👌.
@nailaomar4810
@nailaomar4810 Год назад
Huyo anajuwa wajib mke alishwe na avishwe hata kama mke anafanya kazi hiyo pesa ni ya mke mume afanye wajib wake
@mozaally7643
@mozaally7643 2 месяца назад
suluhisho landoa kaka au dada kabla hawajaingia ktk ndoa bc waende mafunzo miezi 6 apo kidgo tunawwza kuelimika
@user-zb5iq9up9c
@user-zb5iq9up9c 9 месяцев назад
Mpenzi marashi gani
@sssp1230
@sssp1230 Год назад
Takwiku zinaonyesha asilimia Kubwa ya wanawake wanaoachwa kwenye ndoa zao ni hao wanaofanyia wanaume zao hayo mambo ya kusingwa!
@rashidomar2771
@rashidomar2771 Год назад
Muongo mnafik
@khatijakhatija6172
@khatijakhatija6172 Год назад
Naakiulizwa anakua mkali semeni nao na wanaume majumba yanaharibika sababu ya wanaume
@user-ne7gs5qn9q
@user-ne7gs5qn9q 11 месяцев назад
Ni mwanamke yupi anayeweza kumuogesha mumewe leo
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
Kwa hayo yote ni kuwa lmani na Mapenzi yamepungua
@user-fz9ir4nj1y
@user-fz9ir4nj1y 3 месяца назад
Hao wanao kosoa waongo kimewagusa mana hawatekelezi majukum yao dada endelea upo sw ila t ukihisi kuna sehem umekosea kweli kibinadam rekebisha tuende mbele awo wengine usiwashuulikie
@user-ik7sk2wo1k
@user-ik7sk2wo1k 8 месяцев назад
Anabahati mmeo kukukupa
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 Месяц назад
Mwanaume hata mwanamke kama hakutaki au kishakuchoka atakupuuza tu hata umrambe miguu bure tu hmn cha kungwi wala Qadhi!!!!
@salummzee9739
@salummzee9739 Год назад
Nitumie namba yk mrembo
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 Год назад
Na ndio mana hao wanafundisha wanandoa mahusiano yao mtihani kabisa jiulize kama hayo yanamtuliza mume mbona wao wanaachika hawakai na ndoa mapenzi ni utayari vitendo vi naakuja wenyewe ila hayo yote mnapiga porojo tu
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto Год назад
Anoachika sio mzembe wala anaebaki sio uhodari Umeambia yasin dua na mbio uwe nazo Unaweza usifanye yote na ukabaki na ukafanya ukaachika n vice versa We usifanye waachie wanofanya waone matunda yao
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto Год назад
Kwaiyo alokuwa hafundishi yy hana mitihani au? Kwanza ujue hakuna ndoa isokuwa na changamoto ! Kwaiyo madhal kuna changamoto tuishi na huzuni muda wote? Tutafurahi tutakapopata nafas ya kufanya hivo na ndio lengo, haijaandikwa sehem kuwa ndoa ni tamu , ndoa ni maisha na maisha ni tamu na chungu ukijua ivo hupati tabu
@shufaahamza847
@shufaahamza847 Год назад
Haloloooooow kikuwapi kungwi kaolewa na shekhe ndoa haijamaliza miezi 2 imevunjika bwanaeeee hakuna fundi kwenye huu mchezo bwana nikuoteanatu atakaye wahi ndo huyhuyo kunamda unajishusha unakuwa km benders ukipelekwa huko unakwenda atakapo lkn inafika mda unasema stp alaaa
@mozaally7643
@mozaally7643 2 месяца назад
Nyie mnaelimisha watu hyo mapambo yenu msiyadhihirishe huo ni ushahid wakti ushaondoka dunian
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 Месяц назад
No
@TatuFundi-cr1vj
@TatuFundi-cr1vj Год назад
Asalamu alaikum Tunataka kufanya hayo lakin wanaume wengine hawataki hayo...
@MustyHamza
@MustyHamza 2 месяца назад
Mie nipo hapaa
@user-zj1xq7xw8c
@user-zj1xq7xw8c Год назад
Mtu akitaka kufundishwa ndohumuhumu au hamna darsa
@user-gu1lg2zr8s
@user-gu1lg2zr8s 2 месяца назад
Hakika mioyo imeubwa kupenda anaemfanyia uzuri lakini siri kubwa ni olewa na mume anakupenda, ila kama akupendi ata umpakulie kwenye sahani ya dhahabu ataiona plastic tu😂
@user-pt9uw3nz8c
@user-pt9uw3nz8c Месяц назад
Kweli kabisa
@hajiabdullakoba-jz5vj
@hajiabdullakoba-jz5vj Год назад
ndio mwanamke anahaki pesa yake matunzo niyamume kama anampenda ampelekee vinavyo mvutia
@fatumakalombo-nc1fr
@fatumakalombo-nc1fr 11 месяцев назад
Naomba no.yako
@khatijakhatija6172
@khatijakhatija6172 Год назад
Mbona mnatulaumu wanake tu yaani wanaume ndio wamekamilika majumbani?mwanaume antoka toka jioni mpk alfajiri a arudi home sasa hapo vipi,
@nasrimswaki4824
@nasrimswaki4824 Год назад
maashallah maalim
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Год назад
Ukonawazungmuzia wanaume wazama zipi?MTU mwwnyewe ma awara kilakona Kila mkoa kilasiku anaoa nakuacha anamsema mkewe kwawatu vibaya Bado asingwe wakati ijuma aijuwi
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Год назад
Tafuteni mada nyengine ndoa hauna formula inavyoanguka ndio inavyochinjwa msipotezee watu muda wao.
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto Год назад
Uzur hapa tunafundisha wanaotaka kujua sio akina nyie mloshindwa njia za kuhandle ndoa mkahic mmefika mwisho
@ummuhammad7571
@ummuhammad7571 Год назад
@@AttiyaHassan_somomtoto habibty hatukushindwa na ndoa tumeumizwa na ndoa baada jitihada zote akajisabikisha singo sugua mguu mlishe mpepepe maliwazo maneno mazuri majina mazuri yote tukamaliza at the end unalizwa kama mtoto mdogo Allah akuhifadhie ndoa yako yasikukute Allah akubarikie kazi mie nasema Alhamdulillah
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Год назад
Usemayo hayo ya mwanzo ndio msingi waaisha. Lakini hakuna kitu chochote kinachosimamisha ndoa au kinachobomoa ndoa. Ndoa haina sababu yoyote ni mapenzi yenu tulivyokubaliana. Unamsinga anatoka anarudi asubuhi. Hakuna formomula katika ndoa msitudanganye sio kweli. Ndoa ha i na formula. Formula ya ndoa ni kumsoma mwenzio weaknesses zake na mu win sio kumsinga huo utumwa yeye akufanyie ya halali uyapendayo na umfanyie ya halili ayaoendayo. Nyie mnafundisha utumwa sio ndoa bora. Mapenzi ni Borth sides.
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto Год назад
Utumwa ni kuzifungia akili zako zisione ukweli na kuukubali cjui km ulipata uyo somo akakufundisha ata kujihudumia ungemjibu nafanya hivo tangu kwetu . Wakati mwengine mabadiliko ya vitu na mambo hunogesha ndoa ishi ww kwa mazoea waachie wanaotaka kujifunza wajifunze
@amerwelder7786
@amerwelder7786 Год назад
We kilaza itakuwa
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
😂😂😂😂😂menaona Raha Tu jamani😂😂😂😂😂😂
@YasminaMkali
@YasminaMkali 4 месяца назад
Thank you girl! Mapenzi ni kwa wote. Hakuna cha kusinga wala kusingwa....mambo ya kizamani sana. Wote siku hizi twafanya Kazi. Kama ni kusinga, Basi tusingane.....kwani Nani hataki kupata Raha.....😅😅😅
@rashidomar2771
@rashidomar2771 Год назад
Wanawake wengi wa sasa hivi kufanya hayo anaona ni ujinga na utumwa
@user-ex2jw6xu5e
@user-ex2jw6xu5e Год назад
Kweli maneno yako swadakta
@Sheba4651
@Sheba4651 Год назад
Umenepa sana. Na nilipoona heading nami nikaona niangalie, ili nami nimpe mke wangu anachotaka.😅
@dinakelvin2134
@dinakelvin2134 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@HusnaKhamis-bf9sm
@HusnaKhamis-bf9sm Год назад
Nikweli wanawake wangi hawatunzi waumezao
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Год назад
Hata wanaume wengi hawatuzi ndoa zao.
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto Год назад
Mkianza kuangalia kipindi kilichopita mtaelewa msivamie tu kabla ya kujifunza
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Год назад
​@@mwanaishaabubakar5013😅😅
@zenaali5475
@zenaali5475 8 месяцев назад
Ila wengne hatuna kazi tutafanyaje tupo nyumbani tu ata kazi wanaume hawataki ufanye ukae ndani tu mamyy
@ummuhammad7571
@ummuhammad7571 Год назад
Mfanyie yote hayo bado haridhiki most of them hawana hata appreciation
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto Год назад
Ukiondoa negativity kwenye ndoa utaenjoy sana do not take things negative kila mara change urself enjoy kuwa mke na kila utachofanya kifanye kwa moyo na usitegemee appreciations utajikera
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Год назад
Kweliiiiii
@sumaiyyazamilzamil121
@sumaiyyazamilzamil121 Год назад
Mm naunga mkono kwa wote walochangia maana siwezi kurudia ukitaka usitake au ukatae wanume waitwe wanaume utafanya yte unayosema hayo na hubadiliki utatiwa vyete lkn akiamua kaamua,usikute unafunza lkn ww yote hayo unafanya baadhi,makingwi ndio haooo
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto Год назад
@@sumaiyyazamilzamil121 usilolijua ni sawa na ucku wa kiza
@fatmahamad6869
@fatmahamad6869 Год назад
Wanandoa wingi hawana mapenzi ya dhati, so ukimsinga, umfanyaje Hana hata habar
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Год назад
Wanaume ndio chanzo kikubwa wanajisahau majukum yao ukimwagilia maji mtu unamea vizur
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb Год назад
Dada hayo kwa leo hayako tena hayo yalikua kwa mabibi zetu ama kwa Zanzibar hako ama kwa jamaa zetu wa Kitanga yes but in our 2 Island muhimu mapembe tu
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto Год назад
So long as ndoa zinafungwa mpya kila siku tutakumbushana tulipojisahau
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto Год назад
Labda kwenye ndoa yako lkn kuna watu wanayaishi hayo na wana furaha tu
Далее
MWANAMKE MAKINI HUMDAKA MWANAUME HIVI
19:55
Просмотров 13 тыс.
Schoolboy - Часть 2
00:12
Просмотров 4,3 млн
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
Просмотров 1,5 млн
Dr. Chris Mauki: Mambo 3 mumeo ana kiu kuyaona kwako
6:03
KUNGWI DUME sehemu ya Tano
31:57
Просмотров 115 тыс.
JINSI YA KUFANYA TENDO LA NDOA/JIFUNZE STEP HIZI
11:02
KUMBE MWANAUME ANAFANYWA HIVI?
17:13
Просмотров 8 тыс.
Schoolboy - Часть 2
00:12
Просмотров 4,3 млн