Тёмный

UTAPENDA MANENO YA MCH HANANJA MBELE YA CHID BENZ, NITAMPA AJIRA 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@tigejuma9865
@tigejuma9865 9 месяцев назад
Huyu Baba anaishi na watu vzur xna....Ata watu wa mitaani na wasanii pia anawajua pia...mungu akupe nguvu na uzima bro.
@Touchovtrav
@Touchovtrav 9 месяцев назад
Oya we mzee ni genius
@mussakiuzio-wq2jm
@mussakiuzio-wq2jm 9 месяцев назад
Nampenda xan mchungaji mcheshi sana muda wote anaongea point
@saimongilala8938
@saimongilala8938 9 месяцев назад
Dada uwa napenda sana vipindi vyako Mungu azid kukupa maalifa tuko pamoja
@Touchovtrav
@Touchovtrav 9 месяцев назад
This guy is a real keeper 💯 MCH HANANJA 👏
@UpendoTonny
@UpendoTonny 9 месяцев назад
MZEE HUNA MBAMBAMBA YAAN ❤❤❤
@sonnyr1899
@sonnyr1899 9 месяцев назад
Mimi ni muislam na napenda sana mchungaji kama huyu anajuwa uhalisiya.
@stevenbaraka-v3b
@stevenbaraka-v3b 9 месяцев назад
Mch unasemaga ukweli Sana Mungu akubaliki Sana. Pia huyo mtangazaji anajuwa Sana anapenda anacho kifanya sema huwa hajitabulishi anaitwa nani
@covenMbaga
@covenMbaga 9 месяцев назад
Huyu mchungaji aishi sanaa kwakeli😅😅😅 Kuna maisha ya dini na maisha ya mtaani 😂😂
@wasokyeyangya7757
@wasokyeyangya7757 9 месяцев назад
Mzee anajua sana
@fredyfile623
@fredyfile623 9 месяцев назад
Hongeraa mchungaji unaongea point sana endelea kusaidia watu.
@ivanminja7954
@ivanminja7954 8 месяцев назад
Mimi nimeweza kutoka mara moja bila sobber na bila Methadon, mwenyezi Mungu ndie aliyenitoa
@yassinuddi
@yassinuddi 8 месяцев назад
Umetumia kwa muda gani?
@ivanminja7954
@ivanminja7954 8 месяцев назад
@@yassinuddi nimevuta kama miaka 8 hivi
@yassinuddi
@yassinuddi 8 месяцев назад
@@ivanminja7954 ni jambo la kumshukuru Mungu, maake wengi naona inakuwa ngumu kutoka mpaka umauti unawafika
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 9 месяцев назад
Mchungaji Hananja ana Hekima na Busara pia Hana ubaguzi wa Kidini
@SonitajoseDonita-tm5ex
@SonitajoseDonita-tm5ex 9 месяцев назад
Muziki wa Chidi unauzwa mitandaoni, Chidi hapati pesa yoyote ,Nani huyo anaechukua pesa zake???? Kwa Nini hamlizungumzii swala hili,pengine ndiolinamchanganya Chidi.
@shizoshop2469
@shizoshop2469 9 месяцев назад
Mama samia hawaoni hawa watu ? Au anataka watu wenye taaluma ya uwalimu kuwaweka kwenye taaluma ya afya
@Mr.Ben.RaphaelLazaro-wj7fh
@Mr.Ben.RaphaelLazaro-wj7fh 9 месяцев назад
Mzee embu tuelekeze kanisan kwako ni wap tuwe tunakuja kupata maarifa ya dini na dunia ya sasa coz vyote unavijua
@stiangabrirl
@stiangabrirl 9 месяцев назад
Kweli kabisa Mzee anaafya Bora sana yakili
@azizirania63
@azizirania63 9 месяцев назад
Amestaafu lkn ni mchugaji huru mwaweza kumualika makanisa munayo enda na hakaja
@emmanuelchacha6718
@emmanuelchacha6718 9 месяцев назад
Huyu mzee zamani alikua Bondia mzuri sana.Boxer mzuri mnoo.
@azizirania63
@azizirania63 9 месяцев назад
Daaa we ni muenga 😮
@user-bz2hi8xs6z
@user-bz2hi8xs6z 9 месяцев назад
anastahili kitu kikubwa sana kwnye hii nchi uyu mzee
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 9 месяцев назад
Mtangazaji ni mrembo sana ila matunzo tu dah
@musason1680
@musason1680 9 месяцев назад
💯
@EzekielMsigwa
@EzekielMsigwa 9 месяцев назад
Ivi nifanyaje nikitaka namba ya mchungaji ndugu muandishi
@abdallaabdulrahman8319
@abdallaabdulrahman8319 9 месяцев назад
We mzee nafuatilia sana mafundisho yako
@SlsProductionTz
@SlsProductionTz 9 месяцев назад
Safi Sana faza
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 9 месяцев назад
😂😂😂eti konki kaenda kuombewa kwamwaposa😅🤣😂ananja kiboko aisee
@thamratysuleiman3053
@thamratysuleiman3053 9 месяцев назад
Karibu katika uislamu .mchungaji. natamani uwe muislam.itapendeza
@user-lr5lt3ny5i
@user-lr5lt3ny5i 9 месяцев назад
dah ad raha sn kunawatu tunao wana mungu wana uwelewa mkubwa yan dah kubali sn
@user-ec1ey1lx6i
@user-ec1ey1lx6i 8 месяцев назад
Ukweli unauma
@simiyugidson2411
@simiyugidson2411 9 месяцев назад
Kilichonifikisha hapa ni pale ulisema " imeandikwa, usinitishe si imeandikwa" natamani TZ from Kenya
@binsimba6473
@binsimba6473 9 месяцев назад
Mzee smart sana huyu.
@joelkihogo9312
@joelkihogo9312 9 месяцев назад
Yuko vzr mchungaji ....nakufatilia sana
@AdelineMassamu
@AdelineMassamu 9 месяцев назад
Ubarikiwee babaaa
@mlawayusuph8842
@mlawayusuph8842 9 месяцев назад
Hahaha mchungaji Ananja nakukubali sana
@JOHNMARWA-pb5wy
@JOHNMARWA-pb5wy 9 месяцев назад
Mzee kabisa lako wap
@Dogochao
@Dogochao 9 месяцев назад
Anamjua paja moody bize. Kanal kweli. Huyu anamjua. Chidy sana
@ericrsong4778
@ericrsong4778 9 месяцев назад
Ihefu oyeeeeee🎉
@GladyMussa-mh6vf
@GladyMussa-mh6vf 9 месяцев назад
Baba nataka nije nipate maarifa nakupenda sana
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 9 месяцев назад
🤣😂eti sholo mwamba namkubali sana uyu mzee nimjanja au nimegundua labda alikuwa msela
@hafidhimarijani4961
@hafidhimarijani4961 9 месяцев назад
Sio labda, Mzee alikuwa msela sana hakuna msela kama huyoo
@athumanfuko199
@athumanfuko199 9 месяцев назад
Baharia huyu
@johnmalisa9373
@johnmalisa9373 9 месяцев назад
Baharia huyo
@mayaally2512
@mayaally2512 9 месяцев назад
Sio labda alikuwa msela na bado ni msela mwenye busara na hekima
@ricklandennis
@ricklandennis 9 месяцев назад
Mzee Yuko real anachokwambia sio kaambiwa ndivyo kilivyo habahatishi, ana experience kubwa sana na maisha ya mtaani. Mungu amlinde sana
@johnmalisa9373
@johnmalisa9373 9 месяцев назад
Huna baya pastor muddy bize nilikua namuona pale boma nikitoka tuition mchikichini
@bestcodetz5726
@bestcodetz5726 9 месяцев назад
hananja hachujiiii... wkina mwamposa wanakuja wanasepa akina antony lusekelo byebye huyu ni geneous
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 9 месяцев назад
Huyu mZee kuna nafasi anastahili serikalini, sijui mama hamuoni au
@swissvany55
@swissvany55 9 месяцев назад
Ww dada huwa NI pisiii sanaaaa...napenda sanaaa madem Kama ww
@shaurimtanda8285
@shaurimtanda8285 9 месяцев назад
Umeshaanza mambo ya kidimbwi
@zarafimnyamafitv
@zarafimnyamafitv 9 месяцев назад
❤❤❤❤
@Hassanhamisi-sw4be
@Hassanhamisi-sw4be 9 месяцев назад
Fanani ni muumini wa HBC Mzee ananja
@WitnessChristian-t7i
@WitnessChristian-t7i 9 месяцев назад
Hili sasa ndo jungu kuu ambalo halikosi ukoko sasa, Lina madini mpaka basi.
@aayanmaroba6056
@aayanmaroba6056 9 месяцев назад
SIJAWAHI KUACHA INTERVIEW YA HUYU MZEE
@joojombi2341
@joojombi2341 9 месяцев назад
Hembu nipeni namba za huyo mchungaji na pia mtangazaji please
@rajabushedafa6397
@rajabushedafa6397 9 месяцев назад
Mmh lengo lako n namba ya huyu mdada tumekustukia 😅
@joojombi2341
@joojombi2341 9 месяцев назад
@@rajabushedafa6397 ndo tatizo Medulla yako ilivyo kutuma hivyo poles sana mola akusameh dogo
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 9 месяцев назад
​@@rajabushedafa6397anataka kuleta ujogoo keshauza maharage yake anatafuta wakumchuna
@StellaPaul-z9y
@StellaPaul-z9y 9 месяцев назад
Huyu mchungaji kaniacha hoi kuhusu maandiko hatr
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 9 месяцев назад
Mtangazaji bado kabisa maswali yako umeandika kwenye simu 😂😂 bado kbs
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 8 месяцев назад
Kamsaidie wewe tukuone utakacho kifanya, Hakuna kiumbe kilicho zaliwa kikajuwa kwa wakati mmoja Kila kitu ni kujifunza na kupata uzoefu!
@mckobatz5861
@mckobatz5861 9 месяцев назад
Mchungaji Hananja anamjua Modie bize😂
@ricklandennis
@ricklandennis 9 месяцев назад
Mchungaji Yuko real sana
@neponova8988
@neponova8988 9 месяцев назад
You interviewers are so negative every time you talk of Chid ni madawa who said jamaa ni teja bado..muacheni mtu apate nafu ya akil…na kuna namna mingi za kumuongelea bila kumuhusisha na madawa..mnamuharibia tu hamsaidii kitu
@MagrethElibaliki
@MagrethElibaliki 9 месяцев назад
❤❤❤❤
Далее
Holding Bigger And Bigger Dogs
00:18
Просмотров 25 млн
How to Build a Homemade Bike Using a Barrel
00:21
Просмотров 890 тыс.
ONE ON ONE NA YERICKO NYERERE  part 1
46:08
Просмотров 6 тыс.