Тёмный

UTAPENDA! HAJI MANARA NA ALLY KAMWE WAWAZIBA MDOMO WACHAMBUZI/ ONA WALIVYOTANIANA 

Manara TV
Подписаться 299 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 2 месяца назад
Ninachojua nikuwapenda sna💚💛💚💛💪💪💪🙏🙏🙏
@SmartTz-y5z
@SmartTz-y5z 2 месяца назад
Kamwa naanara nyii moto🎉🎉🎉🎉❤
@salemarahbi9171
@salemarahbi9171 2 месяца назад
Mungu awajaze upendo zaidi wasemaji wetu😊😊
@ShalomtzTzshal
@ShalomtzTzshal 2 месяца назад
Good job sana kamwe na manara
@athumanmapunda
@athumanmapunda 2 месяца назад
All right manara and Alli kamwe good jobs
@DanielJames-q5s
@DanielJames-q5s 2 месяца назад
Huyu jamaa anaakili sana, apewe nafasi kubwa ataleta faida ndani ya krabu yetu ya yanga
@WaridyJoseph-ru2pj
@WaridyJoseph-ru2pj 2 месяца назад
san
@annajohn2488
@annajohn2488 2 месяца назад
Akili ipi akili unaijua kwanza tuanze wewe akili unayo?ndo maana tahira unamuona anaakili
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 месяца назад
​@@annajohn2488akili anayo tena kubwa kuliko kolo yoyote
@salehsunday7076
@salehsunday7076 2 месяца назад
❤ ubarikiwe sn
@NeemaMwangobola
@NeemaMwangobola 2 месяца назад
Jamani wambea acheni amani itawale Kwa manara na Hali kamwe watangaze mpira wetu...mbona mna madongo ampendi wapendane acheni zenu...manara mpende sana Hali baba huyo ni mtoto wako ana baya kabisa...achana na wanafki hao..mpende sana uyo mtoto wewe unaswari naungu atakubariki tunakuombea na tunakupendaanara ukiwa na Hali kamwe...mungu awabaliki na maneno Yako ya hekima na Hali kamwe.
@juliethjulie1204
@juliethjulie1204 2 месяца назад
Haya ndio mambo tunayataka
@getrudaleonard8323
@getrudaleonard8323 2 месяца назад
Ninawapenda Sana nyie watu M na A Yanga yatu bila nyie haiendi vzr kwa kweli umoja wenu ni mafanikio makubwa kwa... Yanga
@HumayraJuma
@HumayraJuma 2 месяца назад
Nan kama bugati 👏👏
@allysaidlyambange4500
@allysaidlyambange4500 2 месяца назад
Very nice
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 2 месяца назад
Bugatti ni mmoja tu.unatosha broooo.
@sittandaki2135
@sittandaki2135 2 месяца назад
Huyu inabidi apewe nafasi kwenye Timu ya mpira wa miguu ya Taifa letu
@AnthonyKiwili
@AnthonyKiwili 2 месяца назад
Manara akili kubwa xn
@Kimweri_tz
@Kimweri_tz 2 месяца назад
Mwamba kweli kweli
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 месяца назад
mtu na mkewe yanga wanashida lweli
@KijaJohn
@KijaJohn 2 месяца назад
Wanavunga tu mbele ya watu
@imanibakili8028
@imanibakili8028 2 месяца назад
Mlichotaka hakiwi😊
@charlestobby6031
@charlestobby6031 2 месяца назад
Kaa na roho mbaya yako wenzako wanagonga mvinyo tu😂😂
@Kimweri_tz
@Kimweri_tz 2 месяца назад
Wewe hata kuuwa unaweza
@MikidadiYusuph-d9f
@MikidadiYusuph-d9f 2 месяца назад
matusi ya nini sasa? Me ndio maana ninachewa kupendaga mupira
Далее
These Are Too Smooth 😮‍💨
00:57
Просмотров 7 млн
These Are Too Smooth 😮‍💨
00:57
Просмотров 7 млн